"Kaka Yako Alitumwa Kupiga Ikulu, Angefia Hapa Hapa" - RAIS MAGUFULI | Ikulu DSM

  Рет қаралды 891,785

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

"Kaka Yako Alitumwa Kupiga Ikulu, Angefia Hapa Hapa" - RAIS MAGUFULI | Ikulu DSM
Rais Magufuli leo Januari 24, 2020 ameshuhudia utiaji saini wa mikataba tisa ya madini kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Akizungumza katika hafla hiyo, Rais Magufuli alimkumbusha boss wa Barrick namna ambavyo miaka ya nyuma kaka wa boss huyo alivyotaka kuipiga Ikulu..
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:kzfaq.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:kzfaq.info?list...
GLOBAL RADIO TV:kzfaq.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:kzfaq.info?li

Пікірлер: 1 000
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 жыл бұрын
DAAH kila nikiangalia video clip za huyu mzee nashikwa na huzuni ghafla, hakika MAGUFULI utabaki mioyoni mwetu, you are true leader. ulitupa mwangaza maishani mwetu
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 3 жыл бұрын
Ulikuwa: Magufuli;sasa imebaki sauti tu ya uliyekuwa uliyekuwapo..oooh Magufuli,tutakukumbuka sana kwa mema haya na uzalendo huu..Mungu Baba tusaidie.
@eriminahchai8489
@eriminahchai8489 Жыл бұрын
Ulienda ukabakisha mafisi wanatunyanyasa sana
@lwitikomwakatumbula5672
@lwitikomwakatumbula5672 4 жыл бұрын
Huu ni uzarendo wa hali ya juu sana asante mh raisi kwa uthubutu wako,hakika umefanya kazi ya mungu atakulipa na vizazi vitakukumbuka,
@amonijuma6243
@amonijuma6243 4 жыл бұрын
Tubebe Mzee wetu tunakupenda!
@shukranfaraji8470
@shukranfaraji8470 4 жыл бұрын
Kiukweli wewe ni kiongozi muhimu katika taifa letu.
@robosia2915
@robosia2915 4 жыл бұрын
Mungu ametuletea tumwombee maisha mema
@jacksonlwitiko4882
@jacksonlwitiko4882 4 жыл бұрын
Mbn unajina Kama langu
@elicemarco59
@elicemarco59 4 жыл бұрын
God wasn't wrong bringing you to us and I wasn't wrong choosing you as my leader I love you papaa
@mirajiibrahim51
@mirajiibrahim51 4 жыл бұрын
U'r not alone we love him too
@elicemarco59
@elicemarco59 4 жыл бұрын
thanks
@mirajiibrahim51
@mirajiibrahim51 4 жыл бұрын
anytime Elice
@dudeabdallah6702
@dudeabdallah6702 4 жыл бұрын
God bless you our President for your struggling and your Country with your people
@elicemarco59
@elicemarco59 4 жыл бұрын
dude abdallah ameen
@SoFrii
@SoFrii 4 жыл бұрын
Ni ushindi mkubwa... Hongera sana Raisi wetu na Serikali kwa ujasiri mpaka kufikia makubaliano haya. Viva Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania!
@peterlaiza3950
@peterlaiza3950 4 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni naomba watanzania wenzetu hawa ambao uliowachagua watuongoze katika Taifa letu akiwepo Rais wetu pamoja na viongozi wenzake.Mungu nakuomba uendelee kuwalinda ili tuendelee kufaidi matunda ya Taifa letu endelea kuwapa afya njema.
@pililakisite4386
@pililakisite4386 4 жыл бұрын
Good
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu tusaidie watanzania JPM wetu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭😭😭
@gustavempemba2247
@gustavempemba2247 4 жыл бұрын
Hongera jpm tunakuombea kwa mungu.kazana mungu atakulipa jpm.kama tungepata mawazir kumi tu kwenye nia na dhamira kama yako.tungekuwa mbali
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 4 жыл бұрын
Yaani nilikupenda Rais wetu tangu ulipokiwa waziri na nilifurahi sana uliposhinda uraisi wa nchi yetu. Hongera kazi yako ni njema sana....najiandaa tu kupiga kura Raisi tunae.
@patrickmashauri7045
@patrickmashauri7045 4 жыл бұрын
This we call win win situation Viva JPM viva, Tanzania kwanza tuachane na siasa tuunge mkoni juhudi za Rais wetu.
@stanleysimon5950
@stanleysimon5950 4 жыл бұрын
Patrick Mashauri muheshimiwa chapa kaz mimi ni likuwa mpinzan lakini nimeamia ccm
@patrickmashauri7045
@patrickmashauri7045 4 жыл бұрын
@@stanleysimon5950 Hakika hata mm nilikuwa upinzani hasa baada ya kukosa mkopo chuo kikuu, lkn kiukweli naiona Tanzania mpya miaka kadhaa ijayo
@hamzaathuman9703
@hamzaathuman9703 4 жыл бұрын
Mimi sihamii ccm ila kwa kasi hii niwazi kura yangu kwake. Mnyonge mnyongeni lakini haki ake mpeni
@anorydalex9817
@anorydalex9817 3 жыл бұрын
unga ww na mamaako
@winterkasela9033
@winterkasela9033 4 жыл бұрын
Huenda angefia hapa yani kwa pointi hii nimekupenda sana mungu akubariki sana
@amorsalum271
@amorsalum271 4 жыл бұрын
Good babababab yetu
@djprime2411
@djprime2411 4 жыл бұрын
mungu ibariki tanzania na viongozi wake
@dickisonfrolian-hu4yg
@dickisonfrolian-hu4yg Жыл бұрын
MUNGU WaMbinguni na aikumbuke kazi yako hakika umefanya sisi tuijue nchi yetu na tujue wapi tunakwama na akinanan wako nyuma ya pazia,ambao wanatukwamisha tusifike mbele, maono yako yanaishi ndan yangu , GOD Bless you my majesty king JPM
@bonimarwa9438
@bonimarwa9438 4 жыл бұрын
Mh jpm umeweka historia kubwa Mungu akutangulie uendelee kuchapa kazi
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
Katika Rais mpumbavu ni huyu Magufuli. Ameigawa nchi katika makundi, ukabila, udini na ukanda, Magufuli ni mbinafsi sana. Amekaa Bungeni miaka mingapi asiwaambie wenzake kua mchanga unasombwa. Wajinga ndio watamshangilia. Nchi imekuwa na makundi sana. Kama alikuwa Mbunge kwa miaka 30 kipi kilimzuia kuwashauri wenzake alafu watu wanamshangilia kama MAZUZU. Kipindi cha Mwinyi, Mkapa, Kikwete alikuwa mbunge alishidwa nini kuwa mshauri?. Ndio maana Magufuli ni muuaji. Hakuna Mungu wa wanafiki kama MAGUFULI.
@aybusaidi6719
@aybusaidi6719 4 жыл бұрын
Acheni matusi
@rojamo7394
@rojamo7394 4 жыл бұрын
@@abdalahfarida2074 Kafiri ni mamako na babako na bibizako huko kwenu hanisi we
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 3 жыл бұрын
Wewe ni jembe pambana baba tumeshakuelewa kitambo mbona.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 3 жыл бұрын
@@abdalahfarida2074 msemakweli ni mapenxi wa Mungu. Unaona mbali wengi hawa yao I haya. Experience hawana. Elimu ndogo. Uwezo wa kufikiri duni. Ni Elimu mbadala nchi yetu unahitaji sana si hizi za kubabaisha na kusaidia. Elimu za kupewa bure za wadhifa si Elimu. Na hazina faida
@buja6350
@buja6350 3 жыл бұрын
Mzalendo tutaku miss sana bubu yetu Allah akuepushe naadhabu zakaburi .
@abdiomarimohamed6626
@abdiomarimohamed6626 4 жыл бұрын
Kweli Raisi an uchungu na Afrika yetu wengine wajifunzee hapa!! Asante!!! Nipe gumba kama unakubaliana!!!
@hashmyss-hotmail.com123
@hashmyss-hotmail.com123 4 жыл бұрын
Magufuri uko vizuri sana.Welldone good job Ngosha.Nakukubali sana muheshimiwa Maguri
@veraskitchen8122
@veraskitchen8122 4 жыл бұрын
Said hashmy: ngosha kamili
@abelubamba7409
@abelubamba7409 4 жыл бұрын
Really Mr.president your transparency will put Tanzania in higher rank economically,,thanks,thanks
@ellywilly8662
@ellywilly8662 4 жыл бұрын
Its real
@mbwanaseif404
@mbwanaseif404 4 жыл бұрын
Raisi bora kabisa Africa Mungu mpe maisha marefu huyu baba yetu
@eriqemarson2362
@eriqemarson2362 4 жыл бұрын
Nawaza hapa...Mungu alikuwa na makusudi yake kutupatia huyu baba mh! Rais..... Brothers and sisters this man he is a God' s provision to us TANZANIAN' s acheni huyu baba afanye kazi yake na tusiache kumuombea kila mtu kwa imani yake... God bless my country Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 and God bless our continent Africa!
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 4 жыл бұрын
From 254 I love MANGUFULI haki Allah akueke miaka mingi Ameen
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Huwa nachanganyikiwa kabisa nikisikikiza hotuba zako rais wangu,unaukonga noyo wangu.sijawai kuona kuona MTU mwema kama wewe, Nakuombea mno kwenye sala zangu.mungu akulinde,akushike mkono.ubarikiwe sana.
@harmonmaelfumsevuasumani2167
@harmonmaelfumsevuasumani2167 4 жыл бұрын
Very impressive! Hongera Dear Mr. President. Together we are moving forward!
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 жыл бұрын
It needs someone not only with a vision but also courage and beliefs that Tanzania could do better than what those corrupt politicians have been doing in the past! Kudos, endelea kuthubutu na utatuachia legacy kama ya Mwalimu, maana naye alikuwa na vision na aliona mbali, hapa katikati wakaja majambazai wakaharibu kila kitu.
@robertntobi1149
@robertntobi1149 4 жыл бұрын
Asumani RH hongera kwalipi naikiwa wazilikupata kibar chakwenda nje anakitoa yy.ulikuwa mchongowao naumebuma
@harmonmaelfumsevuasumani2167
@harmonmaelfumsevuasumani2167 4 жыл бұрын
@@robertntobi1149 unanishangaza kwa kukupewa macho na masikio usivyojua kutumia. Hata kama uko miongoni mwa waliyokuwa wapigaje pesa za taifa letu na kisha kuzijaza kwenye mabenki ya Uswitzi huku taifa likibakia tupu... ungejua kutumia macho na masikio basi ungeweza kushukuru maendeleo yaliyo ya wazi kutokana na uongozi wa awamu ya tano. Tunahinaji kuwa na upendeleo juu ya taifa. Hao waliyopiga pesa ambazo hata kuzitumia hawatoweza, hakika ni waasi dhidi ya kila Mtanzania.
@dn.n4983
@dn.n4983 4 жыл бұрын
Mungu tunaye watanzania ibariki tanzania na Rais wetu tunazidi kupanda kila siku hakuna kukatA Tamaa kabisa
@witomsafiri
@witomsafiri 3 жыл бұрын
Mzee kwa msimamo huo mabeberu kamwe hawatakupenda. Mungu akupe maisha marefu na yenye amani.
@alphoncewikedzi2464
@alphoncewikedzi2464 4 жыл бұрын
Great job by a great leader. Hongera sana Rais wa Tanzania.
@Tangokelvinj
@Tangokelvinj 4 жыл бұрын
Thats so good...God bless all who participated...God bless you Our Hon.President John Magufuli...Now things are crystal clear (transparent)
@bahatidamiani8546
@bahatidamiani8546 4 жыл бұрын
Umeingia kwenye historia ya Tanzania mh JPM, Umelinda rasilimali za watanzania , madini yalisombwa bila utararibu mzur, tembo waliuliwa ovyo, kwa sasa tunanufaika Taifa, Mungu akubariki sana
@petermwantole9433
@petermwantole9433 4 жыл бұрын
Nadhani ni mfano wa kuigwa na viongozi wa Africa kwa ujumla,, sasa rasilimali zetu inapaswa zitusaidie sisi wazawa,, enough is enough
@MsAggie5
@MsAggie5 4 жыл бұрын
Peter Mwantole Well said, Yaani si rahisi
@husseinbongo5261
@husseinbongo5261 4 жыл бұрын
Zile nchi zilizokua zinatangazwa na kusifiwa duniani kwa uzalishaji wa TANZANITE mbona siku hizi sizisikii?
