FULL VIDEO: DARAJA LINALOHAMA KUTOKA TANZANIA HADI MSUMBIJI "WACHINA WALIJENGA USIKU"

  Рет қаралды 68,095

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 41
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Maskini kwa mfugale watanzania tulipoteza mzalendo.🙏🙏🙏
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 10 ай бұрын
Yule Mzee alikuwa noma Kwa michoro
@asserimsechu7872
@asserimsechu7872 Жыл бұрын
Hivi munashindwaje kuunganisha sauti na picha? Nyie ni channel kubwa ila hii kitu inakera sana kwa sisi viewers
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 Жыл бұрын
injinia mfugale mungu amrehemu alikuwa vizur
@esiliarthurmwaisango9146
@esiliarthurmwaisango9146 Жыл бұрын
Wow nzuriiii
@daudmtange8005
@daudmtange8005 Жыл бұрын
Hayaa tena wanguu wazee wa Mozambique,maputo ,kabuluu Kama nawaona vile boda letuu ,✌️✌️
@misschagga8042
@misschagga8042 Жыл бұрын
Kuhama kwa daraja sio hicho nilichokiona hapo ni kutanuka kwa vyuma wakati wa joto na vinarudi wakati wa baridi.Na pia kwanini msiwe mnatuonuesha tukio lilivyo mnakazana kuonyesha sura za watu na mazingira badala ya hilo tukio????
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
RIP Eng. Mfugale.... & W.Mkapa Wazalendo wa kweli..... Watawala wa Leo wanajenga chumi za familia zao Kwa Kasi kubwa. Uchumi wa nchi ukijengwa Kwa Kasi ndogo...iwe heri Kwa watz
@khamiswavuo4873
@khamiswavuo4873 Жыл бұрын
Linakimbia yalingumu ya maisha ya tz
@johnmlay4759
@johnmlay4759 Жыл бұрын
@@khamiswavuo4873 🤣🤣🤣🤣🤣Kaa saivi limehamia malawi
@Myplusbee
@Myplusbee Жыл бұрын
Jiwe la Msingi limeweka Oktoba 2005. Kimsingi waliojenga hilo daraja ni hao hao unaowaita "wanajenga chumi za familia zao"! Wewe itakuwa Mfuasi wa JPM manake ni Wafuasi wa JPM ndio wanadanganyana kwamba nchi hii wengine wote hawakufanya kitu isipokuwa JPM na kidogo Mkapa! Hapa ulitamani sana lingetajwa jina la JPM lakini kwavile halipo, ndo ume-force kuliingiza la Mfugale kwa sababu JPM na Mfugale walikuwa kitu kimoja!! Huyo Mfugale kafanya nini hasa?! Eti kisa ndo Mchora ramani!!
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Chuki zitakuua Fara ww daraja la kigamboni kumejengwa na nan
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
@@Myplusbee Lugha nyepesi limejengwa na JK... Hakuna maelezo!
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 Жыл бұрын
Application of thermal expansion
@johnmlay4759
@johnmlay4759 Жыл бұрын
Ni kweli linahama coz kaa saivi Niko Burundi na naliona kwa Sasa limehamia Burundi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Daraja linahamaje?
@ShafiMangame
@ShafiMangame Ай бұрын
2:55
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 Жыл бұрын
Mungu atatenda haki yake!!!
@zulehaabubakar3574
@zulehaabubakar3574 Жыл бұрын
Mmeluona lakini lishaNza ufa huko chini
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
Ukiangalia tena kwa makini utaona sio ufa ni saruji ilio tokeza ni inatokezea sna hio unapo piga zege wakat wa kufumua kuna sehem zinakua hivo so mara nyingi unapiga grenda 2
@allyhassan8370
@allyhassan8370 Жыл бұрын
Mtamba swala hiii enginea alikua mwanamke
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 Жыл бұрын
Hapa vilaza wa Physics unapaswa kueleza mara 100 na zaidi.
@karloladislaus45
@karloladislaus45 Жыл бұрын
Sijaelewa anacho elezea hapo.... Elezea kwa picha
@miraclemathias488
@miraclemathias488 Жыл бұрын
Amja zingatia maelezo na picha mnazo onesha
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Hili daraja alijenga Mkapa ondoa mara moja pia ya huyo fisadi Kikwete babu la kula bata mtalii
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Sasa hayo ndo maajabu?. Huoni kama Hilo ni tatizo au changamotoo?.
@mahabaclassictwentyseven27mjeu
@mahabaclassictwentyseven27mjeu Жыл бұрын
Mtambaswala daah kitambo cn
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Bora kidogo mirad umetuwekea mjomba kwenye kava maana ungetuwekea ........!🤔🤔!! Tungeacha hata kuangalia tv yako.
@issayasosolo6033
@issayasosolo6033 Жыл бұрын
Kwani mlisema limejengwa chini ya kiwango itakuwa nongwa, mnaficha Nini hapo hiyo inaoneka Ni nyufa halafu mnatengeneza maneno mapya eti faraja linahama mnatengeneza stori za kitoto nyie!
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 Жыл бұрын
Huwezi kosa UFA. Ni kawaida hiyo ni minor.
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 Жыл бұрын
Lilipe tu Kodi liache usumbufu WA kuhama hama
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
Mbona tuliambiwa JPM kamaliza kila kitu?
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Жыл бұрын
Linahamaje kwa mfano wakati limejengwa kwa nondo na cement
@khamiskiandiko2965
@khamiskiandiko2965 Жыл бұрын
Hujaelezea kitu kikaeleweka ila ulichapia chapia tu
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Hapo sijaona kipya Cha kuliport kwenye media kwa sababu haya ni mabadiriko ya kiphysikia kulingana na mabadiriko ya joto
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Sijaelewa hii daraja linalo hama??
@didimhutila8985
@didimhutila8985 Жыл бұрын
Waaandishi wetu wasenge!
@johnmlay4759
@johnmlay4759 Жыл бұрын
Yaani unaambiwa kaa saizi hili daraja lishahamia Malawi
@stevenmichaelmaganga4828
@stevenmichaelmaganga4828 Жыл бұрын
Huna habari
@theroggyplus255
@theroggyplus255 Жыл бұрын
NATOA USHAURI, Mr.Milard Ayo, Sijajua Video Editor ni nani hapo.. lakini kuna jambo naona kafeli sana.. Mtaalam anapotoa maelekezo yeye anaweka video ambayo haiendani na maelezo, sasa inafanya mtu hata hauwi tena interested na machapisho kama haya. Maana hii ni taarifa lakini pia ni Elimu.
@StevenKasanga
@StevenKasanga Жыл бұрын
Maelezo hayaendani na picha
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 53 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO
17:49
"WADUDU TAFUTENI HELA" MAKONDA AKUTANA NA WADUDU AWAPA MBINU
5:36
Millard Ayo
Рет қаралды 135 М.
MAGARI NA ABIRIA WALIKWAMA LINDI WAANZA KURUHIWA KUENDELEA NA SAFARI
5:42
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН