Fix You: Huyu ndiye mama yake Abigail Chams, amedumu miaka 25 kwenye ndoa, anakupa siri za NDOA

  Рет қаралды 62,248

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 235
@jokarotv
@jokarotv Жыл бұрын
Kwa mke nilokuwa namhitaji nashindwaga kujielezea vzr ,,leo nimempata wa kuongea kwa niaba angu, this mama is so intelligent,,,,kila mdada asikilize hii jmn atapona yy na maisha ake.So longer as MWANAMKE NDO ANAIJENGA FAMILIA.
@brigittecelestine4116
@brigittecelestine4116 Жыл бұрын
Kuhusu ndoa nikumkabidhi tu Mungu. Kila mtu namapito yake
@janethmodestus1402
@janethmodestus1402 Жыл бұрын
maneno yako yamenitia moyo sana kama kijana ,mama umeongea maneno mazuri sana ,Mungu atubariki vijana
@noreenshenkunde6944
@noreenshenkunde6944 Жыл бұрын
I love the way she defend her babe ❤ 👌👌 mapenzi ya mama kwa mtoto 🔥🔥🔥
@NS-ru1yf
@NS-ru1yf Жыл бұрын
Wow, aisee Wacha nkatulie IG yake aisee ni mwanamke na nusu, salute,God bless her & her family
@maryutukufu1850
@maryutukufu1850 Жыл бұрын
Waah nimempenda sana huyu mama. Yaani kila binti na kijana anayetarajia kuingia kwenye ndoa na pia wanandoa waisikilize hii video. ❤
@selinaleskarkitashu2971
@selinaleskarkitashu2971 Жыл бұрын
Mungu amekuamini , amekupa watoto, usiwaachie wapoteeee. Protect them with prayers. Ahsante sana mama.
@user-wr4zu4un4s
@user-wr4zu4un4s 3 ай бұрын
Mama CHAMS barikiwa sana uishi miaka mingi isiyokuwa na maumivu
@marianajohn5415
@marianajohn5415 Жыл бұрын
I just love her ! She is soo real! Beautiful mama Abby ❤
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 9 ай бұрын
Yeah
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 4 ай бұрын
Mama Gaby you're so talented and gifted woman ♀️ you talk realities I'm among of your subscriber from today & on!
@leonardodeogratiasdeograti697
@leonardodeogratiasdeograti697 Жыл бұрын
Leo nimekua wakwanza naomba like zangu💪❤🇲🇿
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera
@thomsanga7956
@thomsanga7956 Жыл бұрын
Inakusaidiaje bint hizi likes unazoomba 🤯🤯🤯
@puritykananu9920
@puritykananu9920 Жыл бұрын
​@@thomsanga7956 Asante Kwa hilo ajibu
@sarahsalum9963
@sarahsalum9963 Жыл бұрын
Zinawasaidiaga nn
@hijabigirl5672
@hijabigirl5672 Жыл бұрын
Please mlete tena . This episode is so inspirational and really beneficial.
@jlyimu1990
@jlyimu1990 Жыл бұрын
I love her maana anaongea mambo nayopenda tatizo wanaume wetu hawana exposure haelewi yaan had unauliza baby chakula kipoje ndo eeh kitamu baby umepikaje😅😅..daaah had aulize
@winniealbert5530
@winniealbert5530 Жыл бұрын
Wow 👏, well said 👍💕😘. Stay SAFE and BLESSED always you and your lovely family 🙏🏼💕
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 Жыл бұрын
I love her , thank you Irene
@user-hc9wo4iu7c
@user-hc9wo4iu7c Жыл бұрын
Thank you Mama Abigail. Nice interview. God bless you.
@joycejohn493
@joycejohn493 Жыл бұрын
Wow Wow Wow Thanks Much 🙏🙏🥳❤️
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Mashaalah she's very beautiful km binti zake. Very nice interview. Kitchen party huwa sherehe ya adhimisho after mafundisho uliyo pewa private but Kuna mangingii ndiyo wanaopotosha.
@marianajohn5415
@marianajohn5415 Жыл бұрын
I love that mama’s confidence 🥰🥰🥰🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@felicitaclara2208
@felicitaclara2208 Жыл бұрын
Wifi wewe ni Mke Mwema! I can testify. Mungu Akubariki ❤
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asanteni
@graceshauri2613
@graceshauri2613 Жыл бұрын
I 💕... Kwakweli hili ni somo kwa kila anayetaka ajengeke
@DindaNaftal-bp3pm
@DindaNaftal-bp3pm Жыл бұрын
I'm blessed and nimejifunza mengi.
@chidybebe452
@chidybebe452 Жыл бұрын
Huyu mama ajengewe sanamu posta
@Youthgrowth961
@Youthgrowth961 Жыл бұрын
One of the best interview I have ever watched, Thanks @SNS
@neemarwamugira1168
@neemarwamugira1168 Жыл бұрын
I have enjoyed the talk...mama ur 👍
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Be bless all
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Asante kamugisha
@emmamganga2949
@emmamganga2949 Жыл бұрын
Kiukweli katika session za fix you nilzoziinjoy hii ni mojawapo.Nimejifunza Mengi sana.Mungu ambariki mama Abby na akubariki Kamureen kwa kutuletea watu wenye madini kama hawa.Tunamuhitaji tena siku nyingine.
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
🙏🙏
@geofreykowero3637
@geofreykowero3637 Жыл бұрын
Kwakweli ni episode nzuri sana
@mamandekirwa5751
@mamandekirwa5751 Жыл бұрын
Hellow Irine hiyo mama hatumwezi tuletee wa mtaani mwezetu huyo ni WA kishua sana MAISHA yake sisi hatuyawezi
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Жыл бұрын
Uyu mama kafanana na Abby love mama Beautiful mama nachukua ushauri wako
@siasia5469
@siasia5469 Жыл бұрын
Nimejifunza mengi mungu awabariki
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 Жыл бұрын
Mama Abby nimekupenda sana 🇺🇸
@hasnakingu4593
@hasnakingu4593 Жыл бұрын
Ameelezea vizuri sana maana ya kuwa na mume ambae ni partner 😻
@priscillachristiansen4331
@priscillachristiansen4331 Жыл бұрын
Real talk, with wise woman❤
@roseminallymulljiy
@roseminallymulljiy Жыл бұрын
smart woman
@ludovicakimaro6464
@ludovicakimaro6464 Жыл бұрын
Hongera mama!
@jessicajoel6410
@jessicajoel6410 Жыл бұрын
this woman oooh 💖
@claratemba44
@claratemba44 Жыл бұрын
Mama Abi nakupenda sana
@anicyaedward6257
@anicyaedward6257 Жыл бұрын
Hapo kwenye simu na card tuko pamoja aswaaa....watu ngumu kuelewq ila mkijijengea kuwa honestly to each other...lazm you understand to each other ....ni vzr finance zenu mjuane
@brysonmeena1086
@brysonmeena1086 Жыл бұрын
Kudos kwa mama Abby ❤❤❤
@hasnakingu4593
@hasnakingu4593 Жыл бұрын
Mi nimempenda bure ❤😍
@devotaminga9352
@devotaminga9352 Жыл бұрын
Daaaaah!! Mama Abigail ni zaidi ya mama nimempenda bureeeeee📖🙏
@safihassan6170
@safihassan6170 Жыл бұрын
Nice one
@daudiisumail7854
@daudiisumail7854 Жыл бұрын
nimfurahia sana kipindi
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Kipindi kizuri Mashallah, napata mafunzo hapa
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
I am proud of you mama Abby👌👌👌
@seiphomary834
@seiphomary834 Жыл бұрын
Hayo ndio maisha ya dini sasa ni fact tu 👊👊👊👊👊
@seneequamoyo6160
@seneequamoyo6160 Жыл бұрын
😍😍
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Is true ndoa za siku hizi Ni material
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 Жыл бұрын
Kwakweli kama mkiishi hivi toka mwanzo na Mungu mkaweka ndye wa kwanza kwenye mipango yenu.
@reginakirway3626
@reginakirway3626 Жыл бұрын
Wala jamani hawa viumbe hata upike na Malaika wa zamu bado tuu atakuchoka kikubwa aseme tuu alipata neema ya kumpata mtu aliyeelewana naye
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Pointi
@mourinebey_kenya7027
@mourinebey_kenya7027 Жыл бұрын
Point kabisaaaa, ashukuru tu Mungu mana wakwenda ni wakwenda tu hata umpikiye gold 😂😂😂
@jescatebuye2287
@jescatebuye2287 Жыл бұрын
Kweli kabisa yeye amshukuru Mungu tu.
@GraciousNgoma-ds9pt
@GraciousNgoma-ds9pt Жыл бұрын
Basi watanga na wapemba wasingeachika
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@GraciousNgoma-ds9pt kabisa
@chapter2719
@chapter2719 Жыл бұрын
Anzisheni kipindi cha kutufundisha kupanga meza na kupika kama anavosema huyu Mama
@tigalo2284
@tigalo2284 Жыл бұрын
Thinks have changed ..ebu mtuache sie ..tunajuana wewenyewe hayo mambo ..very difficult to apply
@claratemba44
@claratemba44 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Жыл бұрын
Abby yuko vizuri sana
@mhabimina4023
@mhabimina4023 Жыл бұрын
🔥🔥🔥👌
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Жыл бұрын
Kweli kabisa kuhusu vyombo nasemaga lazima nivitumie
@happierkomba9536
@happierkomba9536 Жыл бұрын
❤❤❤❤😊
@blessedg871
@blessedg871 Жыл бұрын
Huyu mama yupo mbali na kweli ambayo ni neno la Mungu.
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 Жыл бұрын
Hao niwanaume wa zamani siaasasa wengine tunajitahidi kujenga ndoa zetu lakini wanaume wametushinda wallah minana myaka 23 nimeoleaa nikiwa namyaka kuminanane lakini nikijitahidi kujenga nashindwa kila nikijaribu kuvumilia lakini naona Kama vile naelekea kua single mother bila kupenda nimeomba nimechoka 😢😢😢
@glorycharles615
@glorycharles615 Жыл бұрын
Ndoa hazifanani kwasababu watu hawafanani pia ,
@husseinjongo7588
@husseinjongo7588 Жыл бұрын
Kungwi wa kitajirii🤣🤣
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Mbona kama kaja juu baada ya kuambiwa Abby kaachiwa duniani😂😂😂next tym msituletee wamama wenye watoto wanaojulikana coz they take things personal
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Жыл бұрын
Finally somebody saw something........ for those who know her personally we just here to enjoy the show🤣🤣🤣
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
Lazima mtuuu atetee chakeee
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@neemayatosha1618 😆😆😆
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Жыл бұрын
Sio kweli wakati mwingine mama anaweza akawa vizuri na shetani anajua so anapiga watoto wasifanye vizuri kumdiscourage Huduma yake.ninamfahamu mama mmoja alikuwa mtumishi but bint yake alizalia nyumbani watoto wawili mpaka kanisani alikuwa alihubiri watu wanasema si ahubiri kwake Mungu mwema last time mtoto wake amepata mume wake na amefunga harusi.
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
@@gracekenan4665 ndio unatakiwa usimalize maneno na haswa kwenye media chombo kinachoangaliwa au kinachosomwa na Dunia mzima maana km unasema shetani yupo anaweza kufanyajambo 8la binadam Hilo hawalijui kitachofata watakuambia hamna lolote sifa zimeishia wapi
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 Жыл бұрын
Mama unajua sana hapo kwenye dina set pressure cooker.
@asharamadhani8668
@asharamadhani8668 Жыл бұрын
Naomba umuombee, binti yako asiwe anavaa nguo ya kuonesha chupi. Niliona white 🩲 live bila chenga. Maombi mama tafadhali.
