Mchambuzi wa Masuala ya Fedha kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha BoT, Bw. Ephraim Madembwe, akieleza namna mwananchi anaweza kuwekeza katika Dhamana za Serikali za Muda Mrefu (Treasury Bond) na Muda Mfupi (Treasury Bills).
Пікірлер: 7
@edisonmaliva17199 ай бұрын
Umeeleweka sana muwasilishaji.👏🏾👏🏾👏🏾
@nebuzaradanmalabe1270 Жыл бұрын
Ila katika faida atujachanganuliwa vzur!
@protasmtechula9705 Жыл бұрын
Ok nishachek, thanks
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Ok
@edisonmaliva17199 ай бұрын
Swali: je nikinunua bond ya miaka 25.nikaamua kusitisha katikat je ninaweza kupewa pesa zangu au ndio ukiweka umeweka hadi 25yr itimie?
@happinesslugiko21505 ай бұрын
Unauza
@protasmtechula9705 Жыл бұрын
Hasanten Sana BOT but hayo matangazo ya masoko yanapatikana wap??