Amen kubwa sana. Asante Mchungaji wangu mana kila ninapo sikiliza Mafundisho yako yaani huwa najengeka sana. Pia namshukuru Mungu sana kukunitumia Mtumishi ambae ni faraja kwangu mana hata niwe nimeanza kukata tamaa ninapo sikiliza Mafundisho yako Gafya huwa napata ujasiri wa ajabu. Na ndio mana sifuraiyi unappeasable muda wa wiki bila kuposti. Mungu wa wokovu wangu akubariki sana na kizazi chako kwa jina la Yesu Kristo
@khadijajulius26116 ай бұрын
Yani mafundisho yako yananifany kuwa jasiri na kusonga.mbele Mungu akupe maisha marefu
@tsongonadine3868 ай бұрын
Amena, Mungu nisaidiye iliniwe na kiri ushidi.
@ephrasienasifiwe33939 ай бұрын
Asante Mungu kwakutufungua ufahamu
@user-lu4ie4fp1o4 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@kenansyprian69549 ай бұрын
Pastor asantee kwa mahubiri yako. Naomba tusaidie uchambuzi wa Kina wa Historia ya Israel na Palestina.
@julietnelima32539 ай бұрын
Maombi yangu pia, we need to know more about it
@wittinessmbwambo57598 ай бұрын
Even me
@dorisgesare77076 ай бұрын
Amina
@NellySakwa8 ай бұрын
Naomba mniombee 🙏🙏
@foncetecelectricalandelect349 ай бұрын
Hatimaye nimemshinda Shetani
@elizabethmwaka47318 ай бұрын
Amen pastor be blessed maana kupitia wewe nimekua imara kiroho nasikiliza nikiwa saudi
@zeliageorge33118 ай бұрын
Glory to the Lord, kwa kuwa kila iitwapo leo mioyo yetu inafufuliwa upya.
@biirajulia10858 ай бұрын
Hguv
@naturelle10979 ай бұрын
Amen❤haya mafundisho na yakazae matunda maishani mwetu
@margaretwanjiru90969 ай бұрын
Mungu akubariki sana mafundisho yako Pastor Mbaga hua yanitia nguvu sana 🙏🏻
@upendoloondokalembekela77489 ай бұрын
Asante sana pastor devid mmbaga kwa ujumbe unaotowa ujinga wa maelfu ya watu,Mwenyezi Mungu asifiwe.
@raelobare63548 ай бұрын
Amen
@rehemanashon37399 ай бұрын
Aminaa kubwaaa Mchungaji na MUNGU WETU WA MBINGUNI akubariki sana.
@user-oo7ze7xr4r9 ай бұрын
Mungu akubariki sana Pastor mahubiri Yako ni mema zaidi
@petromasunga37158 ай бұрын
Amina mchungaji Mungu anatenda
@sarahkarumuna72609 ай бұрын
Ubarikiwe sana pr nabarikiwa sana na mahubur,mungu atusaidie sana tuendelee kumtegemea
@user-kp5ly3ou9x9 ай бұрын
Amina paster nabatikiwa mno na masomo haya
@amonipatrick75689 ай бұрын
Asante sana Pastor, leo tena umeniambia kitu. Ubarikiwe.
@sophymoraa-by8en9 ай бұрын
Amen
@augustinemutisya9 ай бұрын
Nmekaa nkikufuatilia nikaona kuna kiti kizuri Dani yako Mungu akusidishie.
@SebastianHilonga-kw9ff9 ай бұрын
Mungo akubariki sana mtumishi kuna Mahali umenitoa
@rhinakiza9 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen kubwa 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼
@SarahSenkondo-fm7sm8 ай бұрын
Mungu akubariki sana Pastor
@user-tp8to4sv9x9 ай бұрын
Nashukuru mungu sana kwa mafundisho mungu akusindishiye
@kabalizasekanabomarko60639 ай бұрын
Amen Amen tena Amen kwa mahubiri mazuri sana.
@raelsarange6388 ай бұрын
Hallelujah I'm blessed pastor, be blessed too
@helenabenda69949 ай бұрын
barikiwa PR kwa somo zuri nimejifunza kitu
@rodahadhiambo36378 ай бұрын
Glory to God,Pastor
@mamalaozphilemonmtawali.84679 ай бұрын
Amen ubarikiwe pastor.
@allanjohn7199 ай бұрын
Naomba mniombee watu wa MUNGU MUNGU anisaidie neema na kibali Cha kazi na Imani kubwa amina
@johnstephano64869 ай бұрын
Bwana na akupe hitaji la moyo wako kwa jina la yesu Kristo Amina!.
@ephrasienasifiwe33939 ай бұрын
Amen
@glorialaizer94509 ай бұрын
Mungu ametenda
@wiseboy.9 ай бұрын
Barikiwa sannah pastor
@olipasimon38969 ай бұрын
Barikiwa sana Pastor
@zirhumanafiston1169 ай бұрын
Amina 🇨🇩
@user-ih7rz4rf3i9 ай бұрын
Amen ni hakika
@marykainyu41919 ай бұрын
Amen Amen
@user-br5ip6xu1u8 ай бұрын
I don't know what to say but please pray for me. I at least believe in your prayers
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
May the Lord grant you
@user-br5ip6xu1u8 ай бұрын
Pray for me please Pastor nipo na kazi ambayo hainipi kushika Sabato it's so Sad
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Pole sana. Chukua hatua
@dativajoachimwai11948 ай бұрын
kwani sabato ni siku . mi nashindwa kuelewa. Yesu alisema yeye ndo Bwana wa sabato. tukiwa nae mioyoni kilasiku ni sabato kwetu
@Briansimiyu2549 ай бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿💪🏾
@purity1349 ай бұрын
Hallelujah
@user-os3vo4sm2n9 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@luciashayo98969 ай бұрын
Barikiwa mchungaji mi naomba namba zako mchunga nina mengi ya kuniombea kwa mungu
@LeneyaAline-pp2mi9 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@jarediovemaombi-of2ej9 ай бұрын
Mungu awe nawe na aendeleye kuzi ongoza akili zako Pr Mbaga. Sisi tuko Idjwi in DRC, tunataka uje hata siku moja utuhudumiye.
@eunicenasimiyu42569 ай бұрын
😂😂😂 amina 🙏🙏🙏
@user-mi1sb5nv4v9 ай бұрын
Amen 🙏 Amina 🙏
@user-ih7rz4rf3i9 ай бұрын
hata 1+1 calculate itumike
@AmanMeshack9 ай бұрын
Amen
@hadijaraphael83829 ай бұрын
Amina mchungaji nimepitia mambo mengi Sana ila mungu amejib