Fahamu jinsi ya kutumia kalenda kuzijua siku za kubeba mimba katika mzunguko wa hedhi.
Пікірлер: 75
@afyatips3 жыл бұрын
Kama unahitaji ushauri wa kitaalamu au una swali kuhusu maswala ya mzunguko wa hedhi, Uzazi au Afya kiujumla, tutumie message WhatsApp kwenye namba 0717 442 590
@meshackmbopu55883 жыл бұрын
Je Kama unaigia cku 7
@ramadhanameh7675 Жыл бұрын
@@meshackmbopu5588 naingia siku 5
@musapetro6593 Жыл бұрын
naingia cik 4-5
@ashakhamis909310 ай бұрын
Mm natk kujua jins ya kuhesabu mimba inamiez gn?
@VeronicaLutobeka29 күн бұрын
Nimekuelewa asant
@EmmanuelMduma-ly5xk11 күн бұрын
Asant
@benitagidion46522 жыл бұрын
Kama nzunguko unabadilika kila mwezi utajuaje Siku ya hatari maana mi kila mwezi talehe inabadilika nisaidie
@annamzee17093 жыл бұрын
Asant kwa somo nzuri
@afyatips3 жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾😊
@nestoryedward7148 Жыл бұрын
Something good
@DianaMohamed-yk9ri Жыл бұрын
Kwa mfano mm mzunguko wangu ni siku 28 na 27 na naingia hedhi siku tati je siku ya nne na ya Tano naweza be a ujauzito baada ya kutoka hedh
@evalinemushi22892 жыл бұрын
Mimi naitaji kujua siku yangu ya hatari mwezi watano niliona sikuzangu tarehe 2 mwezi 5 na mwezi wa sita nikaingia tarehe 1 sikuyangu yahatari nilini na mzunguko wangu niwasiku ngapi?
@ndayikezaaminata4247 ай бұрын
Hawujambo dr nilikua nataka kuliza kwahuyu mufano ulie tupa ziku ya ovulation ni hiyi tare 16 nje nikiwa sikufanya mapenzi hiyo tare ya 16 nikaja kufanyana mapenzi tare 18 na 19 naweza kupata ujawuzito?
@nassirkhamis9889 Жыл бұрын
Naomba kuuliza
@lightnessfrumence28802 жыл бұрын
Sorry doctar me hedhi yangu huanza mfano tarehe 21/6 na kuona tena tarh 21/7 ya kila mwez sas cjajua me nipo kwenye mzunguko wa 28,30 au 35 Kati ya hapo n.a. nahitaj kujua cku za hatari n.a. salama
@user-ef4kb9zj2c3 ай бұрын
Isee samahani kuuliza mm nipo confused niliingia kwenye period tarehee1 nikqmaliza tarehee 5 nimekutana na mwanaume wangu tarehee 13 na 14 je mimba itakuwa imeshika na itakuwa imeshika tarehee ngap
@user-fd8xq1sc4l4 ай бұрын
Kwahiyo kwafano utumia siku 4 halafu panakauka kabla ya siku za hatali unaweza kukutana namwanaume na kutokupata mimba?
@sifaelielias58612 жыл бұрын
Naomba kujua pia kama umeghaflika ukakutana na mwenza siku ya hatari na hamjawa tayari kuzaa, utafanyaje kuepuka kuzaa mtoto bila kukusufia
@malochokolo60173 жыл бұрын
Jaman samahan me nanyonyesha tataka nikutane na mwenza wang sjawah tumia uzaz wa mpango wa aina yoyote wala kalenda nafanyaje na nilikuwa naingia sk 4 lakn saiv siingii
@christinabocho4344 Жыл бұрын
Mm Nina shida moja miezi miwili unaingia tarehe moja,,mwezi wa napitisha siku nyingi ,,
@francisdunda16462 жыл бұрын
Kwa mfano mwana mke anaingia kwa period 28 alafu leo alale n mwana ume alafu leo ni 25 je atapata mimba
@afyatips2 жыл бұрын
Kama mzunguko wake upo sawa (yaani haubadiliki badiliki) uwezekano wa kupata ni mdogo saana
@ChristianSiwale-iw7ex Жыл бұрын
Mimi mzunguko wangu ni siku 24 naomba nisaidie siku zangu za hataki ni tarehe ipi?
@HappyGodson-zl5wr4 ай бұрын
Mimi situlii kwenye mzinguko mwezi huu naweza nikaona tr 10 ujao nikaona 31 nafanyaje ili niweze kutumia kalenda
@athmansaid13042 жыл бұрын
Hi how are you naomba uisabu kama mtu ameingia kwa damu siku tatu
@user-lo4hq3vp1o7 ай бұрын
Nauliza kuwa cijui mzunguko wangu wa hezi halafu nataka nitumie kalenda Kwahy nifanyeje kama kuepukana na mimba
@LailatyHamisiАй бұрын
Mfano ukiw unaend siku Saba na tar zinabadilika inakuwaj
@mgenihaji5712 Жыл бұрын
Habari kwamfano mimi nilitumia mwezi wa 7mwezi wa 8 sijaipata priad nimepata mwezi huu wa 9 sasa hapo nitafanya vipi huo mzunguko
@suzanlucas19102 жыл бұрын
Kama umekaribia kuingia period unabeba mimba
@irenemathias4266 Жыл бұрын
Habari Mimi naitaji kujua namna yakupata kalenda
@laurentbanza6135 Жыл бұрын
Sasa Mimi mpenzi wangu ana tarehe kanuni ya kuona hedhi yake Sasa tajuwa vipi Siku zake za hatari?kwa sababu uyu mwezi wa Tisa amepata hedhi tarehe 20 na hedhi inafanyaka Siku Tatu kwake Kisha inamilzika ao Siku nne.sasa napenda kujuwa Siku zake za hatari.asanteni
@nassirkhamis9889 Жыл бұрын
Umeanza tarehe 31 kisha umefuata na tarehe 2 kwenye mzunguko wa pili
@AndanganileSaidy4 ай бұрын
Hvii kuhusu wakin sis 2naoenda ckuu saba
@vailethmwageni8441 Жыл бұрын
Kwa MTu anayekaribia kupata hedh nyingine anaweza kupata mimba
@elizabethmushi92063 жыл бұрын
Doctor Mimi sikuzangu zinajirudia takribani miezi mitatu mfululizo mfano mwezi wa 5nilipata hedhi tar 10mwezi wa 6nilipata tar10mwezi wa Sana pia ikarudia Tena tar10sasa Mimi mzunguko wangu itakuwa wa siku ngapi?
@tullytemu44423 жыл бұрын
28
@salimchausa27113 жыл бұрын
Samahani mbona numb haipo whatspy
@chodachopper5962 Жыл бұрын
Kama naingia siku tatu mara ya mwisho kuingia ni trh 12
@nassirkhamis9889 Жыл бұрын
Nimeangaliya hpo nimeona mbn kuna tarehe umeziruka
@beatriceskawamala40942 жыл бұрын
Mtu anaye ingia mara mbili kwa mwezi,,anaesabuje
@williamelias17 Жыл бұрын
Kama kila mwezi mzunguko unabadilika utajuaje siku ipi ya hatari
@latifamohamed5268 Жыл бұрын
Minilitakujua kwaiyo baada yaizo siku za hatar zinazo fata nifree au
@MusaEnosi8 ай бұрын
Hiyo kalenda tunaipa wap
@rebisiusmfuko50173 жыл бұрын
Nimwanamke ambae nilimekosa mimba kwa mwaka mmoja nifanye je kupata mimba?
@LAURENT-jj5fu2 жыл бұрын
Mm naingia trh 20 je mzunguko wangu wa hedhi ni ck ngap naomba nisaidie.
@elzdeus2365 Жыл бұрын
cjaelewa namna ya kuhesabu mzunguko wa hedhi yaani kujua siku salama na siku hatari
@ramadhanameh7675 Жыл бұрын
Mimi nifanya tendon la ndoa siku yatano ya edhi naweza kupata ujauzito?
@samwelsanford2181 Жыл бұрын
Helloo! Mimi nina hitaji Kalenda nipo Dodoma
@shemsakiza8263 Жыл бұрын
Mambo vp tunashukuru kukisomo kama apa mm naona tale 31 nitaisambia aje
@user-kx4hs5cx3l7 ай бұрын
Kwa. Mfano umeingia tarehe kumi natatu nielewese hapo
@mhindimuhundira142 жыл бұрын
Nilikuwa nahitaji maelekezo zaid
@salharajab88623 жыл бұрын
Habar nahitaji hiyo kalenda
@fatmamasoud66422 жыл бұрын
Kwa mtu anaye ingia mara mbili
@shundakwesey90352 жыл бұрын
Me ninashida
@barikimkwera-wn4wl Жыл бұрын
Nahitaji kalenda hiyo,ntaipaje
@juniorsmart24832 жыл бұрын
Me hata xmuelewi
@jakobjuma83014 жыл бұрын
Na je mbn mm nilifundshwa xhuln kua unaanza kuesabu toka siku ile alivyomaliza edhi mpaka cku ya kumi na moja ndo cku ya Atari inanza VP i inakaje
@afyatips4 жыл бұрын
Hiyo ni kwa mzunguko wa hedhi wa siku 28. Na shuleni mara nyingi huwa wanafundisha wakitolea mfano mzunguko wa siku 28.
@jakobjuma83014 жыл бұрын
@@afyatips apo nimekusoka na VP kama ana hedhi ya cku 30
@tumsifungogo63612 жыл бұрын
Swali langu ni tatumia karenda sawa asa katika karenda kuna mwenzi mfupi na mrefu nitajuaje apo siku zangu za hatari doctor?
@razakidelly39764 жыл бұрын
Samahan doctor mm panapo nixhnda kwny mznguko was cku 28,30,31 yaan kW ufupi sielew tu na Nina tatzo lingne natapka kila mda na matiti nahisi kujaa km chem chem toka mwez wa6 Niko na hii hali hedhi napata kla mwz natumbo lng nikubwa napta was was nisaidie ushaur dokta
@afyatips4 жыл бұрын
Kwani kila mwezi unapata period yako au kuna miezi unakuwa hupati period?!
@afyatips4 жыл бұрын
Na hayo maziwa yanajaa muda wote au kuna kipindi fulan kwenye mzunguko wa hedhi ndio huwa yanajaa?!
@razakidelly39764 жыл бұрын
Kila mwezi napata hedhi na maziwa ujaa kila cku au naweza kaa cku mbili bila kuona hiyo hali lkn cku ifuatayo nikaona yanajaa
@sophiarichardjmnrubynkpend69604 жыл бұрын
Me sielew jaman
@afyatips4 жыл бұрын
Enhee.. niambie hauelewi wapi?!
@subiralukasa8392 жыл бұрын
@@afyatips Dr samahan mfano mm nlianza period tar 23 mwez huu yaan jmos nkamaliza 27 j5 nataka kujua kufikia cku ya leo nipo safe au hatar make mwenzang hakuepo ndo anarud na mm ctak kubeba mimba
@nassirkhamis9889 Жыл бұрын
Nimeangaliya hpo nimeona mbn kuna tarehe umeziruka
@malochokolo60173 жыл бұрын
Jaman samahan me nanyonyesha tataka nikutane na mwenza wang sjawah tumia uzaz wa mpango wa aina yoyote wala kalenda nafanyaje na nilikuwa naingia sk 4 lakn saiv siingii
@salhakihulya9804 Жыл бұрын
Jamani samahani mie niliingia period tarehe 9 Oct na nikamaliza terehe 14 Oct na Ilipofika tarehe 28 Oct nikashiriki tendo la ndoa .but now mwezi November sijaona period kwahiyo tatizo nin?