LIFE WISDOM : NGUVU YA KUANZA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 9,301

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Ай бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 41
@yssaid4193
@yssaid4193 Ай бұрын
Brother Joel Nanauka kwa kweli umenisaidia kiasi kwamba nilitimiza ndoto zangu na kufika Canada 🇨🇦ambazo nilikaribia kukata tamaa wakati natafuta hii safar mungu akuongeze na akufikishe pale unapopakusudia
@user-ge4jn5ry1o
@user-ge4jn5ry1o Ай бұрын
Joel nanauka vitu unavyotupa Ni zaidi ya almasi na dhahabu ,vitu ambavyo vinatutajirisha akili zetu,afya zetu,saikolojia zetu na mafanikio yetu.Allah(s.w)akupe nguvu na uhai na mafanikio ya kudumu katika maisha yako
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 19 күн бұрын
Nira isi sana, Mungu a zidi Kuku Linda 🎉🎉🎉✍️🇨🇩
@ramadhanmkenda5918
@ramadhanmkenda5918 Ай бұрын
Mwalim WA muda wote stay blessed kk
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Ай бұрын
Nashukur...br.. Joel.. toka nianze kukusikiliza targets zangu zinaenda..sawa..... nashukur sana ...na kama nilivo kwambia very soon nitapta vitabu vyako.... barikiwa sana Joel mungu azidi kumupa ufahamu zaidi...🙏
@BenjaminRajabu-xk7mc
@BenjaminRajabu-xk7mc Ай бұрын
Kaka habari zasubuhi mm nakushukuru sana
@bonymujama7332
@bonymujama7332 Ай бұрын
Thank you brother Joel and your technical team. Mafundisho mazuri sana ambayo yanabadirisha maisha ya watu wengi. Ila nina ombi kuhusu background sound. Kwa video hii, your voice ni kama ilikuwa low, ila mimi nimeona kwamba ni suala la background sound/music ambayo sauti yake iko juu kuliko you the speaker's voice. I prefer listening in a total calmness rather than with background music. Kama background music ikiwemo, isiwe high sana... Asante sana
@jichofoundationtv6893
@jichofoundationtv6893 Ай бұрын
Tunashukuru sana kwa mafundisho yako mzuri. Lkni sauti ipo Chin sana
@user-xt5vs7cm2k
@user-xt5vs7cm2k Ай бұрын
Kak balikiwa san aseee one love
@nestorytweve-vh7qk
@nestorytweve-vh7qk Ай бұрын
..Binafsi nimefurahishwa sana na elimu ambayo unaitoa maana una msaada mkubwa sana kwenye maisha ya watu wengi .zaidi nishukuru sana maana baada ya kulipia kitabu PDF nilikuwa nawaza ulivyo bize ivo utanitumia lini au saa ngapi n.k ...lakini cha ajabu ndani ya dakika 2 tuu nimeipata soft copy yangu....ISHINDE TABIA YA KUGAIRISHA MAMBO(NGUVU YA KUANZA). ..nimefurahi sana sio kigodo👏🤣🤣 mungu akufanyie wepesi wa mambo maana kazi ni kubwa ya kumweelimisha mtu hadi akabadilishe maisha yake..thanks
@victoriavictoria8481
@victoriavictoria8481 Ай бұрын
Nashukuru Mungu alinitoa ktk mahusiano mabovu, Sasa hivi naweza fanya kazi kwa ajili yakujijenga kimaisha
@eldahussein1249
@eldahussein1249 Ай бұрын
Uliwezaje kutoka,maana mahusiano mabovu yanaweza kukufanya ukashindwa kupiga hatua za kimaisha na kimaendeleo
@PANGACHUMVIFRONT-OFFFICE
@PANGACHUMVIFRONT-OFFFICE Ай бұрын
you`re amazing broo big up
@bina2557
@bina2557 Ай бұрын
Kaka Joel Nanauka asante sana kwa kutukumbusha mimi nilianza sema sikuwa msimamiz mkuu wa mradi wangu niliempa asimamie aliniangusha saiv nmeanza kuweka akiba nataka huu mwaka ukiisha niwe nmefikia kiwango flan cha fedha na ntapiga hatua kwenye sehem flan ya kuanza nmefungua. Account ya money marketing hivyo nusu ya mshahara wangu naielekeza huko asante sana na haya maarifa nmeyatoa kwako December ntakuwa dar nitahakikisha napata vitabu
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 Ай бұрын
Kuna softcopy unaweza ukatumiwa 😊
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 Ай бұрын
Somo safi kabsah 😂 🔥🔥🔥🔥,,,, yani kwenye suala la kughairisha mambo nilikuwa kinara nadhani🙌🙌,,,hii kanuni imenisaidia sana🏆,,,shukran mno
@beatricemwita4380
@beatricemwita4380 Ай бұрын
Kaka Joel Leo sauti haipo vizuri ipo chini sana, napata shida kukusikiliza ila nimepata kitu kikubwa sana
@user-ru6ct4rh3t
@user-ru6ct4rh3t Ай бұрын
Asante Mungu Kwa kunipa huyu kaka🙏🙏
@SurprisedBike-lu2uf
@SurprisedBike-lu2uf Ай бұрын
Asante sana uzidishiwe maarifa zaid na zaidi
@TwahaSalum-rz4mt
@TwahaSalum-rz4mt Ай бұрын
Asante kwa hamasa yako
@HatibuJumaa
@HatibuJumaa Ай бұрын
Kaka habari nilikuwa nashauri wakati unatengeneza video zako jaribu kupunguza mziki wa background kwasababu unapelekea wengine kutokukusikia unazungumza nini
@josephtesha872
@josephtesha872 Ай бұрын
Kwl nimejifunza
@olivauisso9357
@olivauisso9357 Ай бұрын
Mungu akubariki kaka
@ndirukanyamweru6054
@ndirukanyamweru6054 Ай бұрын
Asante sana Kwa darasa lako Zuri sana.Lakini Leo recording ya sauti haikuwa sawia kabisa kama nilivyokuzoea.Mafundi wa sauti waboreshe zaidi
@jamesshirima33
@jamesshirima33 Ай бұрын
Barikiwa sana kaka
@aidanmbilinyi8184
@aidanmbilinyi8184 Ай бұрын
Nzurii
@abudallahabubakar6286
@abudallahabubakar6286 Ай бұрын
Bigger up brother
@godfreygerase8713
@godfreygerase8713 Ай бұрын
Naaam mwalim kuanza kunaitaji maamzi ya ziada make namm nimelazimika kuanza kabla ata sijafikisha kiwango ambacho nilikua sijakipanga!! Na nilipoanza anza kukusikiliza wewe ikabidi nianze. Wenzangu nawashauli usisubilie ambacho hakijakutaarifi apo ulop unaweza kuanza japo sio raisi anza utakuja kushangaa unafanya makubwa zaidi. Asante sana mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
@MarryJulius-wq3eg
@MarryJulius-wq3eg Ай бұрын
Amina kaka 🙏🙏
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 Ай бұрын
Be blessed br
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 Ай бұрын
Be blessed
@FanuelyIsaya-xu5wk
@FanuelyIsaya-xu5wk Ай бұрын
Amen
@mmarikarajabu5874
@mmarikarajabu5874 Ай бұрын
Nawezaje kupata vitabu vyako kk
@neemadaudisospeter8211
@neemadaudisospeter8211 Ай бұрын
Asante
@AthanasioDungumaro-rj4bc
@AthanasioDungumaro-rj4bc Ай бұрын
Joel Nanauka you are a good teacher how I can get your book for studying.
@HalimaAmadi
@HalimaAmadi Ай бұрын
❤❤❤
@amourmtungo623
@amourmtungo623 Ай бұрын
🤝👍
@GraceSteven-qq5hn
@GraceSteven-qq5hn Ай бұрын
Asant sana
@razakibakari5240
@razakibakari5240 Ай бұрын
Do you believe in fortune brother Joel
@razakibakari5240
@razakibakari5240 Ай бұрын
Do you believe in fortune brother Joel
@medjyobali
@medjyobali Ай бұрын
❤❤❤
LIFE WISDOM : MAJIRA YA KUTENGANA NA WATU - JOEL NANAUKA
15:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 156 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 4,3 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,2 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
KUSUDI LA MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA EPISODE 02
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 9 М.
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 18 М.
LIFE WISDOM : JINSI YA KUPATA UNACHOKITAFUTA - JOEL NANAUKA
15:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
LIFE WISDOM : FUNGA JERAHA, ZUIA DAMU - JOEL NANAUKA
11:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
NJIA TATU ZA KUOMBA ZENYE MAJIBU YA HARAKA SANA. #MAOMBI NI DAWA - MCHUNGAJI NDELWA
15:22
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 2,3 М.
Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa
41:00
Chomoza Tv
Рет қаралды 54 М.
Joel Nanauka | Namna ya kutimiza malengo 1 | THE GATES TV
53:35
The Gates Media
Рет қаралды 88 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 156 МЛН