No video

HATIMAE ZEMBWELA AMEIFIKIA 'RULA YA MAJI' BWAWA LA KUZALISHIA UMEME

  Рет қаралды 11,001

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

HATIMAE ZEMBWELA AMEIFIKIA 'RULA YA MAJI' BWAWA LA KUZALISHIA UMEME
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 68
@user-cg9oz3rd5h
@user-cg9oz3rd5h 7 ай бұрын
Tumwombe mungu Taifa Liwe na vyanzo vipya vya kufua umeme.usiwe ni WA maji tu. Duniani KUNA technology nyingi.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 7 ай бұрын
Hivi kwa nini tumeshindwa kuwekeza kwenye large scale solar power project Tanzania? Hivi wahandisi wetu wana shida gani kuhusu solar energy? Nchi yetu ni kubwa na ina maeneo mengi ambayo tunaweza kuwa na solar power plants na wakati huo huo sehemu hizo pia zikatumika kwa kilimo! Ni shule ama ni nini kinasababisha watu wanashindwa kuwa wabunifu kwenye umeme wa solar wakati tunajua maji na ukame na climate change ni changamoto kubwa dunia nzima? Iwapo Waarabu pamoja na mafuta yao yote wanawekeza kwenye solar power, sisi ni nini kinatushinda? Tunahitaji kufikiria nje ya box! It is so sad!
@kamanda007
@kamanda007 7 ай бұрын
Mafuriko nchi nzima lakini bwawa limekauka, huu ni uhuni tuu wanajua wanachofanya, tuna gesi asili, upepo na jua zaidi ya mahitaji lakini hatuna umeme, ndugu zangu jitahidini mnunue solar muacahane na hawa wahuni wa TANESCO na wanasiasa njaa
@rashidmoshi8438
@rashidmoshi8438 7 ай бұрын
Huyuu mungu tunae muomba makanisani na misikitini sio mungu wakweri nilana kwetu waflika tuludini kwanye asili yetu ili tupate balaka zamungu Ila hivi hivi tuta vilana mno maendereo hakuna magufuli huko tuombee
@goodluckkapinga2677
@goodluckkapinga2677 7 ай бұрын
Ni bola tumejua ukweli sasa mbona wahusika walikuwa hawatuonyeshi tukajua waho ni mdomoni tu kuwa maji yamepungua kazi nzuri sana kaka zembwela
@florangido202
@florangido202 7 ай бұрын
Sasa na hizi Mvua za Nchi Nzima Maji yanaenda Wapi?
@kwisa4899
@kwisa4899 6 ай бұрын
May alisema wanafungulia
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 7 ай бұрын
Zembwera katikati ya upumbavu katika taaluma ambayo hakusomea anatumika katika kuhadaa jamii ya Watanzania,
@Estozanzibar
@Estozanzibar 7 ай бұрын
MAKAMBA NDIYE ALIMWAGA MAJI KWENYE MABWAWA WAKIDAI WANASAFISHA NA MATOKEO NDIO HAYA. BWAWA LIMEKUFA
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 7 ай бұрын
Sio kweli huo ni uwongo mkubwa tena zembwele nakuheshimu sana leo unatumika kuingia kwenye uhuni huo kwakulupwa pesa kuwavunga watanzania Mungu anakuona, kwa upungufu huo wamaji ninao ona hapo Wallah kusikungekua na umeme nchi nzima
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 7 ай бұрын
Hapo mmeenda kwenye kounga kingine amabako hakuna maji ili mtuvunge
@rajabus.kigwanigwa9788
@rajabus.kigwanigwa9788 7 ай бұрын
Zembwela Mbona hujahoji sababu za maji kupungua kiasi hicho?
@allymusira2153
@allymusira2153 7 ай бұрын
Asante sana kwa taarifa Lakini wapo wengi hawatohamini
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 7 ай бұрын
Hamna kitu magate yamefunguliwa maji yaende. Mvua yote hii unasema maji hayajajaa? Pelekeni upuuzi huko
@kamandashupavu206
@kamandashupavu206 7 ай бұрын
Nzuri bro
@mgazahabibu1596
@mgazahabibu1596 7 ай бұрын
Babu Zembwela unawapa meno wazidi kutukatia umeme rfki angu ungewambia watafute mbadala kusiwepo na mgao wa umeme
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 7 ай бұрын
Wezi hao mama fukuza Hawa mvua zote hizo yanaenda wapi
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 7 ай бұрын
Tumepigwa na kitu kizito sana mvuwa zote iz 😃 kuwen makin siku iz watu wameamka wameelimika sana uwez kuwafunga kamba mda wote wazifunguwa tu
@omarysaid8725
@omarysaid8725 7 ай бұрын
Ifike wakati tuachane na utegemezi wa umeme wa maji tuangalie na njia nyingine mbadala kama upepo na mvuke joto au sola
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 5 ай бұрын
Nikweli kabisa tunawalaumu Tanesco buure kabisa' kumbe tatizo ni ukame 😢
@daudbalele
@daudbalele 7 ай бұрын
Ni hatari - nawaza tuu " Kwa nini tusichimbe mirefeji mikubwa kutoka baharini turudishe maji kwenye hizi sehemu za kuzalisha umeme ili yajaze mabwawa then iwe kama cycle- mito baharini then baharini to mito. je haiwezekani?
@Zenny89
@Zenny89 7 ай бұрын
Bora kuhama tuu kama mambo yenyewe ndo haya..kha!!! Haiwezekani nchi inamatatizo ya umeme tokea Uhuru..🤣
@abdallahomary515
@abdallahomary515 5 ай бұрын
Hao jamaa huwa wanayafungulia maji then uzalizhaji unashuka, na hata kipindi cha jpm alisha lalamikia swala hilo na baada ya kukomaa nao umeme ukawa hausumbui
@jamessimba749
@jamessimba749 7 ай бұрын
Kwa akili zang ndogo hii tumekula script nzuri tu .wametengeneza kipindi kwa kifupi zembwela na sisi tumepigwa pamoja .hapo mtera tunapita kila siku sio wageni hapo mtera .tafuteni namna ya kutudanganya
@NDEWARA
@NDEWARA 7 ай бұрын
Bahati nzuri ujinga hausomewi shule. Pole sana 😂😂😂
@PaulJacko
@PaulJacko 7 ай бұрын
we jamaa mbona mjinga yani umewekew had video na bado huoni😂😂😂😂 kaa kwel kunawatu wajinga DUNIANI😂😂😂
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 ай бұрын
​@@PaulJackotuna shida kubwa mno mvua hizi hazi bado iringa na mbeya hazijanyesha
@rashidmakulo1075
@rashidmakulo1075 7 ай бұрын
Jamaa kam waziri frani iv jins anavyo hoji nakujibiwa dah
@mohamedsalum9465
@mohamedsalum9465 7 ай бұрын
acheni banaaa gesi ipo ya kutoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lkn hamtumiaa Si mmesema nawasha mega M 400 bwawa la mwalimu nyerere Wamefungulia hao mvua ni nyingi tanzania nzima
@roviykamage5423
@roviykamage5423 6 ай бұрын
Mhuuu haya sawa tuache lipite
@abasisapi5474
@abasisapi5474 7 ай бұрын
Hawajasema video hii ni ya lini!
@rashidmoshi8438
@rashidmoshi8438 7 ай бұрын
Maji Yana vujiswa au vp jamani Mana nvua ninyingi emungu basitu
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 7 ай бұрын
Sasa kwa nini wasinge jenga ,kwenye mto maji yanazalisha umeme yanaendelea na safari ya kimatumizi
@dullahchitemo2311
@dullahchitemo2311 7 ай бұрын
Workdone is equal to zero
@abdultandala6576
@abdultandala6576 7 ай бұрын
Akili mkichwa😂😂😂😂😂😂😂
@brunolwambano6752
@brunolwambano6752 7 ай бұрын
Tumepigwa yakutengeneza
@gervas58
@gervas58 4 ай бұрын
Hapo sasa ndio walipokosea kwani wazawa waliweka akiba ya maji sasa wao wakaona ni la kuzalisha umeme hapo nani anamakosa?
@konceptualagency4837
@konceptualagency4837 7 ай бұрын
Tuna gesi asilia
@dullahigogo1916
@dullahigogo1916 7 ай бұрын
Ndo hapo unajiuliza bwawa lingine linajengwa la kazi gani ikiwa yaliyopo bado hayajai maji inafikirisha sana
@user-fo2kz9ei8u
@user-fo2kz9ei8u 7 ай бұрын
Duh jamani 😮😮
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 7 ай бұрын
Mvua zote hizo yanaenda wapi ?
@omarysaid8725
@omarysaid8725 7 ай бұрын
Mbona kibwawa chenyewe kidogo na nadhani kimejaa tope hilo bwawa
@user-zw1fg6oh2v
@user-zw1fg6oh2v 7 ай бұрын
Si mu import stima uganda
@khalifayakubu3558
@khalifayakubu3558 7 ай бұрын
MNamwagilia vitaloo
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 7 ай бұрын
Ina maana nchi kubwa kama hii tunategemea kudra za mwennyezi Mungu? Aibu kubwa kwa Taifa wakandarasi wote wa nchi hii wameshindwa kupata mbadala wa umeme mpaka tusubiri maji kujaa? Hiyo siyo sababu ya mgao wa umeme waseme sababu nyingine
@omarysaid8725
@omarysaid8725 7 ай бұрын
Wataalamu wetu na wasomi wetu akili zimelala wakati tuna sehemu nyingi za kuzalisha umeme tuna madini ya uranium kwa ajili ya nyuklia wenzetu ndio wapo huko na ndio maendeleo hayo tuachane na utegemezi wa maji
@jacksonelieza160
@jacksonelieza160 7 ай бұрын
Mvua zinazonyesha maji si myavune
@msabahaali758
@msabahaali758 7 ай бұрын
kama umeme wa maji httzo kwnn tusitafite vyanzo vyengine
@user-bf6bc3wx5l
@user-bf6bc3wx5l 7 ай бұрын
emb tuache ujinga na tuwe na akili UWEZI NAMBIA NCHII HII TULIVYOENDELEA KIAS HIKI ETI TUNATEGEMEA CHANZO KIMOJA CHA UMEME ET MAJI MAJI MAJI WAKATI ZIKO NJIA NYINGI ZA KUZALISHA UMEME YAANI HII MIMI HAININGII AKILINI
@brunolwambano6752
@brunolwambano6752 7 ай бұрын
Angekuwepo baba RIP JPM tutaona mengi mpaka majenereta yaishe kazi kweli kweli
@roviykamage5423
@roviykamage5423 6 ай бұрын
Suluhisho ni kumwalika puttin atujenge vinu 4 vya nyuklia ili tuondokane na haya
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 7 ай бұрын
Wangapi wamemuona ngedere kama mimi?😅😅😅
@PaulJacko
@PaulJacko 7 ай бұрын
ngeder yupi uyo kafanana na wewe😂😂😂 mbon hatujamuon ngedele mwenzio
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 7 ай бұрын
​@@PaulJacko😅😅😅😅angalia vizuri kwenye video katika sekunde ya 15 -16,upande wa kushoto wa zembwela,kule kwenye miti na majani chini😂😂😂
@PaulJacko
@PaulJacko 7 ай бұрын
hahaha nimemuona DAAAH UNAONA Kinoma noma
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 7 ай бұрын
@@PaulJacko 😆😆😆🙏🙏
@HJ-wf2vi
@HJ-wf2vi 7 ай бұрын
Hii hujuma inakomeshwaje?? Km vyanzo vya maji vipo sawa sawa kiuzalishaji mpaka mafuriko yapo upstream inawezekana je hakuna maji MTERA DAM?? This is one of the rubbish interview ever seen Nchini why Zembwela hahoji km mwandishi zaidi ya kusikiliza maelezo km Waziri hizi?? Mvua zipo bwawa kavu daaah Hatareeeeeeee kinoma
@user-mw7xl2zc8f
@user-mw7xl2zc8f 7 ай бұрын
😂😃😃😃nchi ngumu hii
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 7 ай бұрын
Zembwela msituone wajinga kabla ya hayo mlisema kuna mitambo ilisumbua sjui mahitaji yamezidi, juzi tu zimenyesha mvua za mafuriko , mnakuja hapo kuleta stori za maji, kwa hiyo mzee sku hizi tujue kabisa wewe ni mtu wakutumika sana kusafisha au vp
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 7 ай бұрын
Mafuriko yalitokea wap mkuu
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 7 ай бұрын
@@FredMwamgogwa-td6ni mvua zilizotokea for the last two months ni nini zile
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 7 ай бұрын
Mafuriko yametokea wapi?maji ya uko yanatoka Mbeya na Iringa mvua za mbeya nizawakawaida
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 7 ай бұрын
@@frankngoloka5416kwanza uhitaji mafuriko kupata sufficient water optimum mvua tu zatosha ilo la kwanza ambazo zilikuepo pili kwanini tatizo isiwepo alternative ya kustream channels za maji huko tatu hatukuambiwa shida ya umeme ilikua ni insufficient water volume ila kuna shida za matengenezo leo tunaletewa hii ishu mpya .
@omarybebe8414
@omarybebe8414 7 ай бұрын
Rip JPM
@JosephAlex-dl9jx
@JosephAlex-dl9jx 7 ай бұрын
😂mgao tutakuwanao t
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 7 ай бұрын
je yalifunguliwa yakawa yanapita nimepata llamé wa mpaka mongol mpaka hice hivyo kuma maswali mengi R.I.P.JPM
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 7 ай бұрын
😂😂😂
@konceptualagency4837
@konceptualagency4837 7 ай бұрын
😂😂
EXCLUSIVE   ZUCHU AMNUNULIA GARI LA ZAIDI YA MIL 20 ANJELA
6:09
Wasafi Media
Рет қаралды 19 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 7 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 2,9 МЛН
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 10 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 7 МЛН