KONDAKTA "JOTI" MCHESHI KULIKO WOTE TANZANIA, AISHIKA TEGETA NYUKI - MAWASILIANO KWA MISEMO YAKE

  Рет қаралды 315,276

Wasafi Media

Wasafi Media

11 ай бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 212
@5starsmoviecenter714
@5starsmoviecenter714 11 ай бұрын
Nimefanya kazi ya conductor miaka tano Kenya mahali nimefika leo ni kujituma kutoka kwa kipato nilichopata kwa hio kazi ya daladala respect everyone hustle remember no one will bring food on your table or pay your bills
@josephstephen1079
@josephstephen1079 10 ай бұрын
Hongera sana kaka
@user-oz4gz8kq9e
@user-oz4gz8kq9e 11 ай бұрын
Anajua sana Mungu ambariki azidi kufanikiwa katika hiyo kazi Amen
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 11 ай бұрын
Mashaa allah anaipenda kazi yake kutoka moyoni ❤❤❤❤🎉 mungu aendelee kukubariki kaka yangu jitahidi ssa uwe na simu kubwa ujione unavyotrend uko mjini TikTok watu wanakupenda saana kka
@nyandaboy4432
@nyandaboy4432 11 ай бұрын
Smartphone anayo mbona
@user-of8cm5lr9k
@user-of8cm5lr9k 10 ай бұрын
.😊😊😊
@mwisabimkurya4830
@mwisabimkurya4830 10 ай бұрын
kwahyo hana simu. anatumiaga nin kurusha tiktok
@rehemasaadan3450
@rehemasaadan3450 11 ай бұрын
He is so passionate about his work.👏
@yusuphsaid7965
@yusuphsaid7965 10 ай бұрын
Abiria wote wamepingwa busu la upendo kwa safari ya Amani.Aisee much love sana
@edithamushi430
@edithamushi430 10 ай бұрын
Yaani natamani nipande gari yake kila siku! Maana hata una uchofu una relex! Big up kijana mungu akubariki
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 11 ай бұрын
Shabiby chukua huyo atupe Shangwe kutoka Dom -Dar
@gembesimba
@gembesimba 11 ай бұрын
Mabosi Wa magari makubwa akina shabby, Abood, nk. Wamuangalie huyu jamaa anakipaji cha ukonda atakusanya abiria Kutokana na ucheshi wake na atakua maarufu zaidi
@dottohami
@dottohami 11 ай бұрын
Mashaallh anapenda kazi yake huyu kaka 😍
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ 9 ай бұрын
Sure baby 😘😅
@MozaAlkhaif-dg9pk
@MozaAlkhaif-dg9pk 10 ай бұрын
Ila napenda anatangaza kila kituo mana km mtu mgeni inakua rahisi kufaham mahali washuka safiiii sanaaaa
@husnaameen9309
@husnaameen9309 11 ай бұрын
Anajua kusoma na kuandika sema hana sim kubwa inshaAllah atapata
@emiliusfrance8286
@emiliusfrance8286 10 ай бұрын
Anayo kubwa
@oscarmwailubi5078
@oscarmwailubi5078 11 ай бұрын
Hongera sana kijana
@marythomas7873
@marythomas7873 11 ай бұрын
Muhasibu Mungu akutunze sana
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 10 ай бұрын
I wish to meet this Guy he got talented Bravo Bravo Bravo brother 🙌
@stellah3844
@stellah3844 11 ай бұрын
Waooow❤❤😂😂😂,,,, Huyu akiwa konda bus la mkoan yaan hutaman ufke haraka uendako.
@kwinyaboytv2956
@kwinyaboytv2956 10 ай бұрын
Sema zembela ukipata muda nitafute me pia nishafanya hiyo kazi nilikuwa mcheshi sana na comedy kwa abiria sema enzi zetu smartphone zilikuea Bado hazijafika me gari yangu ilikuwa inafanya rout ya segerea mnazi amini usiamini Hila abiria walikuwa wanaisubiria stand wengine walikua wanchukua namba niwawekee siti na mpk Leo hao abiria japo nimeacha hiyo kazi lakn eananitafuta
@underratedspirit
@underratedspirit 10 ай бұрын
25:18 Gonga like kama umesikia ngoma ya Harmonize imekatwa juu juu wakati dereva amemgongea mwana ngoma yake inayomrusha zaidi
@malikzafarani172
@malikzafarani172 10 ай бұрын
Umeona eeh 👊🇶🇦
@ronnykid1484
@ronnykid1484 10 ай бұрын
hongera sana kaka furahia kazi yako ndivyo hivyo Mungu atabadilisha maisha yako kwa ufupi nataka nikutakie nafasi njema na Mungu akubariki
@hamisiadam1452
@hamisiadam1452 11 ай бұрын
Mungu akusaidie
@josephmakonga3201
@josephmakonga3201 11 ай бұрын
Jamaa namkubaligi sana kipindi anapiga segerea to kawe or Segerea to T.nyuki nilikuwa napenda nipande gari yake
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 11 ай бұрын
Na huy joti kweli😂😂😂vile vile mpak ufupi kla kitu jaman😂ila nmempend anajali kaz yake mashllah❤
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 ай бұрын
Hongera bro kwa kuipenda kazi yako
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 11 ай бұрын
😂😂😂kkahafua mazingiraa ,katupa ganda la chungwa chin sio kwenye bin,na kila konda lazima awe na bin.❤❤ila bado nampendaa tu😅😅😅😅
@Runkiller1
@Runkiller1 10 ай бұрын
Ili uwork hard ni must kwanza upende kazi yako 🎉
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 10 ай бұрын
Kazi ukiipenda nayo inakupenda
@FatnaHemedy
@FatnaHemedy 11 ай бұрын
Mungu ambariki😂❤❤
@oscaredward5228
@oscaredward5228 11 ай бұрын
Professional
@ChrisMwambeje
@ChrisMwambeje 11 ай бұрын
Safi aiseee👏👏👏👏
@florenceelikana3040
@florenceelikana3040 11 ай бұрын
Umenifurahisha sana dg
@shaffimjili1501
@shaffimjili1501 10 ай бұрын
Mwamba anaweza aseee.joti
@Victor-rb8yc
@Victor-rb8yc 11 ай бұрын
That's powerful
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 11 ай бұрын
So talented
@mtaakwamtaa4425
@mtaakwamtaa4425 11 ай бұрын
Zembwera ndugu yetu tumekuzoea hivi na huku ndo kunapendeza zaidi nakupongeza babu
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 11 ай бұрын
Mitaa yangu hyo Skanska Jkt na Mbuyuni nimepamiss kinoma Tanzania kwa ujumla. Anyway Muhasibu wa daladala piga kazi ipo siku utafanikisha jambo lako Inshaalah
@thureyaibrahim6991
@thureyaibrahim6991 11 ай бұрын
Mash allh allah azd kkubarik❤
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana na azidi kukuinua
@kilunjupolinah343
@kilunjupolinah343 10 ай бұрын
Mimi hapa pia I love you so much. ❤❤❤
@bensonjonas1437
@bensonjonas1437 10 ай бұрын
Unaweza jikuta unapitiliza kituo😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
@oscanyakunga
@oscanyakunga 11 ай бұрын
Vzur sana kuipenda yake
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 10 ай бұрын
mashallah yaani nilidhania joti OG AMEMPATIA VIZURI
@saidibambo4339
@saidibambo4339 9 ай бұрын
Hii inaitwa kuipenda kaz Yako
@magomakabanja480
@magomakabanja480 11 ай бұрын
Kazi Mbaya ni Wizi na Ujambazi na Utapeli Ndio Kazi Mbaya zaidi
@lailalaila8206
@lailalaila8206 11 ай бұрын
Ma sha allah kila mtu hanatakiwa hapende kaz yake
@felicianboss6953
@felicianboss6953 11 ай бұрын
Hapo abiria hawataman hata kushuka jamaa anaupiga mwingi sana°°apewe mauwa yake°°💜🌺🌺kuna konda kama huyooo tabata°°🥳🥳🥳🥳😁
@janatjumah8643
@janatjumah8643 11 ай бұрын
Ndo uyo uyo wa segerea
@felicianboss6953
@felicianboss6953 11 ай бұрын
@@janatjumah8643 😂😂oooh kumbe jaman anaupiga mwing sana °°
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 11 ай бұрын
Zembwela akili kubwa moja kati ya watangazaji naowakubali kwenye ubunifu, ila ukuwadi umekuharibia sana brother
@esaukalanje5378
@esaukalanje5378 10 ай бұрын
Sasa hapa akili kubwa ipi kumuhoji conductor au
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 10 ай бұрын
Dah maisha yanaweza kukuforce ukapita pasipotakiwa huyu hapendezi kuwa hivyo hayo angemwachia kitembe
@silviapeason8542
@silviapeason8542 10 ай бұрын
Nakuona mbali sana broo💪
@user-gp5wf2jd6p
@user-gp5wf2jd6p 11 ай бұрын
Chapa kazi kijana❤
@bahaticosmasi2665
@bahaticosmasi2665 11 ай бұрын
Tupge kaz Vijana namkubalig sana uyu mwamba
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 11 ай бұрын
Huyu Jamaa kama kweli kafanana na joti
@DigonzaKeimbe-uq1bx
@DigonzaKeimbe-uq1bx 10 ай бұрын
Salute joti ...
@MOHAMMEDABDI-lb7yp
@MOHAMMEDABDI-lb7yp 10 ай бұрын
Big up bro
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 10 ай бұрын
yaani huyo konda nilimuona mawasiliano😂 wow safi sana
@laurentwilson-db4ir
@laurentwilson-db4ir 10 ай бұрын
Good luck Life Job ❤❤❤
@brightonngola8142
@brightonngola8142 11 ай бұрын
ana fit kabisa kweny video ya mbosso ya sele
@nicolausmapunda9470
@nicolausmapunda9470 10 ай бұрын
Kabisa
@freeboytz-279
@freeboytz-279 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@DijaMriri-wc4qd
@DijaMriri-wc4qd 11 ай бұрын
Abiria nawapenda na hela zenu😂😂😂😂😂😂😂😂
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 10 ай бұрын
Km huna hela hupendwi
@DijaMriri-wc4qd
@DijaMriri-wc4qd 10 ай бұрын
@@m.mmarckus6298 😂😂😂😂
@twalibusaidshaban457
@twalibusaidshaban457 11 ай бұрын
Namkubal sana mshkaj ukipanda daladala yake una enjoy inshort
@kahwalambezi1688
@kahwalambezi1688 10 ай бұрын
Inapendeza kwa wote !
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 11 ай бұрын
Joti ampe nafasi
@ommimg2467
@ommimg2467 10 ай бұрын
C muda jamaa storia yake itabadilika hii ndio bongo bhn😊
@peterbuju5216
@peterbuju5216 11 ай бұрын
Safiii
@noeljacob9644
@noeljacob9644 11 ай бұрын
Huyo konda namkubali sana ingawa alishawahi kusepa na chenji yangu mwaka 2017 akiwa na daladala ya makumbusho to kibamba
@hijazhija316
@hijazhija316 10 ай бұрын
Msamehe
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 10 ай бұрын
2017 mpka Leo unakumbuka 😅😅😅
@maikokapelo5508
@maikokapelo5508 2 ай бұрын
Ametisha nae.zembwera.noma
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 11 ай бұрын
Hakuna kazi mbaya ,kazi kikubwa iwe ya halali na rispect 😂😂😂mtu poa sana
@jamesmanala3394
@jamesmanala3394 10 ай бұрын
😂😂😂
@bebebebe5677
@bebebebe5677 10 ай бұрын
Joty mtafte huyu jamaa ufanye nae kaz😂😂
@adambashir5000
@adambashir5000 11 ай бұрын
Sawa babu Zembwela akili nyingi
@MozaAlkhaif-dg9pk
@MozaAlkhaif-dg9pk 10 ай бұрын
Wangemtafutia 🎤 🎙 🎤 🎙 kurahisisha kaz
@theresiatemba3706
@theresiatemba3706 7 ай бұрын
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 11 ай бұрын
💪🏾💪🏾🔥🔥
@berthatz
@berthatz 10 ай бұрын
Napemda akisema mwenye wivu ajinyonge tafadhali🤣🤣🙌🏾
@amosmichael8986
@amosmichael8986 10 ай бұрын
Zamani alikuaga kweny gari za kimba shule makumbusho sijajua kwa sasa kuna siku nilipanda hiyo gari aiseee ilikua ni😂😂😂😂😂😂
@magomakabanja480
@magomakabanja480 11 ай бұрын
Naomba Wakutane Trafiki wa Vituko na Konda wa Vituko Hashikwi Mtu Mbona Itanoga
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂yaann
@rodgerskapingo4618
@rodgerskapingo4618 10 ай бұрын
Nilicho wasifu wasafi jamaa alivyoweka mziki wakakata kuogopa kulipishwa na basata kumlipa msaniiiii,,,Babu umetishaaa
@hafidhabdi2004
@hafidhabdi2004 11 ай бұрын
😂😂😂no stress
@jeijeinestory5977
@jeijeinestory5977 11 ай бұрын
🎉
@MozaAlkhaif-dg9pk
@MozaAlkhaif-dg9pk 10 ай бұрын
Haya nawewe mmmmmmwwwwaaaaaa😊
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen 11 ай бұрын
Kaka Zembwera ukamtembelee yule mtoto mlemavu ulie mpeleka shule na mh,Kumbi lamoto
@herryngalilila2403
@herryngalilila2403 10 ай бұрын
Ametisha sana
@arnoldkasoma886
@arnoldkasoma886 10 ай бұрын
Kidogo chetu, Kikubwa cha Bakhresa....
@user-kp9hr2cw1n
@user-kp9hr2cw1n 10 ай бұрын
nakubali
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 10 ай бұрын
Huyu na Joti wanaweza wakawa ndugu watafutane aisee
@ramadhansesala4891
@ramadhansesala4891 10 ай бұрын
Aliyesikia Nyimbo ya Harmonize imekatwa kama mm naomba likes
@johnmasha119
@johnmasha119 11 ай бұрын
Duuu deree punguza speed 😅
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 10 ай бұрын
nimemis home tegeta jamani ipo siku inshaallah
@evanamkondya4257
@evanamkondya4257 11 ай бұрын
Meme huwa nasubiliaga gari yake mapa naipanda ukiwa na .wanzo ya kudaiwa kodi ukipanda gare yake yote yana isha Ana furahisha sana mungu ambariki kaka huyo
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 11 ай бұрын
😂😂😂😂 kwanini Joti asimtafute afanye nae kazi.Kipaji anacho cha kuchekesha
@fredsonamosmujuni
@fredsonamosmujuni 11 ай бұрын
Huyu konda namkubali sana ukipanda daladala yake unaweza kupitiliza kituo make ni kukenua mwanzo mwisho tu hta ukimkuta kituon unataman gari lake lisiondoke kbs make si kwa mbwembwe hzo
@nadratmohammedabdallah699
@nadratmohammedabdallah699 10 ай бұрын
Ila anaendana sana na joti
@Official83640
@Official83640 11 ай бұрын
Na kafanana kweli na Joti😂😂😂
@richytarimo4656
@richytarimo4656 11 ай бұрын
kafanana na joti aisee
@jaymash3321
@jaymash3321 11 ай бұрын
Gari yake nimeipanda mara 2 juzi juzi
@barakawiseman5073
@barakawiseman5073 10 ай бұрын
TILISHO wamuone uyu jamaa
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 10 ай бұрын
Siku ukikutana na joti mwenyewe lazma patachimba sidhan Kama atalipa nauli😊
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 11 ай бұрын
Hujui kusoma wala kutumia smartphone 🙆‍♂️🤣🇹🇿🇬🇷⚓
@noonelike6382
@noonelike6382 10 ай бұрын
Jamaaa anakiharufu cha beberu 🐐 kinouma😂😂😂😂
@laurentwilson-db4ir
@laurentwilson-db4ir 10 ай бұрын
Mwaaaaaah
@kigutaman3695
@kigutaman3695 10 ай бұрын
Duh mzee unapiga lut y nyuk tulikuwa tuna enjoy snaa lud lut ya kawe segerea broo ucyee soma na maokotoo unayo dayle
@user-cheedycheedy
@user-cheedycheedy 10 ай бұрын
Asaivi tutamuona kaanchana na dalaldala mara tutamuona kweny move 😂
@user-ys5hl7ph8v
@user-ys5hl7ph8v 11 ай бұрын
Minakupenda ty 😂😂😂😂
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 11 ай бұрын
Mulelekezeni jamani kutumia sim Atoboe kimaisha jamani hadi raha Hakana anaezaliwa anajua
@bensonjonas1437
@bensonjonas1437 10 ай бұрын
Unaweza jikuta unapitiliza kituo🤣😂😂🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣
@THEBOSSofficiel90
@THEBOSSofficiel90 11 ай бұрын
Bro kama Mimi stend inanipitaaaa mbonaaaaa
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 107 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 50 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 108 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 93 МЛН
Mr Beneficial kwenye stage. Final Edition| CHEKA TU.
17:44
Cheka tu
Рет қаралды 1,5 МЛН
JIONGEZE MWANANGU
9:23
Joti TV
Рет қаралды 609 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
0:12
Laro Benz
Рет қаралды 31 МЛН
ПОМЫЛ МАШИНУ #shorts
0:26
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,4 МЛН
And how are they not embarrassed?
0:19
Rinuella
Рет қаралды 27 МЛН