KANISA LAANZA KUWASIFU WAISLAMU NDIO WATAKAOENDA MBINGUNI

  Рет қаралды 912

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

26 күн бұрын

#sheikhmwaipopotv #sheikhmwaipopo #muhubirimwaipopo

Пікірлер: 52
@allyhasani3750
@allyhasani3750 24 күн бұрын
Mungu akulinde mwaipopo
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 24 күн бұрын
pasuwa majipu sheikh mwaipopo unasema ukweli mtupu mungu akujalie uwe hivyo hivyo always
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 23 күн бұрын
@@hassanmpemba5747 je wajua shetani na majini ni waislam,walislim
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 18 күн бұрын
Allah akujalie wewe pamoja na sis
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 24 күн бұрын
Points sheikh mwaipopo ahsante
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s 21 күн бұрын
Imani nin
@drnow1528
@drnow1528 24 күн бұрын
maaskofu na wachungaji wanapiga pesa za waumini
@paulmushi2428
@paulmushi2428 24 күн бұрын
Kwa Mujibu Wa Qur'an Dini ya Uislamu inawahusu Waarabu Soma Qur'an Surat Ash-Shura 42:7 Na namna Hivi tunekufunulia Qur'an Kwa Kiarabu ili iwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake (Mf Madina, Badri, Uhud, Taif, Tobuk n.k) Soma pia Al-An'am 6:92
@marionoti5760
@marionoti5760 24 күн бұрын
Unaota, unaweweseka, unawahadaa waislamu , Unajikinaisha baada ya kufanya makosa makubwa ya kudharau utamaduni waliokuridhisha baba zako. Hata waislamu wanakuona punguani. unaropoka ropoka kama kalagesye. pole mwanafile, Mbele kwa moto na nyuma kwa moto.
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 24 күн бұрын
Hapana,hapana,
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 24 күн бұрын
Shetan na majini walifukuzwa na mungu wanasubiri moto wa jehanamu,kwann ety wamesilimishwa,
@paulmushi2428
@paulmushi2428 24 күн бұрын
Kwa Mujibu wa Qur'an Hata Muhammad Mwenyewe alitumwa na Allah wa Makka kwa Waarabu soma Qur'an Surat Ibrahimu 14: 4 - Na hatukumtuma mtume yoyote isipokuwa Kwa lugha ya watu wake apate kuwabainishia Surat At Towba 9: 128 Hakika amekwisha kujieni mtume kutokana na nyinyi wenyewe ( Waarabu)
@prochesernest5439
@prochesernest5439 24 күн бұрын
Wakristo hawaendi kwenye pepo ya allah maana huko kuna kuna kuoa wanawake sabini Kwa Yehova hakuna kuoa wala kuolewa
@PriscusAssenga-eo7rm
@PriscusAssenga-eo7rm 24 күн бұрын
Is not true
@prochesernest5439
@prochesernest5439 24 күн бұрын
Huyo mkristo ajielewi maana hamjui mungu WA kiislamu ni tofauti na Mungu wa kikristo maana allah Sio baba na Mungu Yehova ni Baba kwaiyo huyo dada akimjua huyo Mungu WA waislamu hataludia kusema hayo ayasemayo maana allah apendi kusikia watu wakisema Mungu ana mwana
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 22 күн бұрын
Wewe Mungu wawakristo na Mungu wawaislam ni umoja tatizo liko kwenu wa kristo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 22 күн бұрын
@@cizaiddy7839 Mungu WA wakristo na waislamu Sio Mmoja nakupa vigezo Yehova ni Baba Mungu WA wakristo Allah Sio baba Mungu WA waislamu Mungu WA wakristo ametukataza kushilikiana na majini au mapepo wachafu mungu WA waislamu kawaluhusu kuwa na Imani Moja na majini na kingine Mungu WA wakristo kasema mbinguni hakuna kuoa Wala kuolewa Allah Mungu WA waislamu kawaidi wanawake huko peponi Wanadamu na majini watapewa wake kingine Allah ataingiza hunyayo wake jehanamu ya moto kingine Allah kawaluhusu waislamu kuwapinga watu WA kitabu mpaka waingie kwenye Dini yake 9:29 quruan Soma hapo Mungu WA quruan hawezi Kuwa na mwana mpaka awe na mke quruan 6:101 Mungu WA biblia anasema aliupenda ulimwengu akamtoa mwanawe pekee kitabu Cha Yohana 3:16 soma hapo mungu WA quruan anasema mbingu na ardhi zanapasuka na milima kuanguka Kwa kusema mungu ana mwana kwaiyo ndiomaana hatumkubali huyo Allah wenu kaja kupinga biblia iliyotangulia
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 24 күн бұрын
