KAMATI ya ULINZI KISARAWE YASHTUKIZA USIKU MNENE KWENYE MSIKITI UNAOLAZA WATOTO 156 -''WARUDI KWAO''

  Рет қаралды 50,559

Global TV  Online

Global TV Online

21 күн бұрын

KAMATI ya ULINZI KISARAWE YASHTUKIZA USIKU MNENE KWENYE MSIKITI UNAOLAZA WATOTO 156 -''WARUDI KWAO''
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 784
@globaltv_online
@globaltv_online 14 күн бұрын
​​Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
@fetychina3969
@fetychina3969 14 күн бұрын
Jamani shekh tunaomba upitishe michango tutatoa tunacho jaliiwa lengo sio baya ila mazingira ndio si rafiki
@iambeat2430
@iambeat2430 14 күн бұрын
Mimi ni mkiristo ila huyu sheikh ana busara sana..Mungu ampe nguvu lengo lake ni jema mno...
@ummiawess2772
@ummiawess2772 14 күн бұрын
Hasbiyallah waneemal wakeel
@briankatani6770
@briankatani6770 14 күн бұрын
Pole sana shekh lakini nimekusifia kwa busara zako na uwezo wako.huo ni mwanzo endelea kurekebisha kituo then utaruhusiwa.
@DM_15
@DM_15 14 күн бұрын
Dc mtu mwema kabisa huyu Mungu akubariki sana sana Dc
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 14 күн бұрын
Daah! Mh. DC Magoti umetisha sana, Safi sana
@BinkanaKinyasi
@BinkanaKinyasi 14 күн бұрын
Kiukweli tuache unafiki mazingira sio salama
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 14 күн бұрын
Magoti sikulaumu ila tumia hikma ktk baadhi ya mambo uongozi una mwisho wake. Ila kikubwa zaid nawalaumu matajiri wa kiislamu endeleeni tu kufadhili mipira na mambo ya kidunia yasiokua na faida ktk dunia hii hakika. Allah anawaoana
@MohamedSharif-s8c
@MohamedSharif-s8c 14 күн бұрын
Mwenye kupewa hekima Kwa Hakika amepewa kheri nyingi,hongera ustadh wangu Kwa busara na unyenyekevu wako.
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 14 күн бұрын
Hongera mkuu
@JamesMlingilwa
@JamesMlingilwa 14 күн бұрын
Asalam alaykum nashukuru sana uislam ndo ndo din yenye maadili mema kweli inafundisha uwepo wa allah shekh kaonesha unyenyekevu juu ya hili na kajielezea vizuri na mh dc pia na yy kaweza kulitambua hivyo niwatakie rehma na aman juu ya uislam kwa mitihan tunayo pitia m/mungu atufanyie wepes nashukuru kwa hili lililofanywa na kamati ya ulinzi nawaomba msiishi pande moja njoon na upande wa pili huku viwanja vya pekas kawe huenda kuna madhaifu maana sheria ni msumeno wabillah taufiq asalam alaykum arhmatullah wabarakatuh
@ibucom12tv56
@ibucom12tv56 14 күн бұрын
Huyu dogo hajui kazi za msikiti, amechanganyikiwa.
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 14 күн бұрын
WATOTO WADOGO WAMEELEZEA WENYEWE KUWA WANASOMA HAPO KILUVYA HAPO HAMNA KOSA LABDA VYOO NA ILO NIJAMBO LA KULEKEBISHWATU
@mussaelias3535
@mussaelias3535 14 күн бұрын
Shekhe kweli umeonyesha unyenyekevu wa Hali ya juu sana
@seyfullahonlinetv
@seyfullahonlinetv 14 күн бұрын
Mafunzo ganiii mbn umekazania mafunzo hayo shida ni mafunzo shida ni mazingira
@ummiawess2772
@ummiawess2772 14 күн бұрын
Kila linalokufika ujue mungu ana sababu zake huu mtihani toeni namba tutoe michango ili watoto wapate ilmu ya ahera
@Official83640
@Official83640 14 күн бұрын
Mtamlaumu mkuu wa Wilaya kuingilia hili swala lkn ukiangalia wanamakosa hawana kibali chakulaza watoto sie wote Waislam na tunajua dini inafundishwa lkn muhimu kituo kujulikana kwahy tusione tumeonewa Waislam dunia imeharibika siku hizi
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 14 күн бұрын
Aliyemsikia Mh Dc akisema kuna Watu wanatafuta Watoto,Magodoro yanaishaa lakini hawapati Watoto....!!
@mayaniphilipo9256
@mayaniphilipo9256 14 күн бұрын
Hv Kiongoz Kwel Watoto Wamelala Mazingira Machafu Na Mabaya Kuliko Ya Nguruwe
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 40 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН