AMRI KUMU(10) NI USHENZI, UKIZIFUATA ZITAKUUA/UTAMWAMBIAJE RAIS SAMIA NI MWIZI?!

  Рет қаралды 41,871

SAA YA NEEMA TV

SAA YA NEEMA TV

2 жыл бұрын

#SaaYaNeema #UkweliKuhusuKristo
Follow us:
FACEBOOK: / spiritwordministrytz
INSTAGRAM: / spiritwordministry
WHATSAPP: +255 753 999 989
Email: spiritwordministry@gmail.com

Пікірлер: 539
@rehematikotiko4002
@rehematikotiko4002 Жыл бұрын
AMA KWELI NIMEMUONA IBILISI NA MACHO YANGU MWENYEWE 😮😮😮
@Emmatz26
@Emmatz26 3 ай бұрын
🤣🤣🤣 kumbe na ww ume onae
@ShafrahKarinayn
@ShafrahKarinayn Ай бұрын
Mwisho wa siku ukweli utafahamika iam proud to be muslim
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 Ай бұрын
PASTOR HUYU KASEMA KWELI YANI INJILI YA KRISTO ISIYO KUWA NA MAKOLOKOLO injili ya Kristo Yesu ni msumeno inakatakata. Injili za matendo comment za wengi mmezoea JITIHADA zenu.
@restkalemile5274
@restkalemile5274 Жыл бұрын
Sanduku la agano lenye amri 10 Limehifadhiw pasipo julikana na siku ile ya hukumu litaonekn mbele ya kiti cha Enzi cha Mungu ili kuhukumu, kasome ufunuo wa yohana 11:19....... Hapo na watu wako uliowadanganya mtaelewa tu.
@nibahati
@nibahati Жыл бұрын
Wewe umejaa roho ya kuzimu, Unakufuru madhabahuni. Haumtumikii Bwana Yesu bali mungu wa dunia hii shetan na mapepe. Tubu tubu uokoe nafsi yako
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi Жыл бұрын
Pole sana, Mungu akusaidie, maana umechanganyikiwa. Na hao wanaokusikiliza nao wamechanganyikiwa pia.
@annak6738
@annak6738 Жыл бұрын
Tubu sasa,Wokovu ni sasa,Usipomrudia Mungu Ukatubu,basi Mungu Akukemee na Akuhukumu.
@deborahmangula-lg4zf
@deborahmangula-lg4zf Ай бұрын
wew usicheze na mungu atapigwa vibaya sana!
@IsayaKonki-gf6vv
@IsayaKonki-gf6vv Жыл бұрын
Kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa hao watu wanakaa kweli na kumsikiliza mtu ambaye anatapeli nafsi za watu tokeni Kati yao asema BWANA Mungu hadhihakiwa acheni dhihaka juu ya NENO la Mungu hizi Ni siku za mwisho jamani kuweni macho mathayo 24 inatimia na hamlioni hilo enyi watu tokeni hapo hakuna mbingu ya dhihaka efeso 4:30 msihuzunishe Roho mtakatifu ambaye kwa yeye mlikwisha kutiwa muhuri, hapo Kuna laana tokeni hapo yeye alisema sikuja kuitangia torati Bali kuitimiliza kuweni makini, Ila Leo hii watu wanapenda mahubiri Kama hayo
@hellenmsongole
@hellenmsongole Жыл бұрын
Wewe ustahili kuishi Kwa namna unavyopotosha neno la Mungu
@zadockking1602
@zadockking1602 Жыл бұрын
@@hellenmsongole wewe unaezinii ndoo unastahiliii kuishii au sio 😂😂 Ila watu bhana
@zadockking1602
@zadockking1602 Жыл бұрын
Wewe unaezinii ndoo una maarifa au sio 😂😂 mungu sio mjomba ako
@chritinaphilip7439
@chritinaphilip7439 Жыл бұрын
Bwana akukemee kwa jina la yesu today pepo
@juliusmiki604
@juliusmiki604 Жыл бұрын
A! A! A! A! Wewe haujui kwamba ule ndo msingi wa biblia nzima Bila amri za Mungu utakatifu haupo hauwezi ukasema Yesu amekuokoa wakati unaendelea kuiba, Heshimu mambo ya Mungu tafadhali
@neemashuma4884
@neemashuma4884 2 ай бұрын
Nasikia Mungu kamnyoosha..Mwacheni Mungu aitwe Mungu
@olivernyange2349
@olivernyange2349 2 ай бұрын
Tena anyooshwe na atangazwe na wanaomsikiliza ni wehu kama yeye
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 2 ай бұрын
Huyu jamaa yuko sawa kabisa, tuache kuishi kwa kukalilishwa kwa amri za kizamani, amri za wazungu, ushenzi mtupu huu
@benibaraka1701
@benibaraka1701 Жыл бұрын
Umekufuru mungu Dhambi ya kukufuru haisameheweeee ila umeanza moto
@jamalkishangu
@jamalkishangu Жыл бұрын
Manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao. Kuzikataa amri 10 za Mungu ni kumkataa Yesu na Musa. Nabii mapovu amejizatiti kuandaa kundi lake Ili wawe watu wa motoni.
