Ishinde “Victim Mentality” - Joel Nanauka

  Рет қаралды 17,640

Joel Nanauka

Joel Nanauka

5 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 124
@mgallason...5686
@mgallason...5686 5 жыл бұрын
nilikuwa mmoja wa victim mentality, lakini toka nimegundua hayo lakini kupitia hizi forums nimejikuta ni mtu huru sana ninayeweza kufanya kazi zangu kwa kujiamini hata Kama nitakosa hamasa, lakini pia kusoma vitabu na makala mbalimbali vimenisaidia sana. Wewe ni mmoja wa walionisaidia sana , Big up.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
詹姆士mgallason wow,hongera sanaaa,this is good news.Nakutakia mafanikio zaidi
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Ай бұрын
Nilikua kw.. hiyo pia.. pia mm bt nashukur toka nianze kukufatilia mmb.. yngu yana enda vizuri... asante sana 🙏🙏
@bonaventure2391
@bonaventure2391 5 жыл бұрын
God bless u a man of god
@thomasdamas4347
@thomasdamas4347 4 жыл бұрын
Asante... Joel kwa kunipa ujasiri na nguvu za kusonga mbele kwenye majukumu yabkutimiza ndito zangu. Napenda sana uwe msimamizi ktk ndoto zangu...
@nswimaamedeo8711
@nswimaamedeo8711 Жыл бұрын
Hii namba 1 inaniadhiri sana
@ckosmah21
@ckosmah21 5 жыл бұрын
Big brother nachopendaga siishiag tu apa kwenye coment huwa navifanyia kazi na matokeo nayaona thankx xana
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ckos mah safi sana hapo ndio unaponifurahisha
@ckosmah21
@ckosmah21 5 жыл бұрын
@@joelnanauka thank u brother
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 2 жыл бұрын
Asante kwani tatizo langu kubwa ni kwamba mawasiliano yangu na watu ninao wafahamu sio mazuri, na hiyo imesababisha kukata tamaa kwangu. Kwani ninaamini katika uhusiano wa kirafiki hata kama nimepata changamoto nyingi na marafiki. Na sababu sio kwamba tumegombana isipokua pale ambato unaulizwa utoe ushauri wako halafu unakataliwa kwangu mimi ni sawa, lakini inapokuja uhukumiwe kwa hilo hapo ndio ninaona hatari ya uhusiano nami najiweka kando. Ndio, naona kwambo ni wakati mngumu na ninajiuliza kila siku nitato lini huko lakini maisha vilevile yanaenelea. Nami wazo langu niendelee kupambana ingawa sio rahisi bado ninajitia moyo.
@bonaventure2391
@bonaventure2391 5 жыл бұрын
Leo kanisani nimebalikiwa sana somo la njia saba
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Bona Venture Ahsante sana naamini utalifanyia kazi na litakusaidia
@finiasfidelis1475
@finiasfidelis1475 5 жыл бұрын
Oh Ahsante bro. Huwa na mie muda fulani victim mentality hunishika ila kuanzia now nitaanza kuishinda !
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Finias Fidelis kila la kheri
@sleyoumkhamic9237
@sleyoumkhamic9237 5 жыл бұрын
asante brother mm ni mwka 1 na nusu nikianza kukontroli mawazo yangu mind set nashukuru nimepiga hatua kiac acilimia 100
@costabeatus9492
@costabeatus9492 5 жыл бұрын
Thanks kiongozi
@alfredsebastian9131
@alfredsebastian9131 5 жыл бұрын
Blaza Joel Nanauka kazi zako za ukweli nakubali mnooooooo.... Lakin pia Naomba Ufanye Mchakato usambaze vitabu vyako mikoan
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Alfred Sebastian ahsnate sana,mikoani tunao mawakala kujua wakala wa Mkoa wako au eneo karibu tuwasiliane ‭0745 252 670‬ au 0756-094875
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Asante Sana bro
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Nipo katika Darasa
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Things bro Joel namba 4 inanihusu sana ila nashkuru kwa kuniamsha kiakili ntalifanyia kazi be blessed
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
mbwana omary nashukuru Mbwana kwa kuendelea kujifunza pamoja
@babalois7240
@babalois7240 5 жыл бұрын
Keys of success... Thankx Sir
@tungaraza7794
@tungaraza7794 5 жыл бұрын
Thanks brother be blessed
@mwanaheriomary7333
@mwanaheriomary7333 5 жыл бұрын
Be blessed broo
@lauchungulau9255
@lauchungulau9255 5 жыл бұрын
God bless you teacher Joel every day you teach me deferent things in this life I lean something
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Lauchungu Lau nashukuru sana tuko pamoja
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Nice
@luciewajesus731
@luciewajesus731 5 жыл бұрын
Woooi!!! Point 5 why me. Hili nimejiuliza wakati nimejikuta kwa shida. Nishalijuwa haitajirudia maishani, Asante Joel nasongambele kwa kasi sana.💃🏃‍♀️👍
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Kate Natalie Faitheruothyesu kabisaa tusonge mbele Tukutane At The Top
@elikadoelias8053
@elikadoelias8053 5 жыл бұрын
Ahsante! Sana kaka Nanauka mafundisho yako yamenifungua ufahamu Kwa kiwango kikubwa, Mungu aendelee kukupa vitu vipya kila Leo.Ahsante!
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Elikado Elias Ameen nashukuru saa
@violetphilemon463
@violetphilemon463 5 жыл бұрын
thanks a lot Sir
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Violet Philemon karibu mnooo
@lucyloy1610
@lucyloy1610 4 жыл бұрын
Thank you a lot..I learn something..
@mercygikaara9338
@mercygikaara9338 5 жыл бұрын
Naked truth Umenitoa bali sana kwa video zako zote karibu Nairobi kenya one day
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Mercy Gikaara nashukuru sana naamini nitakuja Nairobi one day.Nipatie nambari YAKO ya simu
@barakamsemwa6705
@barakamsemwa6705 5 жыл бұрын
Sawa
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Brother Asante sana
@neemaonesmo7642
@neemaonesmo7642 5 жыл бұрын
Thankx,nimekuelewa sir
@sirgodfreycharles1412
@sirgodfreycharles1412 5 жыл бұрын
Asante mi team fearless
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Sir Godfrey Charles 💪💪💪
@zainabomar5512
@zainabomar5512 5 жыл бұрын
Umenibadisha sana kimawZo
@saidmwinyi506
@saidmwinyi506 5 жыл бұрын
You are great Joel.Napenda jumbe zako.victim mentality.
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
Barikiwa kaka Joel.
@joramntandu3668
@joramntandu3668 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka Kwa elimu bora kbs
@meshackngadango6855
@meshackngadango6855 5 жыл бұрын
Ahsante sana kwa somo zuri #kuonewa huruma ni changamoto japo huwa narudi kwenye mstari tena baada ya kusikiliza motivational speech kama hii God bless u
@kassimmhamadi5449
@kassimmhamadi5449 5 жыл бұрын
Thanks 🙏
@cleopatraadolf6492
@cleopatraadolf6492 2 жыл бұрын
Asante sana kaka
@johnluhwa8342
@johnluhwa8342 5 жыл бұрын
Brooh unajua asantee sana.
@heavenlypatric4822
@heavenlypatric4822 5 жыл бұрын
Thanks bro
@deotv503
@deotv503 5 жыл бұрын
Asanteee brother video zakooo zinanifunzaaa mengiii na kunibadilishaaaa vitu vingiii
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Deogratius Nyutro nashukuru sana pamoja saa
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Ujumbe umefika na tumeupokea vema sana Bro Asante
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Maneno Lugendo karibu sana
@mamlakakahise819
@mamlakakahise819 5 жыл бұрын
Umenena bro
@rahemahrahemah2719
@rahemahrahemah2719 5 жыл бұрын
Shukraan Kwa somo zr teacher wangu, umebadilisha Sana maisha yangu! MUNGU azidi kukuongoza 🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
rahemah Rahemah nashukuru pamoja saa
@Mnyaruge
@Mnyaruge 5 жыл бұрын
You drop the fact👍
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Mnyaruge Media Thanks sana pamoja
@shadrackmchele8312
@shadrackmchele8312 5 жыл бұрын
Asante mkuu
@msleny6767
@msleny6767 5 жыл бұрын
Lo! nimeipenda point ya kwanza kuonewa huruma hadi ujidhalilishe kuwa kila mtu duniani walikuja kukusaidia,😊😊 Thx so much for the upload, well digested👍
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
WORK OF GRACE nashukuru sana
@juliusmatiko1051
@juliusmatiko1051 5 жыл бұрын
Duh.... Bro ur da best Unanibadilisha xaana....be blessed
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Julius Matiko Thanks sana pamoja 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@healinghomeprayercentre
@healinghomeprayercentre 5 жыл бұрын
Thank you sir, I am in Kenya
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
apj mwenda will visit you one day
@nasryjuma4713
@nasryjuma4713 5 жыл бұрын
nashukuru sana bro kwa masomo yako
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
nasry JUMA karibu sana
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 5 жыл бұрын
Boss wangu
@malalezengo4405
@malalezengo4405 5 жыл бұрын
Dafi sana mwalim Joel nanauka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Malale Zengo nashukuru karibu sana
@mwakamtungirehi2001
@mwakamtungirehi2001 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@charlzzesonconsciousness6685
@charlzzesonconsciousness6685 5 жыл бұрын
Thanks brother #npo darasani tayari kujifunza
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Charlz ze son Consciousness umetisha sanaa
@pendonyoni5364
@pendonyoni5364 5 жыл бұрын
Asante kaka,namba 4 hapo kaka kwangu tatizo
@talibtruth8018
@talibtruth8018 5 жыл бұрын
M'baba joel.. heb nisaidie ni kit gan mtu afanye ili aweze kua na confidance ya kuamua jambo analotaka.. lkn pia maybe ameamua tyr hilo jamb la kit alichochagua kinahitaj fedha kukamilika lkn hizo hela hana anawwezaje kufikia hilo lengo lake
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Talib truth dawa ni kuchukua hatua tu,usipende kughairisha mambo kila wakati
@cosmasmrema8871
@cosmasmrema8871 5 жыл бұрын
Safi kaka apo tano zote kwang tatiz
@rumayojr4638
@rumayojr4638 5 жыл бұрын
🙏
@hadidjaissa9154
@hadidjaissa9154 11 ай бұрын
@denlsondanielson9669
@denlsondanielson9669 5 жыл бұрын
Nmepata kitu
@chrissmalloy9
@chrissmalloy9 5 жыл бұрын
Kaka uko vzr sana mun
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Chriss Malloy nashukuru sana
@DRICK-vn3oj
@DRICK-vn3oj 5 жыл бұрын
Bro video zina sauti ya chini
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante sana kwakunielimisha nimeanza kuhijua mimi ni nani na ninatakiwa nifanye ni-ni
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Josée Faida Butu wow hongera sanaaaaa
@nswimaamedeo8711
@nswimaamedeo8711 Жыл бұрын
And 5
@pendojeremiah9111
@pendojeremiah9111 3 жыл бұрын
Yaani yote uliyoyasema Ni Mimi kabisaa🤭🤭 nahitaji kubadilika
@wittyberry3897
@wittyberry3897 5 жыл бұрын
Why me? Huwezi kupiga hatua, Asante kwa somo zuri
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Witness Berthesa kabisa witness
@jomikomike1682
@jomikomike1682 5 жыл бұрын
Dah uyu mimi kabisa
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
jomiko mike Naamini utabadilika fastaaaa
@richardrobert1762
@richardrobert1762 5 жыл бұрын
Sir Joel una Vitabu vyenye mkusanyiko wa Elim hizi unazo zitoa naitaji sana kufahan katika hili
@msengisimoni2087
@msengisimoni2087 5 жыл бұрын
hivi vyote vinatusumbua sana sisi vijana
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
eee kuonewa huruma tena. hiyo mbaya wasomaji
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Judith Njunwa kabisaaa,haifai
@mariamuswedy8899
@mariamuswedy8899 5 жыл бұрын
Joel vitu vizuri mnoo ila Nina jambo linanisumbua
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
Dah Jana nimepata vitabu vyango vipo vizur Sana
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
vitabu vyako
@josephmandelapenet4587
@josephmandelapenet4587 9 ай бұрын
6:42
@tungaraza7794
@tungaraza7794 5 жыл бұрын
Nina rafiki yangu mmoja yeye huwa anataka kuonewa huruma
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Tunga Raza itabidi umpe zawadi ya hii Video 😂😂🙏🏼
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 5 жыл бұрын
dah nimefika sehemu sababu yko kaka kwa Sasa mimi ni MTU ambae nakufatilia umenifikisha sehemu nilipo
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Diana Malingumu nashukuru sana Diana,barikiwa sana na Nakutakia mafanikio Makubwa sana
@emmanueldonald9243
@emmanueldonald9243 5 жыл бұрын
Hellow
@malakimoses6115
@malakimoses6115 5 жыл бұрын
Kunamtu namfahamu anadalili hizo nataka kumsaidia
@sihabarajabu5509
@sihabarajabu5509 5 жыл бұрын
Ni mhanga wa malalamiko yaan why me
@azizmustapha3818
@azizmustapha3818 5 жыл бұрын
Mimi hapo mtaalamu kiukweli ninazo dalili karbia zote ila tatu ndo zimeshamili mno nazo ni kujiona naonewa na kila mtu kujiona sina thamani na kutaka nihurumiwe. naomba msaada zaidi please.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Aziz mustapha pole sana ,kujitambua ni hatua ya kutatua changamoto.Njia bora ni kuendelea kusikiliza video kama hizi na kusoma zaidi vitabu vya kukujengea ujasiri maishani
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 5 жыл бұрын
Hivi wanaoweka dislike huwa wanakuwa wameelewa kilichozungumzwa?
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Dorah Albert 😂😂😂
@meshackngadango6855
@meshackngadango6855 5 жыл бұрын
Ndo uelewa wao ulipoishia,2wasamehe
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Mm sina bahati imekua kama wimbo wa taifa
@yohanakigulu3372
@yohanakigulu3372 5 жыл бұрын
somo zuri sana nimekuelewa bro nimepiga hatua mpaka Sasa nilipo kaka #joelinamauka______-_+_🤗🤗 yohanakigulu0700@gmail.com why me??
@jacobedmar.yakobo4546
@jacobedmar.yakobo4546 5 жыл бұрын
Na ndio maana Confius alisema aie foi en vous meme et vous saurez comment vivre Tatizo kubwa la kuwa victim mentality Ni kutokuwa na imani kwao peke yao na kutokujikubali Binafsi nashukuru mi siyo victim hwa huo u victim
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Jacques Edouard safi sanaaaa
@miim9429
@miim9429 5 жыл бұрын
Bro what to do to cure that victim mentality
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
miim act opposite of the victim mentality person
@chiefexecutiveofficer4942
@chiefexecutiveofficer4942 4 жыл бұрын
Lakini mkuu wangu unaweza kuwa hvo na ukawa bado juhudi na pleas niasidie christopherlaurent088@gmail.com naomba tuwasliane mkuuu wanguu
@tariqkideu7368
@tariqkideu7368 5 жыл бұрын
Aujibu sms zangu ista wala whatsapp
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Tariq Kideu pole sana huwa najitahidi kujibu Kadiri ninavyoweza kwa uwingi wao
@richardvalson9868
@richardvalson9868 5 жыл бұрын
Daaaah kwa sasa nimesha anza kubadilika kwa elimu nzuri unayo nipa #ulipo nipo #ßrotherNanauka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Richard Valson Ahsante sana karibu
VITU VITAKAVYOFANYA UTAJWE - JOEL NANAUKA
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 2,9 М.
Nyakati Nne (4) Za Ushindi - Joel Nanauka
10:29
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
Chuja Maneno Kabla Ya Kuongea (Tripple Filter Test) - Joel Nanauka
8:56
DO THIS WHEN YOU ARE FEELING SAD
18:58
Nourish TV
Рет қаралды 4,2 МЛН
DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
9:26
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 12 М.
MITIMINGI # 1141 AMBATANA NA WATU SAHIHI UKITAKA KUFANIKIWA - JOEL NANAUKA
13:35
10 POWERFUL Islamic Techniques To INCREASE Your Intelligence
22:29
Stoicism: 8 Principles That’ll Make You UNSTOPPABLE
22:47
Yomi Denzel
Рет қаралды 865 М.
Kutawala Hisia Zako - Joel Nanauka
11:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 58 М.