@@KisiyajrKenyattajr miee ndiyo sitoki hapa hadi nimuone mzee saidi 🤣🤣
@ngido2555 күн бұрын
Mzee side kwenye one n two mpeni likes zake jaman😅
@abelimaganga4175 күн бұрын
Chagamba mwenyezi Mungu akubariki kwa kutuletea watu kama Hawa mzeeeee Wang said ni furaha sana❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@abdulhalimsalim13865 күн бұрын
❤❤❤❤ mzee saidi m'mungu akujaalie afya njema na umri mrefu unawaliwaza watu wengi inafaa tukupige tafu japo chochote kila alie kuwa nacho si haba watu wengi wapo pamoja na ww inshaallah kheri
@user-iv7wc5vi3w5 күн бұрын
Nakukubali sana Mzee saidi
@ChenchiKing5 күн бұрын
Mzee Said Uwaga Anatupa Raha Kweli Usichoke Kumtafuta🔥❤️🎉
@erickemmanuel94863 күн бұрын
Amtafutie endorsement
@iddimngazija19575 күн бұрын
Hivi Aziz ki anamjua mzee Saidi kweli😂😂😂😂
@salimmalaka2565 күн бұрын
AKIWA ANAMJUWA WALA USISHANGAE 😂😂😂
@ShabanMateso5 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 nakukubali sana mzee wangu Mungu akupe afya
@ismailmohmed47405 күн бұрын
Mzee said nakuelewa sana
@user-dd3nc9py2i5 күн бұрын
Hamna shabik wa Simba au yanga anaweza kuogea vizuri ka Mzee said
@allymwashambwa59205 күн бұрын
very true
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA5 күн бұрын
Wapo ... Ila tunatambua Mzee Said anazungumza vizuri
@MandindiGuluguja5 күн бұрын
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Daah huyu mzeee
@AlmasRamadhan-cl7rn4 күн бұрын
😂😂 kwan mzee said wawap??
@marcokaroje89804 күн бұрын
Mnyamwezi huyo mzee@@AlmasRamadhan-cl7rn
@abelimaganga4175 күн бұрын
Mzeee wangu msimu huu utafurahi Sana ❤❤❤❤
@DufuMachine5 күн бұрын
Kiukweli bando yangu hailipi bila kumuona mzee saidi
@josephmandala22255 күн бұрын
Chagamba fanya hivi , siku moja muombe Aziz KI amtembelee Mzee Said kama surprise .
@azizamuharam39414 күн бұрын
Atazimia😅
@annankwama24533 күн бұрын
Wazo zuri😂😂😂😂😂
@ummusumayyah-e8k3 күн бұрын
😂😂😂😊@@azizamuharam3941
@yustusmalende92635 күн бұрын
HA HA HA HA HA HA HA HA HA DAAH LEO NIMECHEKA SANA..LIVE LONG MZEE SAID.
@mahmoudaziz47175 күн бұрын
Mzee wetu mzee saidi😂namkubali sana
@imrankweka47525 күн бұрын
Huyu bwana Saidi ananifanya nacheka na simu,yaani ananipa starahe sana😅😅
Kila akifika golini alioni🎉🎉🎉🎉 ila Mzee saidi bana
@DanielChaula5 күн бұрын
Kutoa wote ni kosa
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mzee Said anafurahisha sana
@user-ff1it9og8y5 күн бұрын
Mzee saidi leo kanifurahishaaaa ni kibokoo Simba mpeni Tawi mzee saidi jamani anaweza na Modweji mlete Feitoto
@McbarakaeventsTz2 күн бұрын
😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂 mzee Saidi bhana na Aziz Ki 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@marcemarco37474 күн бұрын
Huyu mzee namkubali sana aisee... Respect
@mswakisaid23205 күн бұрын
😀😀😀😀😀huyu mzee mumemtoa wapi uyu?😂😂😂😂
@alfredymalata2695 күн бұрын
BORA KUMUHOJI MZEE SAIDI UNAPATA HATA KUONGEZA SIKU MANA KWA MIRAJI KULE UTAKUJA KUVUNJWA MABEGAA SIKU
@neemamatey5 күн бұрын
😂
@kapondadr58404 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣✊
@jaffjeff69125 күн бұрын
Mzee Side mzee Mpili kashasema atakayemloga Chama anaruka naye mchana kweupe acheni nongwa
@CikeTanzania5 күн бұрын
Yanamwisho baba wala ucjali.
