Mraji napenda sana kukufatilia Mungu akupe maisha malefu
@abrahamchengula81377 күн бұрын
CHAGAMBAA! MIRAJI NA MZEE SAID WANAKUPAISHAA SANAAA.JAMAA WANAJUAA
@JeniphaRobert6 күн бұрын
Mzee saidi tunamtaka 😊😊😊
@user-wk2bg8zf3l7 күн бұрын
MUNGU IBARIKI SIMBA , ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉,WAKALI WA KARIAKOO
@MakukaNyango7 күн бұрын
Kaka mirsj na chagamba,,mi nawaombea maisha marefu na afya njema, miraji mi yanga lakin nakuelewa sana kwa madini Yako hadhiiiimu
@DanielChaula7 күн бұрын
Miraj nao wako wawili (#miraj wautani&miraj wa serious)
@AishaMshamu7 күн бұрын
Miraji anapata tabu sana kukaa na chagamba mbari kamiss kumpga mikofi ya mabega😂
@MartinMilinga-f4j7 күн бұрын
miraji anapata shida sana kukaa mbali na chagamba kazoea kumchapa mabega,chagamba kaona bora iwe ivo
@angellomarcel56777 күн бұрын
😅😅😅😅
@GibsonNtamamilo7 күн бұрын
😂😂😂 umenichekesha
@omarMchoya7 күн бұрын
Chagamba amejiongeza kaona hap mabega yatalala yote
@sarahkinyashi62136 күн бұрын
Ila mikofi Ile weeee🤣🤣🤣🤣haisahauliki aieseee
@FakiSuleiman-sv4ee5 күн бұрын
Miraji Safi Sana jitahidi kaka
@angellomarcel56777 күн бұрын
Mlete hapo mzee Saidi mfanyie Interview...Miraji na Chagamba, Mzee Saidi, na mzee Masatu..hawa watu raha sana
@GibsonNtamamilo7 күн бұрын
Leo mbona mmekaa mbalimbali Changamba sogea kidogo ili Miraji akutandike tandike begani.😂😂😂
@BernaDf4 күн бұрын
😂😂😂😂
@richardmhando29947 күн бұрын
oy mzee chabamba pamoja miraj simba inakuja kuwa timu tisho next time alf vip kuhusu 24 jez ya simba
@jumannemohamedy14567 күн бұрын
Na leo saa 7 mashine ingne ina tua
@abelimaganga4177 күн бұрын
Hii combination ya miraji na chagamba ni hatari saaaanaaaaaa😂😂😂😂❤❤❤
@malietamalieta96587 күн бұрын
😂😂😂 ety halikisasi hakhaa 🙌🙌miraji mtapigwa kama ngoma huu msimu kwa hii yanga ubingwa watupe ata Leo ngao ya jamii mpe alikamwe ata kesho fa taree 15 tupeni tusipoingia nusu final msimu huu sisi yanga atutawai ingia tena
@AishshibnShibani7 күн бұрын
Ww
@malietamalieta96587 күн бұрын
@@AishshibnShibani mm
@victorlyimo8967 күн бұрын
We hujui mpira mihemuko inakusumbua
@user-gr9wc7bc2m7 күн бұрын
Mtschukua ubingwa kwa wazee wale
@sumamelody61977 күн бұрын
Unapanga matokeo huo mpira unacheza wewe shabiki wa daraja la chini
@MpwanguJr7 күн бұрын
Leo wamekaa chini bega limepona
@suleymanyaasin7 күн бұрын
Apange na wachezaji wa akiba,,,,, hatari
@user-ty6pz1mi3j7 күн бұрын
Dogo Chagamba, style yako nimeikubali hasa unapo ojiana na Miraji
@iddydule22877 күн бұрын
HALIKISASA AKHAAAAAAA😂😂😂
@husseinmassawa71867 күн бұрын
Hiv azizi ki msimu mpya hatokuwepo tena yanga, someni nyakati vizuri waknachagamba😅
@samwelingasa16387 күн бұрын
Huyu mashaka mzuri kweli namtabiria makubwa mtamuona tu
@kamaratsalimsafari88384 күн бұрын
Miraji 😂Ninaraha mpaka nalia kikosi hatalii❤🦁
@FatumaSwaleh-it4qq7 күн бұрын
Mzee said jamoon😂😂😂
@frontoffice86767 күн бұрын
Hii ya kusimama cjaipenda naipenda ile ya kusimama huku milaji akiwa anapigapiga mabega ya chagamba😂😂😂
@kingofrich68137 күн бұрын
Daaah kuna jamaa hatukuwa na bahati nae fundiiii cramoo😢😢😢
@jamessamson38487 күн бұрын
Mamaaeee kutetena bei ghali sana sisi kama lunyasi hilo jambo hatulimudu
@mustaphawelder70227 күн бұрын
Simba kote tuko sawa bado tu mabeki ndio bado kidogo
@FatumaSwaleh-it4qq7 күн бұрын
Chagamba tupeleke kwa mzee saidi😂😂😂
@babupiza6417 күн бұрын
Miraji hapo kwa kikosi hicho Cha simba 6 zinawahusu
@AndersonMokiwa-is5ch6 күн бұрын
Shida ya milaji huwa anasifia sana mchezaji mgeni kabla ya kucheza likitokea sasa utaona anavyowakqtaa
@YonaMashaka-xb2ym7 күн бұрын
Miraji unachekesha ase
@FabriceKadege6 күн бұрын
Meza mpya mbna kama miraji hajachangamka sana kama tulivyomzoea
@vumiliamgendi1487 күн бұрын
Miraji tunakuomba ulipigie hili kelele arubadili isomwe ndo wachezaji vizuri
@odilomwakamela48897 күн бұрын
Mgunda anapasha nusu ya msim tuu anakabiziwa timu
@MoiseMishenyimateranya6 күн бұрын
Kikik😂leo ilikuwa vizuri
@mizanitalentspro2137 күн бұрын
Maestro mara moja❤
@kassimomar75897 күн бұрын
💚💛💛💛💛💪
@Shadia5444 күн бұрын
😂😂😂Miraji na chagamba jamaniii sasa miraji leo umbali kidogo leo bega limepona 😂😂😂
@amehassan31286 күн бұрын
Ww Miraji kwann usiwe mchambuzi maana mpira unaujua
@user-nc4ko3qz7t7 күн бұрын
Kisasu haqu
@brunomtweve80737 күн бұрын
Debora
@jamalinuru55034 күн бұрын
Chagamba emu tutaftie mzee Saidi kwanza mwambie Aziz bado yupo
@@isiaka7930 aisee jamaa mvumilivu🤣🤣 si kwa vibao vile na alivyo kimbau! 🤣🤣 Nilikua na mshikaji mmoja,yule eti mmefurahi uumpe mkono agonge, kudadeki,lazima furaha iishe alafu alikua na bonge la kiganja🤣🤣🤣
@rizyoneboffi36626 күн бұрын
Kweli simba na azam wanafanana ndio maana wanapambana wote kugombea nafasi ya pili na bado
@FredyPeter-rq8hj7 күн бұрын
❤❤❤❤
@mansoursaid87 күн бұрын
WANANCHIIIIIIIIIII
@ElishaFabiani-qs7qb7 күн бұрын
Ata me chama haingii kwenye kikos
@SulemaniNassor6 күн бұрын
Chagamba tulety mze said wachana na hawo machwa wanawo tafuta kik
@floriankasalya2697 күн бұрын
Huyo mtu Fernandes ni kama Edgar Davids Dutch vile😂😂
@josephmwise31773 күн бұрын
Moraj, miraji, Miraji nakuita maratatu hayo maneno yako utayakumbuka, Umesahau lete mzungu? Jobe,Fungafunga au Chikwende?