Safi sana bro' nakupata kabisa. Lakini for slow learners tafuta board zile za kuandikia Kwa kalamu ya kufuta huwe unapiga maelezo yako pale wanafuzi slow learners watafaidika. Anyway huko sawa
@ramadhaniabdulabi40356 ай бұрын
Mwalimu
@user-fm2xd5ck1w5 ай бұрын
Frashi bei gan
@rehemamwasheti4810 Жыл бұрын
Nakuelewa vizuri sana mwali shukra nili faulu Allah akujaze
@darasalaumeme7421 Жыл бұрын
Shukran sana🙌
@brooeddy424211 ай бұрын
teacher nakubali sana.
@calvinjoseph427811 ай бұрын
Upo vzr mwalimu nakupata vema
@wadimtwana72862 жыл бұрын
Safi mwalim tuko pamoja vitu huwezi kuvipata darasani
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante Mwalimu
@adanmohamed91472 жыл бұрын
Nataka unifundishe umeme
@leila5689 Жыл бұрын
Kaka kaelewa mimi shukrani
@cheeyoung10712 жыл бұрын
nimekwelew kaka
@swedychando36828 ай бұрын
Kaka unajitahidi kuelekeza lakini umeshindwa kufafanua vizuri waya tatu za kwenye flot switch zinafanyaje kazi kila waya hapo inakazi yake
@sammyboit-ko6id Жыл бұрын
Kazi zako nazipenda zinaeleweka Kwa sana.zidi kufunza ongeza ya submersible pump.
@darasalaumeme7421 Жыл бұрын
Shukran 🙏
@user-yg8sc2gl2i7 ай бұрын
Maelezo magumu
@NyambeKennedy-pq3dd10 ай бұрын
Unafungaje float switch kwa pump ambayo ina control box ambayo Ina capacitor
@hamisikisongo3442 Жыл бұрын
maelezo mengi kuliko vitendo unazingua
@cheeyoung10712 жыл бұрын
Nime elewa sana kaka
@cranemakaaya6602 Жыл бұрын
kindly some english version
@davidmunuo79762 жыл бұрын
Bro unafanya vizuri but ongeza picha au video ukiwa nafanya io kazi tutaelewa vizuri
@user-ht8rv9ey6d9 ай бұрын
Apo nimehelewa
@simonlukiko2850 Жыл бұрын
SAFI MKUU ILA USINGE FANYA THEORY UNGE KUWA UNAFANYA KWA VITENDO PRACTICAL TUONE SISI DARASA LA SABA B TUJIFUNZE VZR KAMA WENZETU WAZUNGU
@darasalaumeme74215 ай бұрын
😂😂😂😂😂 sawa
@vicentabdallah9024 Жыл бұрын
Uwezo wako kwa elimu ya umeme ni mdogo bro
@darasalaumeme7421 Жыл бұрын
Shurkani
@adanmohamed91472 жыл бұрын
Hi mwalimu mimi mbona unatusi mwanafunzi wako
@Le_vis25411 ай бұрын
Too much of talking for what reason? Go straight to the point