@RamadhanJuma-g5s
@RamadhanJuma-g5s 11 күн бұрын
Funga kanisa ili usiendelee kupotosha hao wanaosema amina
@nellychamba1507
@nellychamba1507 Жыл бұрын
Binafsi ameniumiza sana, maana tumesoma kupitia vitabu ya walimwengu Eliza za kawaida tunaona faida zake, Bible ni kitabu chenye heshima kubwa Sana aisee, amekosea Sana, nahsi tiali yupo na rahana ya Mungu tiali, aisee serikali yetu pia inausika katika upuuzi huo, kwa Hali hizi Mungu ashuke tu, naomba Hilo kanisa lisifunguliwe na yeye afungwe ! na hao waumini wake sidhani Kama wanatimamu, maana nahsi ata Elimu hawana. Huyo ni wale waumini wa Freemason hakuna lolote, aiseee Mungu shuka leo
@songoloemedi3466
@songoloemedi3466 Жыл бұрын
Duh…! Kwasababu ya uongo kavaa miwani nyeusi , jamani ulimwengu unapo elekea nishida tupu.
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Jamani mama samia hamumuoni huyo mtu anavopoteza watu
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
Mungu hajalala anakuona!! Jibu utapata
@zadockking1602
@zadockking1602 Жыл бұрын
Huu Ni kama mwaka wa sita na mungu anatuona mbn hakuna kitu kilichotokea huyo mungu aanze kwanza na wazinzii afuu ndoo aje kwetuu
@pharlescostantine8692
@pharlescostantine8692 5 ай бұрын
Unaupiga mwing sana Kristo ceaser, sikien wana wa Mungu hat Kaka Yesu aliwah kusema hakuna awezaye kuja na kumwamn yy icpokuwa ameonyeshwa na baba so cshangai Wang wacpo tuelewa cc wana wa Baba. Niny ni Baraka sana
@muromuro8037
@muromuro8037 2 ай бұрын
Shetani mkubwa wewe
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Жыл бұрын
Ama kweli this is real devi 👿👿👿 👿👿,,, hizi ni nyakati za mwisho
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
huyu jamaa ni Shetani katika umbo la binadamu!
@obedlwinga9194
@obedlwinga9194 Жыл бұрын
Najitahidi sana kulinda kinywa change kisinene, lakini huyu jamaa ananilazimisha ninene, kwa hiyo wewe uko rohoni kuliko roho aliyenena na nabii Musa? Ndugu kuwa na akiba na maneno yako, kwa kinywa chako utahesabiwa haki na kwa kinywa chako utahukumiwa
@mathiasibrahimu-mt3bo
@mathiasibrahimu-mt3bo Жыл бұрын
Mungu atapiga,
@HerieliParesso-yb4oy
@HerieliParesso-yb4oy 4 ай бұрын
Naona humjui vizuri Mungu
@kasembojackson6850
@kasembojackson6850 Жыл бұрын
Tulieni watoto wa mungu! Msisikilize huyu mtu' shetani lazima aonyeshe tabia yake ndio mjue hizi ni siku za mwisho.
@zawadilutufyo8771
@zawadilutufyo8771 Жыл бұрын
Ameni
@JoyceLemma-ts6re
@JoyceLemma-ts6re Жыл бұрын
Naona umechanganyikiwa acha kudanganya watu kuzimu ndo wamekutana hivo
@abeljohnsonnaman.7635
@abeljohnsonnaman.7635 Ай бұрын
Na wako washenzi apo wanaitikia aminaaaa. Yaani kuna wapumbavu wengi kweli Dunia hii
@ednajustin4763
@ednajustin4763 Жыл бұрын
Duuuuuuuuuh, God have mercy 🙏🏻
@AnnaMkasa
@AnnaMkasa Ай бұрын
Dah kweli ni mwisho wa dunia yan nimemuona obvious live namungu na atende kaziyake juu yako kwa mikono yake kwakumtusi yesu na mungu baba
@tumsiimekente1656
@tumsiimekente1656 Жыл бұрын
Mungu akurehemu inapotosha watu,
@nyehasmedia4142
@nyehasmedia4142 Жыл бұрын
Pole Sana Unaitaji kusaidiwa
@amanmalima940
@amanmalima940 Жыл бұрын
Saa ya wokovu ni SASA hebu MWAMINI YESU na Ulithi Uzima WA milele na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10,2Kor6:2).
@eliyahnkembo5245
@eliyahnkembo5245 Жыл бұрын
Shukuru kwasababu mungu ni waneema vinginevyo ungegeuka jiwe mpuuzi ww
@Emmatz26
@Emmatz26 3 ай бұрын
🤣🤣🤣
@powerofgospeltorecover804
@powerofgospeltorecover804 3 ай бұрын
Huu nao niutapeli ila apandacho mtu ndicho atakachovuna fanya yote ila ujue Mungu ni mtakatifu 1Petro 1:14-16
@sirvestartumia1064
@sirvestartumia1064 Жыл бұрын
Kweli gogu na magogu sasa wanajitokeza wale wapinga kristo .hongera Sana nabii Eliasi/Eria wewe endelea kufundisha na aje ajifunze kwako
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
hahaha hahaha gogu wa magogu!! ila huyu jamaa ni Shetani katika umbo la mwanadamu
@respeacemgawe7387
@respeacemgawe7387 Жыл бұрын
Duh..! Kwa hiyo Mungu ameruhusu magugu yamee pamoja na ngano..!
@revocatusbahatibussiah5201
@revocatusbahatibussiah5201 Жыл бұрын
Dah!!! Nabii wa uongo ndo huyu sasa!!! Ila kwasababu Mungu n mwenye rehema ndo maana anaishi!!!! Ila Neema hiyo ikiisha.......nae basi
@mamertarweyemamu3438
@mamertarweyemamu3438 Жыл бұрын
Kumbe na wewe ni mjinga Sana. Unaogopa cheo. Amri ya mungu itaendelea kusimama. Mungu ndiye aliweka amri hizo. Wewe unatafutA sifa tu
@SahaniKihongwe
@SahaniKihongwe Жыл бұрын
Hatari sana mungu akusamehe sana
@furaharyana5019
@furaharyana5019 Жыл бұрын
Mungu akusamehe maana haujui hutendalo njaa mbaya
@rhodakisena6428
@rhodakisena6428 Жыл бұрын
Yametimia Uf 14:12 haifutiki watakatifu ni wale wazishikao amri za Mungu na imani ya Yesu. Danganya hukumu
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni Shetani katika umbo la binadamu
@humphreyngallawa5630
@humphreyngallawa5630 2 ай бұрын
duuu binadamu MUNGU atuhurumie,mbona tunaitumia Neema aliyoileta MUNGU kupitia Kristooo,kijana Mungu akuhurumie
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino Ай бұрын
Mungu wamsamehe hawajui walitendalo, ila moto unawasubili
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Kwavile ndio dini yenu ya ujanja ujanja sikushangai
@izackkweka9213
@izackkweka9213 4 ай бұрын
Yesu alisema mtawatambua kwa matunda yao
@ItikaWito
@ItikaWito 27 күн бұрын
Ila yesu alimwambia atende dhambi tena
@vailethmalack6148
@vailethmalack6148 Жыл бұрын
YESU KRISTO. Akusamehe na hao unao wapotosha. Kwa sababu umeseme yote Ila hujatoa andiko lolote. YESU KRISTO. Ukoa na kumsamehe mtu huyu na wapatie ufaham wanaopotoshwa hapo.
@gilbertbarandereka8653
@gilbertbarandereka8653 Жыл бұрын
Shetani madhabahumi.
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 4 ай бұрын
Kichaa,mungu akufunge kinywa,tena ufe unatuharibia dunia
@rubensokoine6647
@rubensokoine6647 Жыл бұрын
Yani wewe mungu mzee mungu akulehemu Sana
@kelvinbernard5453
@kelvinbernard5453 Жыл бұрын
Utafanyaje kitu amabacho akipo, kwo unataka kusema dhambi haipo???!! Unamatatizo pastor
@ndayisabapierreclaver5037
@ndayisabapierreclaver5037 Жыл бұрын
Kevin kizazi cha christo nakupenda !!
@justicemwakikung876
@justicemwakikung876 Ай бұрын
Ushindwe kwa jina la Yesu
@israelandemwakalundwa-iz1fc
@israelandemwakalundwa-iz1fc 25 күн бұрын
Kwa.jina.la. Yesu.nenda.zako.na.vibaraka.vyako.na.uondoshwe.
@MsetiRyoba-el3ye
@MsetiRyoba-el3ye 2 ай бұрын
Mungu anakusubiri
@Emmatz26
@Emmatz26 3 ай бұрын
kwanza mbona kamera haionyeshi hao wehu wanyuma tuka waona
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 Жыл бұрын
Hayo ndiyo mafundisho ya baadhi ya wazungu.
@boscomwanisongole9173
@boscomwanisongole9173 Жыл бұрын
Ndio maana mimi siendagi kanisani au msikitini sababu wananichanganya
@lamecksmbeya1027
@lamecksmbeya1027 Жыл бұрын
Siyo kweli mtumishi, hunyooshi Neno la uzima. Ili watu wawe na uzima lazima uwahubiri watubu dhambi zao, zinazowafarikisha na Mungu. Isaya 59:2. Huwezi kuwaremba watu kuwa hawana dhambi, dhambi zipo na Kila anayetaka kuwa karibu na Mungu lazima atubu dhambi na awe mtakatifu. Hilo ndilo la msingi "kutubu ,kuziacha na kutokuzitenda dhambi". Matendo 2:37-38.
@annastaziakimaro3042
@annastaziakimaro3042 4 ай бұрын
MARKO 13:5-6 Yesu akaanza kuwaambia, jihadharini, mtu asiwadanganye. Wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, mimi ndiye, nao watawadanganya wengi.
@franknambaya5368
@franknambaya5368 Ай бұрын
Unapoteza watu ila sio mbaya maana hawasomi ilihali wameenda shule 13 Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki. Warumi 2:13 Neema ni kwa wale waitendao sheria
@anicethpeter3100
@anicethpeter3100 Жыл бұрын
Mungu atakuonyesha
@thobymsule6045
@thobymsule6045 4 ай бұрын
Kishampiga stroke
@AnnaMkasa
@AnnaMkasa Ай бұрын
Natena atamnyoosha ktk majina ya mitume wote wali tumwa na mungu 😭😭
@AnnaMkasa
@AnnaMkasa Ай бұрын
​@@thobymsule6045anastrok mara ???? Nabado mpaka mkubwa utoe funza ndiyo hatajua mungu sio yule ba by yake alie mfundisha usenge
@junessalama9129
@junessalama9129 Жыл бұрын
Usikufuru wewe!!mpinga Kristo wewe,Yesu hakuja kutangua amri kumi!
@user-fl9ig8wx7t
@user-fl9ig8wx7t 4 ай бұрын
Kwa sasa ni neema iko juu ya Sheria, nikwamba unaamini yesu kristo kwa roho yako, ili upate kufuata Yale amri, Huwesi kuhishi kwa Imani ya kristo bila hayo kumi yalio andikwa
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 15 күн бұрын
Umeamriwa na Joka ufanye haya
@rubensokoine6647
@rubensokoine6647 Жыл бұрын
Yani we mzee Soma yohana 1. 8. Asemaye Hana dhambi ajidanganya Wala kweli haimo ndani yake kweli mzee hapo ulipo fikia kweli mungu atakupiga kweli Yani inafikia mahali una itukuna bibilia una sema bibilia kaburi kweli subiria kipigo kina kuja juuu yako
@WilsonBuberwa
@WilsonBuberwa 3 ай бұрын
Unaitaji msaada wa kukombolewa pole sana unapoteza watu wa MUNGU wew ni mpinga kiristo
@user-db8sk1wl9u
@user-db8sk1wl9u 22 күн бұрын
Kwani Mnauhuru gani mpaka mnakufuru kiasihicho dhaaaa Tanzania hii mnapotoka nyakati za mwisho 😭😭
@yohanayakobo2154
@yohanayakobo2154 Жыл бұрын
2 Petro 2:1-3 Ndiyo huyo. Walimu wa uongo
@petermochengo
@petermochengo Жыл бұрын
Manabii tapeli
@EmmanuelyJumanne
@EmmanuelyJumanne Жыл бұрын
Mungu akusamehe maan umechanganyikiwa kabisa wew kama no pepo umefel kwa uongo wako😮😮😮
@user-sp7cm8pm4w
@user-sp7cm8pm4w 7 ай бұрын
Neno la Mungu litabaki kua imara milele na milele maan limehakikiwa na Mungu mwenyewe.
@rubensokoine6647
@rubensokoine6647 Жыл бұрын
Wewe una zijua amri za mungu kweli amri ya kwanza niupenda wewe mzee
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Жыл бұрын
Ww umesahau kilichowakuta Brazil Kwa kuabudu Ile sanamu ,mungu atakutia opofu.
@agneskihinga1110
@agneskihinga1110 Жыл бұрын
Ghazabu ya mungu ukukumbe kwa kupotosha mataifa
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Wakolosai 3:5 Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu;
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 Жыл бұрын
MUNGU Hadhihakiwi🙏😭😭😭😭😭
@napojohn8695
@napojohn8695 Жыл бұрын
Wewe tubu
@charlesally6028
@charlesally6028 Жыл бұрын
Kweli dunia imeisha hili ni bonge la pepo bado watu wanakwenda kusali😂
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 Жыл бұрын
Huyu maryenge ni mpumbavu!
@ShalomSameTV
@ShalomSameTV 19 күн бұрын
Mathayo 22:35-37 [35]Mmoja wao, mwana-sheria, akamwuliza, akimjaribu; [36]Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu? [37]Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.
@rehematikotiko4002
@rehematikotiko4002 Жыл бұрын
HUYU BABA SIMUELEWI SABABU HATA YESU HAKUKANA AGANO LA KALE.YESU ALISEMA SIKUJA KUITANGUA TORATI BALI KUIKAMILISHA.....HELOOOO👋
@doreenmwakisyala7052
@doreenmwakisyala7052 Жыл бұрын
Mungu adhihakiwi apandacho mtu atavuna acha kupotosha watu neno la Mungu ni hai na lina pumzi ya Mungu ooooh utakufa mdomo wazi....kwa maana hiyo watu wazini au sio
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 3 ай бұрын
Mungu wasamehe hawajui walitendalo.🥹
@zawadilutufyo8771
@zawadilutufyo8771 Жыл бұрын
Ilikuwa lazima uwepo lazima ukufuru, lazima upoteshe lazima uwe kimwili zaidi, lazima udhihaki kwasababu ilitabiriwa kuwa manabii wa uongo mtatokea na mtapitosha watu!😮 Mungu awasaidie wanaokusiliza maana umewafunga katika giza linalikuongoza!! Neema ya kweli uwaokoe! Yesu wa kweli awatetee! Zaidi yoyote Mungu turehemu zaidi tuonhozwe na neno lako kwa Roho wako na si vinginevyo
@mayungakasiga-qh3xs
@mayungakasiga-qh3xs Жыл бұрын
Your so stupid , wewe in bibilia yako au shangazi yako ,, kweli wewe mshenzi,
@mayungakasiga-qh3xs
@mayungakasiga-qh3xs Жыл бұрын
Your so stupid , wewe in bibilia yako au shangazi yako ,, kweli wewe mshenzi,
@yonasimion3130
@yonasimion3130 2 ай бұрын
Mungu umsamehe maana hajui alitendalo, mpe roho mtakatifu amuongoze.
@petergerald7694
@petergerald7694 4 ай бұрын
Tupe point mchumgaji binafsi bado sijakuelewa
@catherineangel2529
@catherineangel2529 Жыл бұрын
Daaa mungu uliehukum sodoma na gomola tuhukumie makanisa haya yasiona stahaa ya maneno wachungaji wauongo na manabii wauongo wanazidi kulithiaki neno lako Yesu wetu uliejitoa pale msalabanii
@Mkudejonasy-ec3lk
@Mkudejonasy-ec3lk Жыл бұрын
Daah aisee hii mbaya sana ok MUNGU ndio anaejua nisihukumu
@annamadavid4152
@annamadavid4152 Жыл бұрын
Eti liliomba msamaha mkewe ndio akamsomea msamaha eti hajatamka,sasa hili ni jini au linguruwe,mungu hatakuacha hivihivi,
@catherinenicander7468
@catherinenicander7468 Жыл бұрын
Wewe subiri mapigo kumi ya misri ndio utakuwa kuwa mungu ndiye muumba wako???huyo roho wa bwana ,Yesu alikuwa neno na neno lilikuwa kwa Mungu naye alikuwa Mungu,na kila kitu hapa duniani kiliumbwa kwa neno,neno ni Kristo wa bwana,Acha kupoteza watu kwa kuwatangazia ushenzi wako,kama wewe ni mzinzi kaendelee na uzinzi wako na hao wafuasi wako ambayo mmetoka wote kuzimu kuja duniani kufanya KAZI ya shetani.utakfa katika maneno yako kwa nini ujite mchungaji we jiite shetani .
@nellychamba1507
@nellychamba1507 Жыл бұрын
Nasema serikali isikubali kuruhusu vitu hivi, Kama inataka nchi iwe na timamu pamoja na watu wake,Basi uchukue hatua, maana hakuja serikali Bora bila kumshomu Mungu, huyo mshenzi ni pepo toka kuzimu ,na Mungu amesikia atakushughulikia mapema tu, maana ajalala,aise
@moseskenedy7042
@moseskenedy7042 Жыл бұрын
Mungu anamuona
@ANUSIATHACLEMENCE-mb4oy
@ANUSIATHACLEMENCE-mb4oy Жыл бұрын
Mungu sio wakumdhiaki siyo mwanadamu oleee waooo
@catherinenicander7468
@catherinenicander7468 Жыл бұрын
Yesu mwenyewe unayemtaja alisema yeyote anayejisema Hana dhambi anajidanganya.wewe unajidanganya nakudanganya wenzio ulikotoka nao kuzimu
@stevenmwanyika1674
@stevenmwanyika1674 Жыл бұрын
Hatari Sana....
@faywaigui3412
@faywaigui3412 Жыл бұрын
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kutakuja watu watajiita manabii na jina la yesu watandanganya wengi na kupoteza ,someni mathayo 24 :1:19 na msisomewe na mtu mjisomee utapata hawa walitabiliwa watatokea
@jumahili8121
@jumahili8121 4 ай бұрын
Mimi kwa kweli ni mara ya kwanza nimesikia mafundisho ya uongo mkubwa namna hii. Tuwe macho. Inawezekana ndio baadae ushoga na usagaji unaingia. Mafundisho ya wazungu hayo. Hamna toba hapo.
@finiasezra7072
@finiasezra7072 Жыл бұрын
Kumbe mwanamme mwenye jinsia ya kike kumbe mpo
@user-yd4et4sd9b
@user-yd4et4sd9b 2 ай бұрын
Acha kupotosha watu wa MUNGU, biblia na maneno ndio vitatupeleka mbinguni. We subiria hicho kitabu chako kinachokuja ndio uwafundishe hao mataaira wenzio. Tens ushindwe kwa jina la YESU.
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
MUNGU na akuzime milele kwa jina kuu la YESU KRISTO wa Nazareth uspotubu tena haraka
@kilistar5253
@kilistar5253 Жыл бұрын
Sasa hao wanaokuita mchungaji wake wanajua kwamba umemezwa na joka? Mungu awape macho ya rohoni
@hamisahtuman5595
@hamisahtuman5595 Жыл бұрын
Imeandikwa sikuzamwisho watakua mashahidi wa uongo ndio hao
@EdwinKapinga-hg5kw
@EdwinKapinga-hg5kw Ай бұрын
ACHA KUNENA KAMA JOKA UFUNUO WA YOHANA13:6
@mramba1966
@mramba1966 3 ай бұрын
Shindwa kwa jina la Yesu huna maana
@benibaraka1701
@benibaraka1701 Жыл бұрын
Mungu wambingu nakuomba umuvune uyu mutu iliasindelee kupotezawatu wako baba nakulilia yesus christon wanazareth uyu mnyama ikonapoteza kanisa lako ebu umuvune yesus jitukuze baba
@eltabusenzia765
@eltabusenzia765 Жыл бұрын
Kweli mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu Mungu aliyeziandika Amri kumi akizishusha katika mlima ule wa sinai akampa mtumishi wake Musa ww unasema ni upuuzi
@aliceraphael1250
@aliceraphael1250 11 ай бұрын
sio bure abiudi aliimba engekuwa mungu dunia ingeona cha mtema kuni,kweli ninge kuwa mungu saizi unge kuwa mochwari,kweli mungu niwa rehema
@The1979bornagain
@The1979bornagain 10 ай бұрын
That's absolutely right. Ndugu Caesar unafundisha kitu kigumu sana na wengi hawawezi kukuelewa kwa sababu ya mapokeo ya kimwili tuliyofundishwa na kuyapokea. Watu wengi wamekushambulia kwa kusema kuwa hakuna dhambi kwa wote walio katika Kristo. Na hii ni kweli kabisa. Lakini pia hii haimaanishi kuwa, watu tuishi maisha ya hovyohovyo yasiyozingatia kanuni za kimaandiko. Ni lazima tuishi maisha yanayoongozwa na kanuni kuu ya ROHO WA UZIMA ambaye ni Kristo ndani ya Kila mwana wa Mungu, Na Ukweli mwingine mchungu ni huu hapa, kuwa watu wengi tunajiita wa - Kristo lakini kiuhalisia ni wa - Kristo jina tu huku Ukweli ukiwa ni kwamba, bado hatumjui Yesu Kristo na kazi ya msalaba aliyoifanya pale Golgotha. Laiti kama tukielewa hili [la kazi ya msalaba], basi maisha ya U - Kristo yaliyojengwa katika msingi wa "Sheria ya roho" ni rahisi na mepesi sana yasiyohitaji mbwembwe wala complications zozote ktk kuyaishi. Watu wengi wataikosa mbingu kwa sababu ya mbwembwe nyingi za kujihukumu sisi wenyewe kusikoisha usiku na mchana. Na Yesu Kristo aliliona hili na kuwaambia watu wa dizaini hii kuwa, "makahaba watawaacha na kuwatangulia kuingia mbinguni" huku nyie na mbwembwe zenu mkibaki mmeduwaa!!
@dani72130
@dani72130 9 ай бұрын
kwa hiyo na wewe ni mzinzi na mwizi, endelea Bwana Yesu u karibu.
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 Жыл бұрын
Mmmmmh nilikuwa napita tu ila du hata aliye enda mbinguni na kurudi nafikiri naye kapata mwenzake
HUU HAPA UCHAMBUZI KWANINI KUZINI SIO DHAMBI
16:01
SAA YA NEEMA TV
Рет қаралды 14 М.
AMRI ZA 10(TORATI) NI LAANA NA NIHASIRA -  KRISTO CHUMVI YA ULIMWENGU
44:58
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 27 МЛН
PASTOR CEASAR MASISI; KWANINI MUNGU ANAKATAA TUSIZINI?
1:28:34
SAA YA NEEMA TV
Рет қаралды 13 М.
CHOZI LAZIMA LIKUTOKE | ALICHOKIFANYA MWANDALE MBELE YA RAIS SAMIA
17:27
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 16 М.
Alicho kisema Prophet edmound kuhusu UCHAGUZI 2025 | KUHUSU MAKUNDI MATATU
9:34
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 139 М.
3. AMRI YA KUZUIA KUNUNUA AU KUUZA
1:28:30
Godfrey Machota
Рет қаралды 8 М.
MIMI NI FREEMASON | UKIIFAHAMU KWELI ITAKUWEKA HURU
6:26
SAA YA NEEMA TV
Рет қаралды 9 М.