@bonnigerbatshwayi3443
@bonnigerbatshwayi3443 4 жыл бұрын
Uko vizuri Rais wetu uko makingini sana ila tu watumishi wako wanakuangusha sana
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 4 жыл бұрын
Raisi wangu magufuli mpendwa baba naomba unisamehe kutokukuchagua Ila nilijua ni ile ccm ya wafilisi kumbe ni ya mkombozi nakuahidi 2020 hii kura kwako baba
@winniemwangonda3250
@winniemwangonda3250 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa tuko pamoja sisi tunakuombea
@thobiasshikome1480
@thobiasshikome1480 3 жыл бұрын
Hongera Sana magu ubarikiwe sana
@agathajoseph1874
@agathajoseph1874 4 жыл бұрын
Hii ni zaidi ya kujitoa mhanga. Mungu akubariki mno mzee Magu
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 4 жыл бұрын
Great Tanzania 🇹🇿 leader big gift from Allah
@harrymalesu964
@harrymalesu964 4 жыл бұрын
Watching this man and his lieutenants like prof kabudi always prompt me to wish if only i was tanzanian. Tanzanians you are lucky.
@ericbendera2880
@ericbendera2880 4 жыл бұрын
U are part of us, as u support the goodness of our pioneer doctor John Pombe Maguful Karibu Tanzania
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
darling we ARE trust me but there some of us who see him as a dictator.I wish we can learn from LIBYANS how they are going through after what happened to their late president GARDAF.
@harrymalesu964
@harrymalesu964 4 жыл бұрын
@@blandinamnyinga8318 what happened in libya can never happen in tanzania because tanzania is a democracy and there is and there will never be a dictator. You see him as a dictator not out of your conviction but you follow hopeless characters like zitto and lissu who feed you on a wrong diet of po litics and you start seeing things upside down
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
@@harrymalesu964 read my note again am on your side darling.all i said is some of us meaning some of us Tanzanians.there people who see him as a dictator, demoracy or no democracy if and onliy if the person in power is providing what we need as citizens then no problem. Some of Libyans they wish Gaddafi was alive today.
@angelmwoleka7892
@angelmwoleka7892 4 жыл бұрын
2020 hakuna haja ya kupiga kura rais tunayeee!!! Viva Magufuli vivaa! Mwenyezi Mungu akupe afya na hekima nyingiii!
@khatibumwalimu591
@khatibumwalimu591 4 жыл бұрын
Tupo pamoja
@jastin_josephat_mkwawa_sungura
@jastin_josephat_mkwawa_sungura 4 жыл бұрын
Mbona mm Kura yangu kila siku anatembea nayo mfukoni, nilishampigia zamani sana. Huyo ndo BABA LA BABA
@MsAggie5
@MsAggie5 4 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@henryxavery1713
@henryxavery1713 4 жыл бұрын
Wameng'ang'ania,sasa tuwaonyeshwe mfano150% Oct.
@abiudjames7986
@abiudjames7986 4 жыл бұрын
Mzee sisi watanzania tupo nyuma yako pambana uitoe hii ichi kwenye shimo kubwa mzee tunakupenda sana mzee magufuli Mungu akuzidishi maisha malefu
@salehally1394
@salehally1394 4 жыл бұрын
Napenda sana kila unapoanza mazungumzo huwa unaanza na shukran za kumshukur Mungu na kila wakati husau kumzungumzia Mungu kwakweli Mh, Rais umebarikiwa kila kitu isipokuwa kuawa mwislam tu ndiuo bado. Na ipo siku kwa uwezo wa Mungu utakua mwislam. Ahsante sana Mkuu Mungu akubarik sana Fanya kazi bila kujali udini,ukabila na hata ubaguzi vya vyama kwasababu maendeleo hayataki ubaguzi wa aina yoyote na kwa kuzingatia wew ni Rais wa watu wote Tanzania. Hakika watanzania tunakupenda sana.
@benkisinga4756
@benkisinga4756 4 жыл бұрын
My President, My nation, My Tanzania. JPM you will be our president till God takes you from us! 🙌
@philbertcelestin2702
@philbertcelestin2702 3 жыл бұрын
Oops!,he has already taken him!!
@albertnestorylukoo9716
@albertnestorylukoo9716 4 жыл бұрын
Good our president Magufuli
@husseinmwita9642
@husseinmwita9642 4 жыл бұрын
Hongera sana mhe Raisi wetu mungu akujaalie afya njema watanzania hatuna cha kukulipa mungu atakulipia
@deusisindwa616
@deusisindwa616 4 жыл бұрын
Hongela Sana Rais wetu mzalendo pamoja na wasaidizi wako wazalendo mungu awajalie afya njema,mungu ibaliki Tanzania.wabaliki viongozi wenye mapenzi mema na nchii yetu
@imhotepheru436
@imhotepheru436 3 жыл бұрын
R.i.p Dr Magufuli... For me personally Dr Magufuli was the Best Leader in the world.. who else in the world go around country very often, listen 2 people's issues & trying 2 fix 4 them with limited resources???
@athanasitebuye1134
@athanasitebuye1134 4 жыл бұрын
Uko vzr mzee mungu akuongoze na akupe afya njema today is unforgettable decisions
@mosesmwakasalu1977
@mosesmwakasalu1977 4 жыл бұрын
Baba kazi nzurii...na sisi wananchi tunafurahi sana kwa kaz nzuri kwa tume nzima na ww baba yetu...ukitaka tutaongeza miaka mi5 mingine we will still need yu.
@philbertcelestin2702
@philbertcelestin2702 3 жыл бұрын
Ohhooo,hata ya kikatibs hakuweza kuimaliza
@OmarAli-zi2jg
@OmarAli-zi2jg 4 жыл бұрын
Rais mzalendo Mh JPM nasema from the bottom of my heart, congratulations!!!
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 4 жыл бұрын
Mungu akujaalie sn
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 4 жыл бұрын
Nakosa cha ku comment jamani. Uwiii love you my President
@geofreylucas9469
@geofreylucas9469 4 жыл бұрын
I'm so proud to see that our high school teacher department provide a president of today and onwards.big up MAGU
@NicholausMbwambo
@NicholausMbwambo 4 жыл бұрын
Rais mzalendo. Barikiwa
@jamali0017
@jamali0017 4 жыл бұрын
Mm Jamal Leo natoka chadema na direct naenda kwa magu good verry verry strong president God bless magu and tanzania yetu🙏🙏🙏🙏
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 4 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana ndugu yangu
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 4 жыл бұрын
Karibu sana hujachelewa
@danielsanga5198
@danielsanga5198 4 жыл бұрын
Miaka mi5 hii nimetumia MB nyingi sana ksiliza hotuba za Mh Raisi nakukubali sana Magufuli
@harrymalesu964
@harrymalesu964 4 жыл бұрын
Bora ww ni mtz sasa mimi kutoka nchi jirani kila kukicha natafuta video mpya za jpm 😁😁
@hamidaawadhi835
@hamidaawadhi835 4 жыл бұрын
@@harrymalesu964 safi sana
@aurelianimtundu852
@aurelianimtundu852 4 жыл бұрын
Nilitegemea kusikia vilaza wale wenye mihemko yakijinga, ila naona wanamkubali Rais kimoyomoyo, kila nichek comment siwaon wanacha----
@husseinmwita9642
@husseinmwita9642 4 жыл бұрын
Good
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 4 жыл бұрын
@@harrymalesu964 Barikiwa sana
@veronicalaiser8394
@veronicalaiser8394 4 жыл бұрын
Kweli kabisa Rais wangu. It was very painful. Mungu aendelee kutusimamia.
@lunchcomedy2538
@lunchcomedy2538 4 жыл бұрын
Hii ni siku ya kihistoria kwa taifa letu kwa sekta ya madini hapa nchini,,congratulations kwako rais wetu Jpm
@costantinanesphory6196
@costantinanesphory6196 3 жыл бұрын
Taarifa yalxo
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Alafu mtu mmoja eti Raisi hakuwa fair,khaaa. Yaani kweli akili zetu zinatofautiana. Kwa haya nayo kweli tunahitaji mtu gani atuelezee ili tuelewe?! Mungu tufungue akili na macho tuone ili tuelewe
@evancemwaky5285
@evancemwaky5285 4 жыл бұрын
Today my president you done very very important for our nation congraturation president
@dabanhhd3607
@dabanhhd3607 4 жыл бұрын
Mungu akulinde sana rais wetu ww ni mzarendo wa kweli Tanzania hoyeeeeeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪💪
@lazarosmanamba9194
@lazarosmanamba9194 4 жыл бұрын
Mzee hapohapo tumeliwa mno
@lazarosmanamba9194
@lazarosmanamba9194 4 жыл бұрын
Chaps kazi tupo nyuma tunakuombea
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk Жыл бұрын
"Mngeweza kuukataa na kutumia force lakina sina uhakika kama mtachimba tena hii dhahabu sina uhakika" 👌👌 mzalendo kaenda zake.
