Рет қаралды 69,789
Kipindi cha Kipyenga cha Mwisho na matukio mbalimbali yenye utata wa maamuzi katika michezo mbalimbali ya NBC Premier League likiwemo goli la Joseph Guede lililokataliwa dhidi ya Kagera Sugar kuna goli la Kipre Junior pia wa Azam FC alilolifungwa dhidi ya Mtibwa Sugar.
Mwamuzi Mstaafu wa Kimataifa, Osman Kazi akisawazisha utata wote wa matukio hayo.