Maajabu ya mbegu mpya za Michikichi zinazozalishwa TARI Ilonga, zinatoa mafuta zaidi ya maradufu

  Рет қаралды 5,866

PROMO ONLINE TV

PROMO ONLINE TV

3 жыл бұрын

‪@promoonlinetv7442‬ imetembelea kituo cha TARI Ilonga kujionea uzalishaji wa mbegu mpya na bora za zao la michikichi.
Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

Пікірлер: 17
@jafetzani8568
@jafetzani8568 6 ай бұрын
Jambo zuri sana tutapunguza uhaba wa mafuta
@nelsonmushi954
@nelsonmushi954 3 жыл бұрын
Je kilimo hicho kinafaida
@johnmganga5107
@johnmganga5107 2 жыл бұрын
Je kwamkoa wa Tanga tutapataje hizo mbegu
@johnmganga5107
@johnmganga5107 2 жыл бұрын
Hongereni,
@khalifasaidi2758
@khalifasaidi2758 3 жыл бұрын
hongeleni na asanteni sana tutakuja kuchukuwa hizo mbegu Mimi ni mkaazi mkulima wa magomeni kilosa
@salamamohamed9519
@salamamohamed9519 2 жыл бұрын
Kaka huu ni mkoa gani
@wardabaruani2828
@wardabaruani2828 2 жыл бұрын
Tunaomba mawasiliano
@faisalahmed7757
@faisalahmed7757 2 жыл бұрын
Mimi nimepanda miche 25000 ambayo ni sawa na hekari 500
@joelnaja9935
@joelnaja9935 Жыл бұрын
J tangu mbegu imeota na kuhamishiwa kweny viriba,unachukua muda gan kuhamishia shambani?
@juniormichael354
@juniormichael354 Жыл бұрын
Umetisha🔥🔥🔥
@HonkonyaMaliatabu
@HonkonyaMaliatabu Ай бұрын
Naitaji miche
@promoonlinetv7442
@promoonlinetv7442 Ай бұрын
habari, ilikuweza kupata namba ya mtaalamu unahitajika kuchangia kiasi kidogo cha fedha kuanzia shilingi 1000 kupitia lipa namba 22922127 jina Kijani Consult Tz, kisha utapatiwa namba ya mtaalam unayemhitaji. karibu
@rashidinyota8426
@rashidinyota8426 2 жыл бұрын
Naitwa Rashidi Nyota mkazi wa Kiberege / ifakara naitaji miche je naipataje?
@rweikizadaniel8394
@rweikizadaniel8394 3 жыл бұрын
Mwisho wao wanatoa miche mingapi kwa mtu mmoja?
@user-bv9fx5gy2i
@user-bv9fx5gy2i 7 ай бұрын
Nkiwa kenya nitapataje jameni?
@promoonlinetv7442
@promoonlinetv7442 6 ай бұрын
Unaweza kuwasiliana TARI Ilonga kwa namba +255 764 073 615
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 Жыл бұрын
Wapenzi wa Mazoezi pita hapa subscribe channel yetu Kwa video za Mazoezi kupunguza uzito
KILIMO CHA CHIKICHI - MASOKO NA MCHANGANUO WA MAPATO
10:17
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 447
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,8 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 6 МЛН
Vol N°1: comment gérer les ouvriers dans une ferme pour une bonne évolution ?#farming@Tvagro@gestio
17:07
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma aelezea maajabu ya mbegu mpya ya Chikichi - 1
14:54
#KILIMO CHA CHIKICHI MASWALI YOTE NA MAJIBU YAKE
16:03
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 218
KILIMO CHA CHIKICHI - BAJETI A-Z
10:24
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 391
UTAFITI WA ZAO LA NAZI DODOMA
7:28
B Tv
Рет қаралды 2,2 М.
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,8 МЛН