HILI APA SWALI LA DK SULE LILILOZUA GUMZO KWA PASTA NDACHA KUSHINDWA KUJIBU.

  Рет қаралды 553,559

Ibrahim Zancom

Ibrahim Zancom

6 ай бұрын

Kwa mahitaji ya Qaswida Mpya, Tenzi, Mawaidha, Nasheed, na matukio mbali mbali ya kijamii, usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE, COMEENT, SHARE ili uwe wa mwanzo kupata matukio hayo kila yanapotoka kwa wakati sahihi.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia simu No.
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543
ASANTENI NA KARIBUNI.

Пікірлер: 822
@user-gp7sd9kg4t
@user-gp7sd9kg4t 5 ай бұрын
Congratulations ndacha mashaalah Mungu kakujalia wewe akueke miaka mingi urndelee kufunza wengi
@JustinKadongo
@JustinKadongo 2 ай бұрын
asante
@user-ru4wm6bc4l
@user-ru4wm6bc4l 6 ай бұрын
Ndacha Mungu akulinde akuongezee maisha marefu unajua sana
@user-ny1ut7zy3m
@user-ny1ut7zy3m 5 ай бұрын
Kunawatu wariebarikiaw ndacha mungu akubarikik❤❤❤❤❤
@shyneafya2468
@shyneafya2468 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Ndacha MUNGU akupe umri mrefu
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Ndacha.Mungu Akutunze na akupe Afya njema.
@desirendikuriyo7557
@desirendikuriyo7557 2 ай бұрын
Anae juu huu mchungaji aniunganishe nimpe hâta kidogo jamani
@IbrahimIbrahimramadhani
@IbrahimIbrahimramadhani 2 ай бұрын
Allah wafahamishe wote wahaziri wadini ufaham mzur..
@husna1892
@husna1892 Ай бұрын
1:03 ​@@desirendikuriyo7557
@evarlneambiyo881
@evarlneambiyo881 3 ай бұрын
Ndacha Mungu akuinuwa sana tena sana ❤❤❤❤❤
@Jin-fl1hq
@Jin-fl1hq 3 ай бұрын
Mungu awe nawe daima mchungaji mkristo
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 3 ай бұрын
Ndacha wewe nimwalimu kbsa ❤❤❤
@NiyonkuruVianey-pl9jn
@NiyonkuruVianey-pl9jn 3 ай бұрын
Yesu ni mwokozi wangu tena nikiongozi wangu nampenda sana
@RinoMajembe
@RinoMajembe 2 ай бұрын
Mbona yesu ajaoa wewe unampenda atakuganyia nn
@NiyonkuruVianey-pl9jn
@NiyonkuruVianey-pl9jn 2 ай бұрын
@@RinoMajembe ndio hajaoa kwa sababu sio kitu kilikuwa kinamuletaga hapa kwa dunia
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 6 ай бұрын
Bwana YESU krisito asifiwe Sana damu ya Yesu inanena mema
@Ciciczi
@Ciciczi 3 ай бұрын
Huyu ndacha mpaka kiama hawezi kujibu maswali
@user-ws6kn8tp3x
@user-ws6kn8tp3x 5 ай бұрын
Ndacha you are a blessing to christians
@user-vb4ek9jd7x
@user-vb4ek9jd7x 3 ай бұрын
Yesu ndiye njia ya pekee ya kwenda mbinguni
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 3 ай бұрын
Waislam ni wapinga kristo 😢😢😢😢😢
@lulkul7784
@lulkul7784 3 ай бұрын
Yesu c mungu yesu ni mtume wa mwenyezi Mungu njia ya pekee ni njia ya Allah subhanallahu wataalaa......na njia ya haki ni usilamu
@muhamedbashir2661
@muhamedbashir2661 3 ай бұрын
Baba soma yohana yesu alikuwa maskini ndo maana kashindwa kuhiji
@lucasmisati6086
@lucasmisati6086 2 ай бұрын
Amina
@maulidsuleh4924
@maulidsuleh4924 Ай бұрын
Jasho linamtoka pastor
@donatienbest6043
@donatienbest6043 6 ай бұрын
Ata nibaki pekeyangu nitabaki kuhamini yesu Christ nibwana namokozi wamaisha yangu amen
@ihuriroGroup
@ihuriroGroup 5 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@IsnailMudi
@IsnailMudi 5 ай бұрын
Mbona bado nimasikini kama kakuokolea maisha yako
@jamesnjoroge8627
@jamesnjoroge8627 3 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen
@user-it8pu9od2w
@user-it8pu9od2w 3 ай бұрын
WW una akiri
@user-pf3gm9sy7k
@user-pf3gm9sy7k 3 ай бұрын
هل تؤمن بأن لديك اب ثاني فإذا قلت لا، كذلك نحن الإسلام لا نؤمن إلا بالله وحده والمسيح عيسى لبن مريم ليس إلا رسول الله وخلقه الله من طين كمثل ادم عليه السلام
@gediontumaini1285
@gediontumaini1285 6 ай бұрын
Ndacha Mungu akuongezee hekima zaindi kwa Jina la Yesu.
@OmyGizo
@OmyGizo 3 ай бұрын
Csasa ivi mna silkilizaa au unajbu swali la kitabuvinginau mmekwama
@user-iq1pl8nw2y
@user-iq1pl8nw2y 4 ай бұрын
Sifa nautukufu zamwenyezi mungu ziwe pamoja Nawe mtumishi wamungu yesu Cristo akupe nguvu pasta
@user-nt6ug7nb1e
@user-nt6ug7nb1e 6 ай бұрын
Docta Allah akupe umri mrefu ili uelimishe watu dini Ya Mungu.
@EllenStephano-pg9hj
@EllenStephano-pg9hj 3 ай бұрын
Safi sana ndacha mungu akulinde
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 6 ай бұрын
Ndacha Mungu kakupa hiyo kazi kwa makusudi,mtumikie yeye
@EuniceNgigi-ot6pg
@EuniceNgigi-ot6pg 5 ай бұрын
Ukweli
@barakafondo8090
@barakafondo8090 6 ай бұрын
Waslaimu kwisha , Ndacha be blessed
@pauluyagirwe6189
@pauluyagirwe6189 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mch Ndacha
@islamninja8306
@islamninja8306 6 ай бұрын
Ndacha anakwepa ukweli hali ya kua unajua sababu ya maslahi ya kidunia, Mwenyezi Mungu atuongoze tusiwe ni wenye kupotea 🤲
@sumenokisupai8171
@sumenokisupai8171 Ай бұрын
Munjungaji mkrsito hongera sana mungu akubariki sana
@egidideule7285
@egidideule7285 5 ай бұрын
Mim nafurahi sana kweli zinapo Julikana kama hivi neno linaongea Bwana Yesu asifiwe
@MarysianaMalekanana
@MarysianaMalekanana 3 ай бұрын
Ndacha mungu aendelee kukutumia
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 10 күн бұрын
Safi sana najifunza mengi kupitia huu mdahalo kikubwa ukiangalia wote tu njia Moja.Kikubwa Hekima.