@dariusmbotela8778
@dariusmbotela8778 4 жыл бұрын
Hongera Sana Mkuu Mwenyezimungu Mtukufu Akuhifadhi Daima Dawamu!!,
@GSengo
@GSengo 3 жыл бұрын
Tanzania tunadeni kubwa kwa mtu huyu, JPM Pumzika mahala pema peponi amin.
@deogratiaschristopher3382
@deogratiaschristopher3382 4 жыл бұрын
Nikipita bila kucoment itakua dhambi,,,,,,Mungu awe pamoja na wewe Mkuu
@marcelinamiku8798
@marcelinamiku8798 4 жыл бұрын
Rais wetu John Pombe Magufuli hoyeeeee, Mungu akuongeze miaka mingi uendelee kuipigania inchi yetu
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 4 жыл бұрын
Tunamshukuru Mwenyeezimungu kwa ajili yako na Tunamshukuru Mwenyeezimungu kwa Ulinzi wangu na azidi kukutunza na Familia yako Viva Rais wetu Mh. A John Pombe Magufuli
@allykombo4036
@allykombo4036 4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@absalimlufyagile4974
@absalimlufyagile4974 3 жыл бұрын
Jembe tumelipata
@abelntomela299
@abelntomela299 3 жыл бұрын
Asante kwahilo
@abdullkhamis5406
@abdullkhamis5406 4 жыл бұрын
Jamadari wangu: Kwa kweli hapa umenifurahisha sana. Endelea kulinda utajiri wa Tanzania yetu. Well done.
@orandokambarage7387
@orandokambarage7387 4 жыл бұрын
Wewe ndio rais utapata kura bila kupingwa hongera kiongozi
@joelinko6632
@joelinko6632 2 жыл бұрын
Is dead😒
@jumamwesa3170
@jumamwesa3170 3 жыл бұрын
I love it,you have addressed nicely and confidently, loving you baba lao
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
Asante Baba mchanga wangezoa wa bahari sio mchanga wa madini .ulikuwa wizi mtufu wa wapumbavu wachache waliokuwa wanaitafuna nchi yetu.
@prosperpuro1712
@prosperpuro1712 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akueke daima jpm❤
@samsonjoseph670
@samsonjoseph670 4 жыл бұрын
I can't stop loving u jaduong,God bless you.
@festokiwale1763
@festokiwale1763 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mheshiimiwa rais mungu akupe afya njema na miaka mingi
@isayayohana1051
@isayayohana1051 3 жыл бұрын
Chapa kazi mzee wetu
@devotangonyani7460
@devotangonyani7460 4 жыл бұрын
Good work my president
@isaacsinienga2041
@isaacsinienga2041 4 жыл бұрын
Thamani yako ni kubwa kuliko nafasi uliyonayo mkuu wa nchi tunakuombea daima. Mungu azidi kukusimamia. Amina.
@user-nj1jd6zy8e
@user-nj1jd6zy8e 4 жыл бұрын
Amiiin
@nadjibuamza1485
@nadjibuamza1485 4 жыл бұрын
Isaac Sinienga god presindent magufuli
@mariamkipara330
@mariamkipara330 3 жыл бұрын
Ongera anko magu
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 4 жыл бұрын
Hongera sana MH Rais Allah akulinde kwa wema wako
@ronaldmosha4338
@ronaldmosha4338 4 жыл бұрын
Mungu mbariki uyu mzee
@peterbenerd7367
@peterbenerd7367 3 жыл бұрын
Magufuli ni kiongozi tuache utani
@samwelimashaka8997
@samwelimashaka8997 4 жыл бұрын
Good job ma man magu
@josebhiyobha1169
@josebhiyobha1169 4 жыл бұрын
Kaa mpaka milele lais wangu
@EdwardSMsiro
@EdwardSMsiro 4 жыл бұрын
Wewe ni baba wa mfano hapa duniani, tunamshukuru Mungu kutupatia ww baba.
@kaminambeho
@kaminambeho 4 жыл бұрын
Dah mwenyezi mungu akulinde dua zetu za watanzania zipo mbele na nyuma yako kukulinda.. ww true President ktk nchi yetu asante nchi inaonekana ina move my president asante sana....
