HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018

  Рет қаралды 61,138

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Rais Magufuli leo tarehe 05 Septemba, 2018 ameendelea na ziara yake katika mkoa wa Mara ambapo amezindua mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Manispaa ya Musoma, kufungua barabara ya Simiyu/Mara - Musoma na kisha kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Mukendo Musoma Mjini.
Katika hotuba yake Rais Magufuli ameelezea kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa na viongozi wa Wizara, Mkoa wa Mara na vyombo vya dola dhidi ya mfanyabiashara Nyakilang’ani ambaye amelalamikiwa na wananchi wa Mwisenge katika Manispaa ya Musoma kuwa baada ya kuuziwa hoteli ya Musoma amezuia wananchi kukatiza katika eneo hilo wanapotaka kwenda katika mwambao wa ziwa Victoria na hivyo kulazimika kuzunguka umbali mrefu.
“Hoteli hii imechukuliwa tangu miaka 10 iliyopita, haijaendelezwa, wananchi wanakosa ajira, Serikali inakosa mapato halafu viongozi mpo mnamuangalia tu, huyohuyo Nyakilang’ani amepewa mradi wa maji wa mji wa Bunda huu mwaka wa 8 na mpaka sasa hautoi maji, viongozi mpo hamchukui hatua.
“Sasa nataka hoteli ya Musoma iliyojengwa na Baba wa Taifa kwa nia yake njema ya kuiendeleza Musoma ichukuliwe kwa sababu ameshindwa kuiendeleza” amesisitiza Rais Magufuli.
Rais Magufuli pia amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Mara kuwa Serikali itahakikisha inaujenga kwa kiwango cha lami uwanja wa ndege wa Musoma ili uweze kupokea ndege kubwa na ndogo, na kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Musoma haraka ili ifanane na hadhi ya hospitali iliyopo katika Mkoa aliozaliwa Baba wa Taifa.

Пікірлер: 31
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
BABA DUNIA ZIMA INAKUELEWA SANA MIMI NI SHAHIDI MWAMINIFU
@henrysterling5133
@henrysterling5133 Ай бұрын
Mungu akuweke mahara pema😢
@shabanrajab3559
@shabanrajab3559 5 жыл бұрын
Jamaa Yuko sawa duhh lahaja Zote anazipata duhh n
@mahmoudaziz6281
@mahmoudaziz6281 5 жыл бұрын
my president magufuli. nakupenda mungu ndo anajua. napenda kwenye ziara zako niuzurie lkn sina uwezo. nakufuati kupitia KZfaq.mi napenda utuongoze wewe miaka 50 tu. naisi akuna mtanzania yeyote atakae kwenda ulaya au nchi jirani kutafuta maisha.
@amannyanginywa9656
@amannyanginywa9656 2 жыл бұрын
Dah baba ety alienda nilimpenda sana
@joshuanjole578
@joshuanjole578 5 жыл бұрын
Hongera raisi wetu
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
Mambo ni hivi👏👏👏👏
@donyisrich2973
@donyisrich2973 5 жыл бұрын
Chapa kazi my prsident
@jilugalamarco9308
@jilugalamarco9308 5 жыл бұрын
do it and redo it tirelessly
@rashidiomary1324
@rashidiomary1324 5 жыл бұрын
mzee Mimi nakushukuru kwa kitu kimoja mwaka huu nacho ni kutomtumbua makonda, amefanya mambo makubwa sana tangu umteue
@philipojosephlukumay3965
@philipojosephlukumay3965 5 жыл бұрын
Sijui kama Watanzania wengi wanafuatilia hizi hotuba kwa umakini kama mimi🤓 Mimi naamini rais wetu JPM ni Mungu kamleta wakati huu Kama kweli gesi asilimia 70 inachukuliwa maana yake huo uchumi wetu hautokaa uboreke kama tutaendelea na mifumo iliokuwepo. Rais wangu endelea na moto huo huo watanzania wenye akili watakuelewa tu
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
Mimi nafuatilia nimeacha na shugri nyingine
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
Watu kama wote good kamanda LUGOLA UPO BABA
@jackhans7708
@jackhans7708 2 жыл бұрын
Ninakukuri mzeee na nitakukubali daima
@petermwenda5179
@petermwenda5179 5 жыл бұрын
I m a respect my President
@frankmganda116
@frankmganda116 5 жыл бұрын
Hakika ninge kuwa na uwezo kila ungekuwa unatembea mikoani ningekuwa na udhuria maana hotuba zako zote zinagusa maisha ya watanzania tulio wengi asa sisi masikini hakika tunaomba uendelee kuwepo niseme nini mzee
@abdulrazakyussef3177
@abdulrazakyussef3177 5 жыл бұрын
Baada ya second term, (ukiondoka) angaza macho ili upate Sokoine mwingine aje awe rais wa wananchi siyo wa ''wenye-inchi''
@maikomgimba7647
@maikomgimba7647 5 жыл бұрын
ubarikiwe baba
@trophainamagogwa9590
@trophainamagogwa9590 5 жыл бұрын
Lugha zooote unajua aise unafaa kuongoza
@kallahassan4896
@kallahassan4896 5 жыл бұрын
baba osijali tupo pamoko
@rashidiomary1324
@rashidiomary1324 5 жыл бұрын
ili kiongozi awe bora anatakiwa aingie gerezani kwanza asote akili ndo huwa zinakaa vizuri
@rashidiomary1324
@rashidiomary1324 5 жыл бұрын
watu wa musoma nyuso zao hazina stress
@toshindugwa1085
@toshindugwa1085 2 жыл бұрын
Sijui wapi watanzania hawakukuelewa,ila sasa maneno yako yanaishi ulivyojitabiria mwamba
@habilicharles4410
@habilicharles4410 5 жыл бұрын
Je ninani kama Magufuli? jibu hakunaaaaaa
@rashidiomary1324
@rashidiomary1324 5 жыл бұрын
kwanza mzee ungeanza na lukuvi yeye kwa nini hakuumaliza huo mgogoro
@samsomkaziyoba9958
@samsomkaziyoba9958 2 жыл бұрын
mm GI. Vi YMCA fadw
@leonviskb8012
@leonviskb8012 5 жыл бұрын
Tunawahona tunawahona munakula tu ubuyu ahhn subcriber chanily yetu pls
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
SHILA MPO WAPI KWANI
@mahmoudaziz6281
@mahmoudaziz6281 5 жыл бұрын
SHILAWADU COM go to hell. akuna umbea hapa.
@nasibumwanjalira293
@nasibumwanjalira293 5 жыл бұрын
ninachojua mpaka utakapomaliza mtawako mbeya huwezi kuja
@nasibumwanjalira293
@nasibumwanjalira293 5 жыл бұрын
nani alaumiwe kamasio chamachako
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA BARIADI - 08/09/2018
1:11:50
Azam TV
Рет қаралды 42 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 7 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 51 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 60 МЛН
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24
Azam TV
Рет қаралды 799 М.
BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 238 М.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
25:00
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 1 МЛН
World Cup 2010🔥 #football #worldcup
0:15
TalentWithSJ
Рет қаралды 3,2 МЛН
Neymar Skills 🤩🇧🇷
0:52
RptimaoTV
Рет қаралды 4,9 МЛН
Lamine Yamal & Williams 😍
0:18
Fearron
Рет қаралды 12 МЛН
금메달 기다리는 육상에 진심인 소녀 허들 100미터 챔피언 ㄷㄷ
0:11
SPORTS FULL 스포츠 풀
Рет қаралды 13 МЛН