@NeemaMashiku
@NeemaMashiku 3 ай бұрын
Hakuna Dini kama uko safi ndani ya moyo wako, mujueni mungu kwa kufaata sheria zake ... Sio kutambiana Dini..Ndacha hongera, majibu yako, kumbuka hata yesu alijaribiwa na shetani but nae yesu hakujibu tofauti na bible
@wideman8362
@wideman8362 6 ай бұрын
Kiukweli namkubali dr suley ila ndacha hana mpinzani hapo
@NyanjeMwalimu-qy5ug
@NyanjeMwalimu-qy5ug 6 ай бұрын
Hawamiezi hawa wakosa hoja
@user-os5yq3pg2e
@user-os5yq3pg2e 4 ай бұрын
Ndacha uko sawa big up mwalim , wacharase🎉
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 11 күн бұрын
Kumbe kwenye uslamu ni Dini ya kuunga unga pia nimejifunza kuwa hii Dini ni ya Majini sio ya Mungu harisi Ubarikiwe sana Mtumishi ndacha
@geofreykosgei202
@geofreykosgei202 5 ай бұрын
Nafurahia mafundisho,i learned and i grew up knowing that the Bible was written by inspired men of God
@user-ez2ef6ip2f
@user-ez2ef6ip2f 2 ай бұрын
Tazama Ndacha anavyo jibu swala. Yaan unaona kabisaa huyu Kuna roho mtakatifu anamuongiza kujibu maswala yoyote alafu watuu wako wengii anao wajibuu mungu akubalikii Waislam mpka wa elewe ni kazi kwanza Wana vurugu maana jibu likitika wanataka kulipinga wakati ukweli tazameni wenyewe mnaona hapoo hao ni walimu wakubwa wa dini katika mdaahalo wanachokifanyaa 😢😢😢
@sportstoall9394
@sportstoall9394 Ай бұрын
Ndacha hajibu swali directly kiufupi alichohitaji sule hapo naona Kaama vile kwenye Quran Allah subhana wataala ameidhinisha kua Quran ni kitabu chake na hata Mtume as well ameliongea hilo, Sasa nadhan sule alitaka Ndacha ajibu kua Bwana yesu kristo wap amesema kua Biblia ni kitabu cha mungu? Kiufupi hakuna mahali Yesu aliposema hivyo bali Biblia ni kama ndacha alivyosema ni mchanganyiko wa vitabu, Ila kwa maarifa yangu naona watu wa hekima wa enzi hizo ndio walifanya zoez la kuunda kitabu hicho Yani kukusanya mafundisho muhimu ndani ya kitu kimoja kimoja ndio ikatoka Biblia inamaana kipindi Yesu kristo yupo huo mkusanyiko wa vitabu(Bible) haukua una exist bali pale yesu kristo alipoondoka watu wenye hekima wa enzi na wenye kuamini ndio walio fanya shughuli hiyo, na ndio maana tunaona tuna agano jipya na la kale hili jipya ni marekebisho ya la kale, Kwa kuongozea Quran tukuf ilishushwa na alishushiwa Mtume Mohammed S.A.W na Mungu baba mlezi kupitia malaika wake Jibreal(Gabriel) wakat wa ramadhan pia hio hio Quran ni muendelezo na mkusanyiko wa vitabu vilivyo pita kama vile Injil, Zaburi, Taurat nk. Kwa Imani ya Islamic inasema Yesu kristo ambae ni Nabii Issa alahi Salam alikua na Injil ndio kitabu chake kwa wakati alio hudumia. Kiufupi haya mambo ya dini ukileta udini sana basi huwezi pata jibu kamili na huzua mzozo sana ambao haujawahi kuisha na wakati mwengine unaleta chuki sana kwenye jamii yetu, Binafsi Mimi Nina maswali ambayo hakuna sheikh Wala mchungaji yotote ameweza ni jibu maana ikumbukwe kua nyuma ya hizi dini Kuna Siri kubwa sana. Tuendelee kumuabudu Mungu baba yetu mlezi maana ya dunia ya sasa yanafurahisha.
@user-sh9mn1ir5q
@user-sh9mn1ir5q 5 ай бұрын
Pastor Ndacha Mungu akulinde wapukutishe waislamu kwa maandiko
@threebrothers..
@threebrothers.. 4 ай бұрын
Endeleeni kutukuza maiti, Muhammad
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 ай бұрын
saana ti
@AllyIssere
@AllyIssere 6 сағат бұрын
Sijaona jibu sahihi kwamtushi shekhe sule ! Mungu akulipe kwa kher
@SmilingBlueMackerel-sl3xt
@SmilingBlueMackerel-sl3xt 5 сағат бұрын
Tatizo waislaam sijui awaja soma Yani ukweli uko wazi lakini awaelewi na sule anauliza maswali yakitoto kabisa
@kassimmwandoro4092
@kassimmwandoro4092 3 ай бұрын
DR Sule mungu akupe afya na hekima zaidi na kuraani haijabakisha kitu ila ni ubishi tu kwa wasio na elimu.
@LovelyAntenna-eq9fv
@LovelyAntenna-eq9fv 6 ай бұрын
Nakupenda xana ndaacha mjasiri❤
@JeanbaptisteMwenyemali
@JeanbaptisteMwenyemali 2 ай бұрын
Kiukweli nimechanganyikiwa jibu yenu nyinyi wote ni kwamba . Kwaimani yangu Mungu na dini yangu wako Rohoni mwangu . Imaniangu ndo kilakitu
@MURHATIKIGUMI
@MURHATIKIGUMI 28 күн бұрын
uislamu raha Allah awabariki mitume n manabii wake wote n wajumbe waliokuja baada yao mashekhe woteee dunian wazid kuwatoa watu ktk giza n kuwaleta ktk nuru ya ALLAHU
@davidnyerere2016
@davidnyerere2016 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu alitoa mwanawe msalabani kwa watu wenye dini tofauti
@JoyceMonewa
@JoyceMonewa 16 күн бұрын
Bwana yesu akubaliki sana wakatea wasikubali yesu ni Bwana na Bwana ndiye mungu❤
@francessimilanzi4545
@francessimilanzi4545 6 ай бұрын
Mungu akubariki paster ndacha
@aminanekesa3718
@aminanekesa3718 2 ай бұрын
Mdahalo wa Elimu jamani😂d'alibi za Ndacha ziinaonekana kama hana éliminer ya kutosha Allah Akulinde Sheih Dr sule❤
@rizikikasangandjo6018
@rizikikasangandjo6018 2 ай бұрын
Ubarikiwe pasteur ndasha.
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 6 ай бұрын
Mashaallah dk swule
@ShabanKiringi
@ShabanKiringi Ай бұрын
Congratulations Ndacha
@GeasiMkobani
@GeasiMkobani 21 күн бұрын
Ahsanteni kwa mdahalo mzuri,hakika tunaelimika. Ukristo ni dini imara.
@charleskamau645
@charleskamau645 3 ай бұрын
Mimi wakati nilikuwa Kenya tuliongea na Muislam mmoja huko Muranga na wakati tuliachana aliniambia neno langu kuhusu Mungu ni nzuri na angetaka siku fulani niende kwake tuongee na akaniambia mahali tutakurana. Nilifurahi sana na nikaambia Mungu anipe neno lile nitaenda kumwambia huyo muislamu. Nilipofika nyumbani kwangu nikaomba na nikalala lakini kwenye vision nikasikia sauti ya Mungu ikiniambia nisiende kwa huyo muislam sababu ana jama ya kuniua. Kwa hivyo sikwenda kwake. Pia Mungu aliniambia Allah ( mungu wa waislamu ni sanamu yani an idol god who cannot talk or hear and thats why they fight for him to the point of even killing somebody who opposes their god. For me nobody told me that Allah is an idol god but God himself spoke to me that day. Its a day l will never forget.
@lizzymwangi9940
@lizzymwangi9940 22 күн бұрын
Yeah it truth 👏 I beside you 🙏Our God is Faithful Elijah tyme wth wanabii mlima kalimeli Dio hawa xaxa Waislamu
@CatherineGodfrey-dx2uo
@CatherineGodfrey-dx2uo 2 ай бұрын
Amen god teaher work sewing
@cyrusgathogo5639
@cyrusgathogo5639 6 ай бұрын
Wazee kumi kapewa elimu na mwanaume mmoja kwa Jina Ndacha 😂😂
@gatijoseph6788
@gatijoseph6788 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@JoaomarcelinoRumba-io8wk
@JoaomarcelinoRumba-io8wk 3 ай бұрын
Mtumishi WA mungu mungu akulinde na azidi kukubaliki bwana yesu asifiwe Milele Im from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@smartlifefun
@smartlifefun 6 ай бұрын
If this is a doctor in tz am afraid😢😢 l mean he doesn't comprehend and connect the dots😂😂
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 ай бұрын
Huyu jamaa Mbona kanyosha jibu fresh tu
@esterkanudachandaruah6619
@esterkanudachandaruah6619 Ай бұрын
Hawezi akaelewa kama Hana d mbili
@chachawambura4030
@chachawambura4030 6 ай бұрын
NDACHA ni mashine bana😂😂
@manlematz821
@manlematz821 3 ай бұрын
Ndacha hana kitu kabisa anajibu nje ya swal
@mohamedmohamud9691
@mohamedmohamud9691 5 ай бұрын
Huyu ndacha badala ya kujibu maswali moja kwa moja anajifanya mjanja kwa kuleta topic tofauti ili kuchanganya watu. Hana mwelekeo hutu ndacha mnao wasikiliza bali ni mbishi anae piga ma kelele ili kuichanganya na kupotosha fikra za watu. Hii ni Aibu kubwa mno.
