Mo msimpe Tena Matola kocha msaidizi. Naomba sana.
@user-gn4cp2vq2yАй бұрын
Wawoooooo 😂😂...simba nguvu (1)
@gerowadamwandika669Ай бұрын
Asante Bosi wetu, mungu akubariki sana, Rudi kwa kishindo baba, Simba oyeeeeeee
@lahauonline217Ай бұрын
Safi sana mkuu karibu Tena tupo pamoja na tutakupa ushirikiano wote kila sehemu y Simba yetu inshallah Allah atupe afya njema na umri mrefu na uwezo wa kufanikisha hayo aaamin Simba oooyeeeeee....
@fredrickipembe8188Ай бұрын
Simba oyeeeee mooooo oyeeee mashabiki wa simba oyeeee
@edwardaugustino7177Ай бұрын
Matola asipewe kuwa kocha msaidizi .
@AtupeleNjella-cc2xiАй бұрын
Jipe moyo.5 zingine zaja
@user-gn4cp2vq2yАй бұрын
Mungu asikupungukie kwa lolote boss wetu
@user-ue3jx3by9iАй бұрын
Boss tunaiman na ww
@thomaskitemi3283Ай бұрын
Simba au wabongo bila ukali na maamuzi magumu .UWE mkali,kemea na bench la ufundi NI tatizo hao viongozi baadhi wanawatu wao pale ili kulinda baadhi ya wachezaji wao,au usajili WA kimadili
@BardenBensonMwamfupe-dk3ygАй бұрын
Very good Mo
@edwardaugustino7177Ай бұрын
🎉Matola mtoeni asiwe Tena kama msaidizi wa Benchi la ufundi.
@user-rq4fq4pw4yАй бұрын
Asante sana boss
@EvadeusGongeАй бұрын
Safiii xaana nimefrah xaana kuxikia hivyo
@edwardaugustino7177Ай бұрын
Msimpe Tena Matola kama kocha msaidizi kwani yeye ni Bora zaidi?
@frankphiri9132Ай бұрын
Mimi SI mwanasimba Ningeshamgaa usingemrudisha Try again kuwa mjumbe WA Board yule ni Simba mpk nyama yake siyo Damu TU
@bakaryally3518Ай бұрын
Mbona simba inarudi upya
@edwardaugustino7177Ай бұрын
Kumbukeni Kila kocha akija Matola ni msaidizi unakuaje apo..????????????.
@GaspaMwamlimaАй бұрын
Bosiiiiiiiiiiiiiiiiii
@Eliaskasanya-hm5ykАй бұрын
Maamuzi kama hayo ndo wana Simba walikuwa wanayasubiri kwa hamu sana. Babra naye arejee maana timu ilikuwa vzr enzi za uongozi wake
@user-tg7vq3ty8pАй бұрын
Togwa keshalitia maji, yaani Try Again anarudi tena kwenye Board?
@DM_15Ай бұрын
Ile cpa inas3ma itasajili wachezaji wanaopitishwa na bord yao wana hela gani zakusajili wao wenyewe wana njaa halafu wana mpaka matope tajiri 😂 tajiri hasemwihovyo hebu Ile CPA ikauze gengelake huko mbwinde
@LetasKomba-br1xhАй бұрын
Mo hakika wewe ni Simba Damu, tunakuomba usibabaike na mamruki wanaotumwa wakukashifu wewe Ili uiache Simba Ili wao wanufaike Simba Nguvu Moja.
@emmanuelHugo-eo1vfАй бұрын
ushaharibu leo unatufanya mafala weka bi zetu kwanza
@POWERMANGWANAАй бұрын
Kimya wewe utpolo bi za wapi
@user-lt2wb6hb9h28 күн бұрын
Matola kimeo Simba msimpe Tena uongozi, huyo ni msaliti,