Mtaalamu kabisaa, na story teller mzuri sana. Thanks for sharing
@ephraimthomas76822 ай бұрын
This training is very important to us ( youth)
@alihassansorikushey14142 жыл бұрын
Kwa kweli nimejifunza mengi hapo,japo siko tz but hii lesson hainipiti kwa KZfaq...shukran kwa waandaji wa seminar iko siku nitakuwepo mola akipendaaa.big up kwa busara ua star to shine
@mwamini___2 жыл бұрын
🙏😍 I bless the day I met you Edmund Munyagi
@Lordmartin2 жыл бұрын
Emilian Busara huwa habahatishi, hapotezi muda na haboi. Hutoki bure ukimsikiliza. Big ups
@rachelmachange26111 күн бұрын
Fandamental
@EnjoyLocation2 жыл бұрын
Asante sana nimepanua ufaham wangu juu ya financial knowledge ndan ya hii video asanteni sana mulio andaa hii
@SalumHassan-j9z29 күн бұрын
Fresh nimeipenda hiyo I'll mwanzo kianzio
@elipokeaakyoo6858Күн бұрын
Sawakabsa mkuu
@knowledgetv55942 жыл бұрын
Huyu Mwalimu ukimsikiliza kwa makini sana ungundua kuwa hayo anayoyafundisha ndio anayoyaishi.
@josephally1645 Жыл бұрын
sure
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
Yakuambiwa changanya na yako
@fatmaabubakar5946 Жыл бұрын
Emilian Busara nimechelewa kukujua,we ni mwamba
@Maisha-Halisi2 жыл бұрын
Thank you so much Edmund for sharing. This is very useful
@jichofoundationtv68937 ай бұрын
Mwalimu busara umenifungua sana Ubarikiwe sana
@slickpointer2 жыл бұрын
Let Talk Finance Everyday🔥🔥
@user-kr9xi9lo3z5 ай бұрын
Nakubali sana
@ereneusmujuni6380 Жыл бұрын
Emiliana busara huwa anatoa darasa la hisa ? Na kwa gharama gani ? Napenda kujifunza kutoka kwake
@abasishayo1402Күн бұрын
Camera man hatutendei haki ubaoni
@makwayaalbert60942 жыл бұрын
masikio yangu yamefunguka......thank you edmund munyagi
@ezranyamlundwa20347 ай бұрын
Naomba unisaidie namba yako mzee emilian
@kelvinyasiwa21085 ай бұрын
Naomba number yake...
@enocklyatuu68152 жыл бұрын
Safi sana
@hamzaswaibu94702 жыл бұрын
Ila Mwalimu /Muhasibu uko vizuri sanaaaa
@juliusmantago6148 Жыл бұрын
Ho can I get contacts
@ezranyamlundwa20347 ай бұрын
Asante
@beatuskessy60002 жыл бұрын
💪🙏
@onesmoalphonce3676 Жыл бұрын
Kitabu chake nakipateje?
@protasmtechula9705 Жыл бұрын
Hiyo screen iwe inaoneshwa
@priscawilson4419 Жыл бұрын
Naomba no yako pls
@user-iu9ie4dp5w3 ай бұрын
Ireal love this channel
@godfreykitoki9639 Жыл бұрын
Naomba mawasiliano ya huyu Mzee namtafuta bila mafanikio
@giftmego75804 ай бұрын
Sina chakusema,acha nikafanyie kazi kila kitu inshaallah..
@mwenemwenijean64152 жыл бұрын
Napataje vitabu vyake huyu mzee?
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Asante sana
@hamzaswaibu94702 жыл бұрын
Huyu mchukuwaji wa video kwanini atuonyeshi ubao ila kidogo Sanaa boresha