Рет қаралды 260
Maswali na Majibu
Swali. Ni kweli baada ya Yesu kupaa mbinguni mitume walikaa miaka mitatu kabla ya kuhubiri injili.? Ni sawa kutumia neno hekalu badala ya kanisa.?
Usikose kufuatilia kipindi cha Historia ya Kanisa , Kila Jumatano saa 3 usiku, kupitia Radio Mbiu na Radio Maria Tanzania upate kufahamu mengi yanayohusu Kanisa Katoliki na Ukristo, kipindi kinacholetwa kwako naye Askofu Method Kilaini, Askofu mstaafu Jimbo Katoliki Bukoba na Mtangazaji Patrick P. Tibanga.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja