Part7_Kuokoka kwangu haikuwa rahisi,niligeuka jinimtu |ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI

  Рет қаралды 58,677

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/DjZYNtGlQSE...
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Jzfy3pn4CyB...
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 161
@apostlerebeccamunguaniinul7073
@apostlerebeccamunguaniinul7073 Жыл бұрын
Mimi na barikiwa sana kabisa kwa ushuhuda wako
@miria659
@miria659 2 жыл бұрын
God bless jactan na promover TV tumejifunza mengi Sana jactan tuletee huyu mtumishi hapa Kenya ametubariki Sana Mungu amdumishe katika wokovu
@aminaally4163
@aminaally4163 2 жыл бұрын
WAISLAMU UKISIKIA USHUHUDA HUU BADILIKA .
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Shetan hana rafik unamtumkia mwishon anakugeuka anakuua yaan..... Kwa Yesu masharti ni kuacha ya ulimwengu tu lkn watu hawataki 🙌🙌😭... Eh Yesu tusaidie
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Kati ya shuhuda tulizoskia nafkiri huu ndio mkali maan kila kitu na jina yake na kazi zake....Mungu atuokoe
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@danielmmaka2166
@danielmmaka2166 2 жыл бұрын
Kweli aisee
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
sure, mm nmeanza na huyu jamaa na wengine wengi zinazohusu story lkn hii ni namba one tena sana
@petermageta4987
@petermageta4987 2 жыл бұрын
Ndugu jactan msafiri nakushukuru sana kwa kutupa elimu ya kiroho kwa njia ya shuhuda mbalimbali, Ila naomba kukishauri, huduma inayoifanya, inasababisha hasara katika ufalme wa giza kwa hiyo utakuwa na vita vikubwa, jitahidi kutafuta wana maombi wakutegemeze mpendwa.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen, tafadhali nakuomba nawe pia uwe mmoja wao
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Aki mungu amupe huyu mtumishi kipawa cha delivarance manake ana the root cause of almost every thing in this world
@isaacsenaji6065
@isaacsenaji6065 2 жыл бұрын
Praise God,mtumishi wa mungu atupe siri za kupambana na wachawi,nimebarikiwa sana
@rhodachanangula7734
@rhodachanangula7734 2 жыл бұрын
Nilishawai kumsikia mtumishi wa Mungu anasema hawa wanaochanjwa chanjo ya Corona badae watageuka mazombi kumbe ndo jini mtu
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 2 жыл бұрын
Huyu Pastor inafaa akuje Kenya pia atushuhudie makanisani.Huu ushuhuda ni mzito na mafunzo mengi na mazito .🙏🇰🇪
@miria659
@miria659 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Kweli kwanza mambo ya vaccine i wish i knew this before
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 2 жыл бұрын
@@daisymuthoni675 Ameen
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 2 жыл бұрын
@@miria659 Ameen
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Atakuja akialikwa rasmi,kama kweli mnamuhitaji mwalikeni
@naomimunanga6363
@naomimunanga6363 2 жыл бұрын
Ohh God thanks, nimwai zsikiliza shuhuda nyingi lakini huu nimeuona unaukweli mwingi sana, huu ushuhuda sio wa kutafuta kiki, aki tunataka watu wanao sema ukweli sio kudanganyana, aki kaka mwenyezi mungu azidi kukulinda zaidi, from Kenya.
@elizabethbarasa1035
@elizabethbarasa1035 2 жыл бұрын
Hata Mimi niliona ukweli hapa..anafa kuja Kenya amejenga imani yangu
@pettyangelaman8038
@pettyangelaman8038 2 жыл бұрын
sure this testimony is so really and amaizing thanks be to the almighty God
@maxmillahnafula8279
@maxmillahnafula8279 2 жыл бұрын
Bwana YESU asifiwe wapendwa,,hakika kuna MUNGU binguni.mubarikiweni nyote nawapenda sana kwa jina la YESU.🙏🇰🇪
@joycekashaija9232
@joycekashaija9232 Жыл бұрын
Mungu wewe ni mwenye nguvu,asante yesu hakika unatisha.tushikirie utakatifu na siyo dini.
@user-dt5bk9ms1v
@user-dt5bk9ms1v 10 ай бұрын
Bwana YESU asifiwe .tunajua YESU ananguvu kuliko roho waovu ikiwemo wachawi,mashetai jini nakazalika. umshukuru Mungu sana maana amekupenda ,amekuita ufanye kazi yake yeye tu
@johnstonemuyelele4353
@johnstonemuyelele4353 2 жыл бұрын
Waaah!! Ushuhuda mkubwa sana
@danielmmaka2166
@danielmmaka2166 2 жыл бұрын
Most powerful testimony Glory to Jesus Christ of Nazareth
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Dunia hii sio Asante kaka Jactan najifunza mengi na nazidi kuwa karibu na Mungu wangu Yesu matendo yako ni Mkuu
@lisaozokalonji7655
@lisaozokalonji7655 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana kwakweli! I learned a lot from this testimony 🙏 🙌 God bless Jacktan and the man of God ❤❤🇨🇦🇨🇦🇨🇦
@barnaba3037
@barnaba3037 2 жыл бұрын
Your email please, Mtumishi wa Mungu
@veronicamrema4900
@veronicamrema4900 Жыл бұрын
Ö
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Hii lugha iko kanisani kwa ma pastors eti robo whaaaaat uuuuwiiiieee jactan muhoji hapa vizuri tusaidike
@barakamanu1514
@barakamanu1514 2 жыл бұрын
asante sana promover tv. twaomba mchungaji huyu atoe masomo zaidi juu ya Nyota, laana ya ardhi na masomo mengine mengi anayoyajua.
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 2 жыл бұрын
Jamani hiyo lugha Kama wanao Nena Roho mtakatifu eee MUNGU tusaidie
@zenassylvester125
@zenassylvester125 2 жыл бұрын
Kuna mganga mmoja ulimtaja hapo nyuma anaitwa Hamisi ni kweli miaka ya tisini nilisikia ushuhuda wake kipindi icho nikiwa mdogo kwakweli YESU KRISTO ni habari kubwa, Hongera kwa kuokoka mtumishi
@pastormargaretnyambane
@pastormargaretnyambane 2 жыл бұрын
Halleluyah! Huyu mtumishi aje Kenya. Tunamhitaji kabisaaa
@violethbagila905
@violethbagila905 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi naendelea kufunguliwa
@dadaz4653
@dadaz4653 2 жыл бұрын
Ameen BWANA YESU nimwema Sana
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 2 жыл бұрын
....wapende wasipende? ...Bwana YESU ni.Mungu..dear Jacktan Musafiri this testimony must be translate mu ma luga zote...ita djenga kanisa la CHRISTU 💃🇨🇩💃🇨🇩💃🇨🇩. YESU ni. MUNGU ....❤️❤️❤️na wapenda sana....
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Uyu kaka yesu alipenda juwi habari hizi Asante yesu kristo
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
tunamshukuru Mungu kwa upendo wake mkuu kutuwezesha kupata ushuhuda huu unaojenga sana maishani
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
Waaaa..nimeshangaa hapo amesema hio lugha ya kilatini ya kishetani ya kuomba,sasa si ma pastors wengi hapa duniani hutamka hizo ma shikarabada kwa hio lugha jamani🤔🤔🤔🤔lord hv mercy on us.
@Jweru80
@Jweru80 2 жыл бұрын
Very informative testimony. I've learned alot. God bless you Jactan na huyu mtumishi Mungu amuinue zaidi na kumtumia katia ukombozi wa wengi walioingia kwenye mitego ya muovu shetani
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Asante sana Mr Jacktan na mtumishi wa Mungu ambaye Mungu ameamua kumtumikia kutushuhudia yalio ya kweli kweli siri nikubaki kwa YESUUUUU Siku zote zamaisha yetu yeye atatulinda na adui mkubwa wa dunia hii barikiweni zaidi
@linkreuben3108
@linkreuben3108 2 жыл бұрын
Siri za shetani zinafunuliwa! Asante Yesu!
@onesmomasud3168
@onesmomasud3168 2 жыл бұрын
Bwana YESU Asifiwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@meggyfestus8741
@meggyfestus8741 2 жыл бұрын
Hi praise Jesus our high God 🙏 from kenya 🇰🇪 very good testimony thank
@gilbertwanje
@gilbertwanje 2 жыл бұрын
Hata watumishi wa Mungu kama Mwakasege na Gwajima walioshindikana kuzima kulengana na ushuhuda pt6 hao pia kunena kwa lugha wanasema kama hiyo. Kwa kweli sitaacha kunena kwa lugha kupitia Roho Mtakatifu...🇰🇪🇰🇪
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 2 жыл бұрын
Shetani huiga kila kitu,kuna lugha ya roho mtakatifu,hii huja baada ya kuokoka na uwe mwombaji ktk imani thabiti,sawa sawa na andiko ktk marko.PIA Kuzimu ina lugha yafanana na hiyo,ili kuwazuga walokole na haifanani na haina maana sawa,na lugha ya roho mtakatifu
@alexiscobalt
@alexiscobalt Жыл бұрын
Mungu akulinde tunakushukuri
@isayapaul7869
@isayapaul7869 2 жыл бұрын
BWANA YESU ASIFIWE MILELE AMINA anacho sema mtumishi nikweli tup maake vitu kama hivi huwa tunakumbana navyo sana tu
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi Jacktan kwa kazi nzuri unayofanya but ushuhuda huu unatuaja na maswali mengi sana kila sehemu ,fanyeni jambo pliz kwa sehemu ya maswali kwa kutusaidia zaidi,Mungu wetu na akuinue na akulinde kwa njia zote
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 2 жыл бұрын
Great testimony I've never come across it's my wish that may the God who rescue you from devil's kingdom to use you and some other powerful pastors to rescue kanumba also to come and reveal the secret of the devil kingdom,so that people may know that it's real ,coz am the one who didn't believe that kanumba was in freemason
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Wow Mungu akubariki saaaaaana kaka kwa ajili ya ushuhuda huu umetufunza mengi sana Asante sana.
@jojosky337
@jojosky337 Жыл бұрын
Mungu ni mwema ametuokoa kutoka katika mikono ya shetani
@frankinspired6486
@frankinspired6486 2 жыл бұрын
Ushuhuda kweli, elimu ya juu sana ya kupambana na laana na uchawi, Chanjo, huyu mchungaji atembee kenya.
@elizabethbarasa1035
@elizabethbarasa1035 2 жыл бұрын
Aki after kusikia unatamani kuomba kweli ..
@annnyakio7231
@annnyakio7231 2 жыл бұрын
we waiting for part 7 my is Ann from Kenya but I'm in Dubai now
@janebartunen3597
@janebartunen3597 2 жыл бұрын
Can this guy write a book? His recall of details is on another level.
@catherinemuthoki7989
@catherinemuthoki7989 Жыл бұрын
I think I have an idea I will write a book about everything he has said.
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
Kwa ushuuda huu acha Mungu aitwe Mungu
@florafaustine4637
@florafaustine4637 2 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa sana .Ahsante kaka Jack
@apostleleshan2183
@apostleleshan2183 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana, lakini afafanue zaidi kuhusu nyota na laana ya ardhini
@macklinakabyazi3036
@macklinakabyazi3036 2 жыл бұрын
Ee Mungu tusamehe dhambi zetu
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Asante Yesu kwa mambo makuu unayoyatenda
@mtuwamungusethoskar8212
@mtuwamungusethoskar8212 Жыл бұрын
Leo nampenda YESU SANA
@babumrisha
@babumrisha 2 жыл бұрын
Mbuta!! Hio antidote chepa mbona ki kama chanjo asee duh!
@ibrahimkanyata6211
@ibrahimkanyata6211 2 жыл бұрын
Mungu atutetee jaman
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Ushuhuda htr huu aseh
@gloryr9497
@gloryr9497 2 жыл бұрын
Ee Mungu baba naomba utulinde na hizi roho za shetani,maana peke yetu hatuwezi
@angelalfred8128
@angelalfred8128 2 жыл бұрын
Mmmmh kama kweli Mungu akubariki kwa ushuhuda huu
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Waaaa mungu wangu hii ushunda mkali mno
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Nampenda Yesu aliyenifilia
@millyaketch4968
@millyaketch4968 2 жыл бұрын
Ombii languu nii atuufafanulie zaidi juu ya kanumba,na kazi anazo zifanya ukoo kuzimu,najee awezi ombewa arudi duniani,
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Anaweza Rudi maombi makali
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
GOD bless you bro jacktan. N promoter TV.kwa shuhuda nzur kma hiz za kutuinua kiiman.naomb naomb no za uy mtumishi wa MUNGU 🙏
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen,namba zake ziko sehemu ya mwisho.Fatilia mpaka tamati
@eliyawilliammagesamarwa8413
@eliyawilliammagesamarwa8413 2 жыл бұрын
Asante YESU
@alexanderjuma5271
@alexanderjuma5271 2 жыл бұрын
Yesu asifuwe mtumish wa Mungu, Kenya ulikua nao wangapi freemasonic wale wa injili( gospel )
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
YESU anaweza yote BWANA akulinde Kaka pamoja na Kaka Msafiri
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@joycyfuraha4394
@joycyfuraha4394 2 жыл бұрын
Eemungu tupinganiye na hizi mipango za shetani 🙏🙏🙏
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
nakushukuru Mungu kwa ushuhuda huu ninaimani kupitia ushuhuda huu Yesu atanisaidia maana nimekua nasikia shuhuda nyingi na nachukua hatua ya kumfuata Yesu lakini narudi nyuma ninaimani Yesu kristo ambae ananisaidia japo nikiwa nadhambi Yesu atanisaidia kuanzia muda huu.Yesu nisaidie
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@paulinadavid1539
@paulinadavid1539 2 жыл бұрын
Mungu akubariki jaktan.....haya part 8 usicheleweshe sana kaka
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Wanawake hapa hawatamuelewa kamwe wanapenda Nywele saana za Rasta
@lucyjoseph4216
@lucyjoseph4216 2 жыл бұрын
Wanaompenda MUNGU watamuelewa,kama mimi nilimuelewa kupita kiwango siwezi dhubutu nywere bandia kamwe!
@ivanfaustin9717
@ivanfaustin9717 Жыл бұрын
wataelewa tu mi nimeacha kusuka nimenyoaaa kbisaa natak zije za asilii Mungu atusaidiee
@user-og2iy3ki7x
@user-og2iy3ki7x 9 ай бұрын
Ukisali ufufuo na uzima utajua Siri nyingi gwajima anafundisha Sana na nikanisa nlinaloomba nakusoma biblia na mkesha ni Kila siku
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Kweli mungu n mkubwa 🙏🙏
@bennchunga031
@bennchunga031 2 жыл бұрын
JINA LA YESU KRISTO NI NGOME IMARA SANA,, MWENYE HAKI HUKIMBILIA AKAWA SALAMA
@dannyalon2967
@dannyalon2967 Жыл бұрын
Still we learn
@meggyfestus8741
@meggyfestus8741 2 жыл бұрын
Iit help us Christians very much
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
Lakini Jactan mbona hauulizi maswali?
@shoferishayo9310
@shoferishayo9310 Жыл бұрын
Yaani mpaka nimesisimka
@professorbenjamin1027
@professorbenjamin1027 2 жыл бұрын
Nimesikia dragon nimekumbuka ushuhuda wa dada magreth wa Nigeria naye alisema nywele bandia ni kichwa cha dragon kutoka kuzimu duhh aisee Mungu atusaidiee tupone na dada zetu piah wapone
@mercyelahuya9522
@mercyelahuya9522 2 жыл бұрын
Tutajuaje tofauti ya lugha ya roho mtakatifu na hizo maroho zingine
@davidmpulumba4039
@davidmpulumba4039 2 жыл бұрын
Kumtumikia shetani n kazi kwakweli hebu angalia alikuwa anakula mavi
@nancyokemwa2470
@nancyokemwa2470 2 жыл бұрын
Hi so the vaccine is not yet out ? The new one
@anifampiluka8029
@anifampiluka8029 Жыл бұрын
Sasa nimeelewa kwa nini mch gwajima alikataa chanjo 🙏
@aquilinakoga9774
@aquilinakoga9774 2 жыл бұрын
Chanjo ya corona ndiyo Antidote...Mungu turehemu
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
Kuna. Ex shekh alieleza kuhusu hio lulu alopewa na jini shariff
@maryfrancis990
@maryfrancis990 Жыл бұрын
Mwenye sikio naasikie
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Nimesikiluza shuhuda nyingi kwenye station tofauti tofauti lakini huyu bwana mpaka sasa naona anakimbiza kwasababu kaweka wazi mambo mengi sana na kaweza kuwaweka wazi mpaka waislam wajue kuwa Yesu ni nani na Uislam na Majini ni damdam hakuna Mungu wala uzima wa Milele kwa Allha zaidi ya kusubiria Jehanam
@babumrisha
@babumrisha 2 жыл бұрын
Jaktan please em tutumie namba ya huyu mtu nna maswali ya kumuuliza please
@piakwake9856
@piakwake9856 Жыл бұрын
Je kama umechomwa chanjo ya Corona unaweza fanya maombi ukaondoa hiyo antidote chepaa?
@sote100
@sote100 2 жыл бұрын
Nataka nijue wote wanaonena kwa staili hiyo wananena lugha ya kuzimu? Mbona basi watumishi wengi wananena hivyo? Kasoro manabii wa uongo ndio Wana stahili yao tofauti ya kunena. Muhoji huyo mtumishi tuelewe. Mana tumebaki na maswali
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Mtafute Roho atakusaidia ,Si kila anayenena ananena kweli
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Siku za mwisho KILA kitu kitawekwa wazi Ili tujue ya gizani
@deogratiousfaustina375
@deogratiousfaustina375 2 жыл бұрын
Mtumishi nisaidie maswali haya kumuuliza. 1.alisema covid ni mpango wa shetani,je chanjo hii ya covid anaifahamuje na madhara take
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Tayari sikiliza tena amesema
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 Жыл бұрын
Wao ndio waliotengeneza huko kuzimu,,ndo waasisi wa uovu wote
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 2 жыл бұрын
Hiyo lugha ya riboboboshikalalalayanza karabashikala!!!!!! imejaa kwa makanisa ya kilokole
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 жыл бұрын
Uwiiiii Mtumishi umenichanganya na kunena kwa lugha maana mimi wanaonena karibu wooote wanasema roboshika kama ulivyosema wewe yani nimepigwa bumbuwazi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Kazi ipo kupambanua Roho
@elizabethbarasa1035
@elizabethbarasa1035 2 жыл бұрын
Yesu abarikiwe sana
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 2 жыл бұрын
Mbona amefafanua vyema,kwamba hazifanani
@neemamatiko3745
@neemamatiko3745 Жыл бұрын
Gwajima aliposema walimuona muongo
@phaniceariviza2719
@phaniceariviza2719 2 жыл бұрын
Brother when was this message recorded
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
January 2022
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 2 жыл бұрын
Baadhi ya watumishi wa MUNGU,WALIPOPINGA CHANJO,WANAWAKEBEHI,TUKAE KARIBU NA MUNGU,KHAAA
@mafunzo
@mafunzo 2 жыл бұрын
Sehemu 8 mbona haipo sasa
@mishinema8719
@mishinema8719 2 жыл бұрын
Mutumishi kuhusu hizi chanjo n Sisi tulio safiri n nlazma tudungwe
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Oh my God what do we do those of us has gotten the vaccine,😭😭😭
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
You need deliverance immediately
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Gwajima aliwaonya hawakusikia wakamwita mpiga deal mtajua tu
@dorcasmutio877
@dorcasmutio877 2 жыл бұрын
Just pray earnestly,plead God's mercy and the blood of Jesus Christ over your life
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Mpaka naogopa kila Mwanadamu ninaposikiliza hizi shuhuda,Africa tuko kubaya mno mno
@mwanjad
@mwanjad 2 жыл бұрын
Africa tumezingirwa ni hatari
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@mwanjad saana tu Mungu atusaidie
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
Ni kwote sio Africa tu
@ikabako2454
@ikabako2454 2 жыл бұрын
Asalam aleikum - Waleikum Salaam (kiarabu) - amani iwe juu yako Shalom aleichem - Shalom aleichem (kiebrania) - amani iwe juu yako. Na ndio ilikuwa salamu ya Yesu. Yesu hakuwahi kusalimia bwana asifiwe wala tumsifu yesu kristo. Sijui anaongelea nini. Pepo bila elimu plus uchawi = motoni
@ikabako2454
@ikabako2454 2 жыл бұрын
@@starluzenja9861 nionyeshe wapi katika biblia yesu alisalimia bwana asifiwe? Shida yenu huwa akili zenu mnashikiwa na hamsomi na kujiuliza. Mnapenda sana masimulizi na miujiza.
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
@@ikabako2454 nani kakuambia Yesu wa quran ni Yesu wa biblia??Yesu wetu kasulubiwa wenyu hajasulubiwa kwa hivo potelea huko.....
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
@@ikabako2454 Yani iweje Leo Mungu aseme qur'an kesho aseme Biblia ndio neno langu.Mungu si we namna hivo.Hajichanganyi.Basi kama mwislamu fanya inavyokupasa nasi wakristo tubaki jinsi tulivyo.
@ikabako2454
@ikabako2454 2 жыл бұрын
@@starluzenja9861 Mungu hajawahi kuleta kitabu kinachoitwa biblia. Let me school you first. Kaleta torati, zaburi, injili na kisha quran. Je Yesu alitumia biblia mahali gani? Biblia ni kama kitabu cha ngoni kwa jinsi kilivyo na maneno machafu. Nitakupa aya ukitaka. Mfano. Lutu kabaka binti zake, Daudi kamchumgulia mke wa mtu, Nuhu kabaki uchi mbele ya wanawe yaani kimejaa upumbavu mwingi. Yesu hakuwahi kusulubiwa. Muujiza wake ni kama wa Yona. Nenda kasome vizuri. Biblia ni neno la kigiriki maana yake ni “kitabu”. Nenda kafatilie. Yesu hakuongea kiswahili, nenda kafatilie aliongea lugha gani.
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
@@ikabako2454 Islam ni dini ya Muhammad si ya Mungu.allah si Mungu
@hermanemmanuel1953
@hermanemmanuel1953 2 жыл бұрын
JACKTAN MWAMBIE AONDOE HIYO MIUNGU MIKONI MWAKE , KWANINI MWANAUME UNAVAA SHANGA MIKONONI MWAKO? NI MIUNGU HIYO
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Kama wewe ni mokovu unae chezea wokovu 🤔🤔🤔sikiza hapo na Mungu akusaidie
@deogratiousfaustina375
@deogratiousfaustina375 2 жыл бұрын
Pia nisaidie kumuuliza 1.dini ya kiislamu chimbuko lake ni shetani? 2.bidhaa za kuzimu zinatambulikanaje? 3.anaweza kututajia baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa kuzimu na lengo lake na kuuzwa duniani?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Samahani nimekifuatilia saans,Dini ya Kiislamu ni mtu tu alianzisha kwa faida yake alivyosema,Bidhaa ni karibia zoote za madukani,Ziombee ukitaka kuzitumia ili usidhurike,Ukisikiliza kuanzia mwanzo wa shuhuda namba 1,2,3,4,5,6 utapata majibu ya maswali mengi uliyonayo usianzie mwisho
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Lengo la kuuza duniani ni kupata watu wengi wa kujiunga mtandaoni kuzimu wasahau Kristo wamfuate Lucifer,Maswali ya maana saana
@ikabako2454
@ikabako2454 2 жыл бұрын
@@trophywilson7211 ukristo ndio watu walijiita. Yesu hakuwa mfuasi wa dini ya ukristo. Uislamu maana yake ni unyenyekevu. Quran imekataza uchawi na kumshirikisha Mwenyezi Mungu. Huyu anaongea maneno mengine ambayo hayajui au anazidisha chumvi. Uislamu upo na utakuwepo na wala hauhusiani na uchawi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@ikabako2454 Uislamu ni jina tu ila mioyo ya Wafuasi ndio wako mashetani ,Ukristo tumejiita ili tumufuate aliye hai Sasa Quran nayo kiongozi hayuko hai,Yaani mtu anachagua aliyekufa asirudi wakati aliyekufa akarudi yupo??
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@ikabako2454 wewe okoka umfuate Yesu Kristo
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 44 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 105 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
Nyisake Chaula_Mambo tunayotakiwa kuyajua tunapoelekea mwisho
40:29
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 19 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 44 МЛН