Shetani alislimu,na majini yalislimu,no no no
@paulmushi2428
@paulmushi2428 24 күн бұрын
Mwaipopo nilishasema nasema tena Qur'an Surat Imran 3:19 " Dini ya Haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu" hapo hasemi Mwenyezi Mungu Bali Kuna mtu au Jinn anasema! Angekuwa kasema Mwenyezi Mungu Aya ingesema Hivi - "Dini ya Haki mbele yangu Mimi Mwenyezi Mungu ni Uislamu"
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 23 күн бұрын
Hoja Yako mwaipopo sikubaliani nayo kabisa,UKRISTO UMENYOOKA SANA HADI KWA MUNGU,MUNGU ALIMTOA MWANAE YESU ILI KILA AMWAMINIE AWE NA UZIMA WA MILELE
@jonathanmasu6803
@jonathanmasu6803 22 күн бұрын
Niwaombe waislam swala sio kupinga au kukubali imani tu lkn tafuteni uhalisia wake kwa mfano muulize sheikh yoyote je alishawahi kusemeshwa na Allah, kama hapana basi jiulize uyo allah ni kweli yupo?
@MollelSirikwa
@MollelSirikwa 24 күн бұрын
Mwapopo unatulete maneno ya maneno ya mohamad kujibingia debe dini yke
@allyhasani3750
@allyhasani3750 24 күн бұрын
Tatzo unanichefua kuiyazungumzia mafisadi, tu mavi juu ya biliani (ccm) haifai
@paulmushi2428
@paulmushi2428 24 күн бұрын
Na kwa Mujibu wa Qur'an yenyewe - Uislamu ni dini ya Allah wa Makka ambaye siyo MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI!!
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 23 күн бұрын
@@paulmushi2428 safiiii wape ukweli
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 22 күн бұрын
@@paulmushi2428 hapana,hapana,shetani kasilimishwa,majini yamesilimishwa,hiyo ni dini ya mungu kweliiii oneni aibu,
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 22 күн бұрын
@@paulmushi2428 tuwape ukweli baba paulmushi,Toka wadogo tunaambiwa dino ya majini kumbe kweli
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 24 күн бұрын
Suratul jinn
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 24 күн бұрын
Waalimu wa madrasa,pia mnaharibu watoto wa kiume
@drnow1528
@drnow1528 24 күн бұрын
ushoga ulianzia Vatican
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 23 күн бұрын
@@drnow1528 chimbuko uarabuni,watanzania wengi wanaenda kufanya kazi uarabuni uliza wanafanywa Nini wanaume kwa wanawake,halafu mtu anasali sala 5,
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 22 күн бұрын
Mimi Islam hunivutii hata kidogo ,maana najua vizuri,uovu wote upon kwenu,ugaidi,waalimu wa madrassa,majini,
@nduwimanaamidou4009
@nduwimanaamidou4009 19 күн бұрын
Kwani nani alikwambia uislam unakutaka wewe
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 16 күн бұрын
@@nduwimanaamidou4009 kasema dini ya haki hapana,mambo ya uchawi majini Toka enzi Hadi Leo
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 24 күн бұрын
NITAMWAMINI MUNGU ,YESU CHRISTO ,YESU ALIKUFA AKAFUFUKA NA SASA YUKO MBINGUNI,KWA MUNGU
@seifserenge3340
@seifserenge3340 24 күн бұрын
Wewe ni chizi kweli. Yesu ni mungu. Halafu Mungu huyo(yesu)kafa,na hivi sasa yuko mbinguni kwa Mungu. Una miungu mingapi!!😂😂
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 23 күн бұрын
@@seifserenge3340 endeleeni kuabudu shetan,majini,kisomo cha kichawi,waalimu madrasa wanaharibu watoto,ugaidi duniani,moto wa jehanam halali yenu,
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 23 күн бұрын
@@seifserenge3340 SHETANI ALI SLIMU HUJUI,MAJINI WAZURI WALISLIM NA MSIKITINI MAJINI HUSALI,WEW,
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 23 күн бұрын
@@seifserenge3340 Yesu mwana mungu,aliletwa na mungu ili tukombolewe sisi wandamu
@seifserenge3340
@seifserenge3340 23 күн бұрын
@@savinosalamba9174 sasa Yesu ni Mungu au ni mwana wa Mungu ?
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 199 МЛН
MCHUNGAJI ASHINDWA KUSIBITISHA KUWA YESU NI MUNGU
38:10
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 396
FAIDA ZA KUFANYA DHIKRI MARA KWA MARA
27:25
Istiqaama Muslim Community of Tanzania
Рет қаралды 7 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.