KILIMO CHA MIGOMBA KTK MAENEO YENYE UKAME / MBINU NA KANUNI MUHIMU

  Рет қаралды 3,590

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

2 жыл бұрын

#AJEFARMS
#MASHAMBAYANAYOTYEMBEA
#kilimobiashara
#migomba
#ukame
#umwagiliaji

Пікірлер: 17
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 8 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mNOnlteLz5OYh40.htmlsi=LFJD8xmBZDTH1PZ9
@allychihako2092
@allychihako2092 5 ай бұрын
Asante sana AJE Farm kwa kutuhabarisha tuko pamoja
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 5 ай бұрын
Karibu sana Ally,na tunakuomba utusaidie kwa KUSUBSCRIBE na kusambaza video hii muhimu kwa wadau wa kilimo. Unaweza pia kununua kitabu cha KILIMO CHA CHIKICHI kwa TZS 3,000 ambacho utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp BURE.
@ndagijimanafelix5719
@ndagijimanafelix5719 3 ай бұрын
Vizuri
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 3 ай бұрын
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA na tafadhali SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi kutoka mashambani kwetu.
@edwardgereza6046
@edwardgereza6046 2 жыл бұрын
Kazi nzuri. Mnatumia mbinu gani ya kupunguza kupotea kwa maji katika mabwawa kupitia kunyonywa na mchanga?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
Ni kweli kuna kiwango cha maji kinachopotea kupitia udongo ,ila bwawa haya haya tunafugia kambale /mumi ;ikibidi nyakati ambapo maji yatapungua zaidi tunaweza kupump maji kutoka ziwani.Ni kama kwa kuvuna maji ya mvua tunapunguza gharama za umwagiliaji kwa asilimia 50 na hivyo kuongeza faida kwenye kilimo chetu.Mbinu hii ya kuvuna maji huambatana na mbinu nyingine za kuhakikisha hata maji tuliyoyamwagilia shambani hayapotei. No single bullet! Tusingetumia mabwawa haya kufugia kambale basi tungetandaza kapeti ya nylon kwenye bwawa na hivyo kutunza maji kwa 100%
@work24onme
@work24onme 2 жыл бұрын
Hongera sana👏🏽👏🏽 Shamba linapendeza hadi raha. Kuanzia usafi, mpangilio, Afya ya migomba, etc!❤️this🙏🏽. Hii ni aina gani ya migomba?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
Shukran sana, hii migomba ni aina ya FHIA 17. Inaweza kuliwa kama tunda ikiiva au inaweza kupikwa ikiwa mbichi.
@sixtusmmhozya658
@sixtusmmhozya658 Жыл бұрын
Mbegu beigan
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 10 ай бұрын
Plse WhatsApp 0757757968
@SarahtzWilliam
@SarahtzWilliam 2 жыл бұрын
toeni elimu mmefanyaje
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
Hello Sarah, tafadhali tazama video nyingine ili kuona kanuni tunazotumia kuanzia maandalizi ya shamba, upandaji ,utunzaji na uvunaji
@charlesgadi6702
@charlesgadi6702 17 күн бұрын
Bei ya mche mmoja ni bei gani? na je ni aina gani ndizi unazo mimi nahitaji mzuzu au mkono wa tembo na ndizi kisukari zile za kizamani
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 17 күн бұрын
Bei ni TZS 2,500 @ kwa kila aina ya ndizi. Gharama ya usafirishaji ni juu yako. Tutakupatia kitabu cha KILIMO CHA MIGOMBA ambacho utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp ya KILIMO CHA MIGOMBA ili uweze kuendelea kujifunza zaidi. Tafadhali SUSBCRIBE,like na share video hii ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali WhatsApp:0757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
@mrmvumo5959
@mrmvumo5959 2 жыл бұрын
mnamwagilia kwa njia gani?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
Tunatumia ndoo /mitaro. Ukiwa shamba limefunikwa na nyasi za matandazo shina moja hutumia 100 kwa mwezi mmoja.
A-Z Kilimo Cha Migomba /Miiko na mbinu
21:00
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 1,2 М.
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 30 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4,3 МЛН
Jifunze hatua za upandaji wa migomba kupitia shamba darasa la #AJEFARMS
10:19
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 10 М.
KILIMO CHA MIGOMBA -NAMNA YA KUCHIMBA MASHIMO // Shamba Darasa
12:45
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 1,7 М.
KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI KIDOGO - UTUNZAJI WA SHAMBA KWA SIKU 60 ZA MWANZO
40:15
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 176
🔴KILIMO NA MAZINGIRA, FAHAMU ZAIDI KILIMO CHA MIGOMBA
17:51
JIMBO LA NGARA TV
Рет қаралды 6 М.
USIYOYAJUA Kilimo Cha Migomba//Mambo Muhimu 5 Kuzingatia
17:21
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 4,9 М.
MITI YA MITIKI YAGEUKA HAZINA KWA WATAWA WA MILIMA YA USAMBARA
13:55
(UMTV) USAMBARA MOUNTAIN TV
Рет қаралды 2,6 М.
ZIJUE AINA ZA NDIZI NA MASOKO YAKE
11:18
AsiliGrowers
Рет қаралды 6 М.
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 30 МЛН