Kilimo Cha Chikichi Tanga -Shamba Darasa HATUA KWA HATUA

  Рет қаралды 1,146

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

2 жыл бұрын

#ajefarms
#mashambayanayotembea
#shambadarasa
#kilimobiashara
#Tanga
#chikichi
#shambatour
#mafutayakula
#mawese
#masoko

Пікірлер: 22
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
ILI KUONA VIDEOS NYINGINE HAKIKISHA UNASUBSCRIBE 👇kzfaq.info/get/bejne/oNKWptmBtuCnZ4E.html
@richardmichaelshekoloa8302
@richardmichaelshekoloa8302 23 күн бұрын
Safi mtalamu nimekukuballi
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 23 күн бұрын
Tafadhali SUBSCRIBE,LIKE & SHARE ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 23 күн бұрын
Unaweza kuagiza kitabu cha KILIMO CHA CHIKICHI kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp ya KILIMO CHA CHIKICHI TANZANIA
@jamesgard6884
@jamesgard6884 Жыл бұрын
Hi,mkata ofisi zenu ziko sehemu gani?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 9 ай бұрын
Wasiliana nasi WhatsApp 0757757968. Karibu AJE-FARMS
@richardmichaelshekoloa8302
@richardmichaelshekoloa8302 23 күн бұрын
Mko kijigani
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 23 күн бұрын
Shamba darasa letu lipo Mkuranga - Pwani.
@yasininyawangele
@yasininyawangele Жыл бұрын
Mimi Niko singida je naweza kulima chikichi?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 10 ай бұрын
Hadi kufanya survey shamba lako
@user-bq7ri3vw4w
@user-bq7ri3vw4w 9 ай бұрын
Mbegu mkoa wa tanga zinapatikana wapi
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 9 ай бұрын
Kwa Tanga bado hatuna kitalu. Tunasafirisha kutoka Kanda ya ziwa. Tafadhali WhatsApp 0757757968 kwa maelezo zaidi
@user-bq7ri3vw4w
@user-bq7ri3vw4w 9 ай бұрын
Tanga mbegu inapatikana wapi?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 9 ай бұрын
Karibu AJE-FARMS. Kwa Tanga bado hatuna kitalu bali tunasafirisha kutoka Kanda ya ziwa. Tafadhali WhatsApp 0757757968 kwa maelezo zaidi.
@venancemakililo883
@venancemakililo883 Жыл бұрын
Mkoa wa kigoma mnapatikana WApi?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 10 ай бұрын
Tupo Geita na Kagera
@juniorchristopher2110
@juniorchristopher2110 Жыл бұрын
ninashamba langu bagamyo mkenge ekari 2 , je nikilima michikichi natakiw niwe na kiasigan cha fedha mpaka kukamilika
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 9 ай бұрын
Hello , karibu AJE-FARMS. Kwa ufafanuzi tafadhali WhatsApp 0757757968
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 Жыл бұрын
Mbona Hampatikani WhatsApp ?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 10 ай бұрын
Jaribu tena 0757757968 WhatsApp
@emmanuelmogasa498
@emmanuelmogasa498 2 жыл бұрын
michikichi inastawi kwenye maeneo yenye mvua nyingi/ardhi yenye maji mengi?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
Michikichi inahitaji hali ya mvua za wastani . Si lazima ziwe nyingi.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 493 М.
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 31 МЛН
A-Z kilimo cha CHIKICHI/Soko kubwa la mafuta yake
45:56
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 5 М.
Morgan Housel: What You Need to Master (And Avoid) to Get Rich, Stay Rich, and Build Wealth
1:34:19
KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI KIDOGO - UTUNZAJI WA SHAMBA KWA SIKU 60 ZA MWANZO
40:15
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 176
KILIMO CHA MAJANI MKOANI TANGA
31:23
Kilimo Kwanza TV
Рет қаралды 1,1 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
BIASHARA YA KUNUNUA NA KUUZA KUKU / MNYORORO MZIMA WA THAMANI WA BIASHARA YA KUKU KIENYEJI
19:55
KIGOMA YADHAMILIA KUWA KITOVU CHA  KILIMO CHA MICHIKICHI
3:19
Uhai Online Tv
Рет қаралды 279