GARI NYUMBA LILILO NA SEBULE, JIKO NA CHOO CHA NDANI ZANZIBAR

  Рет қаралды 177,420

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 528
@godlistenminja3574
@godlistenminja3574 2 жыл бұрын
Baba umenifurahisha sana hongera kwa ubunifuu huu. Utaongeza chachu kwenye sector ya utalii. Hongera mno ndugu.
@williammsilu8617
@williammsilu8617 2 жыл бұрын
This man is highly talented, the main problem in this country doesn't recognize and support highly talented people like this man. Tunawezaje kuwa na nchi y aviwanda bila kuwawezesha watu kama kina abubakari wajenge viwanda na wavisimamie? Inchi inashindwaje kuwekeza hata bilioni 10 wawaite watu kama Abubakari halafu wajenge VETA kubwa ya mfano Tanzania itakayo toa mafunzo ya vitendo ya kutengeneza na kubuni magari, helcopter, pikipiki, vifaa vya umeme, ulizi, udereva n.k. I mean the National Technical College (VETA) which is TYPICAL PRACTICAL which can accommodate more than 500 students at once.
@peterjoseph3556
@peterjoseph3556 2 жыл бұрын
'Loppo'oooo0'o
@peterjoseph3556
@peterjoseph3556 2 жыл бұрын
Ooo'o
@peterjoseph3556
@peterjoseph3556 2 жыл бұрын
Opopoooo'ooLoo'opo'ooo
@peterjoseph3556
@peterjoseph3556 2 жыл бұрын
Pooo9
@peterjoseph3556
@peterjoseph3556 2 жыл бұрын
Lo
@1964AliK
@1964AliK 2 жыл бұрын
Hongera sanaBwana Abuu. Allah akuzidishie ujuzi na akufungulie milango ya mafanikio zaidi. Zanzibar got talents.
@shamisalryam4775
@shamisalryam4775 2 жыл бұрын
Amiin yarabbil alamiin
@seifissa1189
@seifissa1189 2 жыл бұрын
Hongera sana abuu allah akufungulie zaidi
@fatmasaleh9516
@fatmasaleh9516 2 жыл бұрын
Amiin yarabb
@cliffordmwangosi426
@cliffordmwangosi426 9 ай бұрын
Wengi tulikua tunaamini haya mambo yanawezekana nchi za nje huko ila tunashukuru umetuheshimisha Tanzania Big up sana engineer
@muhammad_alhinai
@muhammad_alhinai 2 жыл бұрын
Masha Allah! 😍 Proud of you uncle Abuu! 👏🏻
@sarafiamakilika9975
@sarafiamakilika9975 2 жыл бұрын
Ushauri,usiuze hata kwa pesa ipo maana atakayeinunua ataifanyia biashara hasa ya utalii na hakika atarudisha zaidi ya faida yako. Fanya hivii tafuta mawasiliano na watu wanaohusika na watalii... Hakika utapata zaidi ussahau Mungu.
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 2 жыл бұрын
Ila pia yeye bado atakua hajapoteza ikiwa atakua bado anatengeza akiuza.. Akiuza hii ananunua gari nyengine na kutengeza na kuuza
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Kwa sababu ni gari, watu wataona kitu kipya. Ila kiufupii huyu ni fundi wa nyumba na mbunifu kiujumla.
@fatumasaleh8048
@fatumasaleh8048 2 жыл бұрын
Dah! Masha Allah Allah sw akujaalie mafanikio na utimize ndoto zako zote, hongera Sana broo
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 2 жыл бұрын
Congratulations brother may Almighty GOD continue to give you more talents 🫂
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 2 жыл бұрын
Masha Allah mungu akikupa kipaji ukitumie big up brother
@salmaseif6284
@salmaseif6284 2 жыл бұрын
Jamani huyu mtu apewe hongera yake tuacheni choyo hata km ulaya zipo gari km hii nyingi lkn kwa Tanzania hatujazoea kuona mtu akitengeneza, kwa hiyo apewe hongera yake amejitahidi.
@Asili
@Asili 2 жыл бұрын
Kutoka ZenjiTaxi hadi nyumba inayotembea ! Hongera kaka kwa bidii yako na moyo wa kujaribu.
