No video

HII NDIO SULUHISHO LA NDOA YAKO - SHEIKH. OTHMAN MICHAEL

  Рет қаралды 47,929

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

5 жыл бұрын

Пікірлер: 150
@sukumaganga2613
@sukumaganga2613 5 жыл бұрын
Hiyo ya mwisho mm naijua inasadia kweli naitumiaga mm 10000%
@abdulrahmanngaluma3768
@abdulrahmanngaluma3768 5 жыл бұрын
Sheikh punguza viapo ..... Riziki hugawa Allah mtukufu
@nafesamohamed7553
@nafesamohamed7553 5 жыл бұрын
MashaAllah jazakAllah kheri
@rashidabeid172
@rashidabeid172 5 жыл бұрын
Shukran sheikh ila tutajie bei zake tafadhali
@awazyhamisiawazyhamisi4109
@awazyhamisiawazyhamisi4109 3 жыл бұрын
Mashaallh allh akulike kila lakheli pia ukuzidishie umli mlefu akujalie mwisho mwema alahumm amin
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Jazakallahu kher shekh
@omanseeb8609
@omanseeb8609 5 жыл бұрын
Shukran shekh
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 5 жыл бұрын
Somo zuri sana ubarikiwe shekhe 🙏
@ustadhmusa2736
@ustadhmusa2736 5 жыл бұрын
Shukrani sheikh michael Dawa tutapataje waliopo kongo lubumbashi
@sumaiahamimu6705
@sumaiahamimu6705 4 жыл бұрын
Asalam waalaykum warhama tullah wabarakatuh. Mimi nayitwa Safia hamim. SHEIKH shukran kwa kutupa tiba ila fimbo yambali ayiuwi nyoka SHEIKH. Izo dawa ziko mbali yangu
@swalehesalim138
@swalehesalim138 4 жыл бұрын
Reohii ninaimani watajitokeza wafanye biashara wakila aina mungu akulinde sana kka ninaimani atafungua mirango yako yakheri
@abdallahhadaika2131
@abdallahhadaika2131 5 жыл бұрын
Mashaallah shukran sheikh
@nadiabakary1466
@nadiabakary1466 4 жыл бұрын
Asante Ustadh Allah akubarik
@asiaissa976
@asiaissa976 5 жыл бұрын
Waalaykumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh
@abibumubaraka5249
@abibumubaraka5249 5 жыл бұрын
Mawayida yakoni muzuri sana
@admakoga1871
@admakoga1871 3 жыл бұрын
Maalimu
@latifahassan6024
@latifahassan6024 5 жыл бұрын
Mashallah shukran Sana naomba maelekezo pakuzipata nahitaji tafadhal
@alimussa2655
@alimussa2655 5 жыл бұрын
Shehe mw mungu akuweke inshallh
@mimitijara4806
@mimitijara4806 5 жыл бұрын
jazzakallah kheri nitaipataje hii dawa shukurun sheikh
@hadijangina7025
@hadijangina7025 4 жыл бұрын
masha Allah Barak Allah
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 3 жыл бұрын
masha Allah
@omaryissa3965
@omaryissa3965 5 жыл бұрын
Shekh; Embu jitahidi kuwajibu wale wenye shida na hizo dawa Kumbuka umeweka biashara na unahitaji wateja sasa mbona unadharau wateja Kumbuka ukweli wako juu ya Mwenyez Mungu Umesema popote mtu alipo ataipata na ndomana watu wanaihitaji hiyo dawa.
@issakatety3535
@issakatety3535 3 жыл бұрын
Omary Issa kama utazipiga hizo namba basi hakika utasaidiwa haraka shida yako mimi ni shahidi kaka kujibu comment zote hawezi
@rkenea4262
@rkenea4262 5 жыл бұрын
Shukran sana
@muhamadhalimah5044
@muhamadhalimah5044 5 жыл бұрын
Masha Allah Tabaraka Allah sheikh...Jazzakallahu kheir...In sha Allah nitaitajia izo dawa 2 ulizozielezea lkn cjui ni pesa ngapi...Pia naitajika kukuona palipo majaaliwa January nna Binamu yangu ana tatizo la ki mashetani niseme. Ucku ana jipata anapigana na kujiuma ulini kwa dharubu bila kufahamu akiamka kicha cha muuma sanaa ulimi wote vidonda hawezi kula..mara huanguka na kupoteza fahamu nikuona in box in sha Allah sheikh ili tuone vipi utanishuri juu ya tatizo hili
@BinMowlana
@BinMowlana 3 жыл бұрын
Assalamu Aleykum warahmatulah wabarakat. Ninahitaji hiyo dawe nitawasiliyana vipi niko enje ya inchi
@aminamichael1706
@aminamichael1706 5 жыл бұрын
Ahsante shekh
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@mussadante7200
@mussadante7200 4 жыл бұрын
Mashallah
@jamilabadru5526
@jamilabadru5526 5 жыл бұрын
Allahamdulillah, Allah akujaze mie kutoka Kenya Nairobi in shaa Allah dawa hii itamsaidia saana Habib wangu.
