Mbona hyo namba ya siri hujaisema!? Au ndo danganya Toto !?
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Anold tazama video kwa umakini sana ,kuna sehemu namba hii ya siri imeandikwa. Na tayari kwa video hii mshindi wetu ni Zuhura Nkii kama ulivyoona ameishacomment namba ya siri hapa hapa !!! Endelea kutazama videos nyingine kwani shindano linaendelea.