Content nzuri sana, kiredio unafanya kazi nzuri sana, but kuna shida hutupei conclusion, embu jaribu kutuunganisha matukio since unaongea na jamaa hadi una kutana na binti and conclusion ilikuwaje
No hii nimegundua ni njia ya kweli hata we unaweza mtumia mpenzi wako zawadi ili kuprove atapokeq mtu sahihi?
@ibrahimally50559 ай бұрын
Kiredio et "mnakunywa soda au?" 😂😂😂😂
@clintonvlogs42579 ай бұрын
Long distance relationships huwa hazifanyi kazi, great content.
@dainesszuber74049 ай бұрын
Yaani hii kila muda naangalia na nacheka sanaa ndugu zangu uaminifu ni muhimu sana Mumewangu popote ulipo Nakupenda sana na kamwe sito kucheat nimelidhia na wewe❤❤❤
@theresiamtewele61659 ай бұрын
Vip kuhusu yeye hakucheat pia😁😁😁
@medyelira9 ай бұрын
😅
@queensalema52629 ай бұрын
Watu wanapewa had iphone mm hata w kunihonga kiswaswadu hakunaa 😢cjui nafel wap
@agnesmasoud9509 ай бұрын
Hio lazima
@paulmrema1083Ай бұрын
napenda kuona watu wanateswa na mapenzi...😅😅😅
@Wdtv8989 ай бұрын
Hao ndo wanawke wa tanzania sasa❤
@daimavlog9 ай бұрын
Kiredio leo umepigwa na kitu kizito siyo kwa kukujia na shemeji yenu😂😂
@shazyahya41219 ай бұрын
Hii inaonyesha wazi 80% ya wanawake wa chuo sio waaminifu cha msingi vijana wanatakiwa kua makini mpende demu kwa maslai tu ya kung'ata na kupotea hata ukisikia rafiki yako amekula demu wako usigombane nae hii generation marafiki muhimu sana kuliko mademu wa chuo ni kausha damu
@dotnatajoseph26206 күн бұрын
Ila wa tz kwenye sekta ya mahusiano sio wa kweli kabisa hii ya Leo kiboko kiredio hata kama aliokutuma kajionea live
@albamwanja43049 ай бұрын
Mmmh inatisha sana. Focus on yourselves gentlemen it's a really cold life in this eraa
@tabithayohana85739 ай бұрын
Mungu wangu weee demu kashamjua mshikaji wake ooh my GOD
@amosdeo95349 ай бұрын
Inachekeshaaa😂😂😂😂😂😂 Hali ya bwan mahusiano ni teteeee
@oscarjohn4779 ай бұрын
sasa ndo useme kiredio ameishiwa nguvu oviasiii😂😂
@hellendaniel38099 ай бұрын
Tuko confussion😂😂😂😂😂
@FaudhiaSwalehe-tp9ox9 ай бұрын
Kiredio wew mungu atakupa kiti chako
@michaelbalele9299 ай бұрын
😂😂😂😂😂 oya mlipona maana at atujaelewa kilicho endelea😅😅😅😅
@zainabjordan56599 ай бұрын
Part 2 please
@maryrich9 ай бұрын
Jmniii part two 😂😂😂
@nnieraudhwa86119 ай бұрын
Sasa kiredio ikawaje 😅😅mbona mtu aliinuka tuu then fyuu au alivunja camera😂😂😂😂
@user-ef6zt8dr7p3 ай бұрын
Ila kiredio jamn😂😂 muone namaliza bando lang kila siku mpaka nakopa 😅😅😅😅 kisa hiz mamb zako I love you
@bashiriissahmgannah57389 ай бұрын
Weee kiredio wewe Mungu anakuona 😂😂😂😂 nakukubali kinoumaa
@matildamushi17419 ай бұрын
Mnakunywa soda au?😅ila wanawake tuache tamaa.
@mvumafamiliy9 ай бұрын
Ulikua unaulazima wa kuuliza kama anaweza kupigana, picha linaanza jamaa kavuta kamera sijui nyie mpo kwenye hali gani 😂😂😂😂😂
@ZTsix9 ай бұрын
😂😂😂😂Sema we kiredio ipo sku wataku ua😅😅😅
@nnieraudhwa86119 ай бұрын
Mr UK simu ulikuwa unaficha wapi😂😂
@JanethMaumbi9 ай бұрын
Alafu ni wajina eeh Yesu😢
@dianerditto9 ай бұрын
😂😂😂😂😂daaah...wazee wa kuachanisha mahusiano yaliyofika hatua ya mwisho😅
jaman kiredio na mr uk 😅😅😅 haraf mr uk nilikuona kwenye mr right
@esthermakelemo28649 ай бұрын
Safiiiiiiiii,safi sanaaaaaa, Good job kiredio
@MuleMoviestore25 күн бұрын
Uyo mvulana si julius
@g_eazmusic13299 ай бұрын
😢 kwann kila sku ni wadada tu
@-_GOGO-L-BAHRY_-9 ай бұрын
Ila nimefurahi SANA man,pale alipo mtambulisha BF wake kabla.
@NellyFrenk-vr6mz9 ай бұрын
Khaaaaaaaaaaa hii ni hatar jmn wanawake tumezidi jmn duuuuuu sijawah kukoment chochot lkn Leo imebid niongee neno duuuuuuu kama wap wadada wa hivi siku yatakuja kuwakuta mamb haiwezekani mtu ana kuhudumia au anakufanyia Surprise Kam hiy ww unaleta mambo ya ajabu na ya haibu pia khaaaaaaaaaaa 🙆🏽
@NellyFrenk-vr6mz9 ай бұрын
Na pia pongezi ziende kwakwako kiredio watu watajifunza na kujirekebisha kupitia ww
@nuratirama9 ай бұрын
Daaah jamani inauma sana
@elizabethwilliam82569 ай бұрын
Mwendelezo jamani😂😂😂😂 tuone iliishaje
@hanifahkhamiss84859 ай бұрын
😅😅😅😅😅yaaani utasikia m.mke mweny sura mbovu hawachit....hiv km kila mtu anataka pisi mbovu ila awe peke yke unadhn mtakua wangap 😅😅😅😅😅
@JARIRY9 ай бұрын
karibu singida mzee mwenyewe uje ukiwashe kwa wanyaturu😂😂😂
@nikrahayubu-sz3pw9 ай бұрын
😂z😂😂😂😂😂huko hatar
@AthumaniNyagali-uh9so9 ай бұрын
Sema kiredio we mnafiki sana maswali gani hayooo😅😅😅😅😅
@Masterclass_Pi2 ай бұрын
@Kiredio Kiukweli nimechelewa kuiona hii ila huyo dada hapana aisee.... Kanikumbusha nilikutana nae Ze Bistro😅😅