INATISHA! VIDEO HII CHANZO KANISA HILI KUFUNGIWA |MCHUNGAJI ATUSI BIBLIA HADHARANI |QURAN HAICHEZEWI

  Рет қаралды 60,060

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Жыл бұрын

SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

Пікірлер: 338
@angelaswai1963
@angelaswai1963 Жыл бұрын
Mungu hadhihakiwi! Huyu atakiona muda si mrefu,na hata hiyo biashara yenu ya vipodozi itakufa
@mossesmichaelnzowa3378
@mossesmichaelnzowa3378 Жыл бұрын
Naishukuru sana Serikali ya TZ kwa kumfungia Kanisa, huyu Mjumbe wa Shetani, maana tangu nizaliwe ndiyo naanza kusikia mahubiri kama kwa kutoka kwa Mjumbe wa Shetani, ingefaa na Jela afungwe.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Ee Mungu uturehemu, sawasawa na fadhili zako... Utusamehe Ee Mungu🙏🙏😭😭
@fhilipongereja5424
@fhilipongereja5424 Жыл бұрын
Hongera sana serikali yetu kwa kufungia mtu huyu kanisa kwa jinsi anavyofundisha likini na jinsi anvyoikufuru kitabu cha mungu maana kitabu cha mungu kinamuongozo wote wa jinsi ya kuhubiri inakuaje mtu huyu leo anaikufuru kitabu kitakatifu cha mungu wetu huyu mtu hafai hata kuitwa mtumishi asanteni sana serikali yetu iliogundua hili
@simonkazibure1628
@simonkazibure1628 Жыл бұрын
Serikali imefanya uamuzi sahihi tena imemvumilia sana, basi tu.
@tausipaschel155
@tausipaschel155 Жыл бұрын
Asante kwa serikali ya Tanzania ya wachamungu kulifunga kanisa la uongo. Mimi naomba lifungwe milele
@glaury9938
@glaury9938 Жыл бұрын
Aaaaa atakaheruhusu kanisa hilo kufunguria namtuma maraika mikael amtandike bakola zakumtosha katika jina la yesu
@eliasgkyejo2110
@eliasgkyejo2110 Жыл бұрын
SI atumie Kitabu chake kuliko kufanya dhihaka Kitabu chetu kitakatifu Biblia.Niliwahi kusikiliza mafundisho yake ya matoleo hakika yalikuwa ya kupotosha Kabisa nilishangaa kuona watu wamejaa wanamsikiliza.Mungu tusaidie wewe ni wa huruma
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Ako na Pepo mchafu
@hakizimanantawundi9369
@hakizimanantawundi9369 Жыл бұрын
Hao wako wengi. Na hao watu uliowaona siyo kwamba wote ni waumini wanaomini ila wengi wao ni watu wamoja na hao hao ambao wamepewa hela ili wasimame kwenye maeneo mengi mengi yaafrika ili kutengeneza mpenyo wakuingoza ideas za ushoga. Wana maombi wote wa duniani kote, tunatakiwa kuelekeza fimbo ya Mungu kuwachapa hao vibaraka wa ushoga. Wenzao wameanzisha huduma wanayoiita NEEMA JUU YA NEEMA. Na wengine wao wamejiita majina mengine tofauti tofauti ila ukiwasikiriza wote wanachonena ni kitu cha kufanana. Ni lazima Mungu wetu awachape. Wanamaombi wote tusimame vizuri dhidi ya kundi hili.
@nuruharuna789
@nuruharuna789 Жыл бұрын
Na mungu asaindie lifungwe milele amina
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 Жыл бұрын
Huyo ana roho ya mpinga kristo.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Tena no dhahili
@AdamMwita-yj7ey
@AdamMwita-yj7ey Жыл бұрын
Biblia ndiyo kitabu chenye umri mrefu hapa ulimwenguni na wale waliotaka kuiangamiza ilishuhudia mazishi yao mfano kipindi Cha zama za giza kati ya 538AD Hadi 1798hivyo hatakuwa wa kwanza kuipinga Biblia kwa kuwa kwa mujibu mtume Petro haikuletwa Duniani kwa mapenzi ya mwanadamu Bali walinena yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na roho mtakatifu.
@tuntufyecharles1647
@tuntufyecharles1647 Жыл бұрын
Wameshiba zaka na sadaka za masikini wanaanza dharau. Dawa ni moja hakuna kutoa sadaka. Ni bora kuwasaidia masikini, kwa kuwalisha, na kuwavalisha. Amesema nilikuwa mgonjwa hamkuja kuniona, nilikuwa uchi hamkunivika nguo,nilikuwa na na njaa hamkunipa chakula ni heri kutenda yaliyo mema kuliko kusiliza watu kama hao
@frbm1729
@frbm1729 Жыл бұрын
Ana Pepo mchafu na makengeza yake
@beatriceabeid9943
@beatriceabeid9943 Жыл бұрын
Huyo mama sio grace zoazoa vipodoz
@faithijegwa3592
@faithijegwa3592 Жыл бұрын
Nyakati za mwisho
@rubefabi8366
@rubefabi8366 Жыл бұрын
Kitabu cha mpinga kristo ndicho anachomaanisha kuwa anakisubiria. Huyu saa ya neema ni agent wa shetani.
@richimuniko3578
@richimuniko3578 Жыл бұрын
Tubu uokolewe umekiuka mbele MUNGU
@hakizimanantawundi9369
@hakizimanantawundi9369 Жыл бұрын
@@richimuniko3578 umemuelewa Rube Fabi?
@alicejumaa89
@alicejumaa89 Жыл бұрын
Devil worshipper mkubwa wewe... ashindwe in Jesus Christ.
@veronicakalaye-ir4su
@veronicakalaye-ir4su Жыл бұрын
Dunia imevamiwa mtaelewa tu mwenye dunia anaangalia tu amenyamaza kwa muda ila majibu yanakuja tujitakase na kuomba sana
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Allah SW anawaumbuwa Sasa Ukweli unajidhihirisha. Hosea 4 : 6, Zefania 2: 3 Karibuni ktk Uislamu
@jumahili8121
@jumahili8121 4 ай бұрын
Sio kufungiwa tuu. Hayo makanisa yabomolewe
@mwambage972
@mwambage972 Жыл бұрын
Huyu jamaa nimpotoshashaji sanaa na nimsanii sana
@rehema8074
@rehema8074 Жыл бұрын
Eh hamna dini nyny
@rehema8074
@rehema8074 Жыл бұрын
Eh nyny mnagombna na kweli bc mfungieni papa, jamaa kazungumza kweli
@petermremi9898
@petermremi9898 Жыл бұрын
Shida ni kengeza
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 Жыл бұрын
haoni mandishi vizuri
@innocentmtashobya1257
@innocentmtashobya1257 Жыл бұрын
@@rashidkihunga2938 🤣🤣🤣🤣
@ndeliliokaaya9760
@ndeliliokaaya9760 Жыл бұрын
Huyo ni pepo amemwingilia kinywani pake Tumkemee kwa Jina la Yesu Kristo Shindwa kabisa
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 Жыл бұрын
Amuombe radhi Mungu mwenye kitabu chake.
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Huyu anapita
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 4 ай бұрын
Kitab kipi maana pasta ameongelea biblia na sio injili😢
@lianaelgomezulu2259
@lianaelgomezulu2259 Жыл бұрын
Mungu asimame mwenyewe. Kanisa hili lifungiwe kbs sbb wanahubiri kitu kingine sio Kristo/ Mke wake ameonekana youtube akitaka Mashaga wapate raha.... Hapana hapana
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Neno la MUNGU ni upanga ukatao kuwili litamkata na hataonekana
@majorazacharia21
@majorazacharia21 Жыл бұрын
[2petro2:1-5] msomaji na asome maana hata hatushangai juu yake kusema hivyo
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 Жыл бұрын
Jitu jinga sana hili,siyo aombe radhi,bali afungiwe ye si haikubari Bible.
@AfricaQueen
@AfricaQueen Жыл бұрын
Kazi zao kula pesa za waumini jamani kweli Dunia inakwenda vibaya 😭😭😭
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
wajinga ndio waliwao Kuna watu kila siku ni kuhama makanisa 😏
@maulidimpili698
@maulidimpili698 Жыл бұрын
Ilitakiwa kumsikiliza hoja zake na kuulizwa maswali kuwa ana maanisha nn sabab anae tafsiri vibaya ndio uharib maana maana ata ukisoma 8:8 yelemia inasema kalam yenye uongo wa wandishi imefanya torati kuwa uongo
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
@@mamachris6811 Hivyohivyo kwani awanalazimishwa?! Wanaenda wenyewe
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
@@alhadajjmohammedsmith9042 ndo maana nikasema " wajinga ndio ........"
@EsauBakari
@EsauBakari Жыл бұрын
mtamchukia paschal Cassian lakini Kuna siku mtamkumbuka mtumishi wamungu huyu ambaye amekuwa akikemea maovu yanayo fanywa na wahubili tumefika Mahalia ambapo wahubili wanalikanganya neno la mungu madhabahuni bila hofu ya mungu
@Mamsocom
@Mamsocom Жыл бұрын
Bora wafungiwe tu. Pia wawe makini sio kila mtu mwenye pesa awe mchungaji
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Umeona shida hii
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Anapesa Wapi huyu
@upendojohn
@upendojohn Жыл бұрын
Mungu uturehemu Mungu uturehemu. Kila pango asilopanda baba wa Mbinguni litang'olewa
@joliapantaleo349
@joliapantaleo349 Жыл бұрын
Yani tumefikia hapo tz Mungu wangu Mungu wangu uturehemu ss na vizazi vyetu Mungu nakusihi hasira yako isitupate ss na familia zetu hawa watumishi feki nashetani mawakala wakipepo watumishi wa matumbo alikua anafanya biashara wakristu kuweni macho mnakimbilia miujiza badala yakumtafuta Mungu wakweli tubuni tubuni isijekua kama Brazil Mungu turehemu tumekosa wanao wafungwe wanyongwe tena uwanja wa taifa
@innocentmtashobya1257
@innocentmtashobya1257 Жыл бұрын
Kuna mijitu haitakiwi kuishi hata kwa sekunde..na cc wakristo tuamke watu kama hawa tunawapiga panga mpaka mifupa tunaisaga..haiwezekani haiwezekani
@solomonmkubwa5314
@solomonmkubwa5314 4 ай бұрын
Mungu mwema aondoke inchini
@GayoGabriel
@GayoGabriel Ай бұрын
NEEMA products kama vile sabuni na lotion za zoazoa zinaeneza ushoga
@dadaz4653
@dadaz4653 Жыл бұрын
Mungu Rehemu kizazi hiki YESU tuhurumie tunaelekea kubaya. Sanaa
@sikujuajonas3361
@sikujuajonas3361 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 kutachangamka
@melikiedward448
@melikiedward448 Жыл бұрын
Amejiunga na ibilisi Ivo ameambiwa amtukane mungu
@dadaz4653
@dadaz4653 Жыл бұрын
@@melikiedward448 kabisaaa
@lucaslaurent2920
@lucaslaurent2920 Жыл бұрын
Safi sana.
@EsauBakari
@EsauBakari Жыл бұрын
naipa hongela selekali safi sana wafungiwe kabisa huyu ametumwa na shetani kukufulu biblia
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Mnashangaa nn hamuoni hili mchungaji anakengexa??
@elizabethkimwemwe7847
@elizabethkimwemwe7847 Жыл бұрын
Nimelia machozi,inauma sana,angejua Mungu anailinda biblia kuliko kitu chochote angefanya maasi yake yote sio kuitukana biblia,neno LA Mungu aliye hai,zama za giza mawakala wa shetani walifanya kila waliloweza kuhakikisha biblia inatoweka lakini hawakuweza kwa kuwa Mungu anailinda,angejifunza hats kwa ile clip ambayo ilionyeshwa nyumba imeungua na vitu vyote biblia pekee ikabaki bila kuguswa na moto wakati laptop ambayo biblia hiyo ilikuwa juu yake imeungua kabisa Mungu amrehemu maana huku in kumkufuru Mungu na neno lake yeye mwenyewe ndio kaburi na Manisa lake ni kaburi pia.
@ramadhanisalum3548
@ramadhanisalum3548 Жыл бұрын
Bibilia cio kitabu Cha mungu bibilia ni neno la kigiriki lnalomaanisha mkusanyiko wa vitabu so bibilia kapewa nabii gn au mtume gn sbb nabii mussa kapewa tawrat na daud kapewa zabur na ISSA ama yesu kapewa injil na Quran kapewa mtume Muhammad s.a.w Sasa bibilia kapewa nani toa point
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Si anatafuta pesa kanisani. Kwaidatu wachungaji wote wanajuaukweri ilatu pesaaa ndiyoinawapeleka kanisani,,, Allhamdulillah kwakua muislam
@Awatee
@Awatee Жыл бұрын
Kweli biblia ina makosa mengi kimetiwa mkono
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Kw kweli ni raha sna kuw Muislamu asntee mungu kw neema hii ya Uislamu
@Awatee
@Awatee Жыл бұрын
@@inesstibenda2832 Siku utakayo jitambua najua ndio utatulia nani wakujitathmin
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Жыл бұрын
Huyu ni illuminate, ni kweli shetani ana mpango wa kuibadilisha biblia
@marthashenenga9076
@marthashenenga9076 Жыл бұрын
Nilitamani kama tungerudi kama zamani Redio chache tv ya taifa. Na maana tunashuhudia vitu vya ajabu mpaka macho na masikio vimechoka
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Kuna kale kamchungaji chake chenye lafudhi ya kisukuma kanachokataa kutoa SEHEMU YA KUMI
@jacobdeku
@jacobdeku Жыл бұрын
Huyu si mchungaji tapeli Sana apotele Bali kwa damu ya yesu
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 Жыл бұрын
Sio guru sana, ndio kristo wenyewe ilivyo.
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 4 ай бұрын
Huyu simchungaji,hili ni pepo kamili la kuzimu,huduma haribifu hii ifungiwr na huyu anayejiita mchungaji afunguliwr mashtaka.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Nimecheka kwamba ni kitabu cha ajabu na kaburi la ajabu na kitatokea kitabu kingne kitakachokifunika hk et kisa tu kuna mjinga mmoja alitamka neno flan dah aise naipenda Bible kupta hata maisha yangu kwamaana ndo uzma wangu na ndo Mungu mwenyewe
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 4 ай бұрын
Ataombaje radhi ni shoga ila lazima Mungu ajilipizie kisasi
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 Жыл бұрын
Akamatwe huyu mtu ni hatari Kwa taifa letu
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Жыл бұрын
Na macho yake hayo
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 Жыл бұрын
End Time Sign...People Must REPENT CHRIST JESUS IS COMING SOOOOOOON VERYYY
@tatubenson9039
@tatubenson9039 2 ай бұрын
Very soon hakika
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Yaani vitu vingine naviona live ila naendelea kuona kama niuongo maana ni zaidi ya ushetani Mimi ni muislam ila nimeshtuka kusikia mchungaji akiita bibiliya kaburi nakwamba kunakuja kitabu mpya kitakacho funika uozo wa bibiliya 🧐
@andersonmkombolla9278
@andersonmkombolla9278 Жыл бұрын
Jamani jamani jamani kweli mwisho umefika ifike mahali tuwe na adabu,hivi hiyo aliyesema hayo maneno mtamuona tumpe mda mda utaongea.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Aaaaaa Bora MAANA hawaeleweki na wanaharibu watu wengi
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 Жыл бұрын
Shenzi we mtukana Biblia takatifu. Ndomaana una macho Kama ya nguruwe mwitu.
@EmmanuelKipwasa-hv1lq
@EmmanuelKipwasa-hv1lq Жыл бұрын
Niakili ganii kitabu kakikuta anajifanya anaufahamu sana duuu
@richardedward2274
@richardedward2274 Жыл бұрын
Kwajina la Yesu haitafunguliwa tena pepo mkubwa
@mwatangachaurembo3405
@mwatangachaurembo3405 Жыл бұрын
Mchungaji yupo sawa
@hakizimanantawundi9369
@hakizimanantawundi9369 Жыл бұрын
Sasa ukishasikia mtu anaitwa CHAUREMBO unafikiri hakili zake zikoje? Ni lazima asapoti hadi ujinga. Mungu akuhurumie na kukusamehe.
@daudaloyce-km4id
@daudaloyce-km4id Жыл бұрын
Hawa watu wamejikinai sana daah
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
Pole zao wameingiliwa Mungu awarehemu sana . Majibu yao yameanza kuonekana
@user-hi1hi6ib4u
@user-hi1hi6ib4u 4 ай бұрын
Wafungiwe kabisa nakuchukuliwa sheria haraka iwezekanavyo
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Huyu ni Mpinga Kristo mafundisho yao yanapinga amri kumi za MUNGU, yanaruhusu dhambi, walikuwa na club ya mashoga na wasagaji wakafungiwa
@mfinangaexaud3492
@mfinangaexaud3492 Жыл бұрын
Haa mchg ni docta!!!huyu mke wake anapaswa ablid mfululizo miaka ya kutosha na mume wake abebe mimba .kwa namna anavyokufukuru
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Wakristo runajipoteza wenyewe hasa anayeanzisha huduma ukimuuliza umeisomea wp dini jibu utasikia ni kijipaji kutoka kwa Mungu, na ubinafsi na umimi umezidi kl dhehebu
@AdamSelestinruhungu
@AdamSelestinruhungu 15 күн бұрын
Habar
@AzjaZakwan-to8vp
@AzjaZakwan-to8vp Жыл бұрын
qur'an inalindwa na mungu,biblia kila siku inatoleo jipya utapel tu
@SMEDIA298
@SMEDIA298 Жыл бұрын
ASUBIRI KITABU CHAKE TASISI HAITAFUNGULIWA MANA HANA KITABU CHA KUTUMIA . ZUMARIDI SIO MKRISTO NA SIO MCHUNGAJI NIMFALME
@neemareuben311
@neemareuben311 Жыл бұрын
Mmmmmh na hayo makengezaaaaaa mmmh atari sana duni kwisha
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Huyu ni wapi Yehovaaaaa Jitukuze ona haya ana Nini huyu koma kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai.
@JohnNyasi-xb7sy
@JohnNyasi-xb7sy 10 ай бұрын
Mmefanya jambo jema sana
@kosherasengasu5093
@kosherasengasu5093 Жыл бұрын
Ni nyakati za mwisho hizi.Tumwombe Sana MUNGU.
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 Жыл бұрын
Aliyoishika ni biblia kweli au ni kitabu tu cheusi haki Mungu amsamehe
@user-fm4le4nz6v
@user-fm4le4nz6v 3 ай бұрын
Huyu si ndio yule mchungaji anaezaniwa kuwa ni shoga😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 ай бұрын
Binadamu mnataka nini duniani jamani kukufuru mmeweka mbele na kupoteza watoto duniani kwanini?
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Huyu hata hivyo Vipodizi vyake ni Hatari, nashawishika kudhani na kusema vitakuwa na Vichocheo (Hormones) za kufanya Wanaume wawe Mashoga na Wanawake wawe Wasagaji.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
😂🤣umenena
@annambezi6226
@annambezi6226 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@zakayomsangi661
@zakayomsangi661 Жыл бұрын
Akili Yako mbovu tu
@julietbujiku453
@julietbujiku453 Жыл бұрын
Yaani huyu amemzalau Mungu na dunia nzima, lifungiwe nakamatwe,
@mathewnyahuru9009
@mathewnyahuru9009 Жыл бұрын
Uyu jamaa nilishangaa et ni mchungaji wakat alikuwa tarime miaka ya nyuma msera tuuu ghafra na sikia yuko dar benk frani leo mjungaji kweli wana cheza na mungu serikari mko makin
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Bidhaa yake ya zoazoa imekosa soko,ameamua kuhamia huku 😂
@ameokichaka9456
@ameokichaka9456 Жыл бұрын
Huyu anatakiwa kukamatwa,,maana anatengeneza taharuki nchini,,pia anadharirisha biblia,,ni bora umkosoe mtu au mtumishi sio kitabu,,yaani unamlenga moja kwa moja mwenye kitabu na waumini wake,,Sasa watu wakifuata mawazo yake hautakuwa salama,lifutwe kabsa kanisa lake,
@josephatfaustine5932
@josephatfaustine5932 Жыл бұрын
Kweli wapuuzi ni wengi dunia sasa kama bibilia ni kabuki wewe kanisa lako linafundisha kitu gani??
@AdamMwita-yj7ey
@AdamMwita-yj7ey Жыл бұрын
Kama anaikashifu biblia ambayo ni msingi mkuu wa mafundisho ya kikristo kulikuwa na sababu gani kuanzisha kanisa.kulikuwa na mfaransa mmoja aliyeikashifu biblia aliyejulikana kwa jina la Voltare lakini kwa maajabu ya Mungu baada ya kifo chake nyumba alimoishi ndimo ilimofungwa mitambo ya kuchapisha Biblia.
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
ASANTE YESU, MUNGU HADHIHAKIWI,NA AFUNGIWE KABISA MAANA HUYU NI AGENT WA SHETANI.
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Mungu akusamehe
@deboraleonard3441
@deboraleonard3441 Жыл бұрын
Huyo amemkashifu roho mtakatifu awezi samehewa
@Nazareth8119
@Nazareth8119 Жыл бұрын
Serikali iko sahihi
@aminamjema-kf7qr
@aminamjema-kf7qr Жыл бұрын
Nami nakumbuka kwenye vipodoz ila uovu umezidi kila MTU anafanya atakavyo waweke mashart magumu yaufungua kanisa
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Kama kagame au sio
@abdullatifsimai-1393
@abdullatifsimai-1393 Жыл бұрын
mdgmdg wataelewa hawa km hii c dini karibun kweny uislam
@samsonzakaria1000
@samsonzakaria1000 Жыл бұрын
Yesu ni dimoni tu, dini zote ni Uangamivu. Qur'ani yenyewe ina mkanganyiko. Maana ni shetani mwenyewe aliye nyuma ya dini zote duniani.
@FransiscahMuindi
@FransiscahMuindi 4 ай бұрын
May God forgive him
@hakizimanantawundi9369
@hakizimanantawundi9369 Жыл бұрын
Mimi nilidhani kama ana hakili za kumtosha angeleta hicho kitabu chake na afanye nacho kazi bila kuhusisha bibulia. Msjali ndugu zangu. Hao sisi tuko tunawapeleka kwa Mungu kwa njia ya maombi. Mtashuhudia kipigo hicho atakachowapiga nacho Mungu. Ninyi nyamazeni tu. Sisi hatumpiganii Mungu wetu. Yeye ndiyo mwenye kuwachapa watovu wa nidhamu kama hao walaaniwa. Si mnamkumbuka Farao? Huyo ni nani hataehafikii robo ya robo ya Farao.
@JohnNyasi-xb7sy
@JohnNyasi-xb7sy 10 ай бұрын
Wasifunguliwe awo wauni
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 Жыл бұрын
Hii ndio ilisababisha Brazil kuangamizwa
@josephamani
@josephamani Жыл бұрын
Yupo mngine mbeya
@angelnyinge4139
@angelnyinge4139 Жыл бұрын
MACHO KUMCHUZI YANAMCHANGANYA HUYU PEPO. AFUNGIWE TU HAMNA MUNGU HAPO. NDIO HAYA MAJITU TUKIYACHEKEA NDIYO YALIYOANDALIWA KUCHOCHEA NDOA ZA JINSIA MOJA.
@hakizimanantawundi9369
@hakizimanantawundi9369 Жыл бұрын
Kumbe na wewe umeshawaelewa. Hongera sana.
@Mchiizzy-xp3om
@Mchiizzy-xp3om Жыл бұрын
Nabii wa uongo huyo afungiwe
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 ай бұрын
Huyu kichaa ameuguwa. Siku zote mbona alikuwa akitumiz hoyo Biblia?
@immaculateslegaray8627
@immaculateslegaray8627 Жыл бұрын
Ni wewe ndo umeoza na maisha yako pamoja na na maneno yako
@adoryimond9817
@adoryimond9817 Жыл бұрын
Wewe mchungaji ushindwe na ulegee Kwa jina la yesu ushindwe kabisaa🤔🤔
@josephamani
@josephamani Жыл бұрын
Na wengine wajifunze kua makini wanapo ropoka
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 4 ай бұрын
Jambo ni kuhamasusha ushoga
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Bora wenyewe kwa wenyewe spati picha angekuwa Muslim kafanya ivyo
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Mwanadamu huyu jamaniii.... Hata hofu ya Mungu Hana....
@petermuli688
@petermuli688 Жыл бұрын
Anafunza kutumia kitabu gani ikiwa biblia ni kaburi?
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Huyu ni basha TU shoga hafai arud nyumban Ht hyo taasisi hyo isifunguliwe matango pori hlo
@MwaminiKifyasi
@MwaminiKifyasi 6 күн бұрын
Hili jamaa ndomaana linamalyenge
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 Жыл бұрын
HAKUNA BRAZIL KILICHOTOKEA BAADA YA KUFANYA KAMA HUYO?
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 131 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 418 М.
AMRI ZA 10(TORATI) NI LAANA NA NIHASIRA -  KRISTO CHUMVI YA ULIMWENGU
44:58
HUU NDIO UKWELI KUHUSU KUREJEA KWA MAKONDA.
3:16
masta tz
Рет қаралды 684
История успеха Садио Мане
0:56
Финансович
Рет қаралды 808 М.
Haaland Respect Moments 🥶
0:40
Foot Mood
Рет қаралды 6 МЛН