Utupe habari za ukweli hayo unayoongea je I kweli?
@FabianMichael-gu1is8 күн бұрын
Boss wetu tunaomba atuletee fei na mayele
@ATHANASLUKEHA-ui7pq3 күн бұрын
FEI toto wa kazi Gani,ni WA kawaida Kwa Sasa.
@anithawidambe75439 күн бұрын
MO TUNAOMBA MAYELE NA FEI TOTO WAJE SIMBA
@omarmhamed-sv7dx9 күн бұрын
Hatawakitua hatawakiruka Tabuileile😮😮😅
@daudinaftary18777 күн бұрын
Tutamusahau tu chama maana hayo nimajembe yakanzi
@fatmaalliy36999 күн бұрын
Chama chetu cha waandishi
@AbisinaRashidi-c8d9 күн бұрын
Tuwakomeshe na wao yanga
@AbisinaRashidi-c8d9 күн бұрын
Tuleteee mayere baba na fei
@IbrahimMmalugu-gw8jl9 күн бұрын
Zikituwa hizo miamba tutaendesha gari bila usukani
@user-gm1oc3ht1p9 күн бұрын
Feisal aje
@thelesiagabriel73798 күн бұрын
Mlete fei na mayele
@HoseinShedafa9 күн бұрын
Hilo chambuzi la yanga
@majidzadock68109 күн бұрын
Simba wakimsajili fesali usajili WA chama kwenda yanga utakuwa umefunikwa kabisa
@Stephano7229 күн бұрын
Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba hapa ilipo hata wasipokuja mayele na fei toto timu ni nzuri mno chama amebakia kwa talifa zenu tu Hana lolote ametuangusha miaka mitatu aende kabisa tuko vizuri mno
@Stephano7229 күн бұрын
Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba kwa Sasa nifulu nje ndani utake usitake