Рет қаралды 90
Tarehe 14 mwezi wa Tano 2024 Bungeni Jijini Dodoma, Mhe. Abdallah Ulega (Mb) Waziri wa mifugo na uvuvi aliwasilisha Bungeni makadirio ya bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 kwenye wizara husika ya Mifugo na Uvuvi. Kutoka billioni 169 mwaka 2021/2022 hadi billioni 460 mwaka 2024/2025.