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Mimi napenda ugali, ugali mtam bana japo hauna ladha 😉,kuhusu mama cham kuweka butter ktk ugali sishangai mimi mwenyewe hupenda kuweka olive oil ktk ugali na butter hupenda kuweka ktk viazi (mviringo)kila mtu ni jinsi anavyopenda kupika ❤
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Жыл бұрын
Umenijumbusha nikiwa somalia natumia olive kwenye chapati hata mboga tu naweka na kula
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Ni kwel kila mtu na staili yake ya upishi
@fatmakhalef3450
@fatmakhalef3450 Жыл бұрын
Siagi HATA Mimi naweka mwisho kabla yakuzima jiko
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Akigeuka upande,amefanana na christina shusho
@isaackxaviery9173
@isaackxaviery9173 Жыл бұрын
Haswaaaaaa
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Жыл бұрын
Mama Abby nimekukubali sana
@marianajohn5415
@marianajohn5415 Жыл бұрын
Mimi kabla ya April lazima nimtafute Dr love
@user-us6ze8bz3u
@user-us6ze8bz3u 7 ай бұрын
Mama amejihifadhi vzr...tafadhali naomba pia muelekeze mtto wako ajihifadhi vzr....asipotee katika mziki..namoenda Abby sana..na mm ni shabiki wake mkubwa..wala sijasema kwa ubaya..mtto wa kike kujistiri ndio heshima kwake na kwa wazazi wake pia
@r_nbraidstz8183
@r_nbraidstz8183 Жыл бұрын
Jamani hii mada nimeip enda na nime share nawatu weng hasa wanandoa kunavyakujifunza
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 Жыл бұрын
Ulimuona anavojilegeza yani watu mnaropoka
@adyaalawy8764
@adyaalawy8764 Жыл бұрын
Its all about extras, small stuffs with big impact
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Жыл бұрын
That is me kabisa jamani me hua nalia sana ,,muda mpka naumia kwa nini..kwann .. hata kosa lake,,ila hua naumia mimi huwezi amin nikiomba napata amani mpya najiona mimi ndo mkosaji kwamba why nimekasirika..why sikuangalia sababu
@joycekasimbazi-pt3tq
@joycekasimbazi-pt3tq Жыл бұрын
Mimi pia nawapongeza wote mama na mtangazaji
@carolinemusimbi9232
@carolinemusimbi9232 Жыл бұрын
Kafanana na mtoto wake
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mamama mungu anakuonaa😅duuh! Unajua kujiteteaa 😅Mimi nimemuelewa Sana mtangazaji yaani kakuuliza swali Ila duuh! Unajiteteaa mara ooh! Bikraa mara ooh! Hivii 😅😅khaa
@eidkhan6024
@eidkhan6024 Жыл бұрын
Mamangu ana 40
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 Жыл бұрын
Mama yangu ana miaka 36 kwenye ndoa na hamjui
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 Жыл бұрын
Mi mwenyewe nna miaka 26 ya ndoa na nnakula bata nimetuliaaa maisha yanasonga na kila siku km ndo kwanza tumeowana jana alhamdulillah Allah aniepushie kila baya tuzikane..
@happymvula
@happymvula Жыл бұрын
@@shamsahaji6202 Hongeraaa
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
​@@shamsahaji6202 hongera allah awadumishe umeolewa ukiwa na miaka mingap
@maishaforreal7798
@maishaforreal7798 11 ай бұрын
Akuna muziki WA mungu na muziki WA shetani . Muziki ni mmbaya kama Una haribu culture AO tamadumi kama matusi violence ujambazi maneno
@claratemba44
@claratemba44 Жыл бұрын
Nimefurahi hat mimi sina wageni
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 Жыл бұрын
Nime fanya kilakitu hua ananijibu hata mammangu kanizaa kwauchhngu 😢😢😢😢😢
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 Жыл бұрын
Uyo Alievaa white bwege kweli
@aureliayuktankabebwa5066
@aureliayuktankabebwa5066 Жыл бұрын
Nimempenda sana hakuna hata neno ataongea bila kuweka NENO Maombi🙏🏾,Maombi ndio silaha yetu 🙏🏾.Ubarikiwe Mama🙏🏾
@user-wr4zu4un4s
@user-wr4zu4un4s 3 ай бұрын
Mama Kumbe ndoo maana Abby anaweza kujieleza hivyo una akili
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 Жыл бұрын
jamani na mungu pia siujanja mimi pia naishi kweny ndowa myaka 25
@user-vv3bn6yc7g
@user-vv3bn6yc7g 10 ай бұрын
Jamani nimeamini kuna watu kazi hawazijui sio uongo, huku nilikopanga kuna nyumba ingine hapa aiseeee hata mtoto hakunyi chupi ake dada wa kazi anatendaaaa ni kula analala
@seneequamoyo6160
@seneequamoyo6160 Жыл бұрын
Lovely story ❤
@mourinebey_kenya7027
@mourinebey_kenya7027 Жыл бұрын
Huyu mama nimependa vitu vingi aliyvo viongea Bt hapo kwa kuwa mwanae ni BIKIRA ndo sijamuelewa Kwani huwa anamtia vidole kila siku akichunguza 😂😂😂😂😂😂😂
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
😆😆😆🏄🏽‍♀️🏄🏽‍♀️
@christinesulle5051
@christinesulle5051 Жыл бұрын
Jamani ni ukiwa rafiki wa mtoto wako anakuwa muwazi
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Kuna wengine wanakusimanga hadi unatamani kujinyonga na makasj…. Unabaki kulia kilio cha samaki
@maitharobert6833
@maitharobert6833 Жыл бұрын
Mimi ugali wangu sitaki uekwe chochote isipokuwa maji tu na unga, period
@aminamusa9174
@aminamusa9174 Жыл бұрын
😂😂😂
@angellugendo3373
@angellugendo3373 Жыл бұрын
Ugali na blueband afu awezi kupika ugali ananivuruga mama
@vanessaenock1337
@vanessaenock1337 Жыл бұрын
Mama nimekuelewa vizuri ila sasa😅😅iyo roho ya uvumilivu sina
@Sppah697
@Sppah697 Жыл бұрын
Waaambie hao mapakashume!
@mrs2918
@mrs2918 Жыл бұрын
tuleteeni wauswazi wenzetu huyu atasababisha mengine yasio staili ila mafunzo yake yako byeee
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Жыл бұрын
Wapo wakishua ambao wanafurahia ayo mafundisho na wenyewe wataboreka na hao waswahili...simjui mimi nimempenda
@mrs2918
@mrs2918 Жыл бұрын
@@gracekenan4665 ndio maana nikasema mafunzo yake yako byeee (mazuri)
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 Жыл бұрын
Mijanadume mengine hattttttaaaa uyafanyeje uyahendo vp uyaweke karibu vp itakusaliti to .. na hasa ukizaa ndio balaa Hawa baadhi ya wanaume siwasomi wala cna imani nao loh!
@zenamsilim8260
@zenamsilim8260 Жыл бұрын
Hahah, Umenifunda umenifunda .
@haskao77
@haskao77 Жыл бұрын
Vyombo vya wageni ni ujinga mkubwa. Vitu vyote vizuri tunatumia kila siku.
@happysarakikya3629
@happysarakikya3629 Жыл бұрын
Mama yake ingredients ya ugali😅😅😅😅, amazing
@veniciacharles8851
@veniciacharles8851 Жыл бұрын
Binti yake anavaa nusu uchi na wazazi mnakubali ushubwada huo na mnasali Binti anavaa nusu uchi acha hizo mama....
@GraciousNgoma-ds9pt
@GraciousNgoma-ds9pt Жыл бұрын
Yani mambo kutumiakia Mungu au shetani wala hakuna kutumikia mabwana wawili akubali mwanae kashachagua kutumika kwa shetani hana nmna aomba Mungu amrejeshe katika njia njema Asiinue kinywa chake kusifu mziki wa dunia eti hauna shida kwani wanaimba nyimbo za kumsifu Mungu au nikusifu mapenzi Wazazi wa lady jd ni watu wa dini hatujawai waona wanampongeza mtoto wao kuimba nyimbo za kidunia
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Жыл бұрын
@@GraciousNgoma-ds9pt yule mtoto ni teenager inawezekana wazazi hawapendi ila Sababu anakua inabidi waende nae taratibu vinginevyo wanaweza kumpoteza....wapo watoto wa wachungaji watoto wanasumbua sana kama huna mtoto aliefika umri wa kuwa teenager omba sana watoto Huwa wanasumbua na ukijifanya mkali unampoteza inabidi kuwa karibu nae sana ipo siku atachange
@johnmathew4051
@johnmathew4051 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52