@SuleshKE
@SuleshKE 2 ай бұрын
Wewe unamwelekeo jibu
@ProsperKilenga
@ProsperKilenga 16 күн бұрын
❤❤ ndacha wetu wewe noma sana baba waeleweshe
@MichaelNyobange-ss5pp
@MichaelNyobange-ss5pp 5 ай бұрын
Pastor Ndache you are a true pastor
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 6 ай бұрын
Shekhe nakupenda kwaajili ya Allha yan Allha awajalie afya njema
@richardchimba3800
@richardchimba3800 Ай бұрын
Mbona kashindwa Sule 😂
@dominickyalo5517
@dominickyalo5517 3 ай бұрын
Ndacha Mungu akuzidishie hekima
@user-cq5pt8zy7t
@user-cq5pt8zy7t 5 ай бұрын
Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu hapo Ndacha nakubaliana na wewe🙏🙏
@samkabayiza6212
@samkabayiza6212 4 ай бұрын
Ndacha hadanganye
@mambilemembe8892
@mambilemembe8892 3 ай бұрын
🎉❤❤❤ndacha nimekukubali,yesu ni bwana
@adnanel-islam3291
@adnanel-islam3291 3 ай бұрын
Hamna dini nyie anachukua aya azitakazo kwenye kitabu hicho nyengine anazikataa Hamna dini wakristo mnayumbishwa tu
@CatherineGodfrey-dx2uo
@CatherineGodfrey-dx2uo 2 ай бұрын
Okay honger very now god
@RinoMajembe
@RinoMajembe 2 ай бұрын
Dr. Sule hao unawaweza mungu akulinde shekhe wangu
@jamuhurialiwazir4685
@jamuhurialiwazir4685 6 ай бұрын
Yaa Alha Msirimishe ndacha ii ni Atari sana .
@habibasalim3092
@habibasalim3092 6 ай бұрын
Aameen, but hadi Allaah amuongoze, sababu ndacha hajali kuenda motoni kwasababu ukweli wote ndacha anaujua, ya kwamba uislamu ndio dini ya hakki, na kama sio ya ukweli ndacha atoe aya yake
@richardchimba3800
@richardchimba3800 Ай бұрын
Kwa sababu ana washinda 😂
@jacksonmwamkinga8729
@jacksonmwamkinga8729 4 ай бұрын
Pastor upo vizuri sana
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 3 ай бұрын
Ndacha nakupenda saana hadi kifo kunichukue
@AdeshMoha-ir4be
@AdeshMoha-ir4be 2 ай бұрын
Kuele ama pasta wanawadanganya anaulizwa swali anaruka swali kwani hamna maskio ama😮😅 namuoni ama
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Ай бұрын
​@@AdeshMoha-ir4beSoma bibilia
@ZakariaAlly-vq2rd
@ZakariaAlly-vq2rd 6 ай бұрын
Doctor sule Allah akubarik ukupenguvu uweze kuwabana wabaya wadini akuingize peponi
@user-ln5lt4pl7m
@user-ln5lt4pl7m 4 ай бұрын
Amiyn ya Rabin
@drmonasser1332
@drmonasser1332 3 ай бұрын
Aaaamin
@charleskamau645
@charleskamau645 3 ай бұрын
Waislamu wa huko Kenya mkitaka kujua neno la Mungu na mambo ya Holy Spirit of God mtafute mtu kutoka church of God wale tunavaa nguo ndefu kama ninyi lakini hatuvai kofia kama vile mnafanya. Yule muislamu ataenda huko atafundishwa ukweli wote na vile Mungu hutaka watu wake wakae wakijitaarisha kwa kurudi kwa Yesu mara ya pili kuchukuwa walio wake. Waislamu wote hawajaokoka pamoja na wale wanajiita wakristo na hawajaokoka wote wataenda motoni milele na milele.
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 Ай бұрын
Ndacha mungu akupe uhai mzuri naulinzi baba 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@thomasshuhulichimbeja7441
@thomasshuhulichimbeja7441 5 ай бұрын
ndacha be blessed
@JosephNyabero
@JosephNyabero 5 ай бұрын
Amen,mukusanyiko wa vitabu.
@JofreyAbdala
@JofreyAbdala 3 ай бұрын
Jaman hzo nkama vta kilaamt aamin kiviake me nampenda yesu aamina mtumishi yesu kasema wawili au watatu na yeye atakuwepo
@Official_Sunday_Mjeda
@Official_Sunday_Mjeda 2 ай бұрын
Jamn ulizi wa binadam kwny mamb ya mungu yajay yanafuraisha kweli kweli
@BaloziWacobra
@BaloziWacobra 26 күн бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji wetu tena akupe akiri sana
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 5 ай бұрын
Mimi ni mwislamu, Nakubali majibu ya ndacha, Sule acha uoga kuleta ukorofi
@allyhamad9665
@allyhamad9665 4 ай бұрын
Wewe ni muislam kweli au unataka kuuchafua tu uislam
@farhiaabdii8279
@farhiaabdii8279 3 ай бұрын
😂😂😂
@ismailkhamis-ks8gp
@ismailkhamis-ks8gp 3 ай бұрын
Ww si mwislamu ni mnafiki tu
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 3 ай бұрын
​@@farhiaabdii8279hipo siku utajua yesu ndio njia maanake Sasa hupo kwenye giza
@allyhamad9665
@allyhamad9665 3 ай бұрын
Halaf usituone sisi waislam watoto eenh
@BonnyKandada
@BonnyKandada Ай бұрын
Ubarikiwe sana kabisa mtumishi wa Mungu
@mathewhabyarimana
@mathewhabyarimana 3 ай бұрын
Ubarikiwe Mwalimu Ndacha
@user-ty8ci5oi9m
@user-ty8ci5oi9m 3 ай бұрын
Kwani wa Isilamu mtaendelea lini kujiweka vitambaa kwa macho wacha nikwambie ukifuatilia bibilia ukaona agano lakale na agano lipya kama Yesu agekataa kukuja kuwaokoa musingeishi vizurii maana zamani ukifanya dhambii ulikua ukiwuliwa na Mungu au uwekwe msalabani. Na kila mtu wa kawaida alikua hana Uezo wakumuongelesha Mungu. Lakini kwa sasa juu ya JESUS unaishi na sio waminifu wako nyie wa ililamu nawapia hukuna kufika Mbinguni Bira gupitia Yesu Kristo labda ukitubu.🙏🙏
@user-lq6fd4tv4m
@user-lq6fd4tv4m 3 ай бұрын
Nakubali ukristo
@user-nz2sk8tk1o
@user-nz2sk8tk1o 3 ай бұрын
Amina amina umenena baba yesu akuongeze
@user-dr4oh5xk1j
@user-dr4oh5xk1j 6 ай бұрын
Ndacha acha Kona Kona jibu swali
@petermwelesa1749
@petermwelesa1749 3 ай бұрын
Amen kwa mwalimu wa bibilia
@RamaKahindi-vw4oz
@RamaKahindi-vw4oz 6 ай бұрын
Mm sio msomi vile lakini ndacha anajibu swali ambalo hajaulizwa anaenda inje ya swali kabisa
@user-yp7nv3mg4b
@user-yp7nv3mg4b 6 ай бұрын
Kivipi???
