Msanuaji hyo style ya kukaa rapcha ilikua inampa shida sana like anapata kikohoz mda wote apo
@amaningasa953611 күн бұрын
Msanuaji fanya mpango umlete dizasta vina apo
@amaningasa953611 күн бұрын
Itakuwa powa sana
@user-kz1qh4ds6p12 күн бұрын
Mim si mpgi rapcha swali kwenu mashabik mchiz ana jua hila kwa nin atu mpii nafas na hichi ndicho kizaz kipy cha hip hop kama mbuz canabino tokxc vuvu achen roho mbaya
@emmanuelmhimbira786312 күн бұрын
Msanuaji ..pendekezoo uwe una gawanya gawanya interview kwa dakika kazaa..hii ina chosha sana kuangali lisaa limoja
@stephenfelix515810 күн бұрын
MSANUE NA D VINA TUMSIKIE HAPO
@KaroliBasso12 күн бұрын
We Cosmas usirudie tena kumjaribu black Maradona
@user-fj3rh9qb2w2 күн бұрын
My president always cwez lala bila kusikia Ngoma yako ❤
@onekisstv841212 күн бұрын
Mvua ilianza kunyesha bila kukatika na Maji yaliendelea kuongezeka kutoka miguuni kwenda magotini daaaahh kitambo sana hii John Jackson umenikumbusha mbali sana
@lildee_Vevo6 күн бұрын
Dats Rapcha iko kwenye bible, always 99
@Gomsrap2 күн бұрын
GOMS i was here
@amaningobayi711412 күн бұрын
Kari yani very friendly
@ArapmisemoКүн бұрын
Dizasta aliharibu kila kitu
@emmanuelmayunga151811 күн бұрын
Mdogo wang kumbe ni hom boy,kaza sana kijana utuwakilishe maana bro Nurah kashasander..
@meckpro557413 күн бұрын
HII KUBWA MNO HOME BOYS
@Malomblb9 күн бұрын
🔥
@empafricatv12 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@dunstunnchimbi799412 күн бұрын
Kumbe alikuwa hajatoka kwenye maana ya jina. Tribulation:The Rapture of the Dead.
@iddymwambene873312 күн бұрын
Hahahaha naubishoo wote unaitwa cosmass
@danielkenedy435712 күн бұрын
😂😂
@kshayofurniture29419 күн бұрын
Wanangu 99
@AlbaSnepa-lr4bp11 күн бұрын
😢
@danielkenedy435712 күн бұрын
Good artist, unajibu vizuri maswali. Ila dizasta he's bigger than you. Unawez jifunza vitu vingi kwake...utachaguw wewe kuendelea kuongea ujinga kuhusu yeye, au kujiunga nae. If you can't beat him, join him
@kshayofurniture29419 күн бұрын
Na yeye akitoka akafanikiw mtaanza kumponda na kusema hana lolote !!kweli bongo nyoso Ki uhalisia uyo dizasta ni msanii mwenye nyimbo Kali ila hana hit song hata Moja ila huyu rapcha anazo hit zaidi ya tatu. Heshimu heshima🤔
@AlbaSnepa-lr4bp11 күн бұрын
Uyu piya ni rapa?
@user-zf3zm1xf7g12 күн бұрын
Mm apa Chama kubwa mzee wa ghetto tujuane apo chini
@mofaya480711 күн бұрын
99
@Joh-p9f12 күн бұрын
Msanuaji muwage mnawaambia watu straight mf. "Rapcha kwa Dizasta ni mango sana". Msimpe kichwa
@kshayofurniture29419 күн бұрын
Huyo dizasta ana hit gani ?
@Joh-p9f9 күн бұрын
@@kshayofurniture2941 wewe siwezi kubishana na mtu, hujui hip hop hata dizasta usikute humfahamu ww endelea kusikiliza HIT mkuu chakula cha akili hukiwezi ww lala tu master
@joramsimon11878 күн бұрын
@@kshayofurniture2941 "Hatujashindwa ni maamuzi tunavyoOperate/ we unaenda mainstream si tunaenda corporate/