@jamilabadru5526
@jamilabadru5526 5 жыл бұрын
Nitafanya bidii niwasiliane nawe ili ukipata dawa hii bi'idhinllah.
@hamisisudi5984
@hamisisudi5984 Жыл бұрын
mmmh ok
@montenomontana2935
@montenomontana2935 5 жыл бұрын
Jamani hamwoni nambari yake kwa screen ..mna kera..ipo hpo acheni kuzungumza vibaya...
@salimkadenge3231
@salimkadenge3231 3 жыл бұрын
Mashaallah
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 5 жыл бұрын
Mashallah Mashallah sheikh Othman leo umetufafanulia vizuri sana kuhusu mashakeel haya ya nguvu za kiume na dawa hizi umechambua undani wake..mungu akupe umry mwema and Amani Ameen yarab..bei gani dawa no 1 na ya pili ndogo??
@aishaamani9491
@aishaamani9491 5 жыл бұрын
Shekh nnaomba no yako kama hutojali inshaAllah mm nipo uk
@saidimasimba2850
@saidimasimba2850 5 жыл бұрын
mashaalla
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 4 жыл бұрын
Assalamu alayukum warahmatullah wabarakatuh Sheikh jazakallahul kheir kwa kutupa faida hii bora Mimi naitaka hio dhifuljisia lakn sielewi nitaipata kwa njia gani mimi niko kenya
@ramadhanibakariramadhaniba2599
@ramadhanibakariramadhaniba2599 3 жыл бұрын
Mm nipo daa na hitaj hiyo dawa nitaipataje npo maeneo ya mabibo makutano naomba unisaidie
@ramadhanibakariramadhaniba2599
@ramadhanibakariramadhaniba2599 3 жыл бұрын
Namba yangu 0655942744
@eliasmajambomwinyihaji1335
@eliasmajambomwinyihaji1335 4 жыл бұрын
duuh ustadhi mada ya leo nzur san
@makameabdallah6762
@makameabdallah6762 5 жыл бұрын
Mashaallah nakukubali shekhe wangu
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 4 жыл бұрын
Nataka hio ya kuongeza hamu ili niwe nampa mume wangu haki yake kila akinihitaji hua sijiskii kufanya fanya sana na yeye anakua anataka hio dawa naitaka kabisa sheikh wangu
@omarkhamis9514
@omarkhamis9514 5 жыл бұрын
Jazaaka’Allah Khair Sheikh Othman, Inshaa’Allah tujulishe Mombasa, Kenya tutazipataje dawa hizi? Nina marafiki wengi tukikaa wanaongea kuwa wana matatizo haya yote mawili. Narejelea ni watu wengi sana. Na wanatafuta dawa kama hizi. Imekuwa kama bahati mimi kuangalia video yako hii. Shukran tena!
@montenomontana2935
@montenomontana2935 5 жыл бұрын
Chukua nambari yake hapo..kisha mpigie uagize hata mimi nilagoza nikatumiwa hyo dawa
@kassimfarouk3050
@kassimfarouk3050 4 жыл бұрын
Mm nimemtumia pesa Leo 1700 wallah nilipotuma pesa tu simu zangu hawapokei tena na mwanzoni walinambia wana agent hapa Mombasa watantumia number zake ila mpaka sahii hawajanitumia wallah na mm Niko Mombasa kisha simu inapokelewa na sheikh then anapawa mwanamke ndio huyo anakwambia eti wana agent hapa Mombasa..sijaamini mpaka sahii sheikh mkubwa kisha iwe ni matapeli!!!!
@aishasuleiman7016
@aishasuleiman7016 4 жыл бұрын
Shekhe mkoa sehemu gan shekhe naomba uniambie
@saidimohammed2455
@saidimohammed2455 5 жыл бұрын
MASH Allah Mimi Niko Mombasa Kenya Jee Nitaipaje
@rahmamusavyimana9906
@rahmamusavyimana9906 4 жыл бұрын
💃💃🥰
@allyjuma8925
@allyjuma8925 4 жыл бұрын
mungu akujalie zaidi upo sehemu gani shekh
@allyahmed4014
@allyahmed4014 4 жыл бұрын
Nishawahi tumia ni 100% ndugu zangu hizo zote mbili ni shilingi elf 40 hiyo ya kwanza ni elf 25 hyo ya pili ni elf 15 nmeletewa mpaka Mtongani kutoka Kiwalani Markaz usafir ni Elf 5. Shekhe yuko real 💪👊
@jumakisusi9932
@jumakisusi9932 4 жыл бұрын
Inazuia kumaliza haraka?
@allyahmed4014
@allyahmed4014 4 жыл бұрын
@@jumakisusi9932 Yah masaa Mawili uko juu tu ukimaliza doZi yan unakua konki
@jumakisusi9932
@jumakisusi9932 4 жыл бұрын
@@allyahmed4014 hamna kitu nimeisha zitumia
@sadikimaira5567
@sadikimaira5567 3 жыл бұрын
SHEIKH MM NK MKOANI GEITA NAIPATAJEHY DAWA
@bigsomu6755
@bigsomu6755 5 жыл бұрын
Marshal kHz
@ashalaurent2465
@ashalaurent2465 5 жыл бұрын
Ni shngapi mim nasumbuliwa na kiuno
@komanyaamin6732
@komanyaamin6732 5 жыл бұрын
Shukuran
@musakarisa9449
@musakarisa9449 5 жыл бұрын
Naweza zipata vp
@khamiszungu271
@khamiszungu271 3 жыл бұрын
Sheikh nipo Zanzibar naweza kupata dawa kivipi
@hafidhyakoub5350
@hafidhyakoub5350 5 жыл бұрын
Hiyo indhal cio vumbi la congo mashehe wengine wanasema
@ayeshadada3850
@ayeshadada3850 4 жыл бұрын
Mashalla
@zahramunir8596
@zahramunir8596 4 жыл бұрын
Mashaallah may Allah bless you Amiinn yarrab
@ibrahimnzaro4250
@ibrahimnzaro4250 4 жыл бұрын
Sasa nitasipata vipi hizo dawa ,Mimi Niko kaloleni giriama
@mwavitaselemani6431
@mwavitaselemani6431 4 жыл бұрын
Shukran Jazeera namba za sim shekhee nitaipataje
@charlesthomas6279
@charlesthomas6279 4 жыл бұрын
Hiyo sio vumbi la kongo shee
@fatmanassor5382
@fatmanassor5382 3 жыл бұрын
We we mjinga wa mwisho ingelikua we je unaetangaza uambiwe ivo utajiskiaje Kima ww
@laylisaid9563
@laylisaid9563 5 жыл бұрын
🙏🙏
@zahraalmaady1096
@zahraalmaady1096 5 жыл бұрын
Mashaalla
@nasraalismailiy5188
@nasraalismailiy5188 5 жыл бұрын
Shukran sheikh wapi dawa inauzwa au wapi tunaweza kuipata
@assianiyonkuru6061
@assianiyonkuru6061 5 жыл бұрын
Mashaalah mimi niko mbali ntaipataje hiyo dawa
@mwantumumwantumu6889
@mwantumumwantumu6889 3 жыл бұрын
Naomba namba yako nashida Sana na kuugua navidonda vyaa tumbo.samahani kuenda nnje ya mada mdogo wangu
@liltanz2267
@liltanz2267 3 жыл бұрын
Asalam aleyku sheikh...kwanza shukran sana kwa darsa ya buree Mie nko istanbul Europe (TURKEY) Naweza kuzipata vipi ?
@failunaimba9774
@failunaimba9774 4 жыл бұрын
Mbon Mimi nikila asali tumbo linauma nn
@mwantumumwantumu6889
@mwantumumwantumu6889 3 жыл бұрын
Assalamu Aleykum warahmatulah wabarakat
@kadiriosmam
@kadiriosmam 5 жыл бұрын
Asalam alekum Niko Nairobi,naweza kupata hizo dawa aje?.
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 жыл бұрын
Sheikh Othman tatzo hzo msg hazijibiwi huko watsap
@rashidkamanza2759
@rashidkamanza2759 4 жыл бұрын
Mimi nko Mombasa nitazipata vipi hizo dawa.
@sadikimaira5567
@sadikimaira5567 3 жыл бұрын
SHEIKH INAUZWA BEI GAN HY
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 3 жыл бұрын
Asalaam Aleiqum , dawa hii yapatikana mombasa kenya
@sadikimaira5567
@sadikimaira5567 3 жыл бұрын
Hello
@zanzibarroyalchannel8699
@zanzibarroyalchannel8699 5 жыл бұрын
Hiyo dawa imetengenezwa Kwa nini ya pili
@bayaanhumud4328
@bayaanhumud4328 5 жыл бұрын
sheikh me bado ila biidhinillah nitakutafuta nikiwa tayari nimependa sana darsa lako
@QuranFirst610
@QuranFirst610 5 жыл бұрын
Asalam alaykum, hii dawa nitaipata wapi??
@zainabumercyme692
@zainabumercyme692 5 жыл бұрын
Dawa ya kwanza inatumika vipi na bei yake ni ngapi kwa senti za Kenya, nauliza hivi wanawake hafai kutuma hizi dawa au?
@hamisikassim3726
@hamisikassim3726 5 жыл бұрын
Asalam aleikum,sheikh ntaipata vipi hizo dawa zote niko dubai
@pacifiquemukanya1009
@pacifiquemukanya1009 5 жыл бұрын
Maalim hauna watsp
@kholaalmahrizi8525
@kholaalmahrizi8525 3 жыл бұрын
l
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 3 жыл бұрын
Inzaal yapatigana mombasa kenya ?
@dorisanyangoanyango8767
@dorisanyangoanyango8767 Жыл бұрын
Shelkh naweza Pata number yako plz
@Pichuselemanione
@Pichuselemanione 3 жыл бұрын
Kitoko 👍🏽🌷
@bablyroi942
@bablyroi942 5 жыл бұрын
Shekhe Niko south Africa nitaipata wapi?
@simaishariffoum9882
@simaishariffoum9882 4 жыл бұрын
Kila moja inauzwa shilingi ngapi?
@ramadhanramadhan3890
@ramadhanramadhan3890 5 жыл бұрын
sheikh nitaipataje iyo dawa
@muhammedomar584
@muhammedomar584 5 жыл бұрын
H
@suleymanhemed2607
@suleymanhemed2607 5 жыл бұрын
Sheikh naona nikuone ofsini kwako ni wapi??
@abuuhusseinmouhamed6983
@abuuhusseinmouhamed6983 4 жыл бұрын
Shekh naomba no yako ya WhatsApp
@karistkanuti2747
@karistkanuti2747 5 жыл бұрын
Mnachonikeraga watoa mada Wa you tube hamjibu maswali yetu,2nakuuliza sh ngap? Na 2taipate HUJIBU ,sasa MNA maana gani,kama vp hachageni kutoa matangazo ya biashara ubirini neno la Mungu tu
@selemanihamisi5747
@selemanihamisi5747 4 жыл бұрын
Dareslam kiwalan
@amosmwanga4027
@amosmwanga4027 5 жыл бұрын
Tunaipata vp Mawasiliano
@omartehseen2128
@omartehseen2128 5 жыл бұрын
Asalaam alaykum dawa hizo zinaweza nifikia nipo nje ya nchi
@othmanmichael1779
@othmanmichael1779 5 жыл бұрын
Naam
@QuranFirst610
@QuranFirst610 5 жыл бұрын
Tuta order wapi
@ramadhanramadhan3890
@ramadhanramadhan3890 5 жыл бұрын
na shingapi iyo dawa
@inosentmyumbo3266
@inosentmyumbo3266 4 жыл бұрын
Shekhe ntazipataje hizo dawa
@fahmiabubakar5654
@fahmiabubakar5654 5 жыл бұрын
Mashllh
@muniramunira1968
@muniramunira1968 5 жыл бұрын
Sheikh shukran Hiyo Dawa ni muhimu sana mm Niko ughaibuni nitaipatajee? Jazakallahu kheyra
@nyangeawari8335
@nyangeawari8335 5 жыл бұрын
Sheikh huo ni ukweli mtupu mwenyezi mungu akuhalie kheri
@abdanshakuranrajab9718
@abdanshakuranrajab9718 5 жыл бұрын
بارك الله فيك يا شيخ عثمان. Darsa liziri Sana..
@ashuraashura882
@ashuraashura882 5 жыл бұрын
Nataka namba yako ya whsp pls
@abdanshakuranrajab9718
@abdanshakuranrajab9718 5 жыл бұрын
@@ashuraashura882 +966561670130
@sukumaganga2613
@sukumaganga2613 5 жыл бұрын
Hiyo hata kahaba hawez kusitahimili mziki wake
@jumakisusi9932
@jumakisusi9932 4 жыл бұрын
We we unaijua?
@jumakisusi9932
@jumakisusi9932 4 жыл бұрын
Nimeisha yatumia hakuna kitu
@binshelabinnabah8613
@binshelabinnabah8613 5 жыл бұрын
Shekh ofc yko ipowpi?
@safiyasafiya5542
@safiyasafiya5542 4 жыл бұрын
Bugurun rozan nyuma ya stend ya daladal
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 5 жыл бұрын
Ni tsh! Ngapi?
@abdullazizimashallahmenahi5232
@abdullazizimashallahmenahi5232 4 жыл бұрын
Sheikh me nahitaji iyo dawa ya inzal no yng 0776808290
@fahmiabubakar5654
@fahmiabubakar5654 5 жыл бұрын
Number ya whtsp sheikh tunaomba na upo sehemu ya ofici ni wapi
@selemanihamisi5747
@selemanihamisi5747 4 жыл бұрын
Kiwalan
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 5 жыл бұрын
Zote mbili ni tsh. Ngapi?
@othmanmichael1779
@othmanmichael1779 5 жыл бұрын
saidi shekalaghe 30000
@munguakulipekilalakherisch8240
@munguakulipekilalakherisch8240 5 жыл бұрын
Mikoani tunapatje
@mkonokitmana9894
@mkonokitmana9894 5 жыл бұрын
@@othmanmichael1779 Unapatikana wapi? Au Contact zako
@othmanmichael1779
@othmanmichael1779 5 жыл бұрын
Mkono Kitmana 0652891126
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 5 жыл бұрын
@@othmanmichael1779 jee hii number yako ya whatsapp au?
@sukumaganga2613
@sukumaganga2613 5 жыл бұрын
Hiyo ya mwisho mm naijua inasadia kweli naitumiaga mm 10000%
@fakishaame6542
@fakishaame6542 4 жыл бұрын
Ndugu kwl unachosema maana wngne tumechoka kuchukuwa dawa lkn hatuoni lolote zaid watu kupiga pesa wakaenda zao
@hebertotanaely6607
@hebertotanaely6607 4 жыл бұрын
@@fakishaame6542 uyu shekh unavongea inawezekan kwel..vp aliyetumia jmn
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mashallah
@zaidatuurashidi2972
@zaidatuurashidi2972 3 жыл бұрын
Mashaallah
@inosentmyumbo3266
@inosentmyumbo3266 4 жыл бұрын
Shekhe ntazipataje hizo dawa
@mohdmahmoud4477
@mohdmahmoud4477 4 жыл бұрын
Mashallah
@ayeshadada3850
@ayeshadada3850 4 жыл бұрын
Mashallah
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Mashallah
@khadijakassim7264
@khadijakassim7264 5 жыл бұрын
Shukra , mim naomba numbar zako za wsp, nip nje ya nch ,ili niweze kuwasiliana na ww
@ntirenganyajeanbosco4713
@ntirenganyajeanbosco4713 Жыл бұрын
Unatmikiya vyashara yako inshini Rwanda?
KISA ÇHA MASIH DAJJAL NA MWISHO WA DUNIA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:16:18
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 118 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
سورة الكهف كاملة تلاوة خاشعه بصوت جميل جدا جدا  تفيض جمالاً Sourate al kahf Full
1:00:21
IREJESHE NGUVU YAKO ULIOZALIWA NAYO | KUFANIKISHA MAMBO YAKO | SHEIKH ABALQAASIM
32:20
MWANAUME BORA NI YULE ANAETAWALIWA NA MKE WAKE - SH. OTHMAN MICHAEL
34:09
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 47 М.
ZIJUE SITAKI NATAKA ZA MKEO - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
27:38
Kalamutz
Рет қаралды 9 М.
JE? YAFAA KUMRAMBA MKEO | NDOA | TALAKA | EDA | SHEIKH OTHMAN MICHAEL
54:25
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 258 М.
KIFO CHA MTUME HAYA NDIO MAAJABU YALIOTOKEA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:20:07
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 54 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН