#RaisMagufuli #Magufuli #Ikulu #ViongoziWaDini #Tanzania ~-~~-~~~-~~-~ Please watch: "Patashika bomoabomoa ya stendi ya Mwenge" • Patashika bomoabomoa y... ~-~~-~~~-~~-~
Пікірлер: 33
@makimbiliotvtv26445 жыл бұрын
Mungu akubariki Jpm 🏠 kwaku waita viongozi wa dini na kujadiri mambo ya nchi yetu kwa umoja huo mungu akubariki 👏👏👍
@alsam48815 жыл бұрын
Mie napenda sana kusikiliza hotuba za Mheshimiwa Rais Magufuli, Mnyeezi Mungu akulinde na akupe wepesi ktk kazi yako Ameen.
@hassanaloobaidan255 жыл бұрын
Hongera mzeee wetu kwa busara zako
@mwangogg52355 жыл бұрын
Hongera na pongezi #presidaa JPM
@kipigapasilisungu25815 жыл бұрын
safi sana JPM unanifurahisha sana 👏
@zahramunir85965 жыл бұрын
Mungu ibariki tanzania na africa
@geofreylutalala31755 жыл бұрын
Hongera Mh.Rais kwa kukutana na Viongozi wa Dni Tanzania.
@husseinkulumbiza88945 жыл бұрын
Mungu Akulinde Baba yetu.Akutie nguvu pamoja na viongozi wako.
@kiatu5 жыл бұрын
Wonderful meeting! I can see Askofu Gwagima very relaxed just to single out one. I love the atmosphere I see here. But one thing. If the country/government "has no religion" why don't we keep religion out of our mainstream/national media e.g. TBC. Let these churches use private media or establish their own TV. Scrap all religious programs from national radios or TV please. My opinion.
@rasnchimbi5 жыл бұрын
2020 iko kazi!
@madukaj.j.69995 жыл бұрын
Kazi haipo yaani ni sawa na kupita bila kupingwa lainiiiiiiii simuoni wa kukwamisha
@rasnchimbi5 жыл бұрын
@@madukaj.j.6999 box la kura ndiyo yote!
@madukaj.j.69995 жыл бұрын
@@rasnchimbi Kabisa lkn wanaotaka kuingia kilingeni kum-challenge habari hiyo wanayo
@rasnchimbi5 жыл бұрын
@@madukaj.j.6999 mambo yote,lakini kuwepo na tume huru ya uchaguzi ili box la kura likatende haki.
@petrojoseph56465 жыл бұрын
This is our president!! Kudos to you papaa
@fredysangawe55945 жыл бұрын
Wewe kwa sasa ni nuru ya kutuangazia katika nchi Mungu akubariki ktk uongozi wako
@lucassalla73705 жыл бұрын
Kumbe Magufuli akiamua ana busara bwana!!! sikujua.
@bonifacekisinga59085 жыл бұрын
Point
@bonifacekisinga59085 жыл бұрын
True
@aprgg2 жыл бұрын
"Ikulu ni ya watanzania wote,ikulu haina dini, ikulu haina chama, ikulu ni ya Kwenu" JPM.
@jacksonkisunda82385 жыл бұрын
Fact
@pantaleowilliam5545 жыл бұрын
Yani hapo rais amefanya jambo la mana sn kuwaita viongozi wa Dini, hongera sn
@phildangote43043 жыл бұрын
RIP My President
@naomiraphael48305 жыл бұрын
Majibu ya kiutuuzima
@pantaleowilliam5545 жыл бұрын
Hao ndo wenye watu
@sebastianngassa20505 жыл бұрын
Ukosawa jpm yaani hd 2040
@aprgg2 жыл бұрын
Ooh
@tanzintergral59105 жыл бұрын
Muhashimiwa,nakupongeza nakukushukuru kwa mchango wako Mkuu nchini kuleta mapinduzi ya kweli ya kimaendeleo....Swali language nikwanini kila ktkmashirika ya taasisi kama hospitali ikifika wakati serilaki ikiingia basis panaharibika ubora wake nakuwa kituo cha wazembe na rushwa?maomba hili uliangalie kwa kina kunajinamizi gani lakuunganisha serikali na taasisi ktk mahospitali??
@deustutu11625 жыл бұрын
jpm mm sina swar ukwel utabakia ukwel
@allymamlo2525 жыл бұрын
Kasimama peke yake kamuona Tanzania yake
@mandopelupa44575 жыл бұрын
WEWE KWEL NI M5UMISHI WA MUNGU ULIYEJAA ROHO WA MUNGU SIO KAMA WANZIO WAOGA KAMA KUNGURU WAKISUBIRI MAFUNGU YA KUMI NA SADAKA MUNGU AFUNGE MILANGO YA MAFUNGU YA KUMI NA SDAKA WAKALIME