HATIMAE BARAZA LA WAISLAM LATAMBUA DHAMIRA NJEMA YA SHEIKH OTHMAN NA KUMPONGEZA

  Рет қаралды 37,476

OTHMAN MICHAEL ONLINE

OTHMAN MICHAEL ONLINE

3 жыл бұрын

Пікірлер: 590
@aishamalunkwi8316
@aishamalunkwi8316 3 жыл бұрын
Allah Akuhifadhi Shekh Othumani, sema kwer japo kua chungu, Darasa lako linafundisha sana na Allah akuhifadhi wala usijal maneno ya wanadam ,mti wenye matunda ndo wapigwa mawe👌👌👌👌👌👌👌
@jokhamsuya6088
@jokhamsuya6088 3 жыл бұрын
Shukran sana Sheikh Othman Michael Allah akupe subra tunajifunza sana kupitia vipind vyako tunakuelewa lengo ni kufikisha darasa kwetu. Allah akulipe ujira mwema tunakupenda sana kwa ajili ya Allah.
@omanbarka2053
@omanbarka2053 3 жыл бұрын
Sheikh othomani maico tunakupenda kwa ajili ya Allah kwaupande wangu najifunza mengi sana kupitiya clip zako Allah akuhifadhi nawalimwengu wenye husda endeleya kutuelimisha kwaajili ya Allah
@alsam4881
@alsam4881 3 жыл бұрын
Shukran Sheikh, mie napenda video zako kwasababu zinaelimisha jamii, hata hiyo video ya huyo mama katembea na mkwe wake inaelimisha pia, kwasababu kama kuna watu wana tabia mbaya kama hizo basi kwa sasa natumai watakuwa na hofu na wakwe zao na kukaa nao mbali, Mie naomba mambo yote mabaya yanayofanyika kwenye jamii ni bora yawekwe wazi tu ili watu waelimike,Maana kama ukweli hautasemwa na kuelimisha jamii basi maovu yatazidi kufanyika kisirisiri na maadili na tabia itazidi kuporomoka.Allah akupe wepesi ktk kazi yako Ameen 🙏
@afric01
@afric01 3 жыл бұрын
Aslm alkm wtw.... Allah amlinde smkinge na amuhifadhi Sheikh wetu kipenzi chetu. Tunampenda sana Sana Sana. Allah amzidishie nuru azidi kunawiri mbele ya Allah na viumbe vyake. Allah ampe umri wenye afya furaha na mafanikio duniani na Akhera. Huyu ni mcha Mungu hana neno wala hapatikani na jambo in sha Allah.
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Ameen yaraab alamiin.
@asiabeauty9851
@asiabeauty9851 3 жыл бұрын
Allah akufariji insha-allah shekhe wetu , pole na insha-allah biidhini lilah tuko nawe kwa ajili ya allah
@bintjasirbintjasir4175
@bintjasirbintjasir4175 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekhe wang walh nmeng unanyo kutana nayo allah akutilie weps kwa kila jambo tunanufaika sana walh tunajifunz meng kweny musamaha kariiim
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 3 жыл бұрын
Mungu akimpenda mja wake humuonja kwa mitihani .Mungu kampenda .
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 3 жыл бұрын
Kijana mstaarabu sana MashaAllah tabarakaAllah, Allah akuhifadhi daima
@ukhtyhalimaismailbakari4931
@ukhtyhalimaismailbakari4931 3 жыл бұрын
Hakika Sheikh ujumbe umefika kwa asilimia 💯 💯 Allah akuhifadhin🙏🙏
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi l
@halimayusuf1616
@halimayusuf1616 3 жыл бұрын
Mimi nahis amefanya vizur sana kwa watu tunao sikuliza Tunajifunza mengi sanaa shekhe Othma mola ndio atae weza kukulipa kwa mafunzo yalio Bora unayo jitolea kutuelimisha.🌹🌹🌹
@firdaus7428
@firdaus7428 3 жыл бұрын
Halima Sheikh wetu Allah amuhifadhi, aendelee tu kipindi kizuri sana cha msamaha , nchi za waarabu wanavo vipindi hivo na vinewafunza watu wengi ,Tz wapo nyuma sana haweshi lawama hazina msingi
@kebbyfadhili2800
@kebbyfadhili2800 3 жыл бұрын
Shekhe tunakupongeza kea jitihada zako, Ila kwa ushauri tu. Ukiona swala ni siri Sana Kama hili. Mtumie mtu mwingine ajifanye yeye ni shekhe na anasuluhisha. Kea utaratibu huo UJUMBE utafika na watu watapata mafunzo Kama ulivyolenga.
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
kabisa
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
@@kebbyfadhili2800 kwa hiyo unataka umchome mtu mwengine sio kifupi masuala ya siri ayasuluhishe kisiri yatosha mawaidha kuwa ukumbusho
@mahramarswad6041
@mahramarswad6041 3 жыл бұрын
Sura yake maskin ni ya unyonge imejaa nuru mashaa allah wallahi mie nampenda huyu shekhe kwa ajili ya Allah nimkweli
@nazbibabdullatif7972
@nazbibabdullatif7972 3 жыл бұрын
Allah akupe subra sheikh Othman Michael hata Mtume muhammad (s.a.w ) alipitia magumu sana ila Allah alimnyanyua nakumpa daraja kubwa snaa sikufananishi n mtume muhammad s.a.w ila nasema kwayale magumu aliyopitia kwajili yadini yake leo hii uislam umesimama kwajili yake so usichoke kufanya ivyo fanyahata kwasirisiri jua unamalipo yako kwa Allah inshaa Allah kwakweli mimi binafsi kupitia ile video nilijifunza sana sana mashaa Aallah
@gatohussein3996
@gatohussein3996 3 жыл бұрын
Kweli Mufti Shaikh othmani mumuruhusu ae ndeleze Dawa yake mpaka mwishe sababu yakwanza ana tufundisha sisi ote ulimwengu mzima vipindi fyake tunavifatilia na tumejifunza mengi kufatia uo mtandao wake osthma mungu akulipe mpaka siku zamwisho inshaallah mzazi analani mtoto wake mpaka una wa unganisha mzazi namtoto mtoto na mzazi baba na mama woote wakekufikia mpaka wana enda nawameridhika mwenyezimungu akulipe iyo ni Dua yangu kwako inshaallah
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 жыл бұрын
Jzakallah kher kweli ndo mana nlishangaa yule mama alikuwa siriaz sana dah allah awahifadhi
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 3 жыл бұрын
Pole sana Shekh kwa mitihani unayopitia Allah akupe subra🙏🏽. wala usivunjike moyo unatufunza mengi sana sana ,Hichi kipindi kiukweli kimenipa faraja sana.Tuko pamoja Shekh Othman ,nikiangalia vipindi vyako nikiwa Austria kutoka Kenya.❤️❤️❤️❤️
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Sheikhs Othuman Michael mungu akuzidishie kheri ishallah
@Saizultv
@Saizultv 3 жыл бұрын
Alhamndullillah shekhe ujumbe umefika Tena kwa asilimia 💯 na tumeuelewa....shekhe mungu akujaalie katika kazi yako ya Daawa inshaAllah. Nimeipenda Sana ile video niliifatilia mpka nikalia kwa kisa kile
@hamadmhchande5633
@hamadmhchande5633 3 жыл бұрын
Mie nimekuelewa sana sheikh wangu sema sisi wanadamu mara nyingi tunapenda kusikia tunavovipenda tuu ila ukweli ujumbe umetufikia. Nakukubali sana.
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Hamad unamkubali kwa kuwa ni sheikh wa bwana yesu asifiwe.
@Gift-cx1uo
@Gift-cx1uo 3 жыл бұрын
Wallah ata mimi lilinistu japo nilishasikiaga lakn nililia nikawaza mara Tatu tatu daah Allah akulipe shekh wetu tunakuelewa sna na limetufunza zaid maana hii kitu imefika mbali na imegusa nyoyo za weng wamepata hofu nakujifunza Allah akulipen mashekh wetu 🙏🙏
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Masha Allah
@allyhajj630
@allyhajj630 2 жыл бұрын
Wallah shekh othmn allah akulipe janna , sina meng yakusema zaid ya hilo makupa vzr sana
@munamuna7488
@munamuna7488 3 жыл бұрын
Shukrn na ww shekh kufafanua kwa undani Allah awajaze khery wote wawili
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 3 жыл бұрын
Jazakallah kheri 🤲Allah awahifadhi mashekhe wetu nawapenda kwa ajiri ya Allah
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi
@remtymsangi6365
@remtymsangi6365 3 жыл бұрын
Nakupenda shehe Allah akulipe kwa uongozi Bora,pia kunashehe anaitwa shehe Iddi huwa anapinga vitu vingi nakujiona yy ndio mjuzi wa dini kuliko wengine,
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
@ummuyusra8316
@ummuyusra8316 3 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu shekhe wangu odhuman
@rashidmahuba3079
@rashidmahuba3079 3 жыл бұрын
sheikh uthman sina cha kukulipa Allah atakulipa.kazi hiyo ni muhim sana umma umma wakina dada umeharibika na kubaki uchi kwasababu ya kuiga uchafu. hayo maigizo tutajitahidi kwapamoja kumuomba M.mungu swt. Allah atayadumisha.na yataleta nusra zaidi inshaallah.
@nadhirasalum1633
@nadhirasalum1633 3 жыл бұрын
MashaAllah sheikh you are good actors 👏 well done keep going Allah barik you ❤
@bintmhammad9557
@bintmhammad9557 3 жыл бұрын
Mimi naona ni Bakwata wanajaribu kufunikia hii story...bt naamini Shekhe imebidi tu atii kama hua unafatilia vipindi vyake utamuelewa vizuri...
@daliamtanganaki818
@daliamtanganaki818 3 жыл бұрын
Swadakta,
@zulekhasuleiman9197
@zulekhasuleiman9197 3 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Kheikhe wangu Othuman Michael nakupenda sana kwaajili ya Allah mungu akupe kheri duniani na akhera ujaaliwe mema ishalla
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi l
@furahaali3428
@furahaali3428 3 жыл бұрын
Shekh Michael nakupenda kwa Anjil ya Allah. Pole kwa mitiani.. Mola atakupa faraja kwa bidii zako. Shukuran jazillah.
@zolfanaser8116
@zolfanaser8116 3 жыл бұрын
Masha Allah. Allah akujaalie subra shekh mimi nimekuelewa san Allah akupe nguv in shaa Allah
@johaally669
@johaally669 3 жыл бұрын
Allah akuhifazi na fitina na akulipe kulingana na nia ulioiweka ni mawaidha tosha
@matswelopelemphela9676
@matswelopelemphela9676 3 жыл бұрын
Mimi Ni mkristo ila nampongeza Sana shekhe wetu mungu akutunze insallah akujalie nguvu na imani utusaidie wajawake .amani na upendo was mungu baba viwe nawe Amina.
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 жыл бұрын
Mungu akuongoze shekhe wetu tunakupenda kwa ajili ya allah
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 жыл бұрын
Fb watu wamemhukumu wanavyofikir wao mpaka dhana wamezifanya
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 wamemuhukumu sio vizur kwasababu hawana uhakika jinsi ilivyokuwa' tusikurupuke tuchunguze kitu tuwe na uhakika mungu ampe subira shekhe wetu
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 жыл бұрын
Unajua vitu vingine tujaribu kujadili Mara mbili mbili tusiishi na chuki ikatupeleka kwenye kupata dhambi,kuna hadithi moja nabii Mohammad s.a.w nimewahi kujifunza,kuna swahaba mmoja alikuwa kwenye sakarath limaut akawa anatamkwisha shahada ikawa hawezi akaitwa mama yake akamuuliza mahusiano ya yeye na mtoto wake akasema hana mahusiano mazuri,Mtume s.a.w akasema kwa hiyo kama hautomsamehe anaenda jahanamu sasa unaonaje Tumchome hapahapa moto mama aliamsamehe mwanae,sasa ina maana hili halikutakiwa kuwa sili kwanini limesimuliwa tena na mtukufu wa daraja,Allah anajua Nia ya mtenda jambo kama ni kuwafedhesha watu atahukumu hivyo na kama ni kuelimisha pia atahukumu hivyo,Allah aalaam
@khadijaqatar9080
@khadijaqatar9080 3 жыл бұрын
Ujumbe ulifika Sheikh ile video nililia sana, mashallah mashallah Mungu akuzidishie inshallah
@aidasanatu6425
@aidasanatu6425 3 жыл бұрын
Hakufanya vizuri dini Haina mzaha Ana Mambo ya ajabu mtume hakufanya comed
@fatmakhalfan8313
@fatmakhalfan8313 3 жыл бұрын
Mtihani, watu wanapenda kukurupuka tu kulaumu kitu bila kutafuta ukakika.Allah akulinde sheikh wetu na atakulipa kwa fadhila zako
@tumualiomar9792
@tumualiomar9792 3 жыл бұрын
Shekh shkraan ujumbe mzito umetufikia bkz yapo
@aishahassan2443
@aishahassan2443 3 жыл бұрын
Masha Allah mungu amekujalia shehe wangu...
@ashakombokombo1196
@ashakombokombo1196 3 жыл бұрын
Binadamu sisi tunachuki sana sheikh mungu akuongoze njema sana unatufunza mengi ila watu roho mbaya zimewazidi hata mimi nilichukia kwakukusema vibaya ikiwa dini inasema ukiona kwenzio ameteleza unavyoona wewe kakosea basi mfate au mpigia cm umwambie sio kuanza kusema ovyo ovyo
@aminaali2605
@aminaali2605 3 жыл бұрын
Kwa kweli inshaAllah shekh Allah akulipe kila la kheri.
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 жыл бұрын
Shaikh msituchanganye hayo mambo yalitokea na watu ni hao hao kwaiyo sasa mumefikia kutundanganya kilicho bakia hapo kma sheikh wetu tumuombe mungu atusamee sote pamoja na sheikh wetu inshaallah
@IMRANSTORIES136
@IMRANSTORIES136 3 жыл бұрын
Kweli
@hudiabdallah8265
@hudiabdallah8265 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah kheir ilioje hapo sheikh wangu uthman wallah nasema kutoka moyoni nakupenda kwa ajili ya Allah Mollah akuhifadhi na akupe umri mrefu uzidi kuifa jamii na uelimisha ummah
@fettyharoun1333
@fettyharoun1333 3 жыл бұрын
Allah akupe Faraj inshallah sheikh wetu me sijaona ubaya wowote zaidi ya kujifunza kila siku na ile clp ya yule mama na binti yake imemfanya dada angu jana kasema anaenda kumuomba msamaha mtoto wa baba mkubwa yani kasema kama tukio kubwa kama lile wamesameheana yeye ni nani mpaka wasisamehean mashallah nilifurahi sana kuona sheikh wetu umekua sababu ya wao kusameheana Allah akulipe zaidi na zaidi kaka angu 🤲🤲🌹🌹🌹
@zarnatmohd6635
@zarnatmohd6635 3 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah mashaAllah jazakallahu kheir SHEIKH OTHMAN MICHAEL ALLAH bariq
@asyaasya3766
@asyaasya3766 3 жыл бұрын
Sheikh shukran Sana kwa kutuelimisha tunajifunza mengi kupitia clip zako unachokifanya mi nimekipenda Sana, endelea kutuelimisha sheikh kwa kupitia hivyo hivyo unavyotufanyia kwa kutumia watu wengine kutuigizia visa vilivyotokea katika jamii
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Shekhe othnani mimi nilikua na kupenda mpaka sasa hivi nakupenda ila kwahili umeniumiza sana kwa nini utudanganye umetukosea sana Allah karim
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 3 жыл бұрын
Pole sana watu daiman wangojea pale ulipoteleza ili wakuangamize lkn Allah ndo kinga yetu na maovu ya watu
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Shekh Othman Michelle endelea Na vipindi watu wapate ilimu tumepata faida nyingi Kwa kilipu zako mzuri masha Allah
@ndabadugitsefuraha3342
@ndabadugitsefuraha3342 3 жыл бұрын
Shekhe otham endelea nahio kazi minapenda sana wallahi tunajifunza mengi hata naakili zetu zinafunguka mashaallah unatuondilewa ujinga tusipumbazike shekhe mie nakupenda kwajili ya allah
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 3 жыл бұрын
Mimi siku ile nimeliya sana niliyona ni ndoto 😢😢😢😢😢 ila tulijifunza mengi Sheikh Mungu hakuzidishe
@thamratsaid8526
@thamratsaid8526 3 жыл бұрын
Alhamdulillah sheikh ujumbe umefika Allah azidi kuwawafikisha Amiin
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Kumbe haikuwa kweli kwaiyoyote yale inakuwa nikuedit tu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Mm nampenda sna huyu sheikh na masheikh wote. Lkn km palitokea watu wakamrekebisha basi akubali kua alifanya makosa na sio aseme uongo. Wakt baadhi ya clip zake alikiri kua ni kweli na sio maigizo. Isitoshe alisema kua kuna baadhi ya watu wengine hawataki kuonekana mtandaoni na hawaonyeshi, na wengine aliwaonyesha na kuna clip moja nilishuhudia mpaka mtu kamkata kichwa asionekane. Sasa anaposema ni maigizo au anapolaumu waliomwambia inakua anakosea.
@sanyolee1396
@sanyolee1396 3 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Sio zote ni acting, ni Ile tu iliyosambaa
@nyembostumay7370
@nyembostumay7370 3 жыл бұрын
Allah ndie Mjuzi InshaAllah Hongera sana Shekhe Othman Michael
@Official83640
@Official83640 3 жыл бұрын
Mie wa kwanza niliona kuwa hii ni movies kabisa inachezwa Mungu akuzidishie uendelee kutuletea mengi Inshaallah
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Hizo movies maadam zinaleta mtafaruki basi ziachwe yatosha mwawaidha kua no ukumbusho atoe mwawaidha tu
@fatmaamaan3467
@fatmaamaan3467 3 жыл бұрын
Wallah mawaidha yataisha si Kwa hii njia aliotumia uongo
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi l
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Ee maskni mm nayaewa yote ile niklipu Na mifano akimpiga mwana fundi wake audhubillahi minashetani rajim matungu yao Na uhasidi hawaumi wala hawarambi waonyeshe hii msg yakutoka kwaswidq basi wa taamini tafsiri yao mbovu siwaanguwaji ndoto Ni mashekhe bure tuu nawakileta ushindani wape no+252618586935watsap aukawaida niwafungulie hiyo kilipo mtuu alofananishwa sihao mama namwana nimfanotuu napongeza endea kutuilimisha Kwa kilipu zako mzuri masha Allah wabillahi tawifiq
@yusranassor5084
@yusranassor5084 3 жыл бұрын
Yailaahy!!! Mambo ni mazto mno sheikh ikiwa lengo lk ni jema bac tafuta njia njema ya kutuelimisha isio na shubha ili usiingie ktk matatizo hayo mambo ya kuwaita watu na kutolewa mitandaoni ikiwa wanaecti au nikweli yote hayana haja ww tutolee tu maidha nasaha na vsa mbali mbali cc ttakuamini na ttakuckiliza kwa makini zaid; pole kwa yalio kukuta usikate tamaa wala ucvunjike moyo....Namuomba Allah mwema akupe wepec ktk kaz zk ztakazo kufaa hp duniani na hk twendako Mungu akulinde na mahasidi..Allahumma amiin
@user-wv2uy6iz5h
@user-wv2uy6iz5h 3 жыл бұрын
Pongezi shekh othman kwa kazi njema unayotufanyia ALLAH atakulipa,waja kusema ni kaziyao,ALLAH akuepushe na hasad na ain, akupe subra ya nguvu.endelea usivunjike moyo
@husnakh5136
@husnakh5136 3 жыл бұрын
Ya Allah naomba unisamehe... Mi nilifikiri ni Ria 😢😢😢 Allah akujaze kheir sheikh 💕
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
pia mm nilijua kweli
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
ila wamejitaidi kufikisha ujumbe
@ndabadugitsefuraha3342
@ndabadugitsefuraha3342 3 жыл бұрын
Shekhe othamna rudi kutupa maiwaidha ramadhani hi inakuja jnshaaalllah tunapenda mawaidha yako nia utulivu sanaa yarabiii .iyo clip misioni kosa kwani si dawaaaa mbo masoma ya dini tunasomaga tajwidi kila kitu kiko waziii mashekhe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@saadaalharthi9295
@saadaalharthi9295 3 жыл бұрын
Umefanya vizur shekh kwa sab umetufundisha sanaa
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 3 жыл бұрын
Asalam alykum warrahatullah wabarrakatuh shekh mkuu nimekuelewaa mnoo ni kwl kusitir Aibu ya mtu ina kher nying mnoo inshaallah...Allah amuongozee shekh wetu Othuman Michael maan kila jambo lina mitihani yakee alhamdulillah....tunaombaa uwe watutoleaa kama hadith tutakuelewaa biidhin llah
@OmanOman-gp7xm
@OmanOman-gp7xm 3 жыл бұрын
Pole sana shekh wetu mpendwa habibi othuman tuelimishe wengi tunakukubari usinvunjike moyo mie mwenyewe moyo wangu umeujenga insha allah
@saidiallii3449
@saidiallii3449 3 жыл бұрын
WAALAYKUM SALAAM WARAHMATULLAH WABARAKATUH Allah akuhifadhi yaa shekhe Akuepushie na husda za binadamu Na shari za kila pembe
@MalegesiMakunja
@MalegesiMakunja 3 жыл бұрын
Hongera Sana Shekhe, Allah akujalie buheri siku zote
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 жыл бұрын
Me nimemuelewa sana shekhe,tunajifunza,tunaelimika, Allah akuhifadhi,awahifadhi wote mashekhe wetu
@sarhasarhasalum4263
@sarhasarhasalum4263 3 жыл бұрын
Ndo maana yule mama mimi sijamuelewa yani alikuwa haoneshi Kama katenda kosa pia lakin mimi nimelia sana kuhusu ile video wallah😔Asante kwa ujumbe nakupenda kwa ajili ya ALLA shekh #othmani
@shakilashak3337
@shakilashak3337 3 жыл бұрын
Ndugu yangu pole san Allah akuhifadhi kwakila hali
@anitacizaa413
@anitacizaa413 3 жыл бұрын
ManshaAllah Shekhe Othman Allah akuhifadhi naatuhifadhi wote Nana amini Allah yupamoja nawewe .🤲🤲🤲
@asma6148
@asma6148 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi na fitna na hasad .siku zote ukifanya zuri binaadamu watakusema na ukifanya baya pia watakusema hatuna jema kwa kweli .Allah akupe faraja inshallah
@aidaabdallah2874
@aidaabdallah2874 3 жыл бұрын
Kwahiyo usuluhisho woote siyo kweli ni mv mimi sijaipenda kwa kweli bora ingekuwa movu ya kiislamu hopo kadanganya jamii
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 3 жыл бұрын
Mungu azidi kumuungoza ktk Elimu haliyo kuwanayo Maana dakhawa inawe ikafika kwa kila Aina Ila ujumbe umefika tunampendasana
@asmintambwe9547
@asmintambwe9547 3 жыл бұрын
Wallah wabillah Allah atakulipe shekh mie nakuelewa sana Hata niliposkia nilihudhunika kuona wanajaribu kukukashifu na kukuchafua ...
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 3 жыл бұрын
kwa jina la yesu na kwa baraka za muhammad (s.a.w) Allah atakufanyia wepes katika kazi yako ya daawa. amin
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Abdallah mmmmmh.we ni shida
@hidayamakuka5819
@hidayamakuka5819 3 жыл бұрын
Shukrani mashekhe wetu.mungu awaongoze kwa njia iliyonyooka
@Jasiminimansour6689
@Jasiminimansour6689 3 жыл бұрын
Maashaa Allah nimekuelewa sana shekh wetu, inapendeza sana mashekh wetu kupendana kama hivi jamani dah! Nadhani Allah amekuleta kwa makusudio yake kakupa akili ya ziada ktk kufanya haya mambo
@humairamajengo6616
@humairamajengo6616 3 жыл бұрын
Shekhe ujumbe tunaupata kwa kweli na tunajifunza binafsi huwa nalia kutokakana na klip zako Allah akutangulie misukosuko ni sehemu ya mwanadamu.
@salimomarmkapa
@salimomarmkapa 3 жыл бұрын
Nimuunge mkono mkristo mmoja hapa aliesema Sheikh aache unafki maana kweli sheikh Othman tunamuelewa sana na kama kunamtu anastahili kuombewa baraka za Mwenyezi Mungu ni Sheikh Othman. Mambo mengine tuache kabisaaa maana naona bakwata huenda na masheikh wengine mtaanza kumwaga polojo zenu hapa, nisema tafadhali acha kabisa Sheikh Othman aelimishe jamii maana haya yote yanatokea ndani ya jamii zetu.
@queentullues4321
@queentullues4321 3 жыл бұрын
I used physiology last week When I saw the video! I new it was acting on behalf of the true story iliotokea but at the same time it’s kind of odd it didn’t sound real or genuine since it was planed I think transparency is the key here knowledge is power it’s better to be done kwa maelezo radher than acting cenema on behind the cartons .. doesn’t work that way in social Media my fren mambo haya ni so deep na ni toxic sheikh hata uwe shekhe waina gani u cannot fix zena wala kusahau vitendo brutal mamma hii address something that I haven’t acknowledged sasa matokeo yake ni Haya.. I believe mambo kama Haya Kama hayo you need to use physiology , achia waowenyewe and mungu hakuna na mtu anaeza amua zinaa ama kutengeneza zinaa irud kua sawa laaa hukmu Hii ni ispokua mwenyezimungu watu ina hii wan aitwa TOXIC PEOPLE u can’t fix them Period.. hasa kwa jambo la zinaa ya familya trust me hata Ufanye nini sheikh toxic people is a toxic people period???? physiology you can talk help them on how to navigate life and help them heals there wounds specially the vyoung lady to move on with her life she needs to move far a way from toxic family lkhalass hapo you have done your part that’s it ... khalaass🙌🏾. Stay a way from deep toxic people the can turn your life upside down..stay on your line..
@aliy3303
@aliy3303 3 жыл бұрын
Allah baariq
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Mashallah
@ShaffikAbdul
@ShaffikAbdul 3 жыл бұрын
Hongera cana Sheik @Othman Micheal
@lutfiahassan2341
@lutfiahassan2341 3 жыл бұрын
Maashaallah shekh! Allah akuongoze! Mi nilijua upo kibiashara tu maana nimefuatilia video zako na nikaona kesi tofauti lkn sauti zinafanana! Lkn leo nimekuelewa vzr sana shekh wangu! Maashaallah!
@venerandamasunga6789
@venerandamasunga6789 3 жыл бұрын
Allah anajua niya ya moyoqako nikuifundisha jamii,inshallah mungu akuongoze ktk kila atua
@nailatanzania7376
@nailatanzania7376 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh othman Lakini ujumbe umefika na tumejifunza mengi sana jazakallahu kheri
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Wallah nimepitia hizi comment daah pole sana sheikh maana umeitwa sheikh uchwara mganga mshirikina tapeli ni bora ungesema tangu mwanzo kam unaigiza mm nakuamini wew si mganga wala si mshirikina hujawahi kutapeli Allah akupe subra
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Yule binti wa zanzibr alojiozesha je ilikuwa uwongo pia miminaona sielewi
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
@@sulemohd4812 itabidi sheikh aje upya atueleze jee video zote ni za kuigiza au baadhi wasiotaka kuonekana ndio kutumia watu wake kuifunza jamii kwa kile kilichotokea
@aishakinia4957
@aishakinia4957 3 жыл бұрын
Asalam aleykum warramathullah wabarakathu sheikh othman Michael Allah akuhifadhi kwa yale unayoyatenda... Ila kuna mambo mengine siyo ya mitandaoni....aibu inakuja kwetu waislamu.... Jaribu ku ficha siri za watu
@Jasiminimansour6689
@Jasiminimansour6689 3 жыл бұрын
Tunamuomba Allah Amsimamishe ktk Ikhlas ili akapate ujira wake mwema mbele ya Allah, nasi tukaingie peponi kwa yale anayotuusia
@mozuusuleiman4702
@mozuusuleiman4702 3 жыл бұрын
Unaonekana kua na simanzi usihuzunike ndio changamoto za maisha na kulingania kma unavojua Mtume Muhammad (SAW) alipata changamoto zaidi ya zako. Wewe ni mti wenye matunda hautaacha kupigwa mawe
@aminasaid7657
@aminasaid7657 3 жыл бұрын
Shekhe Othman Lazima utambuwe mti mzuri ndio upigwa mawe mimi binafsi najifunza mengi kupitia kipindi chako endelea na kzi yko na Allah yko pamoja nwe
@mohamedabdulla2559
@mohamedabdulla2559 3 жыл бұрын
Wallahi inasikitisha sana kwa jambo ambalo mtu anajitolea kwa ajili ya Allah halaf yake unaambiwa eti alikua akifanya maigizo anadhalilisha watu. Hiyo ni darsa kwa kutoa fundisho kwa watu wengine. Na naamini yale yaliyofanyika kwenye clip kuna watu wamepatana wamesameheana na wametubia tauba
@shuusalumu8618
@shuusalumu8618 3 жыл бұрын
Bwana yale nikweli sema amepewa onyo ,ila waelewa tumeelewa natuna kuombea shk Michael
@nailatanzania7376
@nailatanzania7376 3 жыл бұрын
@@shuusalumu8618 ni ya kweli wasitufanye watoto wadogo
@shuusalumu8618
@shuusalumu8618 3 жыл бұрын
Naila,bakwata wameweka maslai yao,hata usowake othman Michel unaonesha unyonge nahuzni ,mwenyewe hajaonesha kufurahia kuitwa msanii,jaman eti ilikua "maigizo"Allah amwezeshe mipango yake yakutufunza,amiiin
@nailatanzania7376
@nailatanzania7376 3 жыл бұрын
@@shuusalumu8618 kwa kweli Allah amuongoze sheikh wetu othman
@mohammadsuleiman6708
@mohammadsuleiman6708 3 жыл бұрын
Acheni wivu mashehe waserekali kwanza hmna shehe wa serekali kuna shehe wa mungu tu wote wivi mlokua nao tu uwo semeni ukweli mambo ya mana hamsemi mashehe wapo jela mbona hamuendi kuwatoa km mna ukumia na dini ynu njaa tu izo mnaona sheikh kakuzidini allah kamuinua unafiki tu
@halimasulaimani848
@halimasulaimani848 3 жыл бұрын
Assalam alykum waarahmatullah wabarakatuh!!! Sheikh Allah atakulipa khair kw unachokifanya naimani unafanya kw ajiri ya Allah!! Na hakika tunajifunza mengi! Maana ktk family zetu yanatokea🙏
@faizanassor6336
@faizanassor6336 3 жыл бұрын
Shukrain masheikh wetu allah awaifadhi awajaliye afya njema allahuma ameen 🤲
@najmasaidi1412
@najmasaidi1412 3 жыл бұрын
Ila binaadam mnamambo mengi sana aya mi nampenda shekhe othumani na mungu ampe umli mlefu inshaallah☹️☹️☹️☹️☹️☹️
@yusrambarouk313
@yusrambarouk313 2 жыл бұрын
Mungu akulinde
@mwanakitenge2667
@mwanakitenge2667 3 жыл бұрын
Mimi nimekuelewe sana shekh othuman kwa kujitetea kwako al muhimu sasa hivi wakija watu na matukio yao usiwaonyeshe sura zao ili lisije kutokea tena lingine ila mimi sina uhakika kama kweli ile movie
@aishakinia4957
@aishakinia4957 3 жыл бұрын
Shukran tumekuelewa sheikh kwa kutufafanulia..... Anw mengi yamesemwa kwa kisa hicho
@nasrascreativity3710
@nasrascreativity3710 3 жыл бұрын
Binadam bhana utafanya mema mia moja lakin ukifanya kosa 1tu itakua zani.
@hassanramadhan8978
@hassanramadhan8978 3 жыл бұрын
Wala hakuna kosa lolote ni wivu tu
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Ndio ubinadamu kazi
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
@@hassanramadhan8978 kabisa
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
ASALAM ALAYKUM WARAHMATU LLAHI WABARAKATUH SH. OTHMAN MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HATA MM SIKUJUWA KAMA NI IGIZO NA WATU WENGI HAKUJUWA KAMA NI IGIZO KWA USHAURI WANGU NAONA SIO VIBAYA KUWASHIRIKISHA WASANII WENYE UMA ARUFU WAO WAKAFANYA HIYO TAMTHILIA HALAFU WEWE UKAWA NI MPATANISHI WAO WATU WOTE WANGEJUWA KAMA HIYO NI TAMTHILIA YENYE MAONYO NA MAFUNDISHO. NA YASINGETOKEA HAYA YOTE HAKUNA UBAYA KUWASHIRIKISHA WASANII WENYE KUJULIKANA NA WEWE SHEIKH UKACHUKUWA NAFASI YAKO YA USHEKH NA NGOJA JIBU KTK KWAKO SHEKH NA KAMA NIMEKOSEA TUSAMEHEYANE.
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 3 жыл бұрын
Mungu akusimamie ktk kila hatua sheikh othman
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Amin ya ukhty
@MA-kh2lr
@MA-kh2lr 3 жыл бұрын
Aslm alkm.. Ki ukweli mm Binafsi sjaona tatizo juu ya sheikh anayo fanya. In fact niwapongeze team nzima.. Maana mume kuja na kitu kipya.. Mawaidha ya kawaida, suluhu na tiba. Hii yote kutuchangamsha waskilizaji tuwe na vipindi tofauti sio kila siku scenario iwe ni ile ile.. esp kwenye suluhu kwa kweli na enjoy sanaaa kuskiza kipindi hicho pia najifunza mengiii wallah. Napenda sana mnavoboresha vipindi vyenu. Lkn penye usawa lazma fitna na shari. Ndio mtihani wenyewe. Allah awahifadhi na fitna za kilimwengu.
@nduxmaryam
@nduxmaryam 3 жыл бұрын
Basi wangeeeleza watazamaji. Mbona walitengeneza kama ambaye ni ukweli? Angefanya darsa juu ya swala hilo badala ya kuigiza. Mawaidha yangetosha. Bado mimi naona twaingia kwenye soap opera ya ki aina yake. Viongozi wetu wa kiislamu tuchungeni. Wa billahi taufiq. Sheikh twakupenda lakini tafakari kidogo ....
@attunelson8828
@attunelson8828 3 жыл бұрын
Shehe mkuu acha unafiki,mwacheni shehe Othimani tunamwelewa sana hata sisi wakristo.
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 3 жыл бұрын
Karibu kwenye uislam
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 3 жыл бұрын
Mimi muislam lkn huyu mufti sio mtu mzuri
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Karibu ndugu
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 3 жыл бұрын
MashaAllah
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 3 жыл бұрын
Allah atakufanyia wepesi uijue njia ya haki
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 3 жыл бұрын
Leo sheikh wa mkoa nime furahi sana kwa kutambua kazi ya sheikh Othman hakika anafanya kazi nzuri sana ni vzr watu wajue mambo kama haya yanatokea sana kwenye jamii zetu
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Mimi niliona hiyo video na ilikuwa nzuri ya mafunzo kwakweli si vyema mama kutembea na mkwewe sheikh othman mwenyezi mungu akuzidishie mti mwenye matunda ndiyo hupingwa mawe wale wa kupiga simu na kunena mabaya ndiyo wanao tenda hayo maovu gizani allah awarehemu.
@maryummwenda5129
@maryummwenda5129 3 жыл бұрын
Masha allah shekh nimependa tumejifunza sana katka video vyako twakuunga mkono masha allah
@salha6596
@salha6596 3 жыл бұрын
Asalam alaykum warhamatulah wabarakat wabarakat du mimi nilikuwa nachanganyikiwa upande wa mwanamke matukio tofauti ila sauti ya mwanamke ni moja 🙏🙏
@mwanaidisaid7457
@mwanaidisaid7457 3 жыл бұрын
Mh yn jn nimeskiliza sn km matukio matatu tofauti lkn sauti moja
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Yule alie peana pesa na yule aliepiga kusema mumewe ndio ni mchawi na na yule dada wa kutoka Oman awkasema mama ni mgonjwa ana stock na miapo ya misaafu yani jamani mh
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 52 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 32 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 18 МЛН
DUA YA NABII AYUB (DUA WAKATI UKIWA NA MITIHANI)
1:10
Al Ihsaan Short Clips
Рет қаралды 553
UTAJIRI MKUBWA MAFANIKIO YA HARAKA SOMA DHIKRI HIZI
1:00:31
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 6 М.
HISTORIA YA MAJJINI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:48
arkas online tv
Рет қаралды 46 М.
MWAKA UMEISHA UMEFANYA NINI KUNDAA AKHERA YAKO?? KHUTUBA IJUJAA DAJJAL
45:31
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 52 МЛН