UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MIFUKO YA UTT Na Daudi Mbaga

  Рет қаралды 15,365

Edmund Munyagi

Edmund Munyagi

2 жыл бұрын

Пікірлер: 45
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Napenda utt japo nimechelewa kuingia huko lkn walipo utte nipo. Asanteni Utt.
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Somo ni zuri sanaaaa! Thank you Daudi. Nahavache mno nimeelewa!
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 2 жыл бұрын
The background music is so high!
@veronicalemalali6361
@veronicalemalali6361 Жыл бұрын
Asante sana nimejifunza vitu vingi. Taenda kufungua yangu and my kids also. Be bless my brother
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
background music ipunguze volume jmni
@mikaayo10
@mikaayo10 Жыл бұрын
Asante sana Mr Mbaga ingawa mimi ni mwekezaji UTT Kuna kitu kipya nimejifunza
@nicksonjk8479
@nicksonjk8479 11 ай бұрын
Kudos Daud, very robust preparation 👏 🎉
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Daudi una madini ya uwekezaji, Mungu akubariki sana.
@barakayusuph5190
@barakayusuph5190 7 ай бұрын
Hongera sana mr daudi mbaga natamana sana hii elimu ifike kwa watu wengi hasa Sisi tuliopo huku pembezoni mwa nchi kama katavi,kigoma ,sumbawanga ,songea,mtwara.
@khalfantambwe5980
@khalfantambwe5980 2 жыл бұрын
Good job big brother
@user-to5zd1cj3g
@user-to5zd1cj3g 3 ай бұрын
Upo vizuri kaka
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
Tumuombeeni sana Mama Samia wetu na serikali yake ya uongozi then our country will grow which will impact our investments for the Glory of our God! thanks much Mbaga for your time and presentation..superb!
@daudimkuki8018
@daudimkuki8018 Жыл бұрын
Dah i learn a lot...
@mkwejonathan361
@mkwejonathan361 Жыл бұрын
Safi sana bro, be blessed
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Aaah Dr nimekuelewa nitajilipa myself first kuanzia mwezi huu mwishoni. Sasa,sasa,sasa nitajilipa.kwanza nimechezea fedha kumbe.
@mlalidaycare814
@mlalidaycare814 Жыл бұрын
Nice presentation Mr mbaga..by the way I got a wonderful lesson about shares investment . very satisfied to me
@dn.n4983
@dn.n4983 8 ай бұрын
Kweli kabisa jitambuwe
@dn.n4983
@dn.n4983 10 ай бұрын
Wsnalamba kweli yaani kazi hipo
@depaalissuofficial
@depaalissuofficial 29 күн бұрын
Dear Mr. @edmundmunyagi, naweza kupata kitabu kinachoelezea juu ya uwekezaji wa UTT AMIS hasa mifuko ya Ukwasi na Hatifungani? Kindly, reply me back when you find this quest message!
@kazoyamongateko7764
@kazoyamongateko7764 17 күн бұрын
nipe namba yako ya whatsup nikutumie
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
hiyo ubanani sijui kasema uber 8 ST namba D ndo nini akisema it gives 150 per week 15:31 naomba jamni kuwlezewa jmni tafadhali
@jerryjac4323
@jerryjac4323 Жыл бұрын
music ina kwaza kusikiliza
@deokarithomas1243
@deokarithomas1243 Жыл бұрын
Naomba slide hizo za wekeza maisha.
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Nitauza nyumba 1 nilete utt.
@joniajohn4716
@joniajohn4716 Жыл бұрын
👏🏽
@rehemaothuman3764
@rehemaothuman3764 2 жыл бұрын
Naitaji kujua zaid utt niwekeze nafanyaje nipo njee
@barakayusuph5190
@barakayusuph5190 7 ай бұрын
Tembelea Tawi lolote la crdb karibu yako utajua kuhusu UTT AMIS
@Devothakimei
@Devothakimei 2 жыл бұрын
Back ground ya mziki jaman
@lucyjosephat6316
@lucyjosephat6316 2 жыл бұрын
Nauliza mwanza huduma ya UTT inaweza kupatikana
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Fika kwenye tawi la benki ya CRDB lililopo karibu yako.
@daudimbaga3204
@daudimbaga3204 2 жыл бұрын
nssf bldg mezanine
@georgenazi9325
@georgenazi9325 2 жыл бұрын
@edmund munyagi kwa nini watu hawaamini kuhusu utt wanaona ni kuibiwa
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
@@georgenazi9325 wakina nani hawaamini?
@georgenazi9325
@georgenazi9325 2 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi ni watz wenzangu wananikatisha tamaa natapeliwa
@catherinekawa8078
@catherinekawa8078 10 ай бұрын
Mimi nahitaji kujiunga UTT lakini nawapata wapi?
@catherinekawa8078
@catherinekawa8078 10 ай бұрын
Ama nawezapata no za simu niongee nanyi ana kwa ana?
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 10 ай бұрын
Wapo Sukari House, Dar es Salaam. Wana branches, Dodoma, Arusha nadhani na Mwanza lakini unaweza kufika kwenye Branch yoyote ya CRDB kupata huduma za UTT. Pia unaweza kutembelea tovuti yao www.uttamis.co.tz
@rehemaothuman3764
@rehemaothuman3764 2 жыл бұрын
Tunapataje broker anausikana na utt
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Hauhitaji Broker kuwekeza UTT. Bofya *150*82# halafu fuata maelekezo. Utaweza kufungua account na hata kuanza kuweka pesa. Lakini utahitaji kujaza na fomu ya mfujo husika ambazo unaweza kuzipata kutoka kwenye website yao www.uttamis.co.tz halfu ukazirudisha ofisini kwao au ukazituma kwa email.
@daudimbaga3204
@daudimbaga3204 2 жыл бұрын
Tembelea tawi lolote la CRDB
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Daudi sasa kumbe nisingewekeza kwenye nyumba kwanza.Lkn nitafika Dar nipate hii hii eliminate,lkn Daudi usinywe pombe.
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Daudi wewe ni mpare Bwana ndugu yangu,proud for your tribe .Mpare ni best user wa scarce resource I proud to be mpare. We go with budget na hii ndio kauli mbiu yetu. Laminitis naipenda utt.
@hendrylema5640
@hendrylema5640 Жыл бұрын
ahahaha amestaafu
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 47 М.
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 21 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
MTAZAMO WA KIFEDHA By Blandina Njau
19:48
Edmund Munyagi
Рет қаралды 6 М.
SHAJARA || Uwekezaji katika soko la Hisa
19:29
Azam TV
Рет қаралды 2 М.
ELimu ya UTT - THE TOP TEAM ACADEMY
17:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 3,8 М.
#BARAGUMULIVE FAIDA ZA UWEKEZAJI WA PAMOJA NA UTT AMIS
36:45
Channel ten
Рет қаралды 2,4 М.
JINSI YA KUKABILIANA NA MADENI By Denis Simon
33:42
Edmund Munyagi
Рет қаралды 4,8 М.
UHURU WA KIFEDHA Na Edmund Munyagi
44:34
Edmund Munyagi
Рет қаралды 9 М.
MFUKO WA UKWASI (LIQUID FUND)
11:59
UTT AMIS PLC
Рет қаралды 1 М.