Рет қаралды 105,270
KWAYA MALKIA YA WATAKATIFU WOTE - KAMOI
PAROKIA YA KAPCHEROP
JIMBO LA ELDORET - KENYA
Wanatushirikisha kusikiliza wimbo huu unaoitwa 'Mchungaji mwema'
Ukiwa ni utunzi wake Steven Limila.
Audio na Video vimefanywa na HOLY TRINITY STUDIOS,
Kinanda Kimechezwa naye Baraka T. Mashibe Pamoja na mkufunzi wa Sauti Thomas Joseph.
KARIBUNI SANA tuweze Kubarikiwa na Wimbo huu.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital