UFUGAJI BORA WA NG'OMBE:BANDA BORA,CHAKULA BORA NA MBEGU BORA YA NG'OMBE
Пікірлер: 21
@faustinelucas72356 ай бұрын
Nimewaelewa sanaaaa
@faustinelucas72356 ай бұрын
Naomba vipimo vya mbanda
@mahadimatsawily58095 жыл бұрын
Mko vizuri sana Mkulima Smart Initiatives.
@augustinekusekwa183 Жыл бұрын
Uko wapi mkuu japokuwa crip yako niyazamani
@BONIPHACESANGALALI-qc2rl Жыл бұрын
Iko vizuri iyo
@benedictihhando50604 жыл бұрын
Nimekuelewa
@newug33474 жыл бұрын
Hujaonyesha vizuri Hilo banda
@shambadarasamkusi44494 жыл бұрын
Aksante sana kwa ushauri.Tutumie ujumbe whatup 0713178868 nikutumie sample za mabanda
@motivations2542 жыл бұрын
@@shambadarasamkusi4449 sample za mabanda. Shukran
@honoratussalvatory80605 жыл бұрын
Iko POA sana
@adrianmallyakibona.3524 жыл бұрын
Mm nipo Kilimanjaro nafuga kwa ajili ya biashara ya maziwa. Changamoto iliyopo ni kupata mbegu bora, serikali imeshindwa kusimamia uzalishaji wa mbegu bora.. Nahisi kuna hujuma zimeingizwa... Mashamba ya ng'ombe ya serikali nayo yamejaa ukiritimba na mengi yametelekezwa...
@HASASON4 жыл бұрын
Vipi kiongozi Hata mimi natafuta mbegu bora ya ng'ombe wa maziwa na nategemea kwenda kwenye hivyo vituo vya serikali kama USA river na Tengeru kwa hapa Arusha, ulishajaribu kutembelea hayo mashamba au kununua mbegu kwao ukapata matokeo hasi? Naomba muongozo kabla sijachukua hatua mkuu
@abdallasalim3244 жыл бұрын
Mm nataka kufuga ng'ombe wa maziwa cjui aina ya ng'ombe? Nisaidie kunielimisha ili niwe mjasilia Mali,
@shambadarasamkusi44494 жыл бұрын
Tupigie simu
@adrianmallyakibona.3524 жыл бұрын
Dr uko wapi
@nassoroypande5924 жыл бұрын
MKO VIZURI TUPE PICHA KAMILI YA BANDA BORA NA VIPIMO SAHIHI
@shambadarasamkusi44494 жыл бұрын
0713178868
@puritypurity48604 жыл бұрын
Naomba number please
@issamaneno88143 жыл бұрын
Kwa kweli uko vizuri mkuu
@puritypurity48604 жыл бұрын
Please naomba number yako nataka kufunga ngombe 0097339713039