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
Mtu kama huyo ni Mali sana kwenye inchi yetu sema sasa hatuga habari na ujuzi wetu wataaza kusaport wazungu tulivo maboya😔
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 2 жыл бұрын
Ndo watanzania tulivyo
@naghemsuya5218
@naghemsuya5218 Жыл бұрын
Mungu asiache ujuz wako ukaishia chini, hongera sna Sana mi naamin utafka mbal
@mtumishidoublek1504
@mtumishidoublek1504 2 жыл бұрын
DA, HONGERA SANA MTU WA MUNGU. kwenye vitabu vitakatifu hayo maarifa walipewa watu wachache sana kutengeneza vitu visivyowezekana, kwa mfano NUHU alipewa maono ya kitengeneza safina nchi kavu. Ndio sawa na huyu mzee kupewa maono ya kutengeneza nyumba inayotembea. HAKIKA HIKI NI KIPAJI AU KARAMA PEKEE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU.
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 2 жыл бұрын
Chakupendeza ni ununifu wa nquvu and very clean,huwez amin km ni local,ni RV moja kali sana, Biq up sana Abuu 👏
@mufidaabdul5387
@mufidaabdul5387 2 жыл бұрын
Mashallah hichi kitu nimekiona kwenye mitandao uzunguni nimependa sn hyu brother kukifanya. ila mntakiwa watanzania musivunje tamaa mtu km huyu niwakuzibitiwa nakumpa support ili serekali kumundalia office malumu,👈lkn Leo hii Tanzania haijitasimin km ubunifu ndio unawaweza kkuza uchumi wetu kwadumisha viwanda vikubwa leo watu km hao mukiwazarau munakuta munasafir kwakwenda kunnua gari nyumba nchi zawatu Tena kwacost kubwa,👈 kweli nyiny hamujitasimin mamuzi yen yakkurupka tu bila yakujiengeza.👋
@jaysullman3697
@jaysullman3697 2 жыл бұрын
Sasa hilo ndio lilo kuwepo maana apo kuna Ubaguzi uliota Magugu ndio maana tumekandamizwa sana kiuchumi kwa Wananchi na kupeana nafasi wenyewe wenye utawala wakati watu wa Vipaji wapo wengi sana Mashaa Allah Zanzibar💯😍 👍
@newahomwashiuya8858
@newahomwashiuya8858 2 жыл бұрын
Yes wanaita tiny house
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 2 жыл бұрын
Tukumbuke kua kunajamaa alibuni vespa na ilikua nzuri sanaa nasijui kua ilipata usajili
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 2 жыл бұрын
Aseee umetishaa🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥 utafikir nyumba ilojengwa ardhini
@yusrakhaidally345
@yusrakhaidally345 2 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe maisha malefu tuendele kuona mazuri inshallah
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 2 жыл бұрын
Mashaallah. My advice dont sell it. Its beautiful. Rent it. Personally i will rent it when i come to zanzibar. I love it. You got talent brother. Proud of you
@yunusrnb5227
@yunusrnb5227 2 жыл бұрын
Kwani Kuna ulazima wa kuzungumza kingeleza?
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
ata mie nimesema nitarent ishallah
@samuelokeyo8839
@samuelokeyo8839 2 жыл бұрын
@@yunusrnb5227 acha unafik,kama hujui tulia,, nonsense NKT
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 2 жыл бұрын
@@samuelokeyo8839 😂😂😂
@samuelokeyo8839
@samuelokeyo8839 2 жыл бұрын
@@shabbyofficial_ au sio😜😜😜
@isawmsafi5710
@isawmsafi5710 2 жыл бұрын
Watching from 254 ,,,,..mzee akona kipaji kweli
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Hili gari wazungu watapenda sana ku kodisha aisee aifanye iwe RENTAL MOBILE HOME kwa Zanzibar watalii wengi watapenda
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, good job my brother
@hellenpaul9671
@hellenpaul9671 2 жыл бұрын
Waoooo! Ujuzi huu ni mzuri sana hongera kwako 🙏🙏🙏🙏
@dianangailo5468
@dianangailo5468 2 жыл бұрын
I love tiny houses ideas uzur wake kunakuwa na free space nyingi kuliko bigger house keep it up
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 жыл бұрын
Namuomba Mungu asikuchukue sasaiv maana unandoto nyingi za kuwasaidia watu wewe ni tunu yetu kwa hapa Zanzibar
@madammesatalks6913
@madammesatalks6913 2 жыл бұрын
Kiukweli nakupongeza sana kaka angu kazi nzr sana, Mungu azidi kukupa maarifa makubwa zaidi🙌🙌🤜🤜
@rhobinyabasi204
@rhobinyabasi204 2 жыл бұрын
Huyu mtanzania amejaliwa talent kubwa na bidii kwa kweli ni wa mfano.
@graveengrave2936
@graveengrave2936 2 жыл бұрын
Hongera saana kwakazi nzurii mtuakihitajii inakuwajee
@Valentinef-cj9tn
@Valentinef-cj9tn 2 ай бұрын
nimependa sana kazi yako na mawazo yako yako vizuri sana najua unamtazamo wa juu sana natamani sana tungeweza kuwasiliana na mimi
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 жыл бұрын
Honger kwa ubunifu brooo
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 2 жыл бұрын
Hongera sana Mungu akupe maono zaidi kazi yako ni nzuri saaaaana hongera mnoooo natamani kuona hilo gari nyumba from Mlandizi
@hajjmohd3602
@hajjmohd3602 2 жыл бұрын
Masha Allah ni kipaji cha kuzaliwa na ni akili isio na mipaka ama kwel " MAARIFA YA MTU HAYATEGEMEANI NA DARASA ALILO"
@najashrk3738
@najashrk3738 2 жыл бұрын
Broo kumbe zile disc unanunuwa dukani kwangu ilikuwa unafanyakazihii dah please broo Haroub unadisc moja ya ofa nafkiri ukiona comment yangu utanitambu..bonge moja laakili mawazo mubashara kabisa waaaaaaawo very amazing 👏 👏👏👌👌
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
ubarikiwe
@najashrk3738
@najashrk3738 2 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 asant dada
@princessmamy6057
@princessmamy6057 2 жыл бұрын
Mashaallah
@najashrk3738
@najashrk3738 2 жыл бұрын
@@princessmamy6057 baaraka Allah fiq
@munnamattaka3220
@munnamattaka3220 2 жыл бұрын
Me love what i see na nliamin Tanzania hakunaga hivi vitu kumbe dah!!! Kuna vitu kama hivi we missed yaan he's mastermind an hii n gold as he say kwa Tanzania ain't no hustle dared to do what he did👏👏👏👏💪💪💪💪 classic and financial balance hakuna Kodi, bili ya maji wala umeme it's mafuta ya gari na location unayotaka lala😍🔥🔥🔥🔥💯
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
Huyu mtu ni mbunifu sana hongera sana sana kwani umedesign kazi nzuri sana
@binloufy454
@binloufy454 2 жыл бұрын
ZANZIBAAAAAAAAR TALENTED MAA SHA ALLAH
@abrahamdismas1580
@abrahamdismas1580 2 жыл бұрын
Safi sanaa hongera sna bro
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 2 жыл бұрын
Mashaallah Kaka ..umri twawil ,hongera Sana mungu azidi kukupa uelewa na ubunifu zaidi.
@omarikakozi3363
@omarikakozi3363 2 жыл бұрын
Elimu ya kuzaliwa kabisa sio kila kitu, wazungu ata sisi tunaweza naomba serikali imshike mkono
@sophiaabdallah7821
@sophiaabdallah7821 2 жыл бұрын
Daaah very fantastic man may Allah give u more energy to do more than this 😍
@NasraSaidi-mc6gf
@NasraSaidi-mc6gf Жыл бұрын
❤❤ hongera broo
@afandechanel1507
@afandechanel1507 2 жыл бұрын
Ongera sana kwa kazi nzuri nime sikia una sema kama una ujuzi mwingi kwa nini usi andiki kitabu tu ila watakao kuja nyuma weweze kujifunza
@nassirahmed2275
@nassirahmed2275 2 жыл бұрын
Maashallah Tumevutiwa sana na Mr abuu na yupo tayari kupokea wanaotakakujifunza kwake ila mbona haikuwekwa wazi kuwa anapatkana znz sehemu gani wala nma ya kuwa na nawasiliano nae
@mecksaloon81
@mecksaloon81 2 жыл бұрын
Hongera kwa ubunifu Mungu akuinue zaidi.
@saidwayawaya5356
@saidwayawaya5356 2 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo.
@malikshafii2968
@malikshafii2968 2 жыл бұрын
Alot of Appreciate to him talented man
@mtumishidoublek1504
@mtumishidoublek1504 2 жыл бұрын
Natamani siku moja serikali iwaweke chini watu kawa huyu Atilist watano wafunguliwe chuo cha vipaji, naamini Tanzania itakuwa the Best country of the countries.
