Fr Kamugisha Msamaha Pt1: Msamaha unabadili historia/Samehe bila kikomo/Samehe vitu/

  Рет қаралды 27,606

Faustin Kamugisha

Faustin Kamugisha

3 жыл бұрын

Ni mafundisho ya Kwaresima yaliyotolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika Kanisa kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Bukoba. Mafundisho haya hutolewa kila Ijumaa baada ya njia ya msalaba kanisa kuu la Jimbo (Cathedral) na mapadre mbali mbali wa Jimbo hilo.
#ShajaraFaraja

Пікірлер: 25
@henrikalenus5793
@henrikalenus5793 9 күн бұрын
Ahsante father nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏
@zablonshisia364
@zablonshisia364 10 ай бұрын
Amen good homily👍💯
@kwayayabikiramariamsaadawa5803
@kwayayabikiramariamsaadawa5803 2 жыл бұрын
Asante Baba
@asifiwennko9220
@asifiwennko9220 3 жыл бұрын
Amen mtumishi Karibu Arusha utupe neno la Mungu live
@albertlasway4863
@albertlasway4863 3 жыл бұрын
Asante padre kwa neno zuri
@katembito3962
@katembito3962 3 жыл бұрын
Asante sana Fr.nimebarikiwa sana
@judithjulius5993
@judithjulius5993 2 жыл бұрын
Fadher mungu akutunze vyema nabarikiwa Kila siku,mahubiri Yako nimeyafanya kuwa kahawa ya hasubuhi Kila siku nabarikiwa mtumishi wa mungu
@judithjulius5993
@judithjulius5993 2 жыл бұрын
Fadher uje parokia yeti ya bujora mwanza,
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 3 жыл бұрын
OGod strengthen faith of Padre kamugisha to countiue in is mission olord.
@albertbakunda4123
@albertbakunda4123 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe father
@dativadiocles2714
@dativadiocles2714 3 жыл бұрын
Hallelujah Fr Kamugisha
@hildermaurice5754
@hildermaurice5754 3 жыл бұрын
Asante Sana Sana Baba nimebarikiwa mnooo Kwa mahubiri haya
@alikaliusmichael9708
@alikaliusmichael9708 3 жыл бұрын
Tunakushukuru kwa kutulisha neno father
@yohanekasonkwa2612
@yohanekasonkwa2612 3 жыл бұрын
Napenda utembelee Rukwa uhutubu katika makanisa! Nabarikiwa sana na kilichowekwa ndani yako!
@papilumona1896
@papilumona1896 3 жыл бұрын
AMEN mtumishi wa Mungu
@yohanakisoka6165
@yohanakisoka6165 3 жыл бұрын
Amina baba Mungu akubariki
@pastoryemmanuel3124
@pastoryemmanuel3124 2 жыл бұрын
Karibu sana katoro geita
@justinetenda4347
@justinetenda4347 3 жыл бұрын
Nayakubari mafundisho yako
@consolataantony7365
@consolataantony7365 3 жыл бұрын
Amen
@elionorasimon1163
@elionorasimon1163 2 жыл бұрын
Amina
@pastoryemmanuel3124
@pastoryemmanuel3124 2 жыл бұрын
Yaani maubili yake mazuri
@muhezadc4413
@muhezadc4413 3 жыл бұрын
Amina
@reginapius3620
@reginapius3620 3 жыл бұрын
Padre Doctor kamiugisha Mungu akutunze milele!
Fr Kamugisha: Atakaye kula chakula vizuri unamuona wakati wa kunawa/
29:52
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
It’S So Fun To Wash My Son’S Hair! #funny #baby#cute  #funnybaby
00:14
Amazing Children Toys
Рет қаралды 8 МЛН
Binadamu mzee zaidi duniani anayepatikana Tanzania
27:20
Millard Ayo
Рет қаралды 420 М.
USHUHUDA WA  MAISHA PASTOR TONY KAPOLA SEHEMU 1
22:08
ayoub mwigune
Рет қаралды 155 М.
Padre Dkt Kamugisha: Msamaha/ Sharti la kusamehewa ni kusamehe
21:30
Unafahamu kwamba MSAMAHA huanza kabla ya UPENDO?
38:29
PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Рет қаралды 14 М.