JIFUNZE MWONEKANO WA BANDA BORA LA NG'OMBE WA MAZIWA...

  Рет қаралды 2,027

JOSASA FARMS .

JOSASA FARMS .

4 ай бұрын

Tunatoa elimu ,muongozo na ushauri wa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa .
Tunajenga mabanda ya ng'ombe wa maziwa Kwa gharama nafuu
Kwa huduma zaidi tupigie aimu 0654484175.
.

.
.
.
Powerful Trap Beat | Strong by Alex-Productions | onsound.eu/
Music promoted by www.chosic.com/free-music/all/
Creative Commons CC BY 3.0
creativecommons.org/licenses/...

Пікірлер: 12
@user-qg7gj5om4e
@user-qg7gj5om4e 3 ай бұрын
Very good
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Shukrani saana Mkuu
@adsoncharles7335
@adsoncharles7335 2 ай бұрын
Mnapatikana mkoa gan
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Tupo Dodoma mkuu karibu Sana 0654484175
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 3 ай бұрын
Kaka umejitahidi lakini hujaweka neck rail na brisket locator.hii yaweza pelekea Ng'ombe akakataa kutumia hizo cubicles. Endelea kufanya mabolesho ili waweze kupata comfort
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Nashukuru saana Mkuu ...well Noted
@alfredjoshua8625
@alfredjoshua8625 3 ай бұрын
Hongera sana mwezeshaji. sijui mnapatikana mkoa gani? hao wanaotoa lita 20 kwa siku wanaweza kufika kiasi gani.(Bei )
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Shukrani saana mkuu Tunapatikana Dodoma mkuu Nzuguni karibu na stand mpya ya mkoa ... Bei wanaanzia Milioni tatu mkuu bei inapungua kulingana na idadi ya mitamba unaochukua kwa mara Moja.
@alfredjoshua8625
@alfredjoshua8625 3 ай бұрын
ok, nimeelewa nitafika maana hata mimi niko katoka huu mkoa.
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
@alfredjoshua8625 Karibu saana
@kayandasson2155
@kayandasson2155 Ай бұрын
Nahitaji ngombe wa maziwa ya kufuga. Niko mwanza, naweza wapata? Na gharama kiasi gani?
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Unapata mkuu bei ziko tofautitofauti kulingana na uwezo na Tunauza wakiwa na Mimba wananzia 2.5M nakuendelea piga simu Kwa maelezo zaidi 0654484175.
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE:BANDA BORA,CHAKULA BORA NA MBEGU BORA   YA NG'OMBEPDF
6:59
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 304 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 175 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
DARASA LA UFUGAJI BORA WA NGURUWE |SIFA 5 ZA BANDA BORA LA NGURUWE|
5:50
How to make maize and surface silage by hamiisi semanda +256773343283
11:11
HOW TO CONSTRUCT A DAIRY COW SHADE( ZERO GRAZING)
12:47
FARM WITH PAUL
Рет қаралды 19 М.
USIFUGE ILI BORA LIENDEE NO! FUGA NG'OMBE BORA  KIBIASHARA.
5:22
JOSASA FARMS .
Рет қаралды 2,8 М.