AMRI ZA 10(TORATI) NI LAANA NA NIHASIRA - KRISTO CHUMVI YA ULIMWENGU

  Рет қаралды 6,667

SAA YA NEEMA TV

SAA YA NEEMA TV

Жыл бұрын

#SaaYaNeema #UkweliKuhusuKristo
Follow us:
FACEBOOK: / spiritwordministrytz
INSTAGRAM: / spiritwordministry
WHATSAPP: +255 753 999 989
Email: spiritwordministry@gmail.com

Пікірлер: 77
@VickyChami-v7k
@VickyChami-v7k 27 күн бұрын
Mpinga Kristo namba moja
@juliethnyagawa4102
@juliethnyagawa4102 Жыл бұрын
We kajamaa wewe kaovyo Sana mjumbe wa ibilisi Bwana akukemee
@mayaladominico2126
@mayaladominico2126 Жыл бұрын
Siku hizi vichaa mnavaa vizuri.zamani walionekana majalalani Leo wanahubiri injili Kwa uongo poleni waumini wake.
@MwaminiKifyasi
@MwaminiKifyasi 6 күн бұрын
Iseee we kazee. Wewe injili Gani kajinga wewe
@WTC492
@WTC492 Ай бұрын
Wewe Mzee tafuta kazi za kufanya nyingine nakuonea huruma. Sio hicho unachofanya.
@yudachelango6824
@yudachelango6824 3 ай бұрын
Pumbafu sana, hakuna kitu kinachokosa sheria na kanuni,, imani vilevile
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 8 ай бұрын
Waambieni wake zenu wasitumie mafuta mengi ktk mapishi huondoa uasilia wa ubongo !
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
Huyu ndio yule wa ushoga twende tu mbinguni .
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
2 Wathesalonike 2:9-10 ; kwa sababu walikataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, naye ataleta nguvu ya upotevu , wauamini huo uongo,ili wapate malipo yawasitahiriyo Matendo yao upotevu wao
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 3 ай бұрын
Shetani kazini.
@SalomeMpota
@SalomeMpota Ай бұрын
Maiti zinazoongea....mashoga hawa daah
@manumunemanumune-uj6jq
@manumunemanumune-uj6jq 26 күн бұрын
Ninyi mawakala washetani ninyi acha kuwapotosha wana wa Mungu utwo tu hela mnato pewa tutaishia hapa hapa duniani
@usausatv2781
@usausatv2781 Жыл бұрын
Wewe Mtumishi Wa Munguuu Ao Umetumwa Na Shetanii? Mungu Akusamee Maana Hujuwi Unacho Kifanya Kupotosha Kanisa La Kristo Alilo Lifiya Kweli?
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Biblia hauwezi kuielewa kwa kusoma nusunusu hivo. Biblia ni kwa muktadha
@georgeahadi-zg2fn
@georgeahadi-zg2fn Жыл бұрын
Kwa kweli shetani anakutumia
@focusernest5610
@focusernest5610 Жыл бұрын
Potosheni sana ila mshahara wenu upo
@HappyAtom-qd5sz
@HappyAtom-qd5sz 3 ай бұрын
Pasta shoga
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 8 ай бұрын
Wengine kwanza avute ndipo apande mazabahuni.
@jessicamorrison289
@jessicamorrison289 Жыл бұрын
Yesu mwenyewe kila siku alikuwa akimponya mtu anamwambia usitende tena dhambi yasije yakakukuta makubwa kuliko hayo, mwanamke mzinzi pia aliambiwa na Yesu mwenyewe nenda lakini usitende tena dhambi, maana yake bado dhambi ipo. Acha kudanganya watu. Ni lazima kuishi maisha matakatifu maana Mungu ni mtakatifu. Hata Yesu aliishi Duniani bila kutenda dhambi
@faustinelias3284
@faustinelias3284 Жыл бұрын
aiseee nimeamin kazi ya ibirisi unaifanya vizur siku ikifika atakuri vema
@abelsimon8830
@abelsimon8830 Жыл бұрын
Utaishije maisha matakatifu Kama unadhambi? ILI UISHI MAISHA MATAKATIFU INAKUPASA USIWE NA DHAMBI.HESABU NDIYO HII.
@WTC492
@WTC492 Ай бұрын
Asante kumkosoa huyu jamaaa.
@muromuro8037
@muromuro8037 2 ай бұрын
Masikio kama ya nguruwe wale waliokuwa na mapepo
@user-bg3tl6qi3u
@user-bg3tl6qi3u 27 күн бұрын
Hivi kuna watu wanawafwata hawa wachungaji nitashangaa
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Kina zumaridi hawa wamemezeshwa biblia na waganga wa kienyeji wa Nigeria
@The1979bornagain
@The1979bornagain 10 ай бұрын
Hii ndiyo injili ya kweli japo inashangaza sana kusoma maoni ya watu wengi yanayoonesha kuwa hawaelewi kabisa. Nadhani ni kwa sababu wengi hawaelewi wala kutambua kazi ya kifo cha Yesu msalabani. Ee Mungu tupe neema ya kufumgua akili na ufahamu ktk jina la Yesu Kristo, Amen! Asante mtumishi wa Mungu wa kweli!
@petermpenjwa1225
@petermpenjwa1225 Жыл бұрын
Chumvi ya ulimwengu leo umekolea saana
@user-ez1ky4ls7c
@user-ez1ky4ls7c Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ameliaamos3903
@ameliaamos3903 Жыл бұрын
Amen
@ezekelmabesa4324
@ezekelmabesa4324 Жыл бұрын
Nimesikiaaa wa pumbavu wengi ila wew ni grade A hahahahaha unapotoshaa live bila chengaa
@abelsimon8830
@abelsimon8830 Жыл бұрын
Kumbe wewe unaipenda dhambi endelea kuimiliki.
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o Ай бұрын
Kkkk hawana dhambi😂😂😂😂😂duh
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Mungu anasema kitabu cha mwanzo 6: Nanukuu, Binadamu baada ya kuzidi,usoni pa nchi,Wana wa Mungu wakawaoa binadamu ni wazuri wakawaoa,...Maasi yalipozidi usoni pa nchi,.Mungu akagairi kumuumba mwanadamu aliyemuumba, akasema nitamfutilia mbali mwanadamu na wanyama: Mwanzo :6:6
@sylvesterjoseph4575
@sylvesterjoseph4575 Жыл бұрын
Makanisa ya mafundisho ya uongo huo
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o Ай бұрын
Kondooo wako hapo wanasikiliza kwa makini😂😂😂
@aluneanthony3468
@aluneanthony3468 5 ай бұрын
Hatuna dhambi kwa sababu kristo ameshamaliza dhambi zetu kalvari lakini watu wengi nadhan hawajui kazi ya Yesu . Endeleeni kutubu 😂😂sisi tupo kwenye neema ya KRISTO Yesu ameshatubebea dhambi zetu😊
@aluneanthony3468
@aluneanthony3468 5 ай бұрын
Watu wanataka kusafisha dhambi zao kwa nguvu zao wenyewe akat kwenye torati kuna sheria 623 kama binadam utaziweza??
@ludovickvedastus3979
@ludovickvedastus3979 Жыл бұрын
Nondo n nzito sana 😅
@mayaladominico2126
@mayaladominico2126 Жыл бұрын
Zinatafutwa.zinaliwa.
@user-yt1lz6hz5p
@user-yt1lz6hz5p 3 ай бұрын
Ndomaan ss waislam tunamashaka nabibilia sio kitabu chamungu natunauhakika kutokana nakufuru zilizomo
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Tusemeje nini basi? Tudumu kutenda dhambi ili Neema izidi kuwa nyingi? La hasha! Sisi tulioifia dhambi tuishi ktk dhambi? Waumi 6:1-2;
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 8 ай бұрын
Ndio maana waisilamu wanauchoka ukristo.
@danielmrashani8710
@danielmrashani8710 Ай бұрын
Huyo sio mkristo maana awezi kuhubiri neno la kristo
@titojb4703
@titojb4703 Ай бұрын
Ukiua itahesabika nini?
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Kwani Paulo si ndiyo huyohuyo mmemkataa kwenye mafundisho yenu? Hapa tena mnamkubali?
@judithmtiesa8945
@judithmtiesa8945 20 күн бұрын
Mwenzangu ,hata Mimi nimesema hivyohivyo kama umenisikia hapa!kaah!
@lucasjuna7300
@lucasjuna7300 3 күн бұрын
Huyu katoka wapi!!!?Kichaa kabisa huyu
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 Жыл бұрын
Mawazo yako
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 26 күн бұрын
Ninani alikuabia bona mnaubiri kwakukurupuka tu
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Man of comedy
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
Wenzako wanasema Yesu ni mungu .....naww nikuulize swali , Torati ni kitabu cha mungu alichokitelemsha mungu mwenyewe kupitia malaika Jibril ktk kifua cha Nabii Mussa . Sasa wewe unasema torati itoke ije neema , kwani ninani huyo aletaye neema hata amshinde mungu ? Yaan neema ni ya nani ?
@salarose5980
@salarose5980 Жыл бұрын
kweli wakati umewadia mafundisho haya duuh yesu tusaidie ili tufike
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 Жыл бұрын
Nani anamwelewa huyu jamaa . Anieleweshe🤔
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Жыл бұрын
Ila nyie Ila nyie mmepotoka wazi wazi wala kuwajua ninyi mnafundisha uongo ni rahisi,
@petermpenjwa1225
@petermpenjwa1225 Жыл бұрын
Chuma hunoa chuma
@frolatimotheo8107
@frolatimotheo8107 Жыл бұрын
Wewe.kama.unataka.kuogerea.katika.dhambi.ogerea.mpaka.mwisho.na.mtakatifu.azidi.kujitakasa.mpaka.mwishoo.acha.uongokama.nbaba.yako.shetani.kama.ilikwisha.hiyo.hdambi.utakiwi.kudumu.katika.hiyo.dhambi.kaaa.kimyaaa.katika.jina.la.yesu
@EdwinKapinga-hg5kw
@EdwinKapinga-hg5kw Ай бұрын
Wewe unasikiliza cheka tu unadhan labda ni furaha,jaman wakati wa mwisho huu tubadilike sabato ITABAKI pale pale ndo inayo mtambulisha MUNGU mwenyewe,NAJISI vitabaki kuwa najisi,DHAMBI ITABAKI kuwa DHAMBI,POMBE ni halam, kama una mbingu yakwako endelea kutumia na kumfhata mfuasi wa JOKA atakufanya nawewe ukose MBINGU
@danmike5701
@danmike5701 Жыл бұрын
Huyu ni mbwa mwitu Mkali
@solomonmugao4733
@solomonmugao4733 28 күн бұрын
Huyu Ni nabii Wa uongo. Yes mwenyewe Ni mdhambi Wa ajabu Wa kukana yesu. . Ndigvyo unaona wengihawataki kufuata biblia. Wewe utapotea Na wwengi
@robertmondu3878
@robertmondu3878 Жыл бұрын
Hivi hata kama huna akiri timamu or unavundisha mazezeta broo
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Anaubiri pumba tu huyu
@EdwinKapinga-hg5kw
@EdwinKapinga-hg5kw Ай бұрын
BIBLIA nikitabu pekee cha Mungu mwenyewe fuatilia ufaransa kiliwakuta Kwa sababu kukataa BIBLIA na Mungu mwenyewe shetan hawatakii mema Wanadamu ndio maana kunamawakala kama hao wanaohubiri uongoo,wewe mwislamu nenda urudi BIBLIA ita aki kuwa takatifu 2timotheo3:16-17,waebrania4:12,mithali30:5-6,zaburi119:9-11,99,155,165,isaya8:20,mathayo5:17-19,ufunuo22:19,soma utaelewa,DHAMBI ITABAKI TU KUWA DHAMBI msimsikilize anaye Nena kama JOKA ufunuo13:6,
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 8 ай бұрын
Nyoko
@user-ez1ky4ls7c
@user-ez1ky4ls7c Ай бұрын
😂😂😂😂
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Imekwisha nini mwanadamu?
@amanimolell4204
@amanimolell4204 Жыл бұрын
Acha kuongea mambo usio yajua warumi 6.1
@amanimolell4204
@amanimolell4204 Жыл бұрын
Ufunuo 21.6-8
@daniellaiser4672
@daniellaiser4672 Жыл бұрын
Huyu sio mchungaji hata neno hajui
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
Hawa jamaa nashanga,wameikataa Biblia na kuna Bible wanaisubili iletwe .hivo nafikri haitaandika dhambi.
@fidelisbutondo1659
@fidelisbutondo1659 Жыл бұрын
Hahahahaha
@salarose5980
@salarose5980 Жыл бұрын
yesu ali acha sala gani itunike? kunakifungu cha kufanya toba kila tusalipo lakini wewe unapotosha jipime sawasaw
@noahmfinanga507
@noahmfinanga507 Жыл бұрын
Huyu jamaa serious Kuna waumini kweli anawahubiria na wanamkubali? au Yuko peke yake? Mbona Huwa hawaonyeshwagi?
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Shoga wewe
@EdwinKapinga-hg5kw
@EdwinKapinga-hg5kw Ай бұрын
Wewe acha KUNENA kama JOKA naona unamsaidia kazi shetani MUNGU alisema amesema nyiee waumini wake somenii BIBLIA hamtadanganyika tena
@nicodemusmsangi284
@nicodemusmsangi284 Жыл бұрын
Hahahaha hawa wapotevu bhna wanapotesha watu wazi wazi hakuna Aliya kamilika nyie mashetani tuu eti nenda kituo Cha polisi katukane hahaha Anza wewe alafu utaona shoo wewe pepo
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
Ila shetani amewaleta wahuni wengi.
BARUA YA MTTUME PAULO KWA WARUMI :SEHEMU YA  KWANZA
1:05:57
SAA YA NEEMA TV
Рет қаралды 111
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
SIRI YA IMANI.
52:00
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 49 М.
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 16 М.
1. EPUKA MAKOSA HAYA KATIKA MAHUSIANO SEH 1 (PR DAVID MMBAGA)
29:22
Torati ni nguvu za giza - Pastor Ceasar Masisi(mzee wa neema) sehemu ya 1
30:12
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН