KILIMO CHA PILIPILI KICHAA NDIO DILI KWA VIJANA' “PESA IKO HUKU TWENDENI SHAMBANI''

  Рет қаралды 32,355

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Pilipili kichaa ni zao lililoanza kushika kasi ya mauzo na kufanya vizuri sokoni miongoni mwa mazao ya biashara katika soko la dunia.
Wataamu wa zao hili wanasema wakulima wengi wa Tanzania hawajachangamkia fursa hiyo adhimu ambayo kwa sasa imefunguka zaidi barani Ulaya.
Kupitia wadau mbalimbali wa kilimo wameanza kuonyesha jitihada katika zao hili ambapo wanawatembelea wakulima mbalimbali katika maeneo yao kuwapa mafunzo yanaoyohusu zao hilo na kwa sasa wako Mkoani Kigoma katika wilaya ya kasulu.

Пікірлер: 57
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Bass haya ishaalah na mimi nitalima nitakaporudi oman akipenda mungu ishaaalah
@bristantmashoko6781
@bristantmashoko6781 2 жыл бұрын
Karibu sana
@reginapiusi6750
@reginapiusi6750 2 жыл бұрын
@@bristantmashoko6781 hi .naombaa mwongozo plz
@dieudonnenjejimana4441
@dieudonnenjejimana4441 Ай бұрын
Vizuli sana
@salumjuma9153
@salumjuma9153 2 жыл бұрын
Jamani kilimo cha pilipili nikizuri sana kwani gharama za utunzaji wa shamba ni ndogo kwani hautumii madawa na mbolea ni samadi ya ngombe tu kampuni INA tushauri vipi kukausha masika kukiwa na mawingu mfululizo?
@sarafinaalvin7546
@sarafinaalvin7546 2 жыл бұрын
Naomba namba yako mkuu
@anoldjose7793
@anoldjose7793 2 жыл бұрын
Mimi ni Mika Ndaba😀😀
@alexmoses4325
@alexmoses4325 2 жыл бұрын
hata mimi nina pilipili kichaa sana
@josephmsumba5123
@josephmsumba5123 2 жыл бұрын
Mimi nipo morogoro nawapata wapi wahusika wanaonunua hili zao kwa hapa morogoro
@pauljuma7828
@pauljuma7828 2 жыл бұрын
Uko
@emmanueljohn3555
@emmanueljohn3555 2 жыл бұрын
Kweli kabisa ni fursa kwa vijana.
@cosmasnkuna_5287
@cosmasnkuna_5287 2 жыл бұрын
Naitaji kujiunga na kilimo hiki
@teddygaare3018
@teddygaare3018 3 ай бұрын
Mimi nipo manyara napataje soko la pilipili kichaa
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 9 күн бұрын
Naomba namba nipo morogoro
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Bass haya
@donaldladislaus7172
@donaldladislaus7172 2 күн бұрын
Nipeni namba niwape dili
@teddygaare3018
@teddygaare3018 3 ай бұрын
Soko liko wapi jamani tumechoka kulima nyanya wengine
@justinnyamajeje9996
@justinnyamajeje9996 2 жыл бұрын
Maana kinacho tutesa wakulima wadogo wadogo ni mitaji ,tunaogopa kuanza kilimo bila kuwa na uhakika wa soko katika hilo munatuakikishiaje kwenye soko, pia vp kuusu ufadhili wa kilimo
@naomimiddleton1989
@naomimiddleton1989 2 жыл бұрын
Naomba namba ya simu
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Bass hayaa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Vijana tuchangamkie fursa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@naomimiddleton1989
@naomimiddleton1989 2 жыл бұрын
Naomba Naya simu
@aishamadai
@aishamadai Жыл бұрын
Mm nipo mkoani pwan nahitaji kufunga kilimo hiko naomba mawacliano
@marianamontoedi2333
@marianamontoedi2333 2 жыл бұрын
Naomba kujua urefu wa mashimo
@mdnsakuzi7732
@mdnsakuzi7732 2 жыл бұрын
Hao matapeli wanauza mbegu then wanakimbia mimi shahidi ninao
@basmashein3971
@basmashein3971 Жыл бұрын
Kumbe
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Asante kwa taarifa
@tinkamdimu6537
@tinkamdimu6537 7 ай бұрын
Pia na Mimi nipo tayari nafanyaje
@kassimhatibu8659
@kassimhatibu8659 2 жыл бұрын
Wapi iyo
@juliethjonas5731
@juliethjonas5731 2 жыл бұрын
Nipo Njombe naomba namba Kwa maana Mimi ni mkulima jamani
@charlesnurumwasha7834
@charlesnurumwasha7834 2 жыл бұрын
Namba za simu please
@heriethsingano9964
@heriethsingano9964 2 жыл бұрын
Njooni na arusha jmn
@joycemleli1696
@joycemleli1696 2 жыл бұрын
Arusha solo lipo??kama lipo tuelekezane
@justinnyamajeje9996
@justinnyamajeje9996 2 жыл бұрын
Wadau wakilimo hiki vp kuusu soko lake mimi nipo bunda mara
@cosmasnkuna_5287
@cosmasnkuna_5287 Жыл бұрын
Kwa mkoa wa kagera mnapatikana wapi?
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Mimi nipo mbeya vwawa ,nikilima wapi nitauza?mtoe namba
@lamecklaurentius8936
@lamecklaurentius8936 2 жыл бұрын
Je, mkulima hawezi kuzalisha na kutumia mbegu za asili za pilipili mpaka anunue dukani?
@kassimhatibu8659
@kassimhatibu8659 2 жыл бұрын
Naitaji na Mimi jamani nipo tanga
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 2 жыл бұрын
Soko liko wapi?
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Nipo dubai ,ukituma mi nitauza ,baadae tutakaa tuone namna kwa pamoja tunaweza faidika,
@yahayasaidi6305
@yahayasaidi6305 2 жыл бұрын
Hii ni kampuni gani
@raymkindo
@raymkindo 2 жыл бұрын
Mbegu tunapata wap
@anwaromar9380
@anwaromar9380 2 жыл бұрын
Tunaomba namba za mawasiliano mm wanidhan mbegu ili niwe na uhakika wa kuua nipo tayre kulima
@bristantmashoko6781
@bristantmashoko6781 2 жыл бұрын
Unapatikana wapi?
@uzuriwabure6204
@uzuriwabure6204 2 жыл бұрын
Aisee iko vyema ngoja tupambane
@emmanuelsamwel741
@emmanuelsamwel741 2 жыл бұрын
Motivation speaker acheni zenu ....nyie mnatuambia faida tu hamsemi ugumu wake .. Ukijaribu tu hapo utakuta hupati faida unaishia tu kurudisha pesa yako tu ... Tukimbilie bila utafiti 🤣🤣🤣 vijana msikurupuke mtaumia
@emmanueljoseph6171
@emmanueljoseph6171 2 жыл бұрын
Hakuna kazi isiyo na changamoto, hivyo tarajia kukumbana na changamoto,na changamoto ni kipimo cha kazi,
@barbarasara4033
@barbarasara4033 2 жыл бұрын
Changamoto zake ni zipi?
@deogratiasmwimanzi7841
@deogratiasmwimanzi7841 2 жыл бұрын
Sikonge Tumeanza mwaka huu kupambania fursa hii, na Juzi tarehe 24/8/ 2021 kwa mara ya kwanza baadhi ya walilipa waliuza Pilipili zao. Karibuni wadau wote wa zao hili.
@vegraborganicfarmingltd8460
@vegraborganicfarmingltd8460 2 жыл бұрын
Hongereni sana
@ulimwengu5599
@ulimwengu5599 2 жыл бұрын
ungetuambia wameuzaje kwa bei ipi na faida ni kiasi gan
@justinerichard6823
@justinerichard6823 2 жыл бұрын
Nisaidie namba zako
@joycemleli1696
@joycemleli1696 2 жыл бұрын
Soko waliuza wap wamekuja kutuuzia mbegu wamepotelea motion tunahangaika na soko jmn
@sabunitv2121
@sabunitv2121 2 жыл бұрын
Mbona huku dar mbegu Ni laki mbili na nusu na Ni cash Tena ya eka moja?🤔🤔🤔🤔🤔
@bristantmashoko6781
@bristantmashoko6781 2 жыл бұрын
Wapigaji hao
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 304 М.
How did the Enigma Machine work?
19:26
Jared Owen
Рет қаралды 9 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 3,8 МЛН
#TBCSHAMBANI: KILIMO CHA MTAMA  FURSA MPYA | SOKO LA UHAKIKA
27:26
PILI PILI HOHO NYEKUNDU
29:41
Kilimo Biashara
Рет қаралды 15 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН