JINSI YA KUPATA PESA KWA HARAKA KWA KUKU WA ASILI/KIENYEJI TU

  Рет қаралды 46,490

AGALUS  TV

AGALUS TV

Жыл бұрын

Jinsi ya kupata faida kwa kuku wa kienyeji. Faida HADI Mil. 2 kwa kuku wachache tu 44 na kwa miezi 6 tu
#tibaasili #chakulachakuku #magonjwayakuku
Jifunze jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku kupitia
• Chakula cha kuku

Пікірлер: 175
@aminamselem5669
@aminamselem5669 19 күн бұрын
Habari zenu, hongeren kazi nzuri ya ufugaji na darasa lenu la ufugaji, nauliza tetea wanataga mara ngapi na kujua hapo amemaliza
@AGALUSTV
@AGALUSTV 19 күн бұрын
Ataanza kukaa muda mrefu ktk kiota....... Na mlio utabadilika mlio wake.
@josephmwasaga3710
@josephmwasaga3710 6 ай бұрын
Shukrani kwa elimu bure na muhimu hususani kwa sisi baadhi tunaofuga umetuongezea maarifa zaidi maana nafuga kuku wa asili bila kutumia dawa yoyote ya viwanfani (chanjo) nawakinga kwa mimea ya asili na lishe bora.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu
@SalumNyiga-vj9ut
@SalumNyiga-vj9ut 8 ай бұрын
Asante sana kwa post yako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 9 ай бұрын
Asanteni Sana.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@AnnaMkenga-iu9db
@AnnaMkenga-iu9db 6 ай бұрын
Asanteni sanaa barikiweni
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Amina
@ebelyrugema434
@ebelyrugema434 9 ай бұрын
Asante sana.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@hildeblantimtitu-wq4ho
@hildeblantimtitu-wq4ho Жыл бұрын
Asanteni sana kwa maelekezo mazuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu 🙏🏿
@JosephHaule-ik1ty
@JosephHaule-ik1ty Жыл бұрын
Safi sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@luckysimbeye8997
@luckysimbeye8997 Жыл бұрын
Nimeelew kaka asnt sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@AronShaban
@AronShaban 13 сағат бұрын
Samaani kaka je unaweza kuwafungia kwenyeband tu
@anatoryjames3484
@anatoryjames3484 Жыл бұрын
Nimewapata
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@NijimbereJeconie-d6x
@NijimbereJeconie-d6x 9 күн бұрын
Jaman nataka muniungekwenye group lenu raufugaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 күн бұрын
Kwa sasa hatuna group
@elizabethmatilia9527
@elizabethmatilia9527 Жыл бұрын
Asante sana mnisaidie mimi kilimo cha kisasa cha mchicha
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa ndugu tutazidi Kuomba Uzima
@AdamSkabenga
@AdamSkabenga 5 ай бұрын
Nimepata elimubya kutosha sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@fredrickowino3
@fredrickowino3 Жыл бұрын
Nawafuatilia nikiwa kenya hivi naomba nijue jinsi ambavyo mtu anaeza jitengenezea chakula cha kuku wa kienyeji,yani namaanisha unachanganya vipi chakula asanteni kwa kazi nzuri munayo ifanya pia
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa ndugu Kuhusu chakula fuatilia masomo yetu. Jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku #chakulachakuku
@user-ow3xf8fc8d
@user-ow3xf8fc8d Ай бұрын
Unitumie vedios
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Video ipi ndugu
@user-go9js9wm2d
@user-go9js9wm2d 10 ай бұрын
Vip naweza para hiyo mbengu Kwa wa fugaji wako kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Upo wapi ndugu
@user-oy3mo5if5p
@user-oy3mo5if5p Ай бұрын
samahn naweza pata mawasiliano yenu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Sawa ndugu tutakutumia
@Iasah
@Iasah 8 ай бұрын
Nimeipenda sana darasa yenu nikitaka Kununua kenu nawesa pata
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Kununua nini ndugu
@Iasah
@Iasah 7 ай бұрын
@@AGALUSTV kuku au vifarana
@Iasah
@Iasah 7 ай бұрын
@@AGALUSTV vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Hatuuzi kwa sasa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Hatuuzi kwa sasa
@RashidSeleman-og8gu
@RashidSeleman-og8gu Ай бұрын
Hujatoa mchanganuo wagalama yachakul
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Sawa ndugu waweza iongeza iyo ni picha tu ya mladi
@FulgensNerey
@FulgensNerey 14 күн бұрын
Naomba no yenu Ili nipate mbegu ya majogoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 14 күн бұрын
Sawa ndugu
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 ай бұрын
Ingekua hawaf na magonjwa hapo sawa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Ok
@shuweyaabdulkarim3261
@shuweyaabdulkarim3261 6 ай бұрын
Bei ni nzuri kuliko ukienda kununua kuku sokono ni sh 25 000
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Ni kweli ndugu
@bonitagowele6281
@bonitagowele6281 9 ай бұрын
Changamoto kubwa naipata vifaranga wafikapo miezi 3 na kuendelea ninitatizo ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Chanjo vp? Unazingatia
@elimbotoraphael3940
@elimbotoraphael3940 2 ай бұрын
Siyo rahisi hivyo kama unavyoeleza.njia rahisi ni kununua vifaranga na uvitunze vikue kwa pamoja.changamoto ya kupishanisha kuku katika malezi ni kubwa.kuanzia vyakula,dawa na mabanda tofauti.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Noted
@user-sc2vf8tx3v
@user-sc2vf8tx3v 10 ай бұрын
nimeona masomo yakiwa mazuri na je mtu hujitengenesea chakula Cha kuku aje ama nini atachanganya ??
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Yapo masomo yetu Kuhusu chakula cha kuku
@jumaomaridule-qi1wy
@jumaomaridule-qi1wy 10 ай бұрын
Ninakuku wana umwa wanasinzia na kulegea na mwishowake anakufa je itakua niugonjwa gani nanitumie dawa gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Pole Sana ndugu apo Muone muuza dawa za mifugo aliye karibu nawe. Kwani walianza na Dalili zipi
@mahirsleiman-ey5vr
@mahirsleiman-ey5vr 11 ай бұрын
Mm naomba kuelew jinsi ya kutunza kuvafaranga bila ya mama Yao
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Jifunze kulea vifaranga bila mama yao waweza fuatilia video hii 👇 kzfaq.info/sun/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
@is_haqally8822
@is_haqally8822 10 ай бұрын
Mimi naomba contact zenu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
OK
@victormalelemba4324
@victormalelemba4324 9 ай бұрын
Yaani hesabu haijawahi kumtupa mtu nenda kwenye uhalisia sasa nilijaribu nikaweka miundo mbinu na nilifelu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Pole Sana ndugu
@godfreyalbetus6164
@godfreyalbetus6164 6 ай бұрын
Pole
@user-go9js9wm2d
@user-go9js9wm2d 10 ай бұрын
Mimi naomba kujifunza napenda sana kufuga kuku tafadhari nisaidie
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Karibu Sana ndugu uendelee kufuatilia video zetu Mara kwa mara
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 9 ай бұрын
Ninawezankupata maelekezo ya namna ya kuandaa chakula Cha kuku mwenyewe!
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Jifunze zaidi kupitia Channel hii
@marinentaruba-is5ox
@marinentaruba-is5ox Жыл бұрын
Namna ya kulinda kuku au vifaranga wasishambuliwe na magonjwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Chanjo tu, na tiba za asili. Video zote za maelekezo zipo kwenye channel hii
@irenebahati5458
@irenebahati5458 Жыл бұрын
Habar kaka nakufwatiloa vzr sn unanipa nondo naomba kujua ni chakula gani natakiwa kumpa mbwa anaempanda jike au jike mwenyewe wakat anapandwa ili apate mimba maana amepandwa mara mbili ila habebi mimba
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Kuna sindano wanachomwa ya joto apate kwa haraka. Uwa pia wanachomwa na nguruwe na wanyama wengine Apo HADI umpate mtaalam w mifugo aliye karibu nawe
@user-ej1ln6kn2u
@user-ej1ln6kn2u 11 ай бұрын
Vp mbona ujatupigia isabu ya chakula
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Ipo ndugu fuatilia vzur
@mwakautimilifu7378
@mwakautimilifu7378 Жыл бұрын
Napataje masomo yaliotangulia,napenda niwe na maarifa ya ufugaji.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Apo kwanza kwa kusubscribe. Pia kwa kuandika Jina La AGALUS TV, video zote zitakuja
@user-xx4eh5po7v
@user-xx4eh5po7v 7 ай бұрын
Naomba contacts ya kuweza kununua kuku kama hao wakienyeji kwaajili ya kufuga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Upo wapi ndugu
@deniskutemile6810
@deniskutemile6810 9 ай бұрын
Swali langu ni kwamba kuku wangu hawatagi ili hali nawapa chakula na maji ya kutosha
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Aina gani ya kuku
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 9 ай бұрын
Agalus mnapatikana wapi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Sisi team ndugu tunashirikishana na watu mbali mbali. Tupo Dar, mbeya, kagera, moro. N. K
@user-og3fl9ne8m
@user-og3fl9ne8m Жыл бұрын
Soko la kuku wa kienyeji mbona limekua gumu sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Upo wapi ndugu
@anatoryjames3484
@anatoryjames3484 Жыл бұрын
Nimewaoata
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pamoja sana
@naadhirshuaib2954
@naadhirshuaib2954 Жыл бұрын
Je katika chakula unaweza kutumia chakula ya kiwandani kuwalisha kuku wa kyenyeji au.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa tu japo ni hasara kwako. Ni vizur ukatengeneza mwenyewe
@sinaniswaibu1965
@sinaniswaibu1965 Жыл бұрын
Naomba kuelekezwa namna ya kuchanganya chakula Cha kuku wa kienyeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Masomo kuhusu CHAKULA CHA KUKU FUATILIA APA Chakula cha kuku: kzfaq.info/sun/PL8xez8Eh4s0Ettq9rfYN2okbgi0ionZdU
@aminamgaya4551
@aminamgaya4551 Жыл бұрын
Nataka kuanza biashara ya kilimo ,mtaji wangu ni milioni Moja ,msaada nianze na Nini?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Wekeza kwenye kununua nafaka hasa maharage, viaz mviringo n. K
@user-bz4ci3pp8p
@user-bz4ci3pp8p Жыл бұрын
Chanjo ya kuku asilia inapatikana wapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Maduka ya mifugo
@laurentzacharia1563
@laurentzacharia1563 Жыл бұрын
Hivi pilipili ya unga unaweza wa changanyia kwenye chakula kuku wakubwa na wadogo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa unaweza ila ni vizuri uwape kwa kuku wakubwa.
@filbertnolasco2277
@filbertnolasco2277 4 ай бұрын
Mm naomba mnisaidie hatua kwa hatua za kutotoresha vifaranga kwa njia rahisi na bila mama yao
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Kwa kutumia kifaa gani
@filbertnolasco2277
@filbertnolasco2277 4 ай бұрын
Kwa kutumia taa na box
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Sawa ndugu ngoja tuandae video yake
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Sawa ndugu ngoja tuandae video yake
@EfraziaBoniphace
@EfraziaBoniphace 3 ай бұрын
Naomba kuuliza nina matetea 15 na jogoo watatu ila hawatagi shida ni nn
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
KUKU wa aina gani
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 ай бұрын
Chakula,ukiwabania kuku wa kienyeji,hawatagi.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Hakika ndugu
@zaharamohamed8132
@zaharamohamed8132 Ай бұрын
Mimi naomba mawasiliano yenu kwa maana ya simu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Sawa ndugu tutakutumia
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Ай бұрын
Nahitaji kuku kadhaa ntawapataje, nataka nianze kufuga nipeni mawasiliano ya sim
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Upo wapi ndugu
@rolfstamoses3790
@rolfstamoses3790 Жыл бұрын
Mayai yanaharibika yakikaa sana wiki nasiku nipeni ushauli nifanyeje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Yana haribika kvpi
@rolfstamoses3790
@rolfstamoses3790 3 ай бұрын
Ukanda wa joto mayai yakikaa wiki yanaleta kiini chekundu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Kwa iyo unahisi ni joto ndio tatzo?
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 Ай бұрын
Wapi sasa jomoni
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Nini ndugu
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 9 ай бұрын
Nina swali, vipi haya kuhusu kinga kwa hawa kuku ambao nitawanunua randomly! Namna gani nitazuia magonjwa ambayo yanaweza kuja nao hao kuku!
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Si nzur Sana kununua ivyo jitaidi ununue toka kwa mfugaji chanzo 1
@malavasu6039
@malavasu6039 5 ай бұрын
Nataka jogoo1 na 3 naweza kupata
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Upo wapi ndugu
@upendogodlove7168
@upendogodlove7168 Жыл бұрын
Tunashukuru kwa somo nzuri mm kuku wangu wametaga mayai 60 nmewapangia ila hawaatamii sijui shida ni nini
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ni wa kienyeji AU chotara
@upendogodlove7168
@upendogodlove7168 Жыл бұрын
@@AGALUSTV kienyeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Bado wanaendelea kutaga, wawekee mayai 3 tu kw kila kiota, ukimwota kuku Anataka kuhatamia uwa anakaa kw kiota muda wote hivyo utaanza kumwekea mayai. Pia angalia vzur VIOTA vyako, pawe na giza, pasiwe na wadudu kama utitiri
@upendogodlove7168
@upendogodlove7168 Жыл бұрын
@@AGALUSTV nashukuru kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa pia
@massawegospelmassawe5430
@massawegospelmassawe5430 7 ай бұрын
Dono ni Zuri ila naomba kuuliza hawa jogoo wadogo 40 wa elfu 5000 wanapatikana wapi mi niko arusha monduli
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Apo sasa ndugu tumekupa Mwanga tu. Hesabu ya kuanza nayo fanya uchunguzi eneo lililo karibu nawe wapi utapata kuku kwa bei kulingana na eneo lako
@shariftwahirabdullqadir9645
@shariftwahirabdullqadir9645 7 ай бұрын
​@@AGALUSTVnice
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Amen
@jamesjoseph-cm6gt
@jamesjoseph-cm6gt 2 ай бұрын
Nitafute mimi pia niko Monduli.
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 Жыл бұрын
Masha Allha MI natakakujua ujenzi wabanda una galim kias gani ambalo lakufuga idadi yaao kuku ulo tuambia
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Shida ni mazingira ndugu yaani materials bei Yanatofautiana eneo na eneo kwani upo wapi ndugu
@johnjulius2531
@johnjulius2531 11 ай бұрын
Mchanganuo huo n mzuri na una vutia 😂,ila sasa hivyo vi jogoo vita pigana mpaka utauza tu kabla havija kuwa majogoo makubwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Hapna ndugu kuku wakiwa wadogo hawapigani, na kuku wanaokua pamoja hawapigani. Shida I nakuja ukichanganya na tetea kw iyo hakikisha hakuna tetea hata 1
@AlumbwageTumwidike
@AlumbwageTumwidike Жыл бұрын
Bado hapo hujaelezea gharama za madawa umeelezea chakula tu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ipo kwenye hii video ila haitazidi laki 2 na 50
@esthernzilu3379
@esthernzilu3379 Жыл бұрын
Naomba mawasiliano ya sim tuzungumze vizuri
@esthernzilu3379
@esthernzilu3379 Жыл бұрын
Naitaji maelekezo yakina
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa ndugu wasap +255765467484
@jumaomaridule-qi1wy
@jumaomaridule-qi1wy 10 ай бұрын
Nauliza jinsi ya kutengeneza banda nifanyaje maana sielewi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Kuhusu ujenzi w Banda zingatia mambo muhimu katika ujenzi w Banda. Fuatilila video hizi kzfaq.info/sun/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
@RejinaKalinga-fq2to
@RejinaKalinga-fq2to 8 ай бұрын
Vifaranga wanatoa machozi tatizo nn
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Mafua makali
@alnasway1883
@alnasway1883 7 ай бұрын
No
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
👌
@samakija-hh7lm
@samakija-hh7lm Жыл бұрын
Kuku chotara anataka kwa mda gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Miezi 5/6
@rolfstamoses3790
@rolfstamoses3790 3 ай бұрын
Fomula za vyakula vya viwandani wanazotumia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Unataka au
@rolfstamoses3790
@rolfstamoses3790 3 ай бұрын
MBONA AMTOI VIDEO HIZO@@AGALUSTV
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 ай бұрын
Hii ni theory nenda practically uone.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Ni mipango na malengo tu
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 ай бұрын
Kwakweli muwe mnasema ukweli,practically ni ngumu,lzm upate hasara za kutosha,usipokata tamaa ndiyo unatoboa.mm nina mwaka wa3 sasa,badogo tu napambana,somo ndo linañikaa sasa.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Tuzidi kifuata kanuni za ufugaji Bora na MBINU mbali mbali
@jabirisaid5934
@jabirisaid5934 Жыл бұрын
Mi Nina kuku WA kienyeji kwa wiki kg 40 na sion faida Bali hasara naomba link ya kutengeneza chakula cha kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pole Sana ndugu #chakulachakuku
@jabirisaid5934
@jabirisaid5934 Жыл бұрын
Poa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
🤝🙏🏿
@jabirisaid5934
@jabirisaid5934 Жыл бұрын
Poa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo PA 1
@kissomundende3696
@kissomundende3696 Жыл бұрын
Changamoto ipo kwenye uchanganyaji wa chakula na namna ya kukipata… mfano mimi mfugaji mwenye kuku 200 wanakula kilo 130 kwa week1 tu, gharama inakua kubwa faida haionekani sijui unatusaidiaje ili tujue wapi tununue chakula tuchanganye wenyewe labda gharama zitapungua
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Kwani unapatikana wapi
@zayyedsuleiman6432
@zayyedsuleiman6432 10 ай бұрын
Mimi hapo nimefahamu ila ninacho omba munifahamishe namna ya dawa wanapo anza kutotolewa mpaka wanapofika miezi 6 pili namna ya kuchanganya pumba unachanganya pumba na vitu vingapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Ratiba ya chanjo kwa kuku ni hiii kzfaq.info/sun/PL8xez8Eh4s0Fddy6ANglB_HUAHuO0nkMi
@ArnoldJudaKing
@ArnoldJudaKing Жыл бұрын
Naomba link inayoonesha gharama za chakula, chanjo na dawa kwa hawa kuku 214 miezi 6.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
OK ivi punde itakua tayari ✍️🤝👏
@peterbomba7293
@peterbomba7293 Жыл бұрын
Gàra,ma inakuaje 200000 kwa mda wa miezi 6 itazidi kwani chakula mda huu ni garama sana wandugu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ooooh ni kweli japo zipo njia za kupunguza gharama za chakula 1 wapo ni kuandaa Chakula mwenyewe
@juvenalkimario7254
@juvenalkimario7254 Жыл бұрын
Jamani mimi naitaji kuku wa kienyeji wakubwa kwajili ya mbegu ninani anae
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Upo wapi
@juvenalkimario7254
@juvenalkimario7254 Жыл бұрын
@@AGALUSTV mimi nipo po moshi wilayani rombo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Uko ni tungekutumia maaana toka mbeya HADI uko😒
@ayoubmasenza1598
@ayoubmasenza1598 7 ай бұрын
Hamkuksmilisha bajeti
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Oooh apo ndugu tukupa Mwanga tu. Vingine unaweza ongeza AU punguza kulingana na mazingira yako
JINSI YA KUPATA KUKU 100 WA KIENYEJI KWA MIEZI 3 TU
10:29
AGALUS TV
Рет қаралды 38 М.
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU WA ASILI BILA MAMA YAO
19:45
AGALUS TV
Рет қаралды 122 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
ULEAJI WA VIFARANGA WA KIENYEJI KWA NJIA YA KISASA
10:27
Changamkia Fursa
Рет қаралды 291 М.
IJUE CHANJO YA TATU MOJA
11:38
farmers centre
Рет қаралды 10 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН