No video

WATANZANIA WABUNI GARI INAYOTUMIA UMEME UDSM "TUMEANZA KUUNDA GARI YA POLISI AMBULANCE ITAFATA"

  Рет қаралды 90,152

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 343
@bertinruvuna4756
@bertinruvuna4756 11 ай бұрын
Hongereni sana UDSM, hii gari ni nzuri kwa ukweli!Hamuwezi kuweka solar energy upande wa juu ili ichaji battery kwani jua tunalo la kutosha na gari hii inaweza kutembea umbali mkubwa.
@KuwakuMalumba6895
@KuwakuMalumba6895 Жыл бұрын
We need more Car 🚗 like this in Burundi 🇧🇮 please guys make more Car 🚗 like this. We come to buy to u guys in Tanzania 🇹🇿 but make strong 💪🏿 Car 🚗 we can use for long time. Keep try u best guys. I hope everything gonna be fine in future. Let go back to work now🇧🇮🇹🇿🚗💪🏿
@mugishapanther
@mugishapanther Жыл бұрын
Tanzania number one guy nipeni like zangu
@emmanuelmwalukasa6002
@emmanuelmwalukasa6002 Жыл бұрын
Hongereni sana ma-injinia wetu. Kazi yenu ni nzuri sana na ya kutia moyo. Naomba Mungu awaongezee ubunifu katika kuboresha gari hilo kwa matumizi yenye manufaa kwa taifa letu. Watanzania tumebarikiwa na Mungu hivyo tujiamini, tunaweza. Mtu ye yote asiwakatishe tamaa, ushindi ni wetu. Songa mbele. Hayo ndio maendeleo. Tunaomba "support" ya nguvu toka mamlaka za juu nchini kwa maendeleo endelevu ya teknolojia hiyo.
@dr.alexmagufwa9131
@dr.alexmagufwa9131 Жыл бұрын
Hongereni sana!, Hiyo ni hatua kubwa sana ktk kujitegemea. I'm really proud of you guys.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 Жыл бұрын
Hongereni sana UDSM, hii ni sifa na heshima kubwa kwa taifa letu. Nadhani Wizara husika ina cha kufanya ili kuhakikisha ugunduzi huu unaenda kimataifa. Mimi naamini wanaweza kutengeneza gari ya kutumia umeme kwa ajili ya safari ndefu tuachane na unyanyasaji wa mafuta ya waarabu. Kudos UDSM👏👏
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 Жыл бұрын
utakua na chuki binafsi t waarabu ww huna lolote...
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM Жыл бұрын
Serikali hii ndio itakuwa ya kwanza kupiga marufuku. Serikali ya Tanzania inaua vipaji vya watanzania. Watafute UDSM na gari lao baada ya miaka 2. Utaambiwa wanafanya maboresho ya mifumo. Na huo ndio utakuwa mwisho.
@user-yr9ii6tc3c
@user-yr9ii6tc3c Жыл бұрын
Hapo sawa
@MrMachume
@MrMachume Жыл бұрын
Watu wengi kinachowasumbua ni ujinga na kutojitambua. Kama wewe hujawahi kugundua au kutengeneza chochote unawezaje kuanza kukosoa elimu hii kubwa ya kutengeneza magari kisa bodi? hujitambui wewe, na ukiwa hivyo ndani yako halikai neno jema, kazi yako ni kutafuta mabaya usiku na mchana. MUNGU akusaidie sana.
@mussaelia8693
@mussaelia8693 Жыл бұрын
I support the big work they are doing , Mungu awainue zaidi , Safi sana pambaneni . Mungu afungue njia , Tusibeze kazi ya mtu , Let's promote this to go further .ni vile tu tumekosa watu wenye Ari ya kuleta mabadiliko
@BLESED-CHANNEL
@BLESED-CHANNEL Жыл бұрын
UDSM hongereni sana kwa hatua hiyo ila swali masudi kipanya wa clouds alitengeneza gali ninyi nayi mmetengeneza gali je hakuna anaye weza kutengeneza baskeli za kuchaji maana tunahitaji baskeli kwaajili ya mizunguko ya hapa dar es saalam naomba mtutengenezee baskeli za kuchaji.
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 Жыл бұрын
hyo gari nimeipenda ila ongezeni kitu cha ziada kwamba. Hiyo gari fanyeni iweze kujichaji. wakati unaendesha mfumo wa tairi ufungwe mota zenye kuchaji battery ya pili (emergency), kwa maana baada ya KM hizo 100 battery iwe full,,, shirikisheni ideas za wadau
@musicschool_tz7014
@musicschool_tz7014 Жыл бұрын
Hii idea nzuri waifikirie
@lungusii
@lungusii Жыл бұрын
Ukiongeza uzito kwenye tires uta create another issue kwa mimi kucharge lazima uchaji kama ilivyo kawaida
@deustibalema9426
@deustibalema9426 Жыл бұрын
Hili haliwezekani, linapingana na principles za physics na engineering.
@stainlesseducators699
@stainlesseducators699 Жыл бұрын
Utakuwa umeviolet principle of conservation of energy. Energy can't be created.
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 Жыл бұрын
@@stainlesseducators699 kzfaq.info/get/bejne/b5l-i6ujmMzcoKM.html
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
UDSM hongereni sana huwo mundo wa gari ni mzuri sana hasa wa Gofu 🏌️ hata kwa watalii hao wanao ponda wancheni tu ndio wabongo
@cmantz8837
@cmantz8837 Жыл бұрын
Nikweli kako poa
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Hongereni saana, Elon Musk wanamuona Genius Kwa ajili magari yake ya Tesla, naomba Hawa Wataalam wawezeshwe kabla hajachukuliwa na Nchi nyingine, Kwa hakika hata Kagame anaweza wachukua , naomba wawezeshwe kweli tutafika mbali
@FrankThomasTillya
@FrankThomasTillya Жыл бұрын
Big up, Binafsi ningependa kuona wakitumia body ziliotengenezwa tayari, hakuna haja ya kudesign wala kutengeneza body mpya, zipo nyingi tayari sokoni, na mifumo mingine tayari inameet safety standards, muhimu ni electric motor part na efficiency
@anthonysindabaha7517
@anthonysindabaha7517 Жыл бұрын
Kuna Haja kubwa sana ya kudesign kuliko kutumia body ambayo ipo on market Hao TDC wanafanya innovations kupata idea mbali mbali..
@nicholauslema2707
@nicholauslema2707 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa Jitihada za Namna hii. Maoni yangu ni hv, Kuhusu Charging Process/Charging system ni Vema mkachagua Kufunga Solar Panels na MPPT Solar Controller ili Battery iwe inacharge During the Day. Na ikiwezekana Muweke Multiple Batteries( e.g 12v 200Ah × 2). TumeElewana? Au tukutane niwape Madini zaidi...
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Жыл бұрын
Fact
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Жыл бұрын
Wakutafute
@ekiintertrade4862
@ekiintertrade4862 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa ugunduzi, huo ni ugunduzi wa gari hilo lenu. Wengine nao wamegundua magari yao, ugunduzi si wa mtu mmoja tu wa gunduzi ni wengi kadiri ya kila aina ya gari. Bigup sanaa.
@emmanuelburchard3153
@emmanuelburchard3153 Жыл бұрын
Hongereni sana UDSM. Mmelianzisha mlimalize. Msikate tamaa.
@yesuyuhaipectv9176
@yesuyuhaipectv9176 Жыл бұрын
Lo! Mungu awainue zaidi, hata wenzetu walianza gari lilikuwa na tairi za chuma.Mimi Askofu Nkundwe Zebadiah Mwakatage.Ninawapongeza sana saan.Hata Body mlivyo ibuni kwa mara ya kwanza nimeipenda hiyo gari itakuwa na soko sana kwenye matukio.Isaya 41:6-7 inasema wakasaidiana kila mmoja akaisifia kazi ya mwenzake akaifanya kwa usitadi
@user-pc6gp3xr5l
@user-pc6gp3xr5l Жыл бұрын
hongereni sana kaka MUNGU awtumie katika iyo program mahali ambako TANZANIA tunaenda watakuja kupiga saluti kwa huyu MUNGU wetu aliye hai MUNGU AWBARIKI
@husnasalim9614
@husnasalim9614 3 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 tunaweza Allah kuza vipaji vya ndugu zetu ❤❤
@msafirimatingo6065
@msafirimatingo6065 Жыл бұрын
Saf sana watanzania,nimeipenda San,Mungu aikumbuke Tanzania,gar zetu ni zetu tu shepu ya gar haitupi shida huo ni mwanzo tu naamin mazr yanakuja mbele,go on brother.
@tanzaniahabarleotv1424
@tanzaniahabarleotv1424 Жыл бұрын
Hongera sana. Ukwel tuseme ivi ni lini watatengeneza gar la mtaan huu ujinga tumeuchoka. Injinia mzimaa leten Gari sio vifaaa vya gari vilivyoungana watu wanunue ivi sura hiyo nan atainunua 😔😔😔😑😑 kiberiti
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 Жыл бұрын
Nime penda kazi ni nzuri sana. Lakini nina maoni, kwanini ktk mfumo wa umeme wasinge dizaini mfumo wa umeme gari likitembea liwe linajichaji lenyewe ili chaji isihishe.
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Жыл бұрын
Hapo maana yake watengeneze gari za huduma za jamii
@musicschool_tz7014
@musicschool_tz7014 Жыл бұрын
@@Mr_smart.code_10 unamaanisha wataikosesha tanesco pesa
@mclee493
@mclee493 Жыл бұрын
I wish dr samia suluh hassan hili ulipatie. Kipaumbele kama mpira nas tuwe na vyetu tanzania naipenda nchi yangu
@barakahtwinzi8927
@barakahtwinzi8927 Жыл бұрын
Hongereni sana udsm mmefanikisha hakika hii nzuri watanzania tusapotii hii juhudi ya wagunduzi wetu
@gershommaloda5248
@gershommaloda5248 Жыл бұрын
Hongereni Udsm kwa kuweza kutengeneza aina hii ya gari. Hata hivyo nafikiri Mhandis unafahamu kuwa gari zitumiazo nishati ya umeme zimekuwa Sokoni kule Ulaya kwa miaka sasa. Kuita mmebuni gari ya kutumia umeme nafikiri sentensi haijakaa sawa ! Tafadhali mtuweke sawa hapo ili jamii iende sawa nanyi tafadhali.
@gadiosmangana.
@gadiosmangana. Жыл бұрын
Hongereni Sana aisee,msisikilize wakatisha tamaaa keep going,big up.
@hojameleka6624
@hojameleka6624 Жыл бұрын
Kazi nzr sana mliyofanya
@jamesmichaely8646
@jamesmichaely8646 Жыл бұрын
Hongereni Sana Kwa Hatua Mulio Fikia Ila Kwenye Chaji Mnaweza Kutengeneza System ya Kuchaji better Kama Gar Zingine hyo Itakuwa Bora Zaidi Na Hicho Kitu Kinawezekana Bc
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
Hongereni udsm,hongera Tanzania yangu
@machaggechacha243
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Serikali iingilie kati na kuwasaidia hawa ndugu waendelee zaidi kutengeneza magari kama haya. Hongera sana vijana.
@denismtonyole5965
@denismtonyole5965 Жыл бұрын
Nimeipenda sana hiyo project mloifanya oky sasa naomba mwendelee kutoa vifaa vya kuuza kwa kila mtu kwa beinafuu mtapata mafanikio makubwa sana hususani kuanzia pikipiki mpaka hayo magari mambo mingine fanyeni utafiti kuanzia MOTA na BATTRY vitengenezwe hapa hapa tz ili vifaa hivyo tupate kwa bei tunayoimudu wa tz na nchi jirani asnteni Mungu awabariki sana.
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 Ай бұрын
Tz Tunakwenda mbele, ongera sana kwa kufikiri.
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Safi kabisa Yani mh rais awashike mkono mtengeneze mengi zaidi
@johnb.j.m206
@johnb.j.m206 Жыл бұрын
Hongereni sana UDSM. Haya mambo ndiyo tunapenda tupate wabunifu toka vyuo vyetu. Pamoja na mafanikio hayo nawashauri muelekeze nguvu kutumia teknologia ya microchip badala ya kutumia nyaya.
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 19 күн бұрын
Nipongezeni jaman watanzania hata kwa like tu
@marojumamugha3062
@marojumamugha3062 Жыл бұрын
Hongera sana kiukwel nimefurahia jins Tanzania inavyozidi kupiga hatua
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 Жыл бұрын
UDSM hakika hongereni sana sana. Kama serikali ingewaongezea capital ya kueleweka naamini historia kubwa itatengenezwa na UDSM. Magufuli angekuwepo basi hii project ingesongabele sana.
@machinefannatic99
@machinefannatic99 Жыл бұрын
hio motor mmeipima practically kabisa kwamba inaweza kwenda km 100 bila kuisha charge na kuendesha noah... maana hata huku uingereza magari ya umeme yapo mengi na wnasemaga km 300 bila charge lakini hata 150 hazifiki na yanakua yashaishiwa... engine za umeme au motor hazinaga uhasisi kama engine za petroli... ndio maana hata huku ulaya watu wengi hawapendi magari ya umeme maana betri zake zinakufa kama simu za mkononi tu...
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Hongereni kwa assembling nzuri...
@rulangwa
@rulangwa Жыл бұрын
It is a very good golf car i love it
@protasmichael2660
@protasmichael2660 Жыл бұрын
Hongera sana nitaleta range langu mniwekee mfumo wa umeme
@emmanuelherman-pb9dx
@emmanuelherman-pb9dx Жыл бұрын
Mpo vizuri hata royc rolls iliaza hivi hivi hongereni
@ismailahmed8728
@ismailahmed8728 Жыл бұрын
Kwa huku ulaya ni kama electric scooter 25,30,50km but tz comes up golf 100km or more good start msisahau nyingine kupeleka katika viwanja vya mpira kwa mkapa couse is look like uwanjani itapendeza piya airport na mahotelini all the best
@modestbartholomew1731
@modestbartholomew1731 Жыл бұрын
Mkiwezeshwa mnaweza,mbona Uganda wametengeneza Marcopolo bus.Mwanzo Mzuri hongera sana.
@rofinkitali3765
@rofinkitali3765 Жыл бұрын
Tafuteni katika kumbukumbu za Kitivo cha Uhandisi hapo UDSM. Gari ya kwanza ya umeme ilitengezwa hapo UDSM miaka ya sabini.
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Жыл бұрын
Safi sana mpo vizuri Tanzania Up
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Hongera bongo sihami nilikuwa nampango wakuhama
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 Жыл бұрын
Ongera sana aisee mungu ibatiki Tanzania kwangu mm nashukuru hata kwa icho kidogo angalau.
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 Жыл бұрын
Nzuri!!! hii itabeba wachezaji waliyopata majeruhi
@travelwithme14
@travelwithme14 Жыл бұрын
Hongera kwenu vp kuhusu kp Motors
@petrondunguru6069
@petrondunguru6069 Ай бұрын
That is very good.
@odamssanga9025
@odamssanga9025 Жыл бұрын
Kwa kweli mbaka hapa, itaonekana Elimu inamaana, sio MTU anasoma Hadi chuo kikuu Ila anaishia kuuza nyanya, kwa kweli kwa hapa hata sisi ambaye hatujasoma Basi tunahamasika kusoma na kuwasomesha WATOTO wetu, kwa kweli Ni hatua nzuri Sana Sana sanaaaa! Anayekosoa huyo ndiye ambaye hawezi kitu, kwa ujumla wenye MAMLAKA mliunge mkono Hilo Jambo, bila kuogopa wakuu wenu wa Dunia. Amen.
@revocatuskato9474
@revocatuskato9474 10 ай бұрын
hii ndiyo maana halisi ya elimu ya juu,hongera sana
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 Жыл бұрын
Changamoto yetu kubwa sisi hua tunatengeneza vitu vingi sana, panapokuja kuleta ugumu ni bei. Niliwahi kujiuliza kwenye vitu vidogovidogo kama mafuta ya kupikia ya singida (ALIZETI) yanatoka kwetu hapa hapa na ukizingatia japo sio kwa umuhim kiwanda tulikua nacho karib na tulipokua tukiishi lakn bei ya mafuta ikawa juu kwa asilimia 14.29% kwa lita ukilinganisha na mafuta ya safi. Nachanganyikiwa nisielewe n nn shida hapo, duh! Mambo ya ajabu sana.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 Жыл бұрын
Bulunja, hata huoni ugunduzi, juhudi na mafanikio ya watanzania wenzako?!! At least wape pongezi then mengine baadae
@petrowashale1891
@petrowashale1891 Жыл бұрын
Yuko sawa wengi wamepongeza ye ACHA akosoe kwenye ukweliii unajua mataifa ya wenzetu kwasababu bidhaa zinatengenezwa home gharama sio kubwa mfano magari Kuna nchi Hadi znaweka restrictions kwambaa asubuhii wafanyakazi watumie magari ya umma na sio magari Yao kupunguxa folen .. LAKINI KWA TANZANIA GHARAMA INATOKANA NA KWAMBA VITU VINGI HATUTENGENEZI NYUMBANI.. TUNAUNGANISHA VITU AMBAVYO TUNANUNUA NJE.. HAPO NDIO CHANGAMOTO ZINAPOZALIWA
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 Жыл бұрын
Izo ishu ni kutokana na Kodi kubwa kutoka Serikalini kwaiy mwisho w cku mweny bidhaa atatak kufidia kodi yake kwa kufanya bidhaa yake iwe ghali ...
@englebertfilbert316
@englebertfilbert316 Жыл бұрын
Kuna dogo alitengeneza helicopter ......aliishia wapi....mwingine radio station ....aliishia wapi
@tanzaniahabarleotv1424
@tanzaniahabarleotv1424 Жыл бұрын
Kaka. Ni Bora watengeze gari zuri kwa bei wanayotaka huenda akapatikana mteja sasa gari la gofu kaka gofu mtu akishinda au kushidwa unajua? Ivi anaelimu Gani huyu jamaaa?Bora masudi kipanya
@phoncechriss
@phoncechriss Жыл бұрын
Big up for good work UDSM
@casmirymagonya548
@casmirymagonya548 Жыл бұрын
Mwanzo mzuri, hongereni sana UDSM
@husseinlatifa1443
@husseinlatifa1443 Жыл бұрын
Ninaiona kesho nzuri ya Tanzania, hongereni sana
@ibrahimmakonyola4905
@ibrahimmakonyola4905 Жыл бұрын
Safi san kk
@ezekielgwamaka9998
@ezekielgwamaka9998 Жыл бұрын
Hongereni sana hii ndio tz ya kisasa elimu kwa vitendo na maendeleo ya kweli
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ Жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzuri
@gozbertmahenge-gz6no
@gozbertmahenge-gz6no Жыл бұрын
hongereni Sana siomda mtabuni mabehewa ya SGR mkovizur
@luagampugusi8389
@luagampugusi8389 Жыл бұрын
Jitihada mzuri sana wataalamu kutoka kitivo cha maarifa🎉🎉,ombi langu ni muunge nguvu pamoja na kaka Masoud Kipanya na wale wa NIT team kulifanya swala kuwa endelevu.Pia naomba kufahamu haya wataalamu 1.Siku za mvua inatembea hii? 2.Inabeba uzito usiozidi kiasi gani kwa injini iliyopo? 3.Inaweza kwenda kwa speed gani ya juu zaid ikiwa na uzito wa juu wa kikomo kubeba?
@frenardadiemo6728
@frenardadiemo6728 Жыл бұрын
Hongera sana UDSM, hii ni hatua kubwa sana kama nchi, hii ilete changamoto pia kwa wataalamu wa umeme, electronics, computer na wengine kubuni vifaa vya made in tanzania.
@bakermusa9033
@bakermusa9033 Жыл бұрын
Hongera japo mmenichanganya tu kwenye frog light .hiyo ni ya UD pekee
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 Жыл бұрын
Hongeren sana ni hatua nzuri
@eveliuswilson7695
@eveliuswilson7695 Жыл бұрын
Matunda ya MAGUFULI kwa watanzania
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 Жыл бұрын
kazi nzuri sana ,,,
@cimpleweston6327
@cimpleweston6327 Жыл бұрын
ongeleni sana kazi nzuri
@ammoody8130
@ammoody8130 4 ай бұрын
Maashallah Maashallah Maashallah
@elwinmlaponi1084
@elwinmlaponi1084 Жыл бұрын
MUNGU ibariki Tanzania
@swamituisihaka2552
@swamituisihaka2552 Жыл бұрын
MaashaAllah! Pongezi kwao.
@johnsalem8236
@johnsalem8236 Жыл бұрын
Imekaaa powa sana hiyo big up kwa wanaume hao waloingia kazini
@uswegemwamakula6101
@uswegemwamakula6101 Жыл бұрын
Inatia moyo kuona kuwa vinaja wanaweza kufanya kitu kinachoneka,serikali itoe support
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 Жыл бұрын
Vizuri Sana watanzania
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Hongera sana sio wengine wamekalia umbea na majungu na uchawi na roho mbaya. Ila ona Tz uwa hawathamini hao watu utasikia Wazungu wamemchukua yuko kwao anaunda magari . Kuna wabunifu wengi ila Serikali ya mavi kunuka haiwathaminin, ndio maana mimi niliamua nijiondokee mavi kunuka nije Ughaibuni nitumie ujuzi wangu kwa watu wanaothamini ujuzi wangu .
@Goodluck-uf5um
@Goodluck-uf5um Жыл бұрын
Very good hii ndio tanzania
@FrancisRM-ex8vf
@FrancisRM-ex8vf 5 күн бұрын
Watu kama hawa serikali inatakiwa iwaangalie kwa macho matano kabisa, sio tu kutoa elimu bure ili watoto wakasome vita vya maji maji wakati havina mchango wowote kwenye maisha yao.
@fredducaunt
@fredducaunt Жыл бұрын
Uhalisia ni kwamba Ili kufanikiwa Inabidi kubadili mtazamo unaoathiriwa na utamaduni na desturi ambazo ni draining . Na pia kuwa na ari ya kuwrka uwepo katika mataifa mengineemgi na kufanya utafiti wa kimkakati Ila cha kusikitisha we belong to a culture that is incompatible with what we wish We live in a culture that constantly drains the desired changes Hali ya mzunguko wa maisha wa kawaida wa mtu Tanzania haifai kufanya madaliko yenye maana any time soon We are doomed by our culture Sisi ni professional consumers and we are good at it Kama kweli tutataka kupata maendeleo. There are 2 options 1 Kuachana na culture and tradition zetu Kitu ambacho hakiwezekani 2kuachana na CULTURE NA TRADITION ZETU No way out
@ibrahimmzungu3849
@ibrahimmzungu3849 Жыл бұрын
Hongereni sana
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Woohf big up Sana 💪 kwenu
@TimothyNtahali-hu1jx
@TimothyNtahali-hu1jx Жыл бұрын
Kutengeneza gari lenye umeme ni nzuri hata Kwa kutunza mazingira but inatumia charge km 100 ambayo ni ndogo inatakiwa angalau itembee km 300- 400 ndipo charge iishe.
@lucyluhaga783
@lucyluhaga783 Жыл бұрын
Kazi nzuri lakini Sasa mmeunganisha2 vitu vya watu..jaribuni namna nyingine
@simonmwashambela3233
@simonmwashambela3233 Жыл бұрын
Tupende vya kwetu aijalishi vimeunganishwa saw lakin wamejalibu na wanaweza sna
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Жыл бұрын
Mimi nimewapenda sana hao vijana, natamani sana ikawe mladi endelevu, ili kuepukana na magari ya mafuta,
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 Жыл бұрын
Nitahitaji gari moja.
@saidkuwingwa485
@saidkuwingwa485 Жыл бұрын
Huu ni mradi mkubwa sana hasa kwa watu wenye mahoteri hizi gofu car ni nzuri sana zinapunguza cost harafu unaweza kwenda na design yako ikawa ya kipee. MWANZO MZURI
@MeshakiSaidi
@MeshakiSaidi 3 ай бұрын
Nimekuku bari mungu agusaidiye usonge mbere
@kingngojea
@kingngojea Жыл бұрын
Napenda WATANZANIA wenye akiri kama ninyi najivunia sana kimataifa kua nanyi tungepata wengine kama ninyi babu kubwa
@abdalahsambala6667
@abdalahsambala6667 Жыл бұрын
Kanzi nzuri hapa next time ni kuboresha kweny body na interior desighn kuleta muonekano mzuri
@ahmedalshaibany
@ahmedalshaibany Жыл бұрын
Hii sasa ni gari, congrats
@msomaliwilliam
@msomaliwilliam Жыл бұрын
Mimi nimelipenda Sana hiyo gari inauzwa bei gani. Pia nawapa ongera sana
@user-pi6rk4mc2q
@user-pi6rk4mc2q Жыл бұрын
Bravoooo bravoooo Mungu azidi kutenda
@KawezaSeleman-zs6ng
@KawezaSeleman-zs6ng Жыл бұрын
Mmetisha pambaneni mnaweza
@georgemarwa6359
@georgemarwa6359 Жыл бұрын
Much respects
@georgenyasudi4060
@georgenyasudi4060 Жыл бұрын
This is very encouraging. But why make an ugly car even if it's for trial?
@gefreyazeki5158
@gefreyazeki5158 Жыл бұрын
Sio mdamlefu utasikia wazungu wanataka kumu endeleza bogo yamchongo ongeleni sana wazee mmetisha sana
@Happy-be8hh
@Happy-be8hh Жыл бұрын
Tanzania kuna vipaji wengi lakini serikali, haizingatii kabisa, ingelikua wanakusanya vipaji wote njini Tanzania na wakawaeka chini ya kivuli chao na kufanya ubunifu, ingelikua hii nchi ipo mbali sana
@mtaakwamtaa4425
@mtaakwamtaa4425 Жыл бұрын
Mm tangu nakua nsisikia udsm sio wa kufanya kitu kidogo kama hiki sasa huki unaweza kukishindanisha wapi daaah bado tena bado
@anoldel-math2322
@anoldel-math2322 Жыл бұрын
Nimechoka story kama hizi, ni kweli haya yanawezekana Tanzania hii hii ila sasa fanyeni production kweli isibaki tu kuwa story kama zingine tulizowahi kuzisikia. It is a shame that we import everything wakati tuna talents na Mungu katubariki. 😮
@machinefannatic99
@machinefannatic99 Жыл бұрын
hawajui kwanini hata marekani inatengeneza magari ya umeme china na sio marekani
@suleimanmohd.7197
@suleimanmohd.7197 Жыл бұрын
Watanzania tunatakiwa kujua kuwa kutengeneza gari sio ishu! Ila hio gari itatumia matetial yapi? Geabox munazalisha? Engen? Taaa? Stering? Dash bord? Kuchonga machuma sio tatzo. Ila hongereni.
@primeprinting948
@primeprinting948 Жыл бұрын
safi sana inaweza tumika town vizuri tu
@anthonymgina2253
@anthonymgina2253 Жыл бұрын
Safi Sana, mnaeshimisha Chuo.
@sifaelpyuza3422
@sifaelpyuza3422 Жыл бұрын
Good keep on
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
MTANZANIA ALIETENGENEZA GARI LINALOTUMIA UMEME "HATUENDI SHELI"
6:04