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 4 жыл бұрын
Hongera sana Mh. Rais wetu Mungu akulinde na tunakuombea Mungu ukubali kuongoza nchi yetu sisi wananchi ndio tunajukumu la kubadilisha katiba
@elicemarco59
@elicemarco59 4 жыл бұрын
wewe Ni kusudi la Mungu we love you papaa
@asosamwanilwa9099
@asosamwanilwa9099 4 жыл бұрын
Daaaah jamani raisi wangu Magufuli ww ni raisi wakuigwa dunia zima nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akulinde na maadui maaana Kuna wale wanaojipendekeza kwa makaburu Kama akinachiba Mungu akulinde Sana raisi Magufuli
@mashauriandrew2874
@mashauriandrew2874 4 жыл бұрын
Safi kabisa Anko magu
@marim.kwelimakondaumeongea9312
@marim.kwelimakondaumeongea9312 4 жыл бұрын
Kweli makufuri rais wa nchi ya tanzania wewe nimteule wa Mungu, Mungu kakuleta kwa kusudi lake nakuombe sana sana, Mungu akueinde akupe siku nyingi na maarifa kama sulemani mtumishi wake, amen
@suleimanmustapha101
@suleimanmustapha101 4 жыл бұрын
Mungu iibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Watanzania, Mungu wabariki viongozi wa Watanzania, Mungu mbariki Magufuli.
@peternichoraus5983
@peternichoraus5983 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie afya njema Mh. Dkr John Pombe Magufuli sisi kama wana nchi tupo nyuma yako
@edinajoseph9212
@edinajoseph9212 4 жыл бұрын
Naishiwa ya kusema najikuta nadondosha machozi namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa Magufuri kuzaliwa Tanzania na kuwa raisi wangu ushukuliwe Labana😘
@martinhinda5233
@martinhinda5233 4 жыл бұрын
Kweli Edina hata me najikuta hivo
@martinhinda5233
@martinhinda5233 4 жыл бұрын
Hata me najikuta hivo edina
@vitusmdegela5356
@vitusmdegela5356 4 жыл бұрын
Wapendwa wote mlio toa pongezi kwa ushindi huu wa walio upata wa TANZANIA ,Ninaombi naomba tuanda siku maalumu ya maombi pale MKAPA STADIUM tufanye IBADA KUU kwa ajiliya RAIS, MAKAM ,WAZIRI MKUU, kwani wametutendea makuu ktk nchi hii kwa kipindi cha miaka 4 tu. Hakika wana hitajika kusimikwa zaidi kwa nguvu za MUNGU kuendelea kusimamia Dhamili zao kwa uthabiti kwa maslai ya TAIFA.HAIJA WAHI KUTOKEA KUONA WAKO committed NAMNA KIASI HICHO .
@boylondontztz920
@boylondontztz920 4 жыл бұрын
Edina Joseph mwenyew nimejikuta tuu nipo ktk situation hiyo mpaka nimehc huenda hii speech ya mh rais ina nguvu fulan ya upako aisee,pale aliposema wasiwasahau wananch wanaowazunguka pale hata kwa visima vya maji tuu watafurah sana.
@himidiselemani4850
@himidiselemani4850 4 жыл бұрын
Mr President may ALLAH protect you!!! We praying for you!!!
@benithokujela1330
@benithokujela1330 3 жыл бұрын
Rest in peace my father / president of Tanzania hakika wewe ulikuwa fighter wa Africa kamwe tutakukumbuka na kukulilia Bali Mungu akusamehe dhambi zako zote all people we are not perfect
@dreazyqalito4440
@dreazyqalito4440 4 жыл бұрын
This Human is so an angel like, Magu Mungu akutunze mzee wetu , tumepigwa tangu 95 mpaka leo, inaumaa sema sisi wa nje ya boks kama hatokei mkubwa kama wewe mzalendo tunaenda tu hata neno letu huwa sio msingi kwa wapigania matumbo yao, Mungu aibariki Twiga ,Mungu ibariki Barrick Amen
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana Raisi wangu,, Sichoki kuangalia hutuba zako nakuombea Afya njema daima
@fadhiliefron2820
@fadhiliefron2820 4 жыл бұрын
Exactly my president, speaking in warrior's like you my president
@iambaizo
@iambaizo 4 жыл бұрын
Baada ya Mh kusema The Game is Over Wazungu wamestuka sana 😂😂😂😂
@edent4603
@edent4603 2 жыл бұрын
true leader who tried his best to give comfort to all human kind, thanks papaa.
@martineblasi9121
@martineblasi9121 4 жыл бұрын
mungu mbariki magu mungu ibariki tanzania. tunakupenda sana mzee magu
@ezekielsabiyumva8048
@ezekielsabiyumva8048 4 жыл бұрын
pongezi nyingi kwa rais anae Mutanguliza Mungu asante sana
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 4 жыл бұрын
Asante sana Rais Magufuli kwa uzalendo wako wa dhati kwa nchi yetu.
@monicaluziro1288
@monicaluziro1288 4 жыл бұрын
Mungu baba nakuomba umpe maisha marefu alitumikie taifa letu. Nakupenda raisi wangu
@zunnually5886
@zunnually5886 4 жыл бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾 well done mzee Magu!
@hawahabibu661
@hawahabibu661 3 жыл бұрын
Baba ctoacha kukulilia 😭😭japo umetuachia mama lkn bado cjamuelewa nakukumbuka ww tu
@romanambelle6356
@romanambelle6356 4 жыл бұрын
Mungu ibariki Tz na Mh. JPM mzidishie umri ni mkombozi wa watu wako.
@eliapendamollel4456
@eliapendamollel4456 4 жыл бұрын
True president God strength his way bless him forever,love your leadership good example for all Tanzanian
@smwemja8499
@smwemja8499 4 жыл бұрын
Congrats my President. Mungu akubariki. Pamoja na mapungufu ya ubinadamu, team hii iliyotumwa kukuwakilisha imefanya kazi nzuri. I'm proud of you Mr. President.
@masumbukosendwa3216
@masumbukosendwa3216 4 жыл бұрын
Blessed man!
@mohamedomar1270
@mohamedomar1270 4 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mkuu
@jastin_josephat_mkwawa_sungura
@jastin_josephat_mkwawa_sungura 4 жыл бұрын
Ingekuwa ile miaka 20 iliyokaa kwenye Uwaziri ndo angeanza nayo Urais leo Tz ingekuwa Juu kileleni kw mafanikio. Ikiwezekana tumpe miaka 15 au hata 20. Maana bado ana nguvu. Love U my President MAGUFULI BABA LA BABA.
@salumramadhani6993
@salumramadhani6993 4 жыл бұрын
Kweli babu
@kilulumasunga8657
@kilulumasunga8657 4 жыл бұрын
Ikiwezekana hata tusiangaike na uchaguzi aendelee tu
@martinhinda5233
@martinhinda5233 4 жыл бұрын
Tungekuwa mbali
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 4 жыл бұрын
Kila jambo na wakati wake
@geneskimario7136
@geneskimario7136 4 жыл бұрын
Nakubaliana
@sofialinus8241
@sofialinus8241 4 жыл бұрын
Baba mh JPM Mungu akubariki na akulinde Ombi langu kwako Tz tukiwa sawa zaidi Tuwasaidie na wenzetu Afrika
@remmysbrand
@remmysbrand 4 жыл бұрын
Wewe ni Gadafi... Watu watakuelewa baadae! I will always respect your moment of leadership! We have wanted to have a president of your caliber! Congratulations Mr. President
@frankmtawa3817
@frankmtawa3817 4 жыл бұрын
Mbwa wanaomchukia Magufuli hata pa ku comment hawanaaaa😂😂😂😂😂🤭🤭🤭..... Your the President we wanted, we currently adore and we wish to have you in the future... Viva JPM Viva TANZANIA.... najiskia faraja Sana kuwa Mtanzania, na sijawahi kujivunia kama hivi🙈🙈🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mrsochu7504
@mrsochu7504 4 жыл бұрын
Rais wa wanyonge ❤❤😘😘😘😘😘😘
@jafarikideghesho6509
@jafarikideghesho6509 4 жыл бұрын
May Allah bless you abundantly our President. You are a true son of Tanzania and Africa!!!
@elfacechongera6648
@elfacechongera6648 4 жыл бұрын
Mm ninakuaminia sana. Hongera kwako Rais wetu- Mungu Ibariki Tanzania.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 12 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 86 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 22 МЛН
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Maneno ya Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa rais Magufuli
13:03
Azam TV
Рет қаралды 93 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 560 М.
RAIS MAGUFULI AKIJIBU HOJA NZITO ZA VIONGOZI WA DINI
50:56
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 26 М.
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 12 МЛН