@mrjohn4446
@mrjohn4446 2 жыл бұрын
Aweke na angle cameras za nnje na kwa dereva Ili watu watakaokuwa ndani waweze kujua kinachoendelea nnje bila ya kutumia simu kuwasiliana
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 жыл бұрын
Wazo Zuri sana hilo
@nasralukanga1712
@nasralukanga1712 2 жыл бұрын
Khaa naic iko pw bro we ni njiniaz w Tanzania tunatak vipaji Kam nyie kwenye inchiet n sio wannje mashaalah
@lovenoor988
@lovenoor988 2 жыл бұрын
Hongera sana kaka M/Mungu akufikishe unapo hitaji 🌹🤗
@John-vn4pp
@John-vn4pp 2 жыл бұрын
Hongera sana. Namshauri tu aongeze tairi za nyuma angalau ziwe mbili mbili
@abrahamdismas1580
@abrahamdismas1580 2 жыл бұрын
Hta mim nimeliona ili
@jaysullman3697
@jaysullman3697 2 жыл бұрын
Sawa sawa ni kweli kabisa kiukweli Wazanzibar tupo vizuri bc tunakandamizwa vipaji vyetu kwa Mfumo wa Utawala mbaya tulionao!
@buyondeboston5571
@buyondeboston5571 2 жыл бұрын
Courage sana maître mungu azidi kukuonza na kukupa maono yaku vumbuza zaidi yaiyo uliyo nacho mukuu🙏🙏🙏
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 2 жыл бұрын
Mashaaaalllah allah akubarik broo safi sana
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
MASHAALLAH 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 2 жыл бұрын
Thanks mr abuu,nimependa sana kazi yako boss wangu ,keep it up
@aminaaman9439
@aminaaman9439 2 жыл бұрын
Mashallah sasa mr Abuu njoo unipose tuishi zetu tu😃😃😃
@worldbeautyfitness
@worldbeautyfitness 2 жыл бұрын
Congratulations Mr. that's a dream of mine for for very long time I hope one day am going to fulfill it too..God bless
@rehemaabdallah3712
@rehemaabdallah3712 2 жыл бұрын
Hongera sana boss wangu abuu
@shijamahona4491
@shijamahona4491 2 жыл бұрын
Hongera sana kiongozi Naomba MUNGU azidi kukulinda na kukuongezea maalifa zaidi
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 2 жыл бұрын
Good idea for a wonderful time to come visit us in life enjoy 🌎 is very impressive for you to be able and to have you as a great opportunity
@venturebown6983
@venturebown6983 2 жыл бұрын
Wish niwepo hapo Zanzibar...Ila nko Tanzania Arusha mjin 💥💥
@godfreygeraz9556
@godfreygeraz9556 2 жыл бұрын
Hongera sana Mungu akutunze jamn serikali mchukueni atengeneze mengi utalii utazid sana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Very creative aisee huyu jamaa ana Akili mnoo
@williammsilu8617
@williammsilu8617 2 жыл бұрын
They can even call it AN ENTREPRENEURSHIP VILLAGE OR NATIONAL TECHNOLOGY CENTRE
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Mashaallah katisha sana..wenzetu huku arabuni wana hayo magari
@Kevinhb_
@Kevinhb_ 2 жыл бұрын
Good stuff I’m from Australia
@mwakahassan7685
@mwakahassan7685 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah awazidishie atuhifadh husda za kila aina
@khayraatabdool2286
@khayraatabdool2286 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Hongera sana Kaka Mungu Akubariki
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 2 жыл бұрын
MaashaaAllah vipaji km hivi ni vya kushughulikiwa....but serikali haitoi support yyt
@domowalidomo4922
@domowalidomo4922 2 жыл бұрын
Abuu Shala Allah akuzidishie uko vizuri sana hongera sana
@kisalaTV
@kisalaTV 2 жыл бұрын
Kaka utajiri umeushika. Biashara hiyo kaka . hongera sana
@Frankmwesiga
@Frankmwesiga 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee wewe ni mkarimu sana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana hivyo ndivyo wenzetu wanavyo tupiga magoli ya visigino
@jayloo4699
@jayloo4699 2 жыл бұрын
Kama umewaona waliokimbia camera gonga like
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Safi sana pongezi kwako kaka
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe afya njema 🥰🥰🥰
@kinglee6777
@kinglee6777 3 ай бұрын
Hongera sana mwamba naona hapo omar na juma wameikimbia camera
@priscajohn6090
@priscajohn6090 2 жыл бұрын
Hongera sana' haya wenyepesa zenu wakina Diamond,kiba,harmonize Mumuunge mkono kwa kununua magari hayo
@manallayusuf4951
@manallayusuf4951 2 жыл бұрын
Mashallah safi sana abuu good job
@lauraabass1077
@lauraabass1077 2 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah. Namuomba mhe Rais akuzingatie, upo juu kaka. Yarrab mlinde na umzidishie ujuzi mjakazi wako huyu
@seattlebz
@seattlebz 2 жыл бұрын
Mashallah may Allah bless you and protect you from evil eyes
@mercybeibee1961
@mercybeibee1961 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@lauraabass1077
@lauraabass1077 2 жыл бұрын
Amiin
@bonnysure8706
@bonnysure8706 2 жыл бұрын
Watu wangu ukishindwa kujenga nunua hili dinga mbona ni geto kabisa lakn wangeweka Shamba pia watu walime🤔🤔
@mamlee7983
@mamlee7983 2 жыл бұрын
Hili gari linashawishi uzinzi ila hongera kwake Mr.Aboo🤣🤣🤣🤣
@hassanhd6480
@hassanhd6480 2 жыл бұрын
Hayo ndio unayo yapenda
@makamemassoud3143
@makamemassoud3143 Жыл бұрын
Daha kazi nzur sana naitaji Kuna mwanafunzi wako na mimi
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 2 жыл бұрын
MashaaAllah maashaaAllah Allah akutangulie ufike mbali....
@faizanassor9400
@faizanassor9400 2 жыл бұрын
Mashllallah zanzibar kuna vipaji
@lidriclidric4247
@lidriclidric4247 2 жыл бұрын
jamaa amejitahidi sana 🤝🤝🙏🙏
@florahmushi748
@florahmushi748 2 жыл бұрын
Jamaa genius sana weka na kamba za kuanikia nguo nakuja kulichukua
@frankrowland2884
@frankrowland2884 2 жыл бұрын
Kazi nzur sana,sio mgunduzi maana hayo magar yapo alichofanya ni modification tu
@leilahmohamed2225
@leilahmohamed2225 2 жыл бұрын
Ebu nawew modify tuone ...muache roho mbaya
@husnaali7708
@husnaali7708 2 жыл бұрын
hongera kaka ni shilingi ngapi nataka moja tafadhali
@sabunitv2121
@sabunitv2121 2 жыл бұрын
Jmn hata Kama tunapuuzia Ila Ni Muda Sasa serikali za Afrika ziangalie kwa jicho la tatu vipaji hivi....taratibu twaweza kugundua na processing za madini kuunda injin yetu wenyewe ili tupumue angalau🌺🙏
@maryamkharusy4518
@maryamkharusy4518 2 жыл бұрын
Very talented and creative
@user-gs1xl8nu1s
@user-gs1xl8nu1s 2 ай бұрын
Umetisha sana baba angu
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 2 жыл бұрын
Ma sha Allah na hawa ndio watu ambao wanapaswa kupewa kipao mbele ili kuendeleza vitu kama hv hapa nchin
@johannahakim8470
@johannahakim8470 2 жыл бұрын
Masha ALLAH, Mungu akuzidishiye
@fababindawood8363
@fababindawood8363 2 жыл бұрын
Huyuu mwamba ni noma sana Masha Allah amefanya kitu kizuri tena safii kabisa
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 жыл бұрын
Safi sana kuwa na nyumba inayotembea
@nassortwahir5089
@nassortwahir5089 2 жыл бұрын
Congratulations 👌
@lisajonsony9246
@lisajonsony9246 2 жыл бұрын
Nice nikirudi tz nitakuja kukodisha
@habibadaudi8242
@habibadaudi8242 2 жыл бұрын
Hongera sn Kwa ubunifu Kwa Tanzania hicho ni kitu kikubwa sn japo huku Dubai tunaona ni kawaida tu maana ndo watu wengi huuzia kwenye magari ya ayna tofauti tofauti
@fettyfay2334
@fettyfay2334 2 жыл бұрын
Safi saana.. uchumi unavyokua.. itabidi tunatembelea magali kama haya selfcontained. Hakuna kulipa kodi tena. Hii inajitosheleza. Dalali akasome.
@habibuhoseni5226
@habibuhoseni5226 2 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣
@internationalgamer7980
@internationalgamer7980 2 жыл бұрын
😄😄😄😄unatafuta ugomvi na madalali
Akikusaliti Fanya mambo haya matatu - Madam Lailah Aboubakar
20:48
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 64 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3 МЛН
American RV( Hii ni gari na ni nyumba)
11:01
Huku Yues
Рет қаралды 170 М.
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 12 М.
Gari Nyumba Marekani
13:37
Hapa Nilipo
Рет қаралды 713
Fasting goes wrong😂😂
11:26
official Layo
Рет қаралды 40 М.
SIFA HIZI ZINATOSHA KUMTULIZA MUME
20:12
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 67 М.