No video

IFAHAMU HISTORIA YA DARAJA LA MTAMBASWALA LINALOUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI.

  Рет қаралды 44,466

HTv Tanzania

HTv Tanzania

3 жыл бұрын

Daraja la Umoja Mtambaswala lililopo wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara lina urefu wa meta 720 na upana wa meta 13.5 ni kiunganishi kizuri kwa nchi hizi mbili Tanzania na Msumbiji,daraja hili limezinduliwa rasmi May 12/2010 na Rais wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete na rais wa Msumbiji Mh Armando Emilio Guebuza lengo ni kuinua uchumi wa nchi hizi mbili, wazo la kujenga daraja hili lilitolewa na marais waasisi marehemu Julius Nyerere wa Tanzania na Samora Machel wa Msumbiji mwaka 1975.

Пікірлер: 26
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 21 күн бұрын
Mtosaaaa!!
@sultannassor9756
@sultannassor9756 3 жыл бұрын
hongera kwako mkuu umetujuza mambo
@hamzakimbengele6584
@hamzakimbengele6584 3 жыл бұрын
Safi sana umeonesha weledi wa hali ya juu katika kuelezea historia na Mambo yote kuhusu hili daraja inabidi wakuongezee kazi ya kulitangaza na kuongoza watalii wa sehemu hiyo!
@cidewashington467
@cidewashington467 3 жыл бұрын
We mzee wa uhamiaji nimekuelewa ,ila inabidi wakupe na kazi ya mambo ya utalii maelezo yako yanajitosheleza
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 3 жыл бұрын
safi sana asfa hii ndiomana halisi ya afande Tanzanian najivunia
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Жыл бұрын
Ni kweli,kutoka Tanzania kwenda Afrika kusini kupitia msumbiji Ni rahisi na karibu kuliko kupitia tunduma,shida Ni usalama maana msumbiji haijatulia.
@faqueabdala4099
@faqueabdala4099 3 жыл бұрын
Sawa mh tumikwelewa
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
Maduwi wafrika watafurahi kweli sasa vita navuguru zimasha anza msubiji mauaji.kuchoma nyumba yukimbizi wavijiji jiulizeni sasa Hao yanatokea wapi? Eti kuna majihati wadini wakati ambao msubiji tokea uhuru mambo ya dini wakuni lakini sasa hivi pétrole n'a gaz zimepatikana kwahio lazima vurugu navita zingie au zianze sasa
@ashirafukitololi540
@ashirafukitololi540 Жыл бұрын
Na hao wenzetu wa msumbiji wawe Sirius daraja limefunguliwa zaman hadi leo wanasua sua kwenye kukamilisha barabara upande wao hii ndo Africa yetu duh....
@blazingsaddle7492
@blazingsaddle7492 2 жыл бұрын
Tanzania ni nyota ya afrika mashariki
@hamisilukanda4725
@hamisilukanda4725 3 жыл бұрын
Jamaa alisomea uwandishi wa habari maana anavongea
@s33dm20
@s33dm20 3 жыл бұрын
Kikubwa huyu jamaa napenda anachokifanya na ana ueweledi wa hali ya juu. kama hauna interest na kazi na upo upo tu basi huwezi kuwa deep huyu jamaa anaelewa sana kazi yake
@hamisilukanda1008
@hamisilukanda1008 2 жыл бұрын
Yupo vizuri katika kuwelezea
@ashirafukitololi540
@ashirafukitololi540 Жыл бұрын
Daraja limeisha toka zaman mbona hatuon taa za barabaran hata kwenye daraja lenyewe au ndo kipind hicho cha serikal za wapigaji , bora liende tuu sio kiwango cha kizalendo
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 2 жыл бұрын
Hawajengi tena
@keagleeagle821
@keagleeagle821 3 жыл бұрын
Afisa unatiwa upewe na idara ya utalii
@anthonyvitulis5174
@anthonyvitulis5174 3 жыл бұрын
Naww ukienda kutalii
@kanikionlineTV
@kanikionlineTV Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/e96ambaZ2JO-YIk.html baadhi ya maeneo ya mkoa wa tunduru taarifa ambayo imetolewa na moja ya viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema mara baada ya benderea zao kuondolewa katika baadhi ya maeneo mkoani tunduru kzfaq.info/get/bejne/e96ambaZ2JO-YIk.html
@yaqoobalhinai3805
@yaqoobalhinai3805 3 жыл бұрын
C.c.m kila kitu kwao ni utalii hatadaraja ni utalii kazi ipo
@paulpalapala7043
@paulpalapala7043 3 жыл бұрын
Sawa mkuu
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Tupe maana ya utalii kwa wwe unaefahamu Hivi unajua wazungu unajua wanakwenda chi flani kwenda kutalii utalii wao mkubwa sehemu za siri za wanaume sasa sijui wwe unamaanisha utalii unaanzia wapi😅😅😅 Kila kitu ni utalii inategemea kimeboreshwa vipi na sio lazima wwe ujue ila kuna wanaojua maana ya utalii hata wwe mwenywe watu wanakutalii
@fatmaali2050
@fatmaali2050 3 жыл бұрын
Utalii kwa hilo daraja huko ulaya kuna madaraja tele mazuri
@hemedimangole9231
@hemedimangole9231 3 жыл бұрын
Afisa unaeleweka vizuri sanaaa
@barakachawe6241
@barakachawe6241 3 жыл бұрын
Hilo daraja lina mito kama hiyo yenye wanyama kama mamba na viboko, na vinginevyo vilivyopo na vinginevyo vya utofauti vilivyopo hapo. Acha kuwa mpinzani kwa kila kitu hao marekani na uliowataja wana madaraja mazuri ya kisasa kutokana na level ya technology yao ila je yana vivutio kama hivyo..
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 6 ай бұрын
Nenda bac huko Us lkn sisi tutabakia hapahapa Tanzania. Hatutaki vya wazungu. Sisi tunathamini yetu.
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН
Maajabu ya Daraja la Mungu na Simulizi ya Kusisimua ya Nyerere na Warusi
14:50
Zus ziet emotionele hereniging Urker gezin in Duitsland
1:24
Omroep Flevoland
Рет қаралды 51 М.