@hashimahashimu736617 сағат бұрын
Mzee nampenda sana
@jumannemohamedy14565 күн бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Ila huyu mzeee banaah ni vicheko
@rehemawamwarami385412 сағат бұрын
😂mzeee saidi bando langu baba dar we mzee hatari sana like 20 tafadhali
@RobsonLugomi4 күн бұрын
Leoooo nimekutana na mzee said kariakoo 😂😂😂😂😂😂😂
@fahadhassan78945 күн бұрын
😂Mwambie Mzee Saidi Kuna Chama Day Sasa 😂😂😂
@user-rt7uh4fn3w5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 ila huyu mzee nampenda san so kwakumchukia huko azz kii had kanishinda mimi duuh
@BADAWY5755 күн бұрын
Big up Mzee Saidi ww pekeyako ndio shabiki wa mpira na mpira unaujua .ila wale wengine kina kisugu kina miraji kina mzaramu mipasi milioni GB64wote wale wanafiki .wewe pekeyako Mzee Said unajua mpira na unaipenda timu yako umenifurhisha sana hao wachezaji wapya ww unagojea kuwaona ww mwenyewe asante sana Mzee Said .ila simba nyie ni omba omba wa babujiii yani nyie wanafiki wote fukuza muhindi yule
@salimmalaka2565 күн бұрын
MKIMFUKUZA GHALIB GSM NA SISI TUTA MFUKUZA 😂😂😂😂😂
@BADAWY5755 күн бұрын
@@salimmalaka256 ww kweli ni chizi GSM yeye ndio anaejipendekeza sasahv .mwanzo ilikua ni timu ikijipendekeza lakini sasahv tunajidai tushakua
@salimmalaka2565 күн бұрын
@@BADAWY575 VP MZEE MPILI KESHAMROGA AU?? YEYE NA MALI ZAKE ANAJIPENDEKEZA BASI LIMBWATA HIYO HAHAHAHHH
@BADAWY5755 күн бұрын
@@salimmalaka256 ndio na mali zake .umeona kuwa nyie ni machizi bro timu ni taifa kubwa fungueni macho hasa tanzania nchi nzima mashabiki wamegawanyika kwa timu mbili tu.hizi timu zetu ni timu tajiri sana africa nzima sasa ujue kuiendesha timu na mashabiki wa subscribe tu .uwanachama tu .basi hapo ma boss wote wataikimbilia hy timu
@ChuiAdam-wz2ht4 күн бұрын
Mzee said ni mtaalamu na ni mchambuzi mzuri sana
@MashakaJuma-uu3ph5 күн бұрын
Chagamba huyu mzee uta tua mana namkubali sana😅😅😅
@edvesmshayo5095 күн бұрын
Chagamba hata kama hauna mada nenda Kwa Mzee Saidi tuongeze siku
@Izzoh20214 күн бұрын
Ila huyu mzee bahna hohohoho Chama gamgambile hoho
@user-qi3wv8sf5j5 күн бұрын
Hapa MB ZETU UTALAMBA SANAA
@idybwoytz84855 күн бұрын
Mzee saida bhn 😂😂😂😂😂😂 so pw na enjoy 😉 😄 nikiwa Cape Town 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-xd4lu1xl6c5 күн бұрын
Chama kalelewa sn ,ila binadamu tunajisahau
@Kevworx5 күн бұрын
Mzee Said 😂😂😂😂😂
@costadaraja23275 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣 eti anakimbia kama roboti hahahah
@patrickgabriely-wi4rw5 күн бұрын
😢😂Mzee said raha sana nafurahi mno
@jonathanmpangala70574 күн бұрын
Mzee Said mahojiano makini anafurahisha sanaaaa
@dicksonvedastus33062 күн бұрын
huwa naijoy sanaaa kumsikiliza huyu mzee,
@masudymnonge49833 күн бұрын
Uyu Mzee kama anakaa na wapangaji kwake bas wanapata Raha sanaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