HESHIMA KATIKA MAHUSIANO

  Рет қаралды 595

Mwl. JOYCE KISHA

Mwl. JOYCE KISHA

8 ай бұрын

Heshima ni kiungo muhimu sana katika kufanikisha mahusiano yenye Tija.
Ni wajibu wa kila upande kuwa na heshima kwa mwenziwe.
Lakini Biblia katika kitabu cha Waefeso %:22-33 inatoa maelekezo mahsusi kwa WANAWAKE/WASICHANA/MABINTI kutii/kuheshimu waume zao, wenza wao , Je umewahi kujiuliza ni kwa nini?
Huduma ya DAUGHTERS OF JERUSALEM kupitia Mwl Joyce Kisha inakukaribisha , njoo upate maarifa ktk eneo hili muhimu la Mahusiano
SHALOM SHALOM

Пікірлер: 1
@jeradmwamba6838
@jeradmwamba6838 8 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Asante Kwa mda wako na kuitikia mwito wa Mungu Kwa utumishi huu, Mungu anisaidie ili namimi nitumie Kwa nafasi ya wito wangu, haki nahitaji msaada wa Mungu nimeokoka ndio ila itakuaje Yesu akirudi na kunipata nimeitika ila sijatekeleza Mona nashindwa! Ee Mungu wangu nisaidie . Nashukuru Mungu Kwa ajili yako Mwl Joyce ukipata nafasi nikumbuke Kwa maombi nami nitaendelea kukuombea , hata watu wasipo comment usiache Wala kulengea nimeona kitu ulichopewa ubarikiwe katika jina la Yesu Kristo
JE UNAFANYAJE UNAPOKUTANA NA "MSHANGAO" KATIKA MAHUSIANO?
23:38
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 169
MAKUZI KWA VIJANA WADOGO (TEENEGERS) SEHEMU YA PILI
48:34
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 26
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
MAARIFA YA NYUMBANI KWA WAZAZI WA KIZAZI KIPYA
39:40
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 209
SEMINA YA MABINTI SIKU YA KWANZA. Mwal JOYCE KISHA.
29:36
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 2 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
16:41
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 3,2 М.
1. EPUKA MAKOSA HAYA KATIKA MAHUSIANO SEH 1 (PR DAVID MMBAGA)
29:22
ZIJUE FAIDA ZA KUWA NA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
17:13
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 202
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН