Msichana Mjasiriamali Tanzania kupitia kilimo

  Рет қаралды 150,506

DW Kiswahili

DW Kiswahili

5 жыл бұрын

Alianzia kilimo kwa kutegemea soko la nchi yake, lakini baadaye akakitanua kilimo chake na kuyalenga masoko ya kimataifa. Kwa sasa anauza mazao kama maharagwe na njegere hadi Ulaya. Ujumbe wake kwa vijana ni kwamba kuna fursa kila mahali

Пікірлер: 95
@nyanzalakaporo2504
@nyanzalakaporo2504 5 жыл бұрын
Hongera sana Hadija kwa kuweza kuthubutu , Umenitia moyo sana Mdada mwezio
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
Kwamba the Target one day Ni kumvuka Aliko dangote ,this is a great thought 😍😍😍 hongera saana
@kimsam5506
@kimsam5506 4 жыл бұрын
This lady is doing amazing i am a farmer from Kenya and i must say shes doing amazing
@m.mwanga3052
@m.mwanga3052 2 жыл бұрын
Hongera sana. You are my idol.. hata Mimi nimefikiria sana kufanya kazi hii.
@amenemhurt8817
@amenemhurt8817 4 жыл бұрын
All the best Khadija. God bless you!
@doramwakatwila2971
@doramwakatwila2971 4 жыл бұрын
Sawa Dada hongera sana
@yugakiyumbi9909
@yugakiyumbi9909 5 жыл бұрын
U deserve congratulations,
@dominiclengwavi432
@dominiclengwavi432 4 жыл бұрын
Mungu akubariki Khadija
@fredrickfrancis5591
@fredrickfrancis5591 5 жыл бұрын
Congrats madam
@yumnacute8079
@yumnacute8079 4 жыл бұрын
Watu bana😂😂😂 sasa hizo namba zitawasaidia na nn...amewafungua macho na ww azisha kama waweza. Biashara yingi sio lazima kilimo jamn... akili ni nywele kila mmoja ana zake.
@andy_the_great
@andy_the_great 4 жыл бұрын
Mbona kama wivu sasa wanawake kwa wanawake😊
@abdallahjuma7516
@abdallahjuma7516 5 жыл бұрын
Hivi vitu no rahic sana kuviongea ila kutenda ni habari nyingine
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 5 жыл бұрын
Abdallah Juma ndomana kasema changamoto zipo na anakabiliana nazo hajakwambia ni rahisi
@kadogorimwinyi1466
@kadogorimwinyi1466 3 жыл бұрын
Kikimo hakitumii akili nyingi kama kazi nyingine, tujielekeze huko
@ezekiangabo7040
@ezekiangabo7040 5 жыл бұрын
Hongera
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 4 жыл бұрын
Kwangu tatizo ni masoko nahitaji msaada sana tafadhali dada hasa kwa mazao hayo mawili
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 жыл бұрын
Unalima niini na unabuna kiasi ganin
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 4 жыл бұрын
Mashallah
@simonkarega2714
@simonkarega2714 4 жыл бұрын
Hongera,
@dismascosmas1441
@dismascosmas1441 4 жыл бұрын
Nakubali,,,
@milimomashini9432
@milimomashini9432 5 жыл бұрын
Goood perfomance
@MrGadau
@MrGadau 2 жыл бұрын
very encouraging
@phchouse
@phchouse 4 жыл бұрын
Jabil Hongera
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 4 жыл бұрын
Unani inspire sana my mentor thanks
@tatukaratatatukarata753
@tatukaratatatukarata753 10 ай бұрын
Hongera sana
@BarakaMichael-lt3vk
@BarakaMichael-lt3vk 9 ай бұрын
Ahsante sana
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 4 жыл бұрын
ongera sana bi Fatuma iyo ndio maana ya elimu.
@eddahhawa7471
@eddahhawa7471 4 жыл бұрын
Nakupenda
@LatifaSaidi-dn6wb
@LatifaSaidi-dn6wb Жыл бұрын
Habari dada natamani kupata no zako napenda kulima sana nataka kulima huko ntapaje mawasiliano mi niko tabora
@imanimwazembe4703
@imanimwazembe4703 Жыл бұрын
Namnba
@JosephGithui-rr4je
@JosephGithui-rr4je 9 ай бұрын
I'm. nakuru Kenya how can I reach you for.a visit am a young farmer I think big God bres you
@tumainituya6789
@tumainituya6789 4 жыл бұрын
Nimependa hii
@CatherineMassawe-pb2jd
@CatherineMassawe-pb2jd 20 күн бұрын
Duh
@magrethkimaro5140
@magrethkimaro5140 4 жыл бұрын
Interested
@josephgaitan989
@josephgaitan989 4 жыл бұрын
Kwenye mnyololo wa thaman kuna fursa nyingi ambazo kijana anaweza kuingia na akafanya biashara
@oscarngowi3118
@oscarngowi3118 2 жыл бұрын
Iko vizur
@hidayamvungi6962
@hidayamvungi6962 5 жыл бұрын
Namba Dada
@frankmagana4796
@frankmagana4796 5 жыл бұрын
hidaya mvungi
@LUKIKOALEX-jm5ev
@LUKIKOALEX-jm5ev Жыл бұрын
Pambana mama
@hezronmangulamangula9718
@hezronmangulamangula9718 4 жыл бұрын
Naomba namba zako s star
@johansenrauben6166
@johansenrauben6166 4 жыл бұрын
Naomba kuunganishwa na huyu mudada mjasilia mali
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Ila nyanya inalipa sanah tena sanah kinaweza kukufanya kuwa bilionea
@laurentdau753
@laurentdau753 2 жыл бұрын
Dada naomba nisaidie namba yako tuwasiliane zaidi napenda sana elimu ya kilimo🙏
@joharijj2164
@joharijj2164 Жыл бұрын
Hongera sana …mimi napenda sana ukulima na ufugaji katika pita pita zangu nilikuja nikakutana na post zake .nikamtafta nikapata number zake .soon I’ll bring my testimony inshallah
@Naseeha2
@Naseeha2 Ай бұрын
Habari. Naomba uniambie ulichojifunza kwake ama chochote alichokusaidia
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 11 ай бұрын
tatizo amuweki namba zenu za simu tungalikuwa tumekwisha waletea makampuni makubwa ya kilimo kutoka nje ya inchi.
@edsonsibuti6914
@edsonsibuti6914 5 жыл бұрын
Uyu mdada umooi 😬😬😬😬😬😬😬😬😬
@ireboysgang56
@ireboysgang56 5 жыл бұрын
nice
@nassorokeliyamali6324
@nassorokeliyamali6324 5 жыл бұрын
Watoto TZ Tv naomba namba zko plz
@user-dq3ck1lv7p
@user-dq3ck1lv7p 2 ай бұрын
Naweza kujitolea kwenye kampuni yako ?
@ibrahimmungure7493
@ibrahimmungure7493 4 жыл бұрын
Naomba mawasiliano Dada unishauri
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 3 жыл бұрын
Unataka namba Chukua hii 4😂
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 жыл бұрын
Namba zako mdada
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 жыл бұрын
Ziko kwenye matangazo yake ya kingereza mwangalie humuhumu
@johansenrauben6166
@johansenrauben6166 4 жыл бұрын
Mwenye mawasiliano yake please
@swabrinyawale8126
@swabrinyawale8126 5 жыл бұрын
Can u give your number.......? Mm pia ni mkulima wa nyanya ,tikiti n.k
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Jaman mtusaidie si tunamitaj lakin hatuna mashamba
@yonafedrick36
@yonafedrick36 4 жыл бұрын
Umeniinspire sana,kwan namm baada ya kuhitimu masomo nina lengo kuuanzisha kilimo.Npe contact zako tafadhar
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 4 жыл бұрын
Contact zake za nini ?? Huyu ni mke wa mtu , wabongo!!!!kisa wameangalia tako mate bwelele.dada tafadhari usitoe namba.hapa hakuna mkulima hata mmoja.hivi kilimo kisikiage hivi hivi.
@josephatmtweve6534
@josephatmtweve6534 Жыл бұрын
Naomba namba yako ya sim
@zawadishabani2589
@zawadishabani2589 Жыл бұрын
Dada umenifulaisha kusema tunaweza kuwa kama dangote tukko pamoja
@eliadimsaki9754
@eliadimsaki9754 2 жыл бұрын
Maharage huwa yanaoteshwaga na mbolea ya viwandani.?
@hezronmangulamangula9718
@hezronmangulamangula9718 4 жыл бұрын
Napenda Sana kilimo ishu mtu wakishilikiana nae
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Upo wapi nawewe niwa jinsi gani upo. Mkoa gani
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 10 ай бұрын
​@@user-po8hz7xw9jhello hi
@barakayohanasanga3005
@barakayohanasanga3005 3 жыл бұрын
Naomba namba za Dada Khadija,
@valentinajoseph5245
@valentinajoseph5245 Жыл бұрын
Naonba nije kukutembelea nigifunze nataka kurima
@evagasper4772
@evagasper4772 5 жыл бұрын
Tatzo ni mtaji mama
@missbees.companylimted4575
@missbees.companylimted4575 4 жыл бұрын
Kwa kwel
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Mi tatzo sijapata eneo la kulima
@HawaAmour
@HawaAmour Ай бұрын
Nini maana ya kilimo
@redemtamkemwa6067
@redemtamkemwa6067 2 жыл бұрын
Napataje namba yake
@editafrancis6154
@editafrancis6154 3 жыл бұрын
Nataman kufanya kazi na wewe umenvutia kwa juhud zako
@vumilialambert398
@vumilialambert398 4 жыл бұрын
Mi Niko Moro naomba mawasiliano ya Dada ili niweze kupata abc's
@vumilialambert398
@vumilialambert398 4 жыл бұрын
Yangu in 0658786895
@rahmahussein9627
@rahmahussein9627 Жыл бұрын
Mafunzo
@rahmahussein9627
@rahmahussein9627 Жыл бұрын
Nahitaji mafunzo
@abdulrahmanabubakarshariff9749
@abdulrahmanabubakarshariff9749 4 жыл бұрын
Shikilia hapo hapo utafaulu kabisa
@maningujohn1169
@maningujohn1169 4 жыл бұрын
Hongera sana dada.tatizo changamoto zinasumbua sana.namutaji nao ni wasi wasi basi dada
@hassannjiku3880
@hassannjiku3880 5 жыл бұрын
sagi
@hassannjiku3880
@hassannjiku3880 5 жыл бұрын
safi na hongera
@victoriadickson8771
@victoriadickson8771 5 жыл бұрын
Ongera sana Khadija
@alextzmmary5121
@alextzmmary5121 4 жыл бұрын
Mimi pia ni mtanzania, nalima kenya naishi dodoma, khadija hujatoa contact zako bhanaa, 0767434079 nitafute tufanye mambo makubwa zaidi
@yugakiyumbi9909
@yugakiyumbi9909 5 жыл бұрын
Naomba nitumie namba zako tuwasiliane,my email; kiyumbiyuga@gmail.com
@user-qs9rn2je4c
@user-qs9rn2je4c 5 жыл бұрын
hadija namba yako samahan sana nitaman sana kilimo
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
Nami pia kama hutojal tunaweza kubadilishana mawazo tuma no zako tuzungumze
@AfyaScore
@AfyaScore 4 жыл бұрын
👍
@AnthonyMrosso
@AnthonyMrosso 3 ай бұрын
Umbali wa kupana maharagemce hadi mch
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 21 МЛН
MAZAO 3 YENYE MUDA MFUPI ADI KUVUNWA
9:25
AGALUS TV
Рет қаралды 36 М.
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 10 М.
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 304 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, ..Julai 10, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 934
Das will Volt!
14:58
MrWissen2go
Рет қаралды 207 М.