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge 6 ай бұрын
Nani ametengeneza bibilia
@muniraally4091
@muniraally4091 6 ай бұрын
Ubishi jwa jambo liko wazi
@daniellourencojaime
@daniellourencojaime 5 ай бұрын
BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE,ATA MUKAFANHAJE AMUWEZI KUPOTOSHA YESU KRISTO.MIMI BADO NIPO KWA YESU KRISTO MILELE,ATA IWEJE.🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-su5jq6zl4o
@user-su5jq6zl4o 6 ай бұрын
Sheik dr sule mungu akupe maisha malefu
@RogerJulius-le3xs
@RogerJulius-le3xs 2 ай бұрын
Hawakuwezi hao mungu akutie nguvu kamand ipo siku na sisi tunapigania din yetu tupo pamoja
@cabylake2320
@cabylake2320 5 ай бұрын
Mashaallah mashaallah Allah akbar Allah akbar ndacha jubu swali acha kukwepa
@princejsong73170
@princejsong73170 5 ай бұрын
God bless you pst Ndacha. Although the venue was biased, you always beat the odds
@AdeshMoha-ir4be
@AdeshMoha-ir4be 2 ай бұрын
Ni pastor wakuru karuka kuliko wajibu swali anaitwa pasta ndacha endelea tu kuwadanganya wapange mzuri panga wao mzuri😂😂😅😅
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Ай бұрын
Ndacha elimu ndogo, doctor Sulley uko juu sn MashALLAHu
@lulkul7784
@lulkul7784 3 ай бұрын
Dr sulle 🔥mungu akulinde sheikh masha allah
@MichaelNyobange-ss5pp
@MichaelNyobange-ss5pp 5 ай бұрын
I love pastor Ndache you are a true pastor of God
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 4 ай бұрын
mwambie ajibu swali sio kutofautisha baina ya sule na wanavuoni swali andiko la kusema bibliya ni kitabu chake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JoyceMonewa
@JoyceMonewa 16 күн бұрын
Bwana yesu akulinde na kukupigania
@deogratiusarkadmrosso3924
@deogratiusarkadmrosso3924 4 ай бұрын
Mungu akubarik ndacha
@issackmohamed9429
@issackmohamed9429 5 ай бұрын
Love Dr sulle you are true Dr sulle.🎉❤
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 Ubarikiwe mchungaji
@nicholasonsomuoyaro9549
@nicholasonsomuoyaro9549 3 ай бұрын
Kutamka si hoja! KAZI aliyoifanya Yesu yadhihirisha Biblia ni neno la Mungu.
@SmilingHat-yb3dg
@SmilingHat-yb3dg 5 ай бұрын
Hongera dkt sule ww mualim🎉
@Kanyabobothefirstborn
@Kanyabobothefirstborn 4 ай бұрын
You good to go pastor ndacha may God bless you tell them the truth
@user-tx1zr3kb1j
@user-tx1zr3kb1j 3 ай бұрын
😅😅😅😅ubarikiwe sana pastor
@PriscillaThadeo
@PriscillaThadeo 4 ай бұрын
Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu EFATHA
@reaganpatrick3323
@reaganpatrick3323 5 ай бұрын
Congratulations ndacha
@OSCARJaz-xh6nb
@OSCARJaz-xh6nb 6 күн бұрын
Apa mungu awaogoze nyinyi kwa hivi muna mukoseya mungu wa Ibrahim ana sema mwenyewe katika kiywa chake musi bishane kwa sasa ya akili nyinyi munajifa kuwa niwa somi Ila Zambie munayo tu
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 50 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 18 МЛН
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
KABLA YA KUUMBWA DUNIA ALLAH ALIKUA WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM
42:18
arkas online tv
Рет қаралды 396 М.
MALKIA WA FREEMASON ALIVYOJISALIMISHA KWA KUHANI MUSA
23:55
FRESH SPRING FELLOWSHIP
Рет қаралды 492 М.
WACHUNGUZE MAHASIDI WAKO TABIA HIZI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
55:59
arkas online tv
Рет қаралды 44 М.
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 1,6 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 1,3 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 37 М.
Kendrick Lamar - Not Like Us
5:55
KendrickLamarVEVO
Рет қаралды 46 МЛН
Say Mo - LIL BIT & 1 shot 2 (Waysberg Music Remix)
2:43
Waysberg Music🇰🇿
Рет қаралды 427 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 9 МЛН