Asante sana Edmund.....Nasikitika sana kuwa watu wachache wanatazama video hizi...I am passionate about personal finance and personal development vilevile...Going through these and other videos online....learning a lot....
@mariagrayson5414 Жыл бұрын
Am learning a lot here . My brother told me about this and today i told my sel i want to learn i hope am not late . Thanks bro
@happytitus2119Ай бұрын
Bila C3 huwezi kuelewaa huu mtanange
@eliascosta247924 күн бұрын
Very powerful presentation
@brobabuu39732 жыл бұрын
Elimu kubwa sana hii...Ni watu wachache sana wanaoangali hizi video.. na hao ndo watakaofanikiwa. Keep it up bro.
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
Kabisa. Wengi wanaangalia video za wasafi.. 😂
@brobabuu39732 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi Very SAD.. In four weeks wanaviewers 7.4M katika masuala ya Burudani ila kwenye mambo ya msingi like Financial Education unakuta viewers ni chini ya 1K na hapo Average view duration ni less than 20%
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
@@brobabuu3973 Kabisaa na ndio maana watakaofanikiwa ni wachache. Wengi watabaki kulalamika tu.
@RoseKalinga14 күн бұрын
Elimu nzuri sana
@protasmtechula9705 Жыл бұрын
Thanks bro
@mwizalubimafwele82452 жыл бұрын
Asante sana kwa hili darasa
@sherianabdul13542 жыл бұрын
Safi saana
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
Edmund, secondary bonds huwa zinatangazwa na benki kuu au mpaka mtu binafsi akufate akuuzie?
@dennismongi89704 ай бұрын
Du! Hii elimu ni muhimu sana sana,jamani huu ni utajiri wa kutosha kabisa
@davidkimambo2052 жыл бұрын
Alieshika camera badala ya kuonyesha board ananionyesha Manka🤔
@israel133116 күн бұрын
Je naweza kopa Hela commercial bank na kuinvest kwenye Treasury bonds then nikatumia coupon kulipia mkopo wangu?
@catherinemzurikwao32652 жыл бұрын
Sorry, naomba kujua, kwa hiyo nikinunua primary bond let say ya 20 milioni kwa miaka 5, pamoja na kupewa hizo interests on semi annually basis, mwisho wa hiyo miaka 5 narudishiwa capital yangu yote au ndio inakua mali ya bank kuu mimi nakua nimefadika na riba tu? Naomba kujibiwa kitaalamu wapendwa. No jokes.
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
Mwisho unarudishiwa pesa yako.
@catherinemzurikwao32652 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi OK. Ahsante kwa taarifa 🙏🙏
@jonathanhellen1 Жыл бұрын
@@EdmundMunyagi Hello Edmund. Umeongea kuhusu building portfolio. Lets say nimeinvest bond ya 25yrs amounting to 100m with an 80% loan on the bond ie from crdb now giving loan on 13% interest rate, it will take 14yrs to repay the loan. So there will be 11yrs left to collect the interest plus the capital of 100m at the end of yr 25. Then the second loan will be 80% of the (80% of 100m) ie 64m worth of loan also will take 14 yrs at 13% given they are given within the same yr meaning few months apart and interest hasnt changed. Then take another loan 80% of the 64m which is 51.2m (this one will take all 25yrs for this 51.2m) to be paid using the dividend received yearly and some additional amounting to 498,692 yearly. So at the end of year 25 portfolio itakua na 100m (11 yrs of interest) + 80m (11 yrs of interest) + 64m (with no interest since its paying loan ya 51.2m for 25yrs) + 51.2m (with its monthly interest) Capital only Amounting to (100+80+64+51.2)= 295,200,000 from 100m initial amount. Interest (12.56 p.a) 1. 100m p 138,160,000 2. 80m p 110,528,000 3. 51.2m p 160,768,000 QNS. 1. Is this applicable in our banks? Kuna uhalisia katika hili? 2. Can any bank offer these kind of loans back to back. Or for a duration of that many years? (14 to 25)
@davidkimambo2052 жыл бұрын
Ngoja nitafute 20bn niweke huko.
@asteriayohana37467 ай бұрын
Samahani brother ninawaza kununua bond ya 1m alafu nitaruhusiwa kuongezea??? Au hairuhusiwi kuongezea???
@user-kn7ul8vq9h8 ай бұрын
Kwan lazma uwee na million 100 ungetolea mfano pesa ambazo mtu wakawaida anawezaa pata mfano kuanziaa million1
@bballdunks86910 ай бұрын
taarifa ni utajiri
@sigaladaniel6536 ай бұрын
Je gawio la faida linalipwa kwa wakati?maana gvt muda mwingine huwa wana mambo mengi.
@RuzoOwzy5 ай бұрын
Kwa elimu kidogo nliyonayo, hizo Bonds zinatolewa na Bank Kuu(BoT) na ndio namna Bank Kuu(BoT) inavyotengeneza pesa mpya kwenye mzunguko. Hizo riba(mf: 15% kwa 100M Bonds) ndo zinakuwa pesa mpya. So malipo hayachelewi sababu BoT ndo wanaoruhusa/dhamana ya kutengeneza/ku-print pesa mpya.
@ereneusmujuni63802 жыл бұрын
Government bond huwa wanatangaza bei ya kuanza kubid ?
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
1,000,000/- ndio minimum.
@ereneusmujuni63802 жыл бұрын
Thanks for the answer
@abasisapi54742 жыл бұрын
Elimu nzuri, ila nashangaa mimi ni mtu wa kwanza kuweka comment!
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
😂😂😂 Nadhani watu wengi wamekuwa wanaenjoy somo wanasahau kuweka comment.
@jonasmaginga23742 жыл бұрын
kama 6 hv
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
@@jonasmaginga2374 sio mingi sana lakini nakuelewa unavyofeel baada ya kupata hili somo.
@abasisapi54742 жыл бұрын
Nataka kuwekeza kwenye Treasury Bonds. Nafunguaje account kwenye simu?
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
@@abasisapi5474 hauwezi kufungua account kwenye simu. Unahitaji kuwasiliana na broker atakusaidia kufungua. List ya brokers inapatikana kwenye site ya bot www.bot.go.tz
@user-uw9tn8uz7d11 ай бұрын
asante sana Edmund.....natamani kuwekeza lakin mtaji wangu autoshi nifenyeje namimi niwekeze ?
@kingangiejansie77317 ай бұрын
Tengeneza mkakati, weka kidogo kidogo
@gapsonrevocatus16412 жыл бұрын
Natamani namna ya kujua kushiriki hio minada lakini sijui unafanyaje
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
Unatakiwa uanze kwa kumtafuta Broker ndio atafanya kila kitu kwa niaba yako.
@latifaeifan3573 Жыл бұрын
@@EdmundMunyagi nataka nianze kununua bonds lakini sijui nianzeje. Naomba nitumie contacts za brokers
Tufuatilie kwenye Instagram @letstalkfinancetz semina inayofuata ipo December tarehe 9.
@jonasmaginga23742 жыл бұрын
Nimetamani nistafu mapema hela zote niweke bondi
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
Hahaha.. kwani una miaka mingapi imebaki mpaka kustaafu?
@jonasmaginga23742 жыл бұрын
Sana, hapa siwezi kuchukua mkopo benki tena nahawataniona daima
@jonasmaginga23742 жыл бұрын
Kufungua akaunti kwenye simu sifahamu utaratibu wake. maana hii elimu nilikuwa siijui.
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
@@jonasmaginga2374 Sasa hauwezi kufungua account kwenye simu ili kununua Hatifungani. Unahitaji kuzungumza na broker ambao unaweza kupata list yao kwenye site ya BOT www.bot.go.tz
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
@@jonasmaginga2374 😂😂😂 Vizuri kama umeona kuna tija zaidi kwenye huu uwekezaji.
@Maisha-Halisi2 жыл бұрын
Hao brokers unawapataje?
@lukematthew12692 жыл бұрын
Check na Solomon Stocks Brokers
@homan_nkwama2 жыл бұрын
Kiukweli Mimi exposure ya Kuelewa Mambo ninayo kiasi chake lakini mwalimu anafundisha as if anafundisha wanauchumi wenzie au pengine Sisi wavamizi Ni maususi kwa wanauchumi tuu?
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
Kitu gani kimekufanya useme ni kwa wana uchumi?
@homan_nkwama2 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi rejesta iliyo tawala na vocabulary nyingi Yani misamiati mingi inatuhitaji tuwe na background kiasi Fulani ILA wenye background naamini wameelewa na kuinjoy sana mfano Mimi Ni medical laboratory technician nikiwa naeleza afya ya jamii nitalazimika kuswitch niandane na jamii badala ya kusema worms spicies itabidi n niseme aina za minyoo hata Kama kiswahili akifiti sana incinerator itabidi nisema majalala ya kuchoma taka hata Kama aijitoshelezi sana ili niende na wote
@homan_nkwama2 жыл бұрын
Samahani kwa comment zangu nitafuta hivi punde ili zisiwape mkumbo wengine kisaikolojia mana sikuwa na access yakujua account zako insta ili niku DM
@richard22181882 жыл бұрын
Je kwenye secondary market, mtu anaweza kununua kiasi cha bond za mtu au lazima iwe full amount? Yaani mfano mtu anabond za 10M from primary market, anaweza kuuza 5M kwenye secondary market?