No video

JERRY SILAA AMPA MTIHANI MZITO MKURUGENZI JIJI LA DODOMA "KUFIKIA JUMATATU AWEKE VIBAO MAENEO YOTE"

  Рет қаралды 33,840

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewaelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini nzima kuweka vibao vinavyitambulisha maeneo ya wazi ‘OPEN SPACE’ ili kuepusha migogoro ya wananchi kuuziwa maeneo hayo.
Kauli hiyo ameitowa akiwa katika ofisi ya kata ya Ipagala jijini Dodoma alipofika kutatua mgogoro ulihusisha wananchi kuuziwa maeneo ya wazi kinyume na utaratibu.

Пікірлер: 80
@mwangombadannie
@mwangombadannie 11 ай бұрын
Naliona tumaini la baadae , Mungu akusaidie utufikishe sehemu
@marypeter7209
@marypeter7209 10 ай бұрын
Nina mpongeza mama Samia Suluhu Hasani kwa kumuona Jerry Slaà anaweza sana kwa wizara ya ardhi mungu akulinde kaka
@augustinemagesa5743
@augustinemagesa5743 11 ай бұрын
Comrade Silaa ndio mwenyew mambo ya ardhi inabidi kuwa site.. hongera sn waziri
@sakibumakoke9197
@sakibumakoke9197 3 ай бұрын
Mungu akubariki Sana waziri nchii hii bado Ina vijana waungwana na wazalendo wa kweli. Tatizo uteuzi wa kulipa fadhira ndo unatusumbua Kuna mawaziri wabovu Sana Ila Kila awamu wapo tukipata Kama huyu watano nchii hii matatizo yatapungua Sana.
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 11 ай бұрын
Shukran sana muheshimiwa waziri kazi na kiti ulichokalia ni cha moto kwani wafanyakazi wengi wa idara ya Ardhi ni madisadi na sio wabunifu kabisa,na wanauza maeneo ya wazi na ya hifadhi ya bara×2.. Miji mingi imeharibiwa na hasa Singida kwa wananchi kuuziwa maeneo ya hifadhi ya bara×2
@dignakanje4508
@dignakanje4508 11 ай бұрын
Yaani Mungu alitupa watu kma hwa ,muda mchache wanatengeliwa htuambiwi kwann.Wanachi wakimwelewa.kiongoxi tunaomba mtuachie kwanza tuendelee kuwa nae,mfano mzuri kwamweshimiwa ridhiwani,alikuja vizuri gafla mama akamtengua.Mungu akusaidie jeri kwenye hili swala ardhi.Watu wanafanya mambo yahovyo sana,kubadilisha hti kuwatumia pesa ,dhulma za nje nje.
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 10 ай бұрын
Ridhiwani?! Hv unajua maafa.aliyofanya kwa mwezi mmoja. Kaamuru nyumba km.elfu 3 kibaha zilibomolewa. Yaani angeachwa mwaka 1 tu.vita ingekuwa.kubwa
@user-vh9sn8fr5o
@user-vh9sn8fr5o 11 ай бұрын
Dodoma ina migogoro mingi na changamoto za upimaji wa ardhi zina sababishwa na viongozi wenyewe
@faharikhamisi3091
@faharikhamisi3091 11 ай бұрын
Kaka hongera sana umeongea point na kwa hekima na kumjali , mungu akupe maisha marefu sana
@mo-jj8im
@mo-jj8im 11 ай бұрын
Waziri njoo na huku kata ya njedengwa medeli Kuna raia tunaporwa viwanja na watu wa jiji wanawapa watu wengine
@MalkaMercy
@MalkaMercy 3 ай бұрын
Yani sichoki kuangalia video zangu 😊 hongera wazir you are the best Allah akuongoze ufike mbali🎉🎉🎉
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 11 ай бұрын
Ni kweli Baada ya CDA Hawa jiji waneharibu sana
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 ай бұрын
Waziri silaa wewe na makonda matajili wanachuki sana na nyinyi lakini mungu Atawalinda kwa kupenda Aki kwa wananchi ☝️🤲Razima nji uwe na garden park
@bilid4128
@bilid4128 11 ай бұрын
Safi sana waziri.Huo waraka ni muhimu sana kwenye Maeneo ambayo hayajapima ..ili mtu ajue kila kitu ...eneo limetengwa kwa ajili ya makazi,Hospitalini ,soko,Shule .nk ijulikane ...sasa unaweza kuuziwa kiwanja sehemu ambayo sio
@mtmichapo
@mtmichapo 10 ай бұрын
Mh. Waziri ana nia msukumo wa kutaka mafanikio ya nchi yetu iweze kujitegemea kufuatana na mwongozo wa Rais wetu mpendwa mama Samia !
@Marjeby
@Marjeby 11 ай бұрын
Safi sana Slaa napenda unavyo address issues lakini kikubwa unavyo ongea na viongozi wenzio wangekuwa wale wasenge kina Makonda Sabaya ingekuwa fokea fokea hapo bila kujali chochote na matusi juu safi sana Slaa pamoja na uwajikaji wako lakini unaweka sana mbele utu na ubinadamu
@annemoshi7246
@annemoshi7246 10 ай бұрын
Kweli Mama Samia umemwona Mhe. Jerry Slaa, kwa ujumla Dodoma kesi ya migogoro ya Ardhi ni kubwa kuliko kesi zote. Njoo utusaidie Mh. Mbwanga huku
@tztanzania2262
@tztanzania2262 11 ай бұрын
Asante mheshimiwa JERRY WILBROAD SLAA upo vzur kama baba ako
@marieconnect6389
@marieconnect6389 11 ай бұрын
kjwani huyu ni mtoto wa dkt Slaa?
@annemoshi7246
@annemoshi7246 10 ай бұрын
Mh. Waziri, Sisi WA Mbwanga tunalilia Ardhi yetu Jiji wanataka kuipora, wanaitafuta laana na familia zao. Mhe. Jerry Slaa njoo Mbwanga 😢
@user-pc3bn3ei4o
@user-pc3bn3ei4o 5 ай бұрын
Hii ni ofisi ya ardhi au mana aifanane kumkaribisha waziri hapa.
@hashimpalekar1565
@hashimpalekar1565 11 ай бұрын
Keep it up, hongera Sana ,may you be blessed.
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 11 ай бұрын
Daaa! Hongera sana bro
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 ай бұрын
Uyu jamaa jeri silaha nimemkubali sana yan..bos wang wazaman mtu wa mana kabisa yan..yan anajuwa anajuwa anajuwa tena yan..anjuwa anachokifanya..mungu akubaliki na akuongoze..yan umejuwa kufanya kaz yako na umejuwa kuongea vizul sana
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 7 ай бұрын
Pamoja na kwamba ni sheria kuendeleza ardhi mtu aliopata ndani ya miezi 6, sheria hii inatumika vibaya kuwakandamiza walala hoi waliodunduliza hela na kujipatia kiwanja. Akitaka kudunduliza tena aendeleze kama kiwanja kipo mahali pazuri anakuta ameshanyang'anywa. Ni maumivu yasio na kipimo
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 11 ай бұрын
Hiyo Office tu jinsi hilovyo moja kwa moja ni wababaishaji hao sio wachapakazi wezi tu hao hawana uwadilifu
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 5 ай бұрын
HUYU WAZIRI ana Akili Nyingi sana kama Mimi
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
FIDDA HUSSEIN NI MWIZI MKUBWA WA NYUMBA ZA WATU
@marryoisso8753
@marryoisso8753 11 ай бұрын
Asante baba mungu ametuona
@Zaburi-
@Zaburi- 11 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 9 ай бұрын
Yani watanzania wasomi baathi ndio chanzo cha kuuza maeneo ya wazii tamaa mbayaaa sana
@rasnchimbi
@rasnchimbi 5 ай бұрын
Kwanza majengo ya hizo ofisi ni yakienyeji sana,hayana muonekano unaoendana na heshima ya serikali,iko haja ibuniwe ramani maalumu ya kiwango cha jengo,linalostaili.😢
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 5 ай бұрын
Migogoro ya Ardhi imepata mkunaji
@jeniphagabriel7262
@jeniphagabriel7262 7 ай бұрын
Hongera sana.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 6 ай бұрын
Mh kagueni miala mjue umri wale na sababu za ucheleweshaji.
@user-os6sc7is5h
@user-os6sc7is5h 5 ай бұрын
Waziri wafafanulie wengi wanapesa lakini luga Unatupiga chenga tunawaona wenzetu sehemu za wazi zigingiriwa mandamano makubwa😂
@adamsilumbe8356
@adamsilumbe8356 11 ай бұрын
Yeees huyu waziri inaonekana atajaribu
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 11 ай бұрын
Mmmh!!
@kizitoleons6291
@kizitoleons6291 11 ай бұрын
Hawa wanatengeneza matatizo ili wapate rushwa na kuuza viwanja vya watu
@emmanuelmajele8953
@emmanuelmajele8953 11 ай бұрын
Watu hawa ndio wanao ltajiwa kwenye nchi hii
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 11 ай бұрын
Ofisi ya Serekali mazingira mabovu kiasi icho inatia aibu
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 9 ай бұрын
Kumbe unajuwa viongozi ndio wenyewe viwanja mashamba kilakitu Chao mpaka roho za watu zao
@wilfredlugano1553
@wilfredlugano1553 11 ай бұрын
Mh. waziri njoo Nzuguni Kuna majanga ya kufa mtu
@maase2023
@maase2023 11 ай бұрын
Hawa mawaziri wakichaguliwa wanaanza na moto mkali Kisha ziiiiiiii kimyaaaa! Nguvu ya coke inakuwa
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 ай бұрын
Maafsa Aridhi ni wanene alafu wanajiona ni miungu Asee wanakera mno wizi umekithiri mno..Mh Slaa wanyooshe Ndugu yetu. Duh hapo ni ofisini au kwa Mganga..? Mbona kumechakaa Hivi..?khaa
@stephanopeter373
@stephanopeter373 11 ай бұрын
Jerry itabidi nimetumie Email. Aone madudu ya ardhi sehem
@annemoshi7246
@annemoshi7246 10 ай бұрын
Jiji kwa kweli ni kichomi. 😢
@hassankhamis1205
@hassankhamis1205 11 ай бұрын
Ufisini sio rafik kwa serekali yetu
@harounaman7473
@harounaman7473 11 ай бұрын
Tatzo ni siasa huku kwetu eneo la soko anamiliki mwenyekiti wa CCM /tunahitaji soko letu aisee
@mwinyimustafa3227
@mwinyimustafa3227 11 ай бұрын
Wanazalisha tatizo wenyewe. waanza chenga tu.
@mwanamutwa
@mwanamutwa 11 ай бұрын
Wow.Is that a government office?(5:13/5:37 sec).That should not be acceptable.
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d 11 ай бұрын
Migogoro ming zaid miaka hii hasa wauzaji wa viwanja sio halali yaan utapel mwngn hvy wasajilini madalali au kpun za uuzaji viwanja ili linapotokea mgogoro wakamatwe wao kwa kuuza kinyume na sheria lasvy wannach wataendelea kupigana na kuuwana kisa ardhi.
@paulokeseni360
@paulokeseni360 11 ай бұрын
Milad ayo mwambie waziri aje Tanga kata ya mnazi
@erickzephania1030
@erickzephania1030 11 ай бұрын
Ivi migogoro inatokea wapi wakati kila kitu kipo wazi, RUSHWA ITATUMALIZA.. wanafuga vitambi tu
@LabanaronMfugale
@LabanaronMfugale 11 ай бұрын
Watu wanaiba sana
@allysamson4821
@allysamson4821 11 ай бұрын
Good
@alfredmhana235
@alfredmhana235 11 ай бұрын
Sasa waziri aliye kuwa nyuma hajuwi haya Madudu hatari kweri kweri
@hashimumatungwa621
@hashimumatungwa621 11 ай бұрын
Njoo uku kwetu bukoba vijini Kijiji katanakya Kuna shida
@user-ns4it2th6i
@user-ns4it2th6i 11 ай бұрын
👍
@ssam3385
@ssam3385 11 ай бұрын
Huyu jerri silaa ni mtoto wa docter slaha
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 11 ай бұрын
Mi huwa najiuliz pia na sijawh pat jibu
@AlexChristopherMuhanuka-wm2jk
@AlexChristopherMuhanuka-wm2jk 4 ай бұрын
Hii ni ofice gani😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@shabanidaruweshi-jw5jy
@shabanidaruweshi-jw5jy 11 ай бұрын
Njoo na huku Mzee madudu mengi
@chalesmapua5115
@chalesmapua5115 11 ай бұрын
Wap
@elishajohnmkeu1206
@elishajohnmkeu1206 7 ай бұрын
Kaza kamba
@cephassikaonga6370
@cephassikaonga6370 11 ай бұрын
Waajibike haohao
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 11 ай бұрын
Ofce mbovu matundu kibao shame
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 11 ай бұрын
Kuku wa kazi gani ofisini Jamani??? Ni ofisi au ni Banda la kuku???
@cephassikaonga6370
@cephassikaonga6370 11 ай бұрын
Tatizo wataramu haohao
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 11 ай бұрын
Miaka hamsini ijayo hatupo tufanye kazi kwa uweledi kauli ya Waziri mwenye dhamana!
@johngibson3089
@johngibson3089 11 ай бұрын
Sioni ueledi
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 11 ай бұрын
Ndio kwa sasa hatuwezi kuona uweledi ila watakao ufaidi ni vitukuu vyetu ndio Maana ya Waziri Wa Ardhi na Makazi ametamka!
@user-sb8py3ib5z
@user-sb8py3ib5z 11 ай бұрын
Wako wap kama wewe kazi unaifanya Kwa kweli mnatupa matumain,wazir njoo ikungi singida uone madudu ya afisa ardhi
@abumasoud1996
@abumasoud1996 11 ай бұрын
😅Jerry slaat.atakuwa rais wa tz afer 10 years anafanya kuwa rais
@MusaMtandu
@MusaMtandu 11 ай бұрын
Ni kwel bhn
@user-bl1xq1yj7h
@user-bl1xq1yj7h 11 ай бұрын
Nenda tabora. Ukaone Balaa lukuvi mwenyewe alichemka
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 11 ай бұрын
Lukuvi ana cheo gan sashv
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 11 ай бұрын
bado watakubadirisha hutoamini kuwa niwewe uliyekuwa unazungumza.hivyo watu wa aridhi.achana nao haya utakuja kuniambia au baada ya mwaka hivi nitakukumbusha crip yako hiyo
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d 11 ай бұрын
Wakianza kubomolewa wataanz kulalamik alf hao waliwauzia watajificha mxiuu
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,1 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 20 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
JERRY SILAA AAGIZA KUKAMATWA KWA BAKARI GONGO LA MBOTO
3:24
EastAfricaTV
Рет қаралды 4